FRIJI BOVU AWATABIRIA UBINGWA SIMBA NDANI YA LIGI NA KOMBE LA AFRIKA KIKOSI CHA MWALIMU FADLU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 13

  • @TwahiliHaridi01
    @TwahiliHaridi01 3 часа назад +1

    Simba inafungwa na yanga kimchongo ili kuhalalisha udhamini wa gsm timu 8 baadae mseme hivo mbona na Simba imefungwa hamna ushindani wa kweli

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 5 часов назад +1

    Yanga wamejimaliza wenyewe kutokana na muwekezaji wao

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 9 часов назад

    Ni kweri friji bovu wasema huyo GSM kawaharibia Tz Ligi akijua Yanga anawatengenezea kuchukua ubingwa😂😂😂 Simba ndo team inapata mechi ngum safi sana ndo maana imefuzuuu Yanga kaferiii

  • @CasianLawa
    @CasianLawa 3 часа назад

    Zinawezaje kupambana ikiwa zinatumwa na gsm kwamba kwa yanga regezen na kwa Simba kazen sasa hayo ndo matokeo na ndo maana timu inayopata ushindan wa kweli imetinga robo finali na isiyopata ushindan imeishia makundi

  • @Mudrikjumaharuna
    @Mudrikjumaharuna 49 минут назад

    GSM anahalibu ligi Wacha yawakute

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 8 часов назад

    Me mwenyewe alinishangaza sana mexime mpumbavu kabisa nikamdharau na kuichukia dodoma jiji

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 3 часа назад

    Utopolo wameji tekenya wenyewe acha warudi kwenye Levo zao kule crub bwingwa sio sahz yao ,😂cocher hakuona ugumu wowote GSM kawawekea mtelemko,"Simba baba yao wakubal wakatae nabado .🤣🤣🤣

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 5 часов назад

    Sasa benchika anakuja vipi tena

  • @AbisnaRashidi
    @AbisnaRashidi 8 часов назад

    Ataka ligi iwe ngumu wakati gsm kazamini timu Saba utapata wapi changamoto atulize pumbu zake aongee na gsm aache kununua mechi mbwa kabisa

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 8 часов назад

    Bora kocha wa utopolo kaona madudu ya ligi yetu.unadhamini timu 8 ushindani utatoka wapi.

  • @salimmohamed3394
    @salimmohamed3394 8 часов назад

    Kama Uto hatanunua mechi labda

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 3 часа назад

    Kwani.nyie.mikia.fc.mmefungwa.malangapi.na.yanga.si.mala.nne.mfululizo..nanyie.vp.mnadhaminiwa.na.gsm...ebu.angalieni.tangu.dodoma.jiji.ipande.ligi.kuu.lini.kamfunga.yanga..nyie.vichwa.maji.subirini.hukumu.yenu.tarehe.nane

    • @RebonEmail
      @RebonEmail 3 часа назад

      Kayoko yupo wapi tujuze