Wimborne wenyewe ni mtamu sana tena wa kuliwaza na wenyewe wabariki.Hongereni waimbaji wa Malaika Mikaeli ambaye katika kanisa letu la Katoliki Mikaeli ni mmoja wa malaika watatu wakuu yaani : - Mikaeli,Gabrieli na Rafaeli.
Nawashukuru sana sina cha kusema kwenye huu wimbo kila siku kwangu inekuwa kama sala Mungu awabariki nyote mlioshiriki kufanikisha uinjilishaji huu dada Despina nakupa maua yko❤❤❤
Binafsi nilianza kuitambua kwaya hii ktk wimbo wa nasonga mbele,mtunzi akiwa ni Adam Bukuku nikiona wanakwaya wakitumia vzr karama walizopewa na muumba wao,upande wa wanaume walikua vzr Sana na upande wa kina mama ndio ilikua hatari zaidi wakiongozwa na Dada Despina, Lakini kubwa zaidi mmekuja na wimbo mwingine mzuri Sana wenye maneno ya kutia moyo. Mungu awabariki waimbaji wote wa kwaya hii Pamoja na mtunzi wa nyimbo Adam Bukuku.
mungu awabariki Sanaa hatuaa yote mungu awe mwanga wa yote katikaa Kaz ya kuinjilishaa 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️ proudly to be Christianity Catholic TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mziki mtamu na unaogusa, sauti zi laini, soloist sauti unaiunganisha vizuri sana, Mcheza kinanda hongera uko na talanta, sauti ya kinanda inafanya nisimame nicheze. Mtunzi/Choirmaster Mungu awabariki kwa huduma zenu, wimbo uko na himizo kubwa. Mchungaji, Mungu akubariki kwa kuchunga wana-kwaya na kanisa kwa jumla.
Oh my Mdende..Please let us show her Love..
Wimbo. Ulobeba ujumbe ,waimbaji waliimba vzr sina budi kuwapa maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉 niiangalia mwaka 2024
ongeleni
Hongeren kwauimbaj jaman
Mungu awainue kwenye utume wenu
Asante kwa ujumbe
Dada Mungu awabarikini
Very nice singi
Wimbo ukiwa mzuri auchoshi kz zuri
Aminaaa mungu awabariki,💗💗💗💗💗
Nawapenda Sana waimbaji mungu awalinde muendelee kumtukuza mungu kwa haki
Wimborne wenyewe ni mtamu sana tena wa kuliwaza na wenyewe wabariki.Hongereni waimbaji wa Malaika Mikaeli ambaye katika kanisa letu la Katoliki Mikaeli ni mmoja wa malaika watatu wakuu yaani : - Mikaeli,Gabrieli na Rafaeli.
Nawapenda saana mungu azidi kuwatangulia
Hongereni jamani kwa kuimba wimbo huu vizuri hivi daaaaah napataje album yenu
Hongera ni mbunifu sanaa mi nakufatilia sanaa
Kazi nzuri mungu awabariki
Hongera Kwa wimbo yenye mfanikio
Amina sana wimbo ni mzur mno umenibariki sana Mungu awajalie afya njema muzidi kumsifu Mungu
Amina🙏🙏
Nawashukuru sana sina cha kusema kwenye huu wimbo kila siku kwangu inekuwa kama sala Mungu awabariki nyote mlioshiriki kufanikisha uinjilishaji huu dada Despina nakupa maua yko❤❤❤
Asante sana Dadaangu kipenzi endelea kubarikiwa.
Mungu awainue mzidi kumtumikia yeye alie juu
Amina
Hongera sana kwaya yangu Mungu azidi kuwainua ktk huduma hii mzuri ya uinjilishaji Kwa njia za nyimbo
Mziki mtakatifu nawakubali sana ❤️ respect brother @Lucas shirima 🙏
Mbalikiwe wapendwa wa Mungu mioyo inaburudika na kufarijika na nyimbo hii
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
Adam Bukuku natambua sana utunzi wako .......🙏🙏🙏🙏💙Wanibariki .....Kenya Twasikiliza
Mmeomba vizuri hadi raha.sauti ya zote zimetulia
Asante Mungu kwa safari ndefu yenye mafanikio
Safari ya mafanikio...hongereni sana wana Malaika Gabriel kwa kazi nzuri
Naisubiri kwa ham mnooooo hiyo safari nami niungane nanyi tusafiri pamoja
Safari imekaribia ni tarehe 06/10/2024
Hongereni sana,,,
Kazi nzr mnoo,,,
Mungu awabariki sana kwa utume huu wa uimbaji hakka mnainjirisha vyema mnoo
Asante sana 👏👏
Hongereni sana
Kazi nzuri mwl wangu
Axnt xn mungu kwa xfr ya maixha
Wimbo unanibariki sana jaman mpaka raha
Hongereni sana aisee
Hongeren sana Malaika Gabriel Kwa kazi nzuri.
Naburudika sana moyoni mwangu, nyimbo nzuri sinazoinua Imani yetu kwa Muumba wetu .
Mungu awabariki Sana Sana kazi nzuri
Amina
Nyimbo nzuri
💕 naupenda sana unagusa roho
Hongereni Sana kazi nzuri
Mungu awabariki sana
Waiting
Nyimbo hii ni nzuri sana Congrats
Wimbo mzuri sana waimbaji wabarikiwe
Amina😊
Chama langu safi sana aiseeee....Mzee shirima.umeua 🤣
Amina
Waooh good
Thanks
Hongereni
Malaika Gabriel hongereni sana kwa utume wimbo ni mzuri sana
Glory to you God
Mbarikiwe sana 😅
Hakika mungu ni mwema
Wimbo mtamu sana Mungu awanbariki waimbaji wote kwa kazi nzuri ya kumuimbia bwana
Wimbo mzuri sana unanibariki hongera sana wana malaika Gabriel
1¹11
Ni Mungu tu...Keep it up Malaika Gabriel
Nice song congratulations.
Jaman kwa utam kama huu kuna kufa kweliiii we dada wa sauti ya kwanza sasa ni nomaaaaa laaaaaah hatar unakipaj mnooo
Safi sana
Mziki umepangika tena nakukamatana ongereni sana naungana nanyi safari yapamoja
Amina Karibu Tusafiri pamoja.
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya Uinjilishaji
Amina Mkuu
Amina Mkuu
Big up wanamalaika Gabriel
Asante sana
Mungu awabariki Sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Mungu awabariki kwa uinjilishajji. Kazi nzr wana wa Malaika Gabriel tusafiri pamoja kirohop
Amina
🎉🎉
Hongerene sana.
Safi sana....Mzidi kupaa kimziki....Mungu awazidishie vipaji vyenu....Mmetisha sana.....Gabriel...Mmetisha narudia tena.....mziki wenu umetulia sana.....unatafakarisha...hongereni sana Gabrieli.....wenye wivu...wajifunze...mwaah...nimewapenda sana
Amina..Asante sana
Wimbo mtamu Tena una funzo zuri sana kwa wakristo wote
Mungu awa bariki naku zidishiya ngufu yaku endesha kazi munazo zifanya !
Kweli kabisa ukiimba na kusifu kwa ajili yake Mungu utapata furaha ya kweli ndani ya moyo wako
Kabisa
Kwa kweli mko vizuri. Congrats
Amina
Mungu awabariki kwa kaz nzur, mtunzi pia big up bila kumsahau despina na waimbaji wote 👏👏🙌🙌
Mwenyezi Mungu aushushe Mkono wake Daima
@@lucasshirima2880 kkkko
@@lucasshirima2880 bbbjnm
Gabriel eeeeeeh..... Tunainjilika na mziki mzuri...
Mbarikiwe sana.
Amina
Congradulations Malaika Gabriel..good job....from vincent De paul..seminary Morogoro.asante sana
Asante Joseph karibu sana Malaika Gabriel.
Amina Mtumishi wa Mungu
Amina..Kazi nzur Kwa ujumla mbarikiwe sana.
Napenda kila kitu kwenye huu wimbo...Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Amaizing songs
Na Mimi pia .na wangojea tusafiri pamoja na tuambatane na Bwana akitushika mikononi mwake
Aminaaa karibu sana
Wimbo Bomba sana huu
Asante
Wimbo mzuri sana kwaya mbalikiwe Sana kazi imefanyika kiuhakika hongera kwaya mkiongozwa na mwl.Bukuku
Despina big up kwako pia itumie taranta Yako kwa utukufu wa Mungu
Binafsi nilianza kuitambua kwaya hii ktk wimbo wa nasonga mbele,mtunzi akiwa ni Adam Bukuku nikiona wanakwaya wakitumia vzr karama walizopewa na muumba wao,upande wa wanaume walikua vzr Sana na upande wa kina mama ndio ilikua hatari zaidi wakiongozwa na Dada Despina,
Lakini kubwa zaidi mmekuja na wimbo mwingine
mzuri Sana wenye maneno ya kutia moyo.
Mungu awabariki waimbaji wote wa kwaya hii
Pamoja na mtunzi wa nyimbo Adam Bukuku.
Unanifariji Sana na kunitia nguvu katika maisha na changamoto ninazo kutana nazo! Asante Sana mungu Ni mwema awabariki!!!
Mziki mzuri mtakatifu
mungu awabariki Sanaa hatuaa yote mungu awe mwanga wa yote katikaa Kaz ya kuinjilishaa 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️ proudly to be Christianity Catholic TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nzuri sana..Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki
Jamani jamani Mungu awabariki sana viongozi kwa umoja huu ameeeen Ameeen kabisa twahitaji mkono wa Mungu
Safari ya mafanikio imeanza Malaika mkuu Gabriel atushike mkono
Amin
Beautiful piece here❤❤❤❤❤❤
Godbless Malaika Gabriel
Kama nikiangalia tu, pasipo kusema neno nitakuwa mchoyo wa fadhila....Hongeren sana kwa Wimbo Mzuri.🙏❤️
Very nice presentation
Anaweza sana sanaaaa.
Kazi nzuri sana hii
Safi sanaaaaana. Hongereni sana wanakwaya.
Ukuu wamungu
hongera sanaaa
Mko sawa
Mziki mtamu na unaogusa, sauti zi laini, soloist sauti unaiunganisha vizuri sana, Mcheza kinanda hongera uko na talanta, sauti ya kinanda inafanya nisimame nicheze. Mtunzi/Choirmaster Mungu awabariki kwa huduma zenu, wimbo uko na himizo kubwa. Mchungaji, Mungu akubariki kwa kuchunga wana-kwaya na kanisa kwa jumla.
Amina
❤🙏
Hongereni sana kwaya yangu pendwa,Parokia Ya Roho Mtakatifu Segerea🏰⛪️ 👏👏👏❤️❤️❤️
Asante Mama.
Despinah's voice is out of this world. Thumbs up for the great piece
Amen🙏🙏🙏
what about the dance styles of her...angelic
Naomba maelekezo ya kanisa mlilopo
Tupo Dar es Salaam Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea mawasiliano 0625 469539
🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰
So uplifting voices
Amina
Amina mbalikiww
Nice song, keep it up
Asante sana
P