AMBOKILEE: GUSA ACHIA TWENDE KWAO INAMPA PRESHA SIMBASC /"SIMBA HAINA WACHEZAJI, YANGA WAMEKAMILIKA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 122

  • @IddLimbanga
    @IddLimbanga 16 дней назад +4

    Up sahih san kak

  • @thomaslyimo9556
    @thomaslyimo9556 15 дней назад +1

    Ambokile hongeraa kwa kuwa mwaziiiii sana ndo mchambuzi pekee bora na siyo mnafiki ktk Nchi yetu salut kwako Kaka 🔥💪🏃🏃🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🎖🎖🎖🎖

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi 16 дней назад +3

    Safii

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 16 дней назад +6

    😮😮😮😮uyu jamaaaa anakitu aiseeee waaandishi muangalieni sana kwa jicho la mweweee

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 15 дней назад

    Ambokile ndo mchambuzi pekee bora na siyo mnafiki ktk Nchi yetu salut kwako Kaka 🔥💪🇹🇿

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 12 дней назад +2

    Huyu jamanaa kwenye kutafuta ugali yuko vizuri aeleweki mala anasifia simba mala yangu yani kama manamke malaya ,chagua moja kama kusuka ama kunyoa ,😂😂😂😂

    • @A.shebyhdjdjd
      @A.shebyhdjdjd 12 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TopherFinancial-k7v
    @TopherFinancial-k7v 16 дней назад +4

    Chuma cha mjerumani yupo sahihi watu watapigwa mpaka watashanga.

  • @MichaelMwandola-jr1bf
    @MichaelMwandola-jr1bf 13 дней назад +1

    Tatizo wachambuzi wa bongo vigeugeu kesho utatoa povu lingine tunakujua vzr,mnawaza kuhongwa tu chambuen mpira achen njaa

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 16 дней назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Emmanueltunzo
    @Emmanueltunzo 16 дней назад +3

    Huyu jamaa mnafiki kauli zake za mwanzo mbovu sasaivi anazungumza Kama sio yeye aliyekuwa anaropoka😂😂😂😂😂

    • @A.shebyhdjdjd
      @A.shebyhdjdjd 12 дней назад

      Ndo wachambuzi wa tanzania😂😂😂😂😂

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 16 дней назад +1

    Point tupuuuuu Mwamba

  • @EmenediSanga
    @EmenediSanga 15 дней назад

    boss unaongea kweli

  • @ZahBoe
    @ZahBoe 16 дней назад +1

    Nisikiliizeeeeeee😂😂😂

  • @AnesiusWilberd
    @AnesiusWilberd 16 дней назад +1

    Umeongea kweli wakirudi kwa mishangazi kwisha habar yao

  • @KaungaDory
    @KaungaDory 16 дней назад +12

    Simba inasaidiwa sana na kipa wao maana kipa nibora kuliko wachezaji

    • @LevinusFransic
      @LevinusFransic 16 дней назад +3

      We fara kweli kwani uyo kipa ni wa team gani eti kipa anawasaidia duh we kweli hamnazo

    • @MariaMsuku
      @MariaMsuku 16 дней назад

      Lkn ni kipa wao

    • @AishaSaeed-i6k
      @AishaSaeed-i6k 16 дней назад

      Fact umemaliza

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 16 дней назад +1

      ​@@LevinusFransicmwenzako hajatukana mtu, ila kwa vile ulikosa malezi Bora ndio maana umejipambanua.

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 16 дней назад +1

    Uyo nilikuwa namuamini lakini mmmmh anabadilika km kinyonga🤭🤭🤭🤭🏃🏃🏃🏃🏃

  • @NduluLucas-j1t
    @NduluLucas-j1t 12 дней назад +1

    Huna lolote kikosi kipana kivipi akiumia aucho mdala wake Nani chama bado unamuongelea hats mechi ya ligi kuu tulionewa unaongea ushabiki

  • @TadeiKapinga-c3q
    @TadeiKapinga-c3q 14 дней назад

    Duuh, tutasonya kkwenye vituo vya dara dara

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 16 дней назад +1

    Kaka unajua sana

  • @NazilisalumukadeweleNazilisalu
    @NazilisalumukadeweleNazilisalu 16 дней назад +1

    We ambokile umepagawa sana ujui mpira ila kwakua upo karibu na maiki

  • @BennBenn-es5fi
    @BennBenn-es5fi 16 дней назад +2

    Huyuu jamaa wakati mwingine hua anasema ukweli sanaa

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 16 дней назад

    Safi sana Haina sifa kabisa 😂😂😂😂😂 na Mimi nasema hivo kabisa

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 16 дней назад

    Kubadilika nikawaida kulingana na timu inavoenenda. So yupo sahihi

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 15 дней назад

    Shida ambokile hutabirikagi😂😂😂

  • @KhamisKisengh
    @KhamisKisengh 16 дней назад +1

    Shida hawakuelewi, watakuelewa Pakistan kucha:

  • @matesoeboko2294
    @matesoeboko2294 16 дней назад +2

    Acha awambie mulisema ligi ya shirikisho ni ligi akina mama leo munaisifia shirikisho je? Ninyi ni akina mama?

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      We ndo mama maan maan kombe hn

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 16 дней назад +4

    Makoro hawawezi kukuelewa mpaka waone tunavyowatia madole😂😂

    • @Emmanueltunzo
      @Emmanueltunzo 16 дней назад

      Wataelewa zikifika ,6

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      ​@@Emmanueltunzohyo sita 19 ulizifunga

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 15 дней назад

      Kuwatia vidole😅😅 ila ww

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 15 дней назад

    Usitupambe sana ambokire wataturoga 😂😂😂

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 14 дней назад

    Mpira umevambiwa na wanyakyusa anambua kwa hisia huyu ni shabiki majizo apa anamlipa mtu AmBAR kazi yake haijui

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 16 дней назад +3

    Tumpe kaz yanga japo yakusafisha viatu vya mzize😂

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 16 дней назад

      We kolo acha kuvunja heshima kosa lake kuizungumza ukweli.

    • @Emmanueltunzo
      @Emmanueltunzo 16 дней назад

      Naunga mkono😊😊

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 16 дней назад

    Ambokileeeee wa kunyumbaaaaa

  • @CharlesNdaki-mb5kt
    @CharlesNdaki-mb5kt 16 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂 wewe kweli ni chuma cha jelomani 😂😂😂 MDA mwingine unaweza ukanuna mpaka ujacheka 2 😂😂😂

  • @AlawiSalum-b4y
    @AlawiSalum-b4y 16 дней назад

    Uhakika kaka

  • @JumaNgolombwe
    @JumaNgolombwe 16 дней назад

    Wewekundi moja nakayokotu

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 16 дней назад +2

    Chuma Cha mujerumani kikiongea usipingane nae

  • @BabaMkuu-q4n
    @BabaMkuu-q4n 16 дней назад

    Kenya hakuna ligi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 дней назад

    NA USHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTU WA NAZARETI

  • @Yassirjuma-i1c
    @Yassirjuma-i1c 16 дней назад

    Hahaha 🤣😂😂mishangaz hpana kwa kwel

  • @AshilafuGuti
    @AshilafuGuti 16 дней назад

    Rabuda wachezaji wayanga wache pombe mawanawake hapo ndowatakaa kirereni biraivo tunawpasua

  • @SHARIFF-N5W
    @SHARIFF-N5W 16 дней назад

    Wewe Ambokile ongea mpira kila mtu amerizama huo mpira zungumzia game wacha porojo .ukweli wa ya game ya mazembe na yanga hapo lupaso .baada ya kuhitimika na maoni yaende kwa shomari kibwana utakuja kutu cost sana dakika ya mwanza ungetoa penalt ukabaji wako unamuongia mtu mwilini kisha ukipanda tunakuona unazurudi kwa kuchelewa huna speed una stragle kurudi pia dakika 90-3.ukabaji wako poor ulionekana live.ok good game kibwana jimarishe kibwana jiangalie sana utatoa maboko mingi

  • @ElishaMahora
    @ElishaMahora 16 дней назад

    Ila huyu jamaa Mungu anakuona kuwa na msimamo kaka

  • @Salumjamhur
    @Salumjamhur 16 дней назад

    hahaha matatizo mjini😂

  • @matesoeboko2294
    @matesoeboko2294 16 дней назад

    Upo sahihi mzee awajahona GSM anamiliki timu nyingi

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 16 дней назад

      Mpaka Mazembe inadhaminiwa na GSM

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 16 дней назад

      Hata makolo nao wanadhaminiwa na GSM😂

    • @Emmanueltunzo
      @Emmanueltunzo 16 дней назад

      😢kwwli mbumbumbu wengi Sana 😂😂😂 ila makolo😂😂😂😂

  • @TamashaWakilongo-nm3pd
    @TamashaWakilongo-nm3pd 16 дней назад +1

    Jiechimu tuwa ufiye kwa sababu wana lipi laku tufanya anzeni kuongeya vingine vitu vya mahana niwa nani adi tuwa ofiye anzeni kujielewa mbele yaku sema sio kusema tu kwa sababu upewe sifa zakuongea bro

  • @vedastorutahakana6840
    @vedastorutahakana6840 16 дней назад

    AMBOKILE ENDELEA KUWA MBABAISHAJI

  • @Feitoto-rk1tv
    @Feitoto-rk1tv 16 дней назад

    Chuma cha Mjerumani

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 16 дней назад

    Kolo tulieni dawa iwaingie

  • @NelsonMatambo-m3i
    @NelsonMatambo-m3i 16 дней назад

    Kweli yanga ndo yenye sfa

  • @RichardAmos-s6x
    @RichardAmos-s6x 16 дней назад +1

    Huyu jamaa mnamuona kama mjinga mm namuerewa point zetu za kuchukua ubingwa ziko kwa simba

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      Kwa uchezaji ule wa 19 nyiy point ni historia

  • @RashidAhmed-c3p
    @RashidAhmed-c3p 16 дней назад

    Asa huu ndio uchambuzi wa mpira au uzungumzaji bongo mmevamia fani za watu

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 16 дней назад +1

    Hamna lolote😂

  • @jaafarjulanda7542
    @jaafarjulanda7542 16 дней назад

    😂😂😂😂😂ushanyumba mzee

  • @AllyRashid-q9m
    @AllyRashid-q9m 16 дней назад

    Wewe😂ambukile ujui chochote

  • @PaskaliEgaley
    @PaskaliEgaley 16 дней назад

    Mashabiki wa simba hawapendi ukweli unaweza chomwa kisu

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      Ukweli upi we ndo mavi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 дней назад

    MWANDISHI NI MCHOCHEZI SANA

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 16 дней назад

    Wachambuzi wanaokwenda na upepo😊😊😊

  • @Swarehshaban
    @Swarehshaban 16 дней назад

    Ndo mashabiki bora nyinyi mlopewa tu mnabidi mchunguzwe maana sio kwa matusi ayo

  • @FiliMsambwa
    @FiliMsambwa 16 дней назад

    Unawaamini malefa!

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 16 дней назад

    CHUMA CHA MJERUMANI SIO ETI SIMBA AWAJUI LAA WANAJUA SANA

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      Ss kuna timu ya kumzuia simba ss

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 16 дней назад

    Makoro hawataki kuambiwa ukweli timu yao ni yakawaida sanaa hata matokeo ni ya kupepea tuh ngoja turudi wataanza gsm😂😂

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      Km ni ya kawaida mbn ulishidwa kumfunga

  • @suwedwakil4392
    @suwedwakil4392 16 дней назад

    Kachambue bangi mpira hautaki uchawa

  • @AnordJoseph-e2e
    @AnordJoseph-e2e 15 дней назад

    Simba bora ni Camara tu basi

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      Km we bora mbn wanashinda

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 16 дней назад

    😂😂😂😂😂Watakuchukia mzeee

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 16 дней назад

    Huyu anatabia zakihaya lipumbavu sana kubwa jinga anamhemko kama mwanamke mjamzito hili ni lishoga

  • @ambrosemwinuka-dc9hn
    @ambrosemwinuka-dc9hn 16 дней назад

    Acha ujinga ndumila kuwili wani kuna. Uto wana matawi kama 7 wanajifungia kama wanavyo taka.

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 16 дней назад

      Ongeza na Simba liwe tawi la 8.

  • @isaacorengo1404
    @isaacorengo1404 16 дней назад +1

    Mbona amuongelei na clubs zetu za hukuu Kenya, 🇰🇪

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 16 дней назад +1

    Na usje ukabadilika tena KIGEUGEU wewe

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 16 дней назад

    HUYU MSENGE HUWA ANACHAMBUA KWA KUBETI ANABAHATISHA

  • @nicholasmkama2877
    @nicholasmkama2877 16 дней назад

    Wewe ni chizi.kwani kipa si mchezaji?Simba bado inajenga timulakini ndo inayoongoza ligi.na kwenye kundi lao shirikisho inaongoza.kikosi kipana!kimepanuka mbele.nyuma,kushoto au kulia?

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 16 дней назад

    Ww tunza mdomo

  • @jackisonngosha5533
    @jackisonngosha5533 16 дней назад +1

    Yanga anachukua kombe

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z 16 дней назад

      Watachukua mpaka ndoo

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 16 дней назад

    Jama anaongea pwent njo yanga kigeu geu wewe 😂

  • @JumaNgolombwe
    @JumaNgolombwe 16 дней назад

    Ambokire wewe chizi ujuwi mpira wewe unatumika nayanga unajipya wewe yanga unakazia sana kwakipi kinakupakibuli punguwewe afuiyotimu inabebwatu yanga iviuwa unarudia marudio mapungufu yakayoko ndiyo yamituferisha ww niyangatu

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 16 дней назад

    Madunduka lazima wakutane na gusa achia twende kwao

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 15 дней назад

      We utajinyea awamu hii

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 16 дней назад

    Kwa uzamini wa GSM wa timu zaidi ya 7 razima yanga awe bingwa hata msimu huu simba wapo kileleni kwa muda tu uko sahihi brother bingwa anajulikana tu hata msimu huu simba azam na timu zingine ambazo hazijazaminiwa na GSM niwasindikizaji tu nakukamilisha ratiba

    • @Emmanueltunzo
      @Emmanueltunzo 16 дней назад

      Na club bingwa GSM kazamini 😂😂😂
      Mnaukenge sana😅😅

  • @matesoeboko2294
    @matesoeboko2294 16 дней назад

    Anasema ukweli wewe ni shabiki sio mtu wa mpira

  • @mdikabakari6210
    @mdikabakari6210 16 дней назад

    Wee ni mnafiki huna uchambuzi wwt

  • @FadhiriKigola
    @FadhiriKigola 16 дней назад

    Mjinga wew kama nan tungekusikiliza nn wanafki wakubwa nyie

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 дней назад +1

    HAPO UMEDANGANYA LABDA WAJIDUNGE. CK YA DABI AMBOKILE USHUKURU BAHATI MBAYA ALIJIFUNGA KWA BAHATI MBAYA. AMBOKILE NI KIGEUGEU MARA SIMBA NI BORA MARA YANGA NI BORA SASA TUAMINI LIPI? ACHA UONGO WAKO.

    • @afrodailytv4335
      @afrodailytv4335 16 дней назад

      Usikalili timu hubadilika huyu jamaa haongei kishabiki

    • @saidrajab3808
      @saidrajab3808 16 дней назад

      Ulifungwa kwa kuunga unga? Nmeamin haujui mpira kbsaa unaweka hisia

    • @WilliamHerman-e4r
      @WilliamHerman-e4r 15 дней назад

      Simba mnakataa ukweli ila wachezaji wenu kiubora na kinafasi hawawezi kuwa sawa na wa Yanga

  • @ambrosemwinuka-dc9hn
    @ambrosemwinuka-dc9hn 16 дней назад

    Njaa mbaya umetumwa manina kueneza propaganda za kisenge.

    • @TwahaJuma-lv2pf
      @TwahaJuma-lv2pf 16 дней назад

      Nn wewe shoga acha matusi fara wewe unamtukana mtu kwanini sasa

  • @brytonsanga5007
    @brytonsanga5007 16 дней назад

    Tayali bahasha iko mezani umeanza kuongea pumba

  • @ElishaMahora
    @ElishaMahora 16 дней назад

    Ila huyu jamaa Mungu anakuona kuwa na msimamo kaka

  • @ambrosemwinuka-dc9hn
    @ambrosemwinuka-dc9hn 16 дней назад

    Acha ujinga ndumila kuwili wani kuna. Uto wana matawi kama 7 wanajifungia kama wanavyo taka.

    • @MichaelVicent-b8f
      @MichaelVicent-b8f 16 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MichaelVicent-b8f
      @MichaelVicent-b8f 16 дней назад

      Gsm anamiliki tim 1 ila anazamini tem kumi hahahaha😅😅

    • @AshaNchira
      @AshaNchira 11 дней назад

      Chizi weeee na mwehu pumbavu sana