5: IMANI KAMA MRATIBU WA NGUVU ZA SAUTI KIROHO KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 36

  • @finyashoogospel
    @finyashoogospel 2 месяца назад +3

    Baba Mungu akubariki ujumbe wa neno la Mungu kuhusu kiti Cha enzi Cha Mbinguni uliniponya sana.

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 2 месяца назад

    Mungu karibu kwenye mifumo oo yangu yote ww ndo uwe top. From now sauti yako ndoiwe ya kwanza NA ya mwishoo nisaindie Amen Amen

  • @Joyce-i4l
    @Joyce-i4l Месяц назад

    Namshukuru mungu anayewatunza watumishi wake

  • @ngandemazora
    @ngandemazora 2 месяца назад

    Mungu nipe amani ya Moyo

  • @AntonethaSunguya
    @AntonethaSunguya 2 месяца назад

    Naangalia kutoka Hispania Barcelona.Nimebarikiwa sana na hili neno na ninapokea na nimefungiliwa Kwa jina la Yesu.

  • @HassaniMwimbilege
    @HassaniMwimbilege 2 месяца назад

    Mungu akulinde

  • @AjetiVahaye
    @AjetiVahaye 2 месяца назад

    mubarikiwe mweeee❤❤❤
    lkn praise napend sanaa back voicee mko vizurii mnooo ngezen nguvu na mkipangilia vocal kwisha habari mambo ni motoooo

  • @usergtr8
    @usergtr8 2 месяца назад +4

    Naamini Yesu Kristo ameniponya na nitakuwa na Amani, Mungu wa Ibrahimu naomba nisaidie

  • @gracy05ful
    @gracy05ful 2 месяца назад

    AMEN! No giving up!! Kama YESU aishivyo, hakuna kukata tamaa!

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 2 месяца назад

    Haleluya. Mungu awabariki sana. Tupo pamoja. USA

  • @yufadhili8025
    @yufadhili8025 2 месяца назад +2

    Mungu nirejeshe kwenye nafasi yangu uliyoniahidi ktk hii Dunia

  • @HappynessRichard
    @HappynessRichard 2 месяца назад

    Amen ahsnt Yesu nimejiunganisha na hizi BARAKA hizi❤❤

  • @nasrasewando7152
    @nasrasewando7152 2 месяца назад

    Nimesogea kiimani tna, Utukufu wte kwa Yesu 🙏🏾

  • @KalebuMusambuse
    @KalebuMusambuse 2 месяца назад +4

    Baba mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @shaluanelson7363
    @shaluanelson7363 2 месяца назад

    AMINA Mungu anatupenda

  • @angelinanoah1779
    @angelinanoah1779 2 месяца назад

    Amina nimeponywa

  • @christinakiula3743
    @christinakiula3743 2 месяца назад

    Amen mama

  • @eddamsalilwa4876
    @eddamsalilwa4876 2 месяца назад

    Mungu akubariki Mwl

  • @jumaerickann
    @jumaerickann 2 месяца назад

    Watching from Kenya

  • @especherathuman2693
    @especherathuman2693 2 месяца назад

    Nimebalikiwq saana🙏🙏😢😢

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 месяца назад +1

    Ameen

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 2 месяца назад +1

    AMEN

  • @willeyafumwisye570
    @willeyafumwisye570 2 месяца назад

    Amen

  • @asianamlay8248
    @asianamlay8248 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @VeronicaPascal-w7d
    @VeronicaPascal-w7d 2 месяца назад +1

    Mutumishi niombee

  • @VeronicaPascal-w7d
    @VeronicaPascal-w7d 2 месяца назад

    Mutumishi niombee baba yangu amenikataa

  • @Prophet_Thomas
    @Prophet_Thomas 2 месяца назад

    Ndagha fijo tata gwangu

  • @mwashitv715
    @mwashitv715 2 месяца назад

    Amen

  • @SillahSillahgeorge
    @SillahSillahgeorge 2 месяца назад

    Amen

  • @Nehemiaally
    @Nehemiaally 2 месяца назад

    Amen

  • @joycembago5934
    @joycembago5934 2 месяца назад

    Amen