Juma Kwa Mimi nimeelewa kuwa dada yupo tayari kuishi na wewe lakini wewe ndio hutaki kuishi nae rudia mke huyu dada ni mrembo umefeli wapi juma huyu ni chombo chako bhanaaa KHAAA
Huyu alikuwa mke alali tena wa ndoa, Juma na huyu dada wana mtoto tena amekuwa mkubwa miaka 10 sasa au zaidi wanalea pamoja na wana kutana kila mara na hawaongeleani vibaya labda hata kiporo wana peana
Mashaallah anamuongelea vizuri san mzazi mwenzake
Juma msapoti mzazi mwezio anakuongelea mazuri sana
Mashaallah anafanana na Ivon Chaka Chaka 🥰 na mbiliabeli at once. Siri ya kuachana na juma ni kwamba Juma anapenda wanaume wenzake
Juma Kwa Mimi nimeelewa kuwa dada yupo tayari kuishi na wewe lakini wewe ndio hutaki kuishi nae rudia mke huyu dada ni mrembo umefeli wapi juma huyu ni chombo chako bhanaaa KHAAA
Juma analiwa nyuma sasa
Kwani alivyoondoka na fenicha zote za ndani alitegemea Juma atakuwa fukara au demu ndy aliondoka😂😂
Jamani Mika 14 umepata mtt na shule umeishamaliza hongera
Mke ❤❤❤❤❤Mashallah Mbonge LA Dem Kama Hamisa mzuri kweli❤❤❤🇰🇪💯
Mtangazaji anaijua kazi yake! Big up!
Jmn huyu mama ikram anaonekana bado anampenda juma
Waongea vizur Maa Shaa Allah hautamki alianza ushoga kbsa , Good sister
Mashallah huyooo demuuu mzuriii JUMAAA alifeliii wapii
Toka lini papai likatunza ndoa😅😅😅😅😅😅 jamaa kaona bora kuwa complete homo than bisexual
Demu ndy alimuacha Juma akabeba kila kitu cha ndani ndy maana Juma akashikwa hasira hamtaki😂😂😂
Miaka 9 mtoto mmoja, juma alikua mvivu sana KMMK
Nice interview
Napenda mziki
Ntakuja nikirud tz
Huyu dada ni bonge la mtu na nusu, anajielewa mno
Huyu dem ni mrembo Sana!!! Juma regelea huyu dem
Ongera mtangazaji , unajua kuhoji maswali
Atamka vizuri jina Lokole (ki-Congo); Lo ko lé👍
Juma love you👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
Mzuri mwenyewe mke wa juma
❤❤😂alzaa mdogo
Afu juma handsome mwenyewe na kimwanya chake.
Unajua kuuliza maswali
Duh kumbe JL alikua anapiga?
Ana saut nzuri
Nimempenda huyu dada furiiiii
Mtangazaji yuko vzuri
Mahojiano yametuliaaaa mpaka raha
MashaAllah
Kumbe huyu ni sevice geli
Juma lokole anaitwa dada juma
Huyu alikuwa mke alali tena wa ndoa, Juma na huyu dada wana mtoto tena amekuwa mkubwa miaka 10 sasa au zaidi wanalea pamoja na wana kutana kila mara na hawaongeleani vibaya labda hata kiporo wana peana
❤❤❤❤❤❤❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💋💋💋💋
Sauti kama ya zuchu
Kumbe juma baba bora😂😂😂
Daah nimecheka kinoma😂
Ni mrembo..... na Juma upande wa malezi ameweza
Ila so far sijajua kwanini kahojiwa, nikajua in the end ana jambo lake la kupush
Anaimba apo amesema na ni mnenguaji iyo bendi amesema kumpush ni kwenda kuangalia iy band ukiwez mtunze rebby
Sasa choko atakaa vp na mwanamke
Humjui juma fyata lidomo lako!!
@@BarbaraPatience-qt9cckwenda huko na wewe..... kwani hiyo ni siri
Ulimuona wacha kujipatia dhambi