Baba yetu wa MBINGUNI, Asante kwa utumishi wa Mch. Mmbaga. Nakuomba kila atakaye msikiliza umpatie ufahamu na uelewa kama apendavyo Roho Mtakatifu. Asante sana kwa ajili ya Yesu aliye rehema yetu. Amen
Mungu azidi kukubariki Pr, uwe na afya njema uendelee kutufundisha neno la uzima kiukweli nilikuwa sijui namna nzur ya kuomba hasa pale majibu yanapochelewa leo nimeelewa
Mungu akubariki. Omba ombi hili Bwana Yesu, Ninakushukuru kwa upendo wako na kwa dhabihu yako msalabani kwa ajili ya dhambi zangu. Ninakuja mbele yako sasa, nikikiri kwamba mimi ni mwenye dhambi na ninahitaji msamaha wako. Naomba unisafishe na unisamehe makosa yote niliyofanya. Ninakualika wewe, Yesu, uingie moyoni mwangu na kuwa Mwokozi na Bwana wa maisha yangu. Ninatubu dhambi zangu na kugeuka kutoka kwenye njia zangu za zamani. Nataka kukufuata na kuishi kwa mapenzi yako. Nipe Roho wako Mtakatifu ili aniongoze na anitie nguvu kuishi maisha mapya kwa ajili yako. Nakushukuru kwa kunipokea kama mtoto wako na kwa kunipa uzima wa milele. Kwa jina la Yesu, naomba. Amina. Hili ni ombi la dhati la kumkaribisha Yesu kama Mwokozi na Bwana wa maisha, kuomba msamaha wa dhambi, na kuahidi kumfuata.
Amina mtumishi wa Mungu amekuongoza vema naomba kuongeza hapo kidogo, kwamba imani huna kwa kusikia neno la Kristo, neno la Kristo unalipaswa kulisikia ni Injili ya wokovu wako ambayo inapatikana katika 1cor 15:1-4 ambapo inakuonyesha jinsi Yesu Kristo alivyo kufa kwa ajili ya dhambi zako na alazikwa na akafufuka siku ya tatu kama yanenavyo maandiko 🙏
God bless you pastor. I'm blessed
Baba yetu wa MBINGUNI, Asante kwa utumishi wa Mch. Mmbaga. Nakuomba kila atakaye msikiliza umpatie ufahamu na uelewa kama apendavyo Roho Mtakatifu. Asante sana kwa ajili ya Yesu aliye rehema yetu. Amen
Amen
Alléluia mungu wa wakati na nyakati🙏
Amina, barikiwa sana
Mungu azidi kukubariki Pr, uwe na afya njema uendelee kutufundisha neno la uzima kiukweli nilikuwa sijui namna nzur ya kuomba hasa pale majibu yanapochelewa leo nimeelewa
Mtumishi wa Mungu neema ya Mungu wetu ikutoshe Amina
Ooh, ooh pastor you opened my spiritual ears to understand the meaning of heartfelt thank you and thank you again be blessed and stay blessed
Ubarikiwe pastor kw somo zuri
Amina pastor Mbaga MUNGU azidi kukutumia zaidi na kukupa nguvu.
Maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu sasa hii imekaaje pastor
Imeandikwa wapi
Amen
Amen . Ubarikiwe Pastor Mmbaga
🎉
Asante sana Mungu asifiwe
Asante muchungaji mahubiri yako inanijega sana
Amen thanks pastor mmbaga
Bwana yesu asifiwe sana
Amen barikiwa sana mchungaji
Amen, be blessed
Pasta kila hubili unapo fundisha nijulishe nijue zaid neno labwa amina
Amen Amen baba
🙏
Amen Amen
Amen 🙏
Pastor Mungu akubariki, Samahani hivi naweza nikawaza kitu kibaya na kikatokea? Au ni mpaka kutamka kwa sauti tu? Naomba kusaidiwa 🙏
Bwana nkumbushe tena kila ninaposahau nizidi kuzitumaini ahadi zako za kweli.
Hivi kwanin hakuna msabato anaenena kwa lugha ama nabii namuomba yyte atakaeisoma meseji yangu anijibu
Pray For me,I need Jesus in my life
Mungu akubariki. Omba ombi hili
Bwana Yesu,
Ninakushukuru kwa upendo wako na kwa dhabihu yako msalabani kwa ajili ya dhambi zangu. Ninakuja mbele yako sasa, nikikiri kwamba mimi ni mwenye dhambi na ninahitaji msamaha wako. Naomba unisafishe na unisamehe makosa yote niliyofanya.
Ninakualika wewe, Yesu, uingie moyoni mwangu na kuwa Mwokozi na Bwana wa maisha yangu. Ninatubu dhambi zangu na kugeuka kutoka kwenye njia zangu za zamani. Nataka kukufuata na kuishi kwa mapenzi yako.
Nipe Roho wako Mtakatifu ili aniongoze na anitie nguvu kuishi maisha mapya kwa ajili yako. Nakushukuru kwa kunipokea kama mtoto wako na kwa kunipa uzima wa milele.
Kwa jina la Yesu, naomba. Amina.
Hili ni ombi la dhati la kumkaribisha Yesu kama Mwokozi na Bwana wa maisha, kuomba msamaha wa dhambi, na kuahidi kumfuata.
Amina mtumishi wa Mungu amekuongoza vema naomba kuongeza hapo kidogo, kwamba imani huna kwa kusikia neno la Kristo, neno la Kristo unalipaswa kulisikia ni Injili ya wokovu wako ambayo inapatikana katika 1cor 15:1-4 ambapo inakuonyesha jinsi Yesu Kristo alivyo kufa kwa ajili ya dhambi zako na alazikwa na akafufuka siku ya tatu kama yanenavyo maandiko 🙏
@@MahubiriPrMmbaganaomba uniombee YESU anifungue maisha yangu yamefungwa hakuna kinachofanikiwa
Mtumishi nahitaji uelewa mzuri kuhusu ulimwengu wa kiroho nani na Madeline,niyaelekeze kwa nani? from Kenya Nvsh.
Mchungaji mbona unabii umeacha saivi,!
Niko pomaja nanyi
Pr naomba Holi fungus la kumiia midomo yetu tafadhali
Amen
🎉