MATUKIO YALIOTOKEA USIKU WA THE EMPRESS EXRAVAGANZA MLIMANI CITY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 25

  • @gloriakoku2766
    @gloriakoku2766 23 дня назад +1

    We need more fashion events like this.. Waalikwa wote wamependeza sana.. Hongera sana Designer Shuu .. Hongera kwa washindi pia wa best look na best entrace..Nimeenjoy kuangalia..

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 22 дня назад +3

    HAMISA NI NEXT LEVEL❤❤❤❤❤

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 22 дня назад +3

    Mbona nguo makorokoro mengi like......

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 22 дня назад +1

    ooh my God, Hamisa amependeza sana

  • @salhawaziri1668
    @salhawaziri1668 20 дней назад +1

    Entrance ya hovyoo floor chafuuuu background 2/10 ,, watu wamependeza though

  • @RuthHelenesango
    @RuthHelenesango 23 дня назад +1

    Aunt very nice❤

  • @Tuu2019
    @Tuu2019 23 дня назад +8

    Muandaaji matambo na mdomo mwingi huku hakuwa na uwezo wakuandaa seemu nzuri ya red carpet na sehemu safi ya kupiga picha wageni.(floor chafu).kawafuja watu wamevaa Mashaalah na wamependeza kweli.....number 1. Halima kopwe...miss Tz kumbe alikuwepo kapendezaaa 2.Jojo gauni la mauwaa . 3 Kitasa
    Hivi muandaaji ndiyo ulikuwa unataka shughuli iwe mapema ya saa kumi na moja kwa carpet hilooo hata alivutii🤓

    • @josephinealex3166
      @josephinealex3166 23 дня назад +1

      Red carpet aisee ingenoga zaidi

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 22 дня назад

      😂😂uyo jojo atashikilia icho cha nyuma mpaka sangap jmn, hata ajapendeza

    • @halidhemed7524
      @halidhemed7524 20 дней назад

      Next time fanya ww tuone uwzo wko utakapoishia

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 22 дня назад +1

    Watu wanaongeza sifuri tuu jojo kasema nguo m7 shuu alie design anasema no m5

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 22 дня назад +2

    😂😂😂😂et ulichagua hvi...yan mtangazaj bwana

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u 23 дня назад +5

    Ngoz nyeuc tuna mambo 😂😂😂😂😂

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 22 дня назад

    Shuu you're a star 🌟

  • @gloriapiotr4284
    @gloriapiotr4284 21 день назад

    By then???

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 22 дня назад

    Kwel fation lkn mtafika mbinguni mmechoka kwa hiÿ mizigo mlio vaa😂😂😂

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 22 дня назад +1

    Kazi munayo kwakweli 😂

  • @DarKopo
    @DarKopo 22 дня назад +1

    😂😂Design mill 5 mvaaji mill 7 huu ni uongo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 23 дня назад

    huyu Aunt Ezekiel ni mrembo kwel kweli

  • @ms_teeonly
    @ms_teeonly 23 дня назад

    Nani ameandaa hivi event?

    • @steveabel5819
      @steveabel5819 22 дня назад

      Anko t

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 22 дня назад

      ​@@steveabel5819sorry ndo nani huyu anko t,maana sijamfahamu

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 22 дня назад +1

    Always too much of everything is harmful 😮😮

  • @salomecaroly5534
    @salomecaroly5534 22 дня назад

    Kitasa kama kitasa