Hongereni wana wa Malaika Gabriel mkiongozwa na Soloist Dada Despina Mdende Pongezi za pekee kwa Papaa Adam Bukuku&Organist matata kabisa. Hakika mmetisha. Big up 🤝✅💯🙏
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Hongereni sana wanakwaya wa Malaika Gabriel (Segerea) kwa wimbo mzuri sana. Hongera mtunzi pamoja na Galaxy Pro kwa production makini. Mungu awabariki sana.
Goodjob the Galaxy Pro! Hongera kwa waimbaji! Kwa Muziki mtakatifu na mtamu zaidi kutoka #theGalaxyPro tazama hapa pia ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Hongereni wana wa Malaika Gabriel mkiongozwa na Soloist Dada Despina Mdende
Pongezi za pekee kwa Papaa Adam Bukuku&Organist matata kabisa. Hakika mmetisha. Big up 🤝✅💯🙏
Yan we mwanamke mungu akupiganie akupe miaka 10000 despina❤❤❤❤
Mungu awabariki sana, nimeupenda sana wimbo huu
wooow,,Despina mdende...that voice jo,,,hongereni .sana wanakwaya AAAH...', huyu Despina ,,,yaani nimempenda pia mimi ghafla hio tu.'' ,,,,,,BARAKA HIzO BASI WADAU .#kenya nairobi
Karibu utazame muziki mtakatifu ,pia tafadhali usisahau KUSUBSCRIBE ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Dada Despina wewe umebarikiwa kwa sauti nzuri.Amen
Sauti nyororo zilizopangwa zikapangika. Shukrani sana kwa utunzi na uimbaji aina yake. Galaxy Pro mko juu tu saaana👌 👍
Hongereni sana,mmeimba vizuri mno,huwa sichoki kuwasikiliza.Mungu azidi kutukuzwa,Bukuku zidi kuing'alisha lgogwe yetu.
Despina ni mwanakwaya pekee upande wangu ambaye nampenda sana anasauti ambayo inakushawishi kusikiliza wimbo mungu akubaliki sana
Hongereni kwa uimbaji uliotukuka, 🔥🔥🔥
Hongereni Sana mmefanya vizuri
Team Nairobi Kenya twasema hongera kwa kazi nzuri 🎶♥️ soloist your voice is 💯🔥
Hongera sana shemela Adam Mungu azidi kukuza kipaji chako 🤝
Despina 🎼💜
Hii ni balaaa, mmeimba vizur, mmevaa vizuri, mmecheza vizur, wimbo Mzuri, yaan kila kitu kizur mpaka mnakera yani
Amina Mtumishi mwema
Nice song
Nimewapenda sana jinsi mnavyoimba
Hongereni saana kwa kazi nzuri, Wimbo huu kila ninapousikiliza nafsi yangu inaburudika
Amen
Jaman dada despina mungu akubarikisana sikumoja nitakualika kwenye kwaya yangu uje utufundishe nass no
Congratulations. Lawrence you are such a blessing to God's people. Ubarikiwe sana as you continue with the talent.
Who is listening this 2023 my all time song huwa unanibariki sana
Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu, Mungu azidi kuwatumia kwa viwango daima
Hongera sana waimbaji ! Despina Hongera na asante kwa sauti Nauru inayomuhimidi Bwana.
Safi sana ndg zangu nimefurah sana
dada una sauti nzur Mungu akubariki
Chombo imekaa vemaaaa hongera kwenu ila aloimbilizia sauti ya pili mmemnyima picha hajaonekana sanaaaaaa
Nyimbo nzr ikiwa na ujumbe mzr
Yaani sichokagi kuusikiliza na haya mapito ya misukosuko ila kwa yeye aliyejuu ya yote NASONGA MBELE
Mmabarikiwe sana kazi nzuri muifanyayo 🙏🙏🙏
Jamani kuimba raha sana
Mungu awatie nguvu sana
sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu,hongereni sana 👏👏👏
Aisee mwalimu Bukuku ubarikiwe ktk kazi ako nakubali mzigo huu sio poa hongera ndugu
Hongera sana Wimbo unanipa ujasiri katika kumtumikia Mungu
Wimbo ni mtaaamu, halafu huyu Dada anaongoza wimbo, yaani nimempenda ghafla tu...
Kazi nzuri wadau, wacha tusonge mbele pole pole
Karibu utazame muziki mtakatifu ,pia tafadhali usisahau KUSUBSCRIBE ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Sijui Nikomment wapi...? Ila Sifa na Utukufu u Nae Bwana Hongereni Sana.
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
Destination❤️🎻
Hongeren sana.hongern sana THE GALAX PRO.kazi zeni ni👍👍👍👍
Safi safi
Hongeren sana wimbo mtamu mmeutendea haki lkn sasa pongezi nyingi kwa dada yangu despina saut yake inanikosha mno, nampenda bure
Hongereni Sana, everything is produced with high quality, ...kazi yangu ni kumsifu Bwana🙏🙏
"Kazi yangu ni Kumsifu tu". Super sana Watumishi kazi nzuri, mandhari mazuuri.
Safi saana nimebarikiwa
Nice song hongereni Sana kwaya Mt. Gabriel (Segerea) hakika nabarikiwa sana na wimbo huu.
Saw mdogo ang despina
Kazi nzuri bro
Bukuku bukuku bukuku nimekuita mara 3 hongera sana
Nabarikiwa Sana wimbo huu Mungu atuinue tuzid kumtukuza katika kumwinbia nyimbo za sifa na utukufu
Kazi safi
Wimbo mnzuri sanaaa
Mubarikiwe sana kwa wimbo nzuri.
Wimbo mzur sana jaman hongereni
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Hongereni sana wanakwaya wa Malaika Gabriel (Segerea) kwa wimbo mzuri sana. Hongera mtunzi pamoja na Galaxy Pro kwa production makini. Mungu awabariki sana.
Barikiweni kwa kazi zuri🙏
Hongereni xana
Kazi nzur Sanaa❤️❤️
Mbarikiweeee.
Karibu utazame muziki mtakatifu ,pia tafadhali usisahau KUSUBSCRIBE ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Nawapenda mpaka naumwaaa
Great! Mumeimba vizuri sana. Mungu awalinde
Sauti tamu kama za malaika,,🙏🙏
Wimbo ni mzuri Sana
Mme imme imba vizuri sanaa
Hakika sauti yenu ni sauti ya Mungu mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Kazi nzuri,hongereni sana waimbaji na studio in general
Nasonga mbele pole pole kwa Imani nzuri sana wapendwa tubarikiwe sote
Ooooh is a good workvam blessed with this song lmight god bless all,,
Wimbo mtamu sana. Asanteni kwa uinjilishaji mzuri
Mzuri sana
Safi sound engineer (tuner)
Kazi nzuri sana ❤Mungu awabariki 😊
Nyimbo nzuri sana,,imenibariki,,mungu awabariki wanakwaya.
Nimebarikiwa mbarikiwe
Despina yuko vizuri
Munguawarik
Despina,God bless your voice..you are my idol
Well done great choir
Hii kwaya ipo vzr sn mbarikiwe sn
Kazi yangu ni kumsifu tuu
Wimbo mzuri sana mbarikiwe
Awesome👌.
Good work, wow!!!
mbarikiwe sana
Very nice👍👍👍👍
Hongereni sana mmetisha sana
Good melodies.
Owhi
Mmetisha
Well done, absolutely amazing ; nafsi zimeinuliwa kweli, kazi safi
Karibu utazame muziki mtakatifu ,pia tafadhali usisahau KUSUBSCRIBE ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Shukran sana Alois, wimbo Neema niliupata 4 months ago pindi ilipo kua uploaded ..Mimi ni fun mkubwa toka Kenya
Mmbarikiwe
Nawapenda
Nice
So nice
Very well Nice song soft and quality to Evangelism
Hongereni Sana wanakwaya wenzangu
Actually Galaxy pro good job sound engineer peter ,Godiah and others
That alto on verse one is 🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani mmeimba vnzr
Very poweful my sister y can also support nancy achieng on youtube
This is so lovely..jamani..God bless you people 🥰😍😍😍😍
🤝
🎉Amina
Adoro os vossos cânticos
Peter namcheki kwenye ngoma
Blessings to you all
🙏
❤
❤🎉🎉🎉🎉🎉
Goodjob the Galaxy Pro! Hongera kwa waimbaji!
Kwa Muziki mtakatifu na mtamu zaidi kutoka #theGalaxyPro tazama hapa pia ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Hakika tazama ananilinda tazama ananipenda Mungu mkono wake unanibariki
🤝🤝
Hakika wakatoliki huwa haturudi nyuma kwa uimbaji mko vizuri nihame kanisa katoliki niende wapi sasa. Hakika nitaendelea kujivunia kuwa mkatoliki.