Kuimba vizuri ni kusali mara mbili! 🙏🙏🙏Lakini kusikiliza na kuutazama wimbo uliotungwa na kufanyiwa production na Shimanyi na kuchezewa kinanda na Tumaini Swai na kuimbwa na kwaya Mt.Bonifas Askofu na Shahidi huku ni kusali mara tano😅😅😅! Asanteni wote mliohusika kuandaa kazi hii mbarikiwe sana!🙏🙏🙏 Bila kumsahau huyu Mdete TM! Mtengenezaji na mwongozaji movie kali za mziki mtakatifu inabidi pale mbinguni upewe kitengo cha filamu😂😂😂
Hakika huyu Roho Tunaishi Naye. Wimbo mtamu sana uliojaa maelezo yote ya Roho Mtakatifu. Shukrani Sana Wanakwaya Kwa furaha mnayoinyesha mnapoitendea haki siku hii kuu ya Pentecoste. Director Mdete kama Kawa umenoga sana Katika uhalisia wa Video unazozi shoot. Naye Mtunzi kakangu Shimanyi Kila anapotoa mawazo na kuyaweka Katika Wimbo yanakuwa ya ki Bingu Kabisa. Keep it up mkuu na uendelee vivyo hivyo. Tunakuenzi vilivyo upande huu. Ndugu yangu Swai naye naona amefanya Ile kitu. Bro vidole ukiziekelea pale kwenye Organ, nyuso zinajaa Furaha. Congrats Bwana Tumaini. You have done it well🙏🙏🙏
Hakika tunaishi naye, hongereni sana kwaya, kazi mliyofanya ni nzuri, Kuna muda nyimbo Kama hizi zinapotoka, unakuwa unajiweka kisirisiri kuwa sehemu ya hiyo kwaya unakuwa unakaona kale karaha wanakokapata, hongereni sana, But tunapoona wimbo mkali umetoka Kuna watu huwa tunawasahau Sana, aisee MDETE TM Mungu anakuona Kaka, unafanya kazi kubwa mno, Sielewi siku ya kufanya production ya huu wimbo kuanzia kwenye kutengeneza kinanda msingi kwamba ilikuwaje, maana kwenye kinanda yupo swai, ambae anasuburi kuambiwa "anza" na Shimanyi, najua wimbo uliisha haraka Sana, maana najua ilikuwa Raha tu, aisee hongereni sana mabrother, nawakubali kinyama, yaani Ni balaa, Mc KIBONGE kasema mbinguni kila mtu ana nafasi yake🤣🤣, salute Sana aisee, tuelewane kidogo, Cgen pro ni dude fulani hivi lililojaza watu wenye akili za juu Sana 🙏🙏💪.
Bila Kusahau CGen Pro👏👏👏👏 Nilisema The sky is Never the Limit. Tuzidi kupaa. You will be soon the most prefered Producers within and without kwa Kazi njema mnayoifanya.
YAHHH ,,,,, KAZI NZURI,,,, SHIMANYIII ALWAYS PERFECT,,,,,KAKA MDETE NAKUBALI KAKA ,,, KEEP IT UP MORE ,,, ANY WAY ROHO MTAKATIFU AWAONGOZEE WOTE WANAKWAYA WA MT ,BONIFACE NA WOTE WALIOSHIRIKI KUHAKIKISHA KAZI INAPENDEZA HIVIIII ,,,,,, ASANTEEEEENI SANA WANAKWAYA NAJISIKIA AMANI SANA KUSIKILIZA WIMBO HUUUU
En tout ca je suis trop fière d'être chrétiens catholique plus que tout les chrétiens autres noms que Jésus-Christ puisse sanctifier sa sainte église et tous ceux qui sont à son service amen.
Acheni kitu inaitwa kuimba🙏🙏🙏 Asanteee sanaaaa Mungu Kwa kipawa hiki cha uimbaji....Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Arusha Mungu ibariki Kwa ya Mt. Binoface
@@kmb_sombetini Nitakuja kwa kweli kuwasalimu niwaone Maana nawaona jinsi mnaimba kwa furahaa ,mnaserebuka jamani. Kinanda sasaaa ,umekibonyeza haswa. Msalimie sana kaka yangu Deo na wanakwaya wooote. Waambie ,i love you all,you make me happy.
Kuna Ukuu wa Free organ 🙌🙌🙌 Mkuu Swai ni Mkuu Sanaaa🔥🔥🔥 #CGen production aisee mmeamua kufanya mapinduzi kuanzia kwa Muziki audio Hadi video Mkuu Mdete🔥🔥🙌🔥🔥🙌🔥🔥
He cannot be seen by our physical eyes But his works can be seen He is the holy spirit One God with the father and the son He knows every sound He moves like wind He is everywhere It is the word that has been outpoured in us We live with him
I can't get enough of this song. Mungu aibariki hizi sauti tam tam. The Holy Spirit was truly present katika utunzi wa huu wimbo. Much love from Kenya. ❤
Kweli na Roho Mtakatifu amewapa ubunifu wa hali ya juu tangu kushukiwa siku ya pentekoste, uponyaji na karama zote. Mungu awainue juu zaidi mwendelee kumwimbia katika roho na kweli.
Wow..... Hakika tunaishi naye!🔥🔥🔥🔥 Kwa maombezi ya Mama Bikira Maria ambaye daima hakuwaacha kina Petro peke yako kule kwenye chumba cha juu hadi ahadi ya Mungu ilipotimia, tujaliwe kumpa nafasi ya kwanza kwenye maisha yetu!!! Nimewapenda bure tim nzima, be blessed!!!!!!🤲🙏🙏🙏🙏🙏❤️🥰
Ni roho mtakatifu, roho mwenye umungu mmoja, na baba pia na mwana huyo ajua Kila sauti....... AMINA kweli kuimba ni kusali mara mbili hongereni watumishi wa MUNGU🙏🙏
This song is one of my favorites. Thanks so much Mr Tumaini Swai FM for composing this beautiful song. May the Almighty God continue blessing more and more 🎉🎉🎉🎁 in this work of evangelization. I really love this song though Kiswahili is a challenge. Thanks for utilizing your talent in composing, singing and playing the organ.
I am trying to listen this song everyday, but it is not enouph, l’m still need to listen again!! Oh my goodness!! I have a strong thirst for the melody of this song!
My all time song! Happy saints! We thank God for the deposit of the Holy Spirit in our lives. Mbarikiwe wapendwa. 🥰🥰 The lady with a gap on her teeth is soooo happy indeed!😃
Subscribe pap! Whaaaw! Mnapendeza zaidi kweli. Yesu avuma ndani yenu ! Yaani mko tu poa sana. Mavazi ya heshima, sauti kama malaika. Asanteni sana! Najivunia kuwa mkatoliki🎉
Kuimba vizuri ni kusali mara mbili! 🙏🙏🙏Lakini kusikiliza na kuutazama wimbo uliotungwa na kufanyiwa production na Shimanyi na kuchezewa kinanda na Tumaini Swai na kuimbwa na kwaya Mt.Bonifas Askofu na Shahidi huku ni kusali mara tano😅😅😅! Asanteni wote mliohusika kuandaa kazi hii mbarikiwe sana!🙏🙏🙏
Bila kumsahau huyu Mdete TM! Mtengenezaji na mwongozaji movie kali za mziki mtakatifu inabidi pale mbinguni upewe kitengo cha filamu😂😂😂
Mc Kibonge umetisha sana😂
@@kmb_sombetini 🙏😅
Napokea mkuu🙏🙏🤗🤗
😅😅😅hakikaa
NYIMBO
Kazi safi sana🤗. Kila kitu kinapendeza yaani🥰. Hongereni wanakwaya , mcheza kinanda, sound engineer na pia video director. 👏👏👏👏
Asante sana endelea kubarikiwa
Tumaini Swai never fails Ann....he is the best
Asante sanaa
I second u@Anastacia Muema.
Dadaa nataka kuimba na ww
Hakika huyu Roho Tunaishi Naye. Wimbo mtamu sana uliojaa maelezo yote ya Roho Mtakatifu. Shukrani Sana Wanakwaya Kwa furaha mnayoinyesha mnapoitendea haki siku hii kuu ya Pentecoste. Director Mdete kama Kawa umenoga sana Katika uhalisia wa Video unazozi shoot. Naye Mtunzi kakangu Shimanyi Kila anapotoa mawazo na kuyaweka Katika Wimbo yanakuwa ya ki Bingu Kabisa. Keep it up mkuu na uendelee vivyo hivyo. Tunakuenzi vilivyo upande huu. Ndugu yangu Swai naye naona amefanya Ile kitu. Bro vidole ukiziekelea pale kwenye Organ, nyuso zinajaa Furaha. Congrats Bwana Tumaini. You have done it well🙏🙏🙏
From Kenya 🇰🇪 am so blessed listening 👂 over and over ❤
Hakika tunaishi naye, hongereni sana kwaya, kazi mliyofanya ni nzuri, Kuna muda nyimbo Kama hizi zinapotoka, unakuwa unajiweka kisirisiri kuwa sehemu ya hiyo kwaya unakuwa unakaona kale karaha wanakokapata, hongereni sana,
But tunapoona wimbo mkali umetoka Kuna watu huwa tunawasahau Sana, aisee MDETE TM Mungu anakuona Kaka, unafanya kazi kubwa mno,
Sielewi siku ya kufanya production ya huu wimbo kuanzia kwenye kutengeneza kinanda msingi kwamba ilikuwaje, maana kwenye kinanda yupo swai, ambae anasuburi kuambiwa "anza" na Shimanyi, najua wimbo uliisha haraka Sana, maana najua ilikuwa Raha tu, aisee hongereni sana mabrother, nawakubali kinyama, yaani Ni balaa, Mc KIBONGE kasema mbinguni kila mtu ana nafasi yake🤣🤣, salute Sana aisee, tuelewane kidogo, Cgen pro ni dude fulani hivi lililojaza watu wenye akili za juu Sana 🙏🙏💪.
Asante sana kaka Nestory
Bila Kusahau CGen Pro👏👏👏👏 Nilisema The sky is Never the Limit. Tuzidi kupaa. You will be soon the most prefered Producers within and without kwa Kazi njema mnayoifanya.
Kumbe hicho kitu umekiona mkuu.. Ni wabunifu sana
YAHHH ,,,,, KAZI NZURI,,,, SHIMANYIII ALWAYS PERFECT,,,,,KAKA MDETE NAKUBALI KAKA ,,, KEEP IT UP MORE ,,, ANY WAY ROHO MTAKATIFU AWAONGOZEE WOTE WANAKWAYA WA MT ,BONIFACE NA WOTE WALIOSHIRIKI KUHAKIKISHA KAZI INAPENDEZA HIVIIII ,,,,,, ASANTEEEEENI SANA WANAKWAYA NAJISIKIA AMANI SANA KUSIKILIZA WIMBO HUUUU
Amen
En tout ca je suis trop fière d'être chrétiens catholique plus que tout les chrétiens autres noms que Jésus-Christ puisse sanctifier sa sainte église et tous ceux qui sont à son service amen.
I like this song 🎵 ❤❤❤❤
SHIMANYI UNASTAHILI HESHIMA YA PEKEE KWA KUUPATIA MZIKI WA KANISA KATOLIKI NA JUMBE ZENYE MASHIKO
Kweli kabisa
Thank you for such Melodies...💜💜
Napenda kuimba, napenda kujifunza pia
Acheni kitu inaitwa kuimba🙏🙏🙏 Asanteee sanaaaa Mungu Kwa kipawa hiki cha uimbaji....Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Arusha Mungu ibariki Kwa ya Mt. Binoface
Amen
Hakika
Mungu unaenda kumimina neema kwa familia yangu mwaka huu wa 2024.🎉🎉🎉 Tutakutukuza na kukusifu milele Amina❤❤❤
Indeed it's a creative generation.... hongereni sana brothers# Shimanyi & Tumaini...mnaniispire hope someday nitafika level hizo.... hongereni waimbaji🎉
Asante sana Fabian
Hongern san maan mmejitaid pongez kwen hik saf san inapendez
kazi nzuri
Asante ubarikiwe
Being blessed!!
Hongereni sana jamani kwaya nzuri sana ,mmeimba vizuri sana.
Mpiga kinanda ,umetendea vidole vyako hako.
Hongera kaka yangu Deo Mlay umetuwakilisha vizuri mnooo.
Asante sana dada Glory na karibu uje utusalimu
@@kmb_sombetini
Nitakuja kwa kweli kuwasalimu niwaone
Maana nawaona jinsi mnaimba kwa furahaa ,mnaserebuka jamani.
Kinanda sasaaa ,umekibonyeza haswa.
Msalimie sana kaka yangu Deo na wanakwaya wooote.
Waambie ,i love you all,you make me happy.
Hongera,,, wimbo mtamu sana
Asante sana
Hongeren sana......wimbo nzuri .na mmeutendea haki . Mungu Awalinde,awatunze na azidi kukuza karama ya uimbaji kwenu..
Nyimbo zenye baraka kuu.....
Naomba mpatikane kwenye Spotify pia.... Itakua rahisi kupata playlist zenu humo...... Baraka kibao❤
Hakika tunaishi naye Roho Mtakatifu 🙏Hongera sana kwenu kwaya ya my Boniface kazi ni nzuri sana na inabariki mnoooo 👏
Amen
Kuna Ukuu wa Free organ 🙌🙌🙌 Mkuu Swai ni Mkuu Sanaaa🔥🔥🔥 #CGen production aisee mmeamua kufanya mapinduzi kuanzia kwa Muziki audio Hadi video Mkuu Mdete🔥🔥🙌🔥🔥🙌🔥🔥
I don't understand the language but it's flowing in my spirit
He cannot be seen by our physical eyes
But his works can be seen
He is the holy spirit
One God with the father and the son
He knows every sound
He moves like wind
He is everywhere
It is the word that has been outpoured in us
We live with him
God I ask of you to do good work amongst my mothers children with your invisible hands for your great glory ❤🙏
Not boring meaningful with massage very touching groly be to Almighty GOD , from Zambia
Imenibariki sana wapendwa
Nice sana kazi nzuri msichoke kupambana na yeye mungu mwema kila wakat ❤
Nilihama Anglican kwa ajili ya nyimbo za kikatolikii..nabarikiwa sana.kazi njema watanzania kwa jumla❤❤❤
Ila shimanyi mungu akutunze ❤ vitu vyako me naogopa🙌
Mungu awabariki nyote nyimbo nzuri sanaa🎉🎉
Hongeren sana wimbo mzili san una ujumbe mzili
mungu awape nini jamani upendo wake kuwapa sautiy kumsifu inatosha
I can't get enough of this song. Mungu aibariki hizi sauti tam tam. The Holy Spirit was truly present katika utunzi wa huu wimbo. Much love from Kenya. ❤
Woooow am blessed I see you my lovely bro Emil YESU AKUTUNZE na kukutumia vyema kipenzi hongeren 🙏
Asante sana dada Rizina
Wakristu kulen chuma icho kimenyooka yan had raha kaka shimanyi hujawah kukosea🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Wimbo mzuri sana
Mbarikiwe Sana jaman
Hakika mbinguni tutaimba kwa Raha
Napenda this free style 🥰❤️ Tena muziki 🥰 be Blessed
Endelea kuburudika na kumtafakari Roho Mtakatifu
Daima nabarikiwa na nyimbo zako na pia napendezwa nazo hakika unajua 👌 unajua👏 unajua tenah,🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Hongereni waimbaji mkono wake MUNGU awabariki milele, mcheza kinanda MUNGU akujaze hekima daima
Wow... Wimbo mzuri sana eti. Utume wa uimbaji ni utume bora kweli. Hongereni sana ndugu zanguni wapendwa.
Asante sana
Wasikilizaji tunaenjoy saaana na ujumbe mzuri huu. Hongereni sana
Atukuzwe Mungu Baba Mungu Mwana na Roho Mtakatifu.... Tunaishi naye Amina 🙏🙏🙏
Amen
Kweli na Roho Mtakatifu amewapa ubunifu wa hali ya juu tangu kushukiwa siku ya pentekoste, uponyaji na karama zote. Mungu awainue juu zaidi mwendelee kumwimbia katika roho na kweli.
Wow..... Hakika tunaishi naye!🔥🔥🔥🔥 Kwa maombezi ya Mama Bikira Maria ambaye daima hakuwaacha kina Petro peke yako kule kwenye chumba cha juu hadi ahadi ya Mungu ilipotimia, tujaliwe kumpa nafasi ya kwanza kwenye maisha yetu!!! Nimewapenda bure tim nzima, be blessed!!!!!!🤲🙏🙏🙏🙏🙏❤️🥰
Nice and lovely song and great message indeed
Kiukwel Mungu atukuzwe milele
Amen
Wimbo mtamu sana. Ogera
Wawoooo🎉🎉
Ni roho mtakatifu, roho mwenye umungu mmoja, na baba pia na mwana huyo ajua Kila sauti....... AMINA kweli kuimba ni kusali mara mbili hongereni watumishi wa MUNGU🙏🙏
najivunia kuwa na roho mtakatifu akiniongoza...siku zote
Wimbo mtamu.Kutoka Kenya...hongera
Barikiwa xnaa
This song is one of my favorites. Thanks so much Mr Tumaini Swai FM for composing this beautiful song. May the Almighty God continue blessing more and more 🎉🎉🎉🎁 in this work of evangelization. I really love this song though Kiswahili is a challenge. Thanks for utilizing your talent in composing, singing and playing the organ.
My current fav song ❤
May God bless you ,na Mungu anibariki pia kwa muziki 🤩🙏
Hakika mungu ni mwenye nguvu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera .Hii nyimbo naipenda.Huisikiza karibu kila siku❤ Nyimbu nzuri sana na ujumbe mzuri
Cheza na vibe la Roho Mt. Wewe aiiii❤❤❤❤ Tunaishi nae hakika
My favourite ❤
Karibu
Mungu awabariki sana ndugu zangu katika Kristo 🥰🥰🥰
Amen
Wonderful song be blessed .
Mbarikiwe San kwa wimbo mzuri 🙏🙏
waoooooooo ni RAHA iliyoje kuwa mkatorikii nina Enjoy mara Elfu Elfu yooootee
Mungu awabaliki wote waimbaji wa kwaya hii
Always Tanzanians on top of the game in gospel music ,hongereni sana.
Wimbo mzr sana 🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ahsante
am here after seeing a comment in TikTok that there is no holy spirit in catholic then the person was replied with this song. 🙏🙏🙏🙏 am humbled.
some pple are funny or ignorant some thinks that only speaking in tongues is the only thing that the holy sprit does
I am trying to listen this song everyday, but it is not enouph, l’m still need to listen again!! Oh my goodness!! I have a strong thirst for the melody of this song!
Hongera kwa kazi nzuri
Asanteee sanaaaa mpendwa
Mwenyezi Mungu awabariki. Kazi nzuri sana❤
Hongera❤❤
So kwa hilo vibe la wanakwaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimebarikiwa saana na wimbo huuu.Hakika tunaishi naye.Pongezi nyingi kwa kwaya ya Mt Bonifasi.
Asanteee sanaaaa mpendwa tuendelee kubarikiwa
Wimbo mtamu sana, na mmeuimba vizuri ❤❤❤ penda nyie sana. Kazi nzuri.
Support kutoka Kenya hapa
My all time song! Happy saints! We thank God for the deposit of the Holy Spirit in our lives. Mbarikiwe wapendwa. 🥰🥰
The lady with a gap on her teeth is soooo happy indeed!😃
Kwa utukufu wa Mungu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you all. Beautiful singing, beautiful people. Much Love from Kenya....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless you , inapendeza ajabu
Kaz nzuri hongeren kwa uimbaji mzuri, kinanda kimetulia kongole kwako T.Swai
Mungu ni mwema ❤, Kazi nzuri sana for Catholic World 🌎
Wimbo mzuri sana waimbaji mmeutendea haki hongereni sana 👏👏👏
Ahsante sana
Hongereb kwa wimbo mzuri mtunzi wa wimbo shimanyi 🙌
Wimbo mzuri👏👏👏👏
Short and sweet..., good job🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Have repeated this for 5hrs continually....the song is full of holy spirit...l fell more encouraged ❤
P0keeni salamu za Yesu kutoka mtakatifu Patrick's Thika Kenya. Tunawapenda,tunaiga kwenu. Albert Wangamati
Ongereni jamn nimewapenda mno
Proud to be a catholic
❤❤❤
Lovely 😊
Amen
Wimbo huu wanitia moyo❤❤❤❤❤
C msahau mtunzi wa nyimbo safi sauti ya kuvutia MUNGU akulinde milele
Tumainiiiiiiiii hatari sana, tafakari nzuri huchoki kusikiliza hongereni sana 🙏
Subscribe pap! Whaaaw! Mnapendeza zaidi kweli. Yesu avuma ndani yenu ! Yaani mko tu poa sana. Mavazi ya heshima, sauti kama malaika. Asanteni sana! Najivunia kuwa mkatoliki🎉
Nice song heart touching, God continue blessing and uplifting you ❤❤❤
Amen 🙏
Kazi nzuri umepikwa ukaiva na kupakuluwa sawa sawa. Hongereeni nyotr mlio husika katika kuandaa kanada hii
Amina
Kazi safi kabisa! Kazi iliyoenda shule na kuitimu...Mungu mwenye Enzi awajalie baraka tele maishani mwenu.❣️👌
Kuimba raha jamani asikuambie mtu
Wimbo mzuri sana Mungu awatunze ckuzote
What a nice song ❤❤❤🎉am really blessed with this song❤❤
Amen
Acheni kabisa mziki ni noma sana ndo maana mungu aliwapenda wanadamu. Ametupa vipawa na kutufanya punde kidogo kuliko malaika
Asante ee Roho Mtakatifu kwa maongozi yako na msaada wetu kila tunapouhitaji. Ee msaidizi wetu nakuomba usitupungukie hata mara moja.
Best one, from dressing to singing