MUGABO YANGA: ALIA NA VIONGOZI, USAJILI WA CHAMA NA DUBE 'TUMEPIGWA, HATUWATAKI YANGA.. HAWANA KITU!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 10

  • @shafiimohamedi311
    @shafiimohamedi311 День назад

    Mzee anaongea ukweli

  • @hamisidd8124
    @hamisidd8124 День назад +1

    Kwakweli usajiri ni hovyo unataka klabu bingwa unasajiri dube,duke,unaenda kuchukua wachezaji wa timu za tz duniani kinawachezaji wengi Sana na Bora wenye viwango

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 13 часов назад

    sajili za kukomoana hizo leo mnaanza kuzikataa wakati mlizifurahia sanaTimu lenu lina watoto wengi wapiuzi

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 День назад +1

    Kabsa mzee, pale kwa Dube tulipigwa

  • @dicksonhabel7732
    @dicksonhabel7732 2 дня назад +1

    Hakika usajili umetuangusha

  • @aminasogo5780
    @aminasogo5780 День назад

    Kimetuponza kuchukua wachezaji wa Simba Sasa acha yatukute

  • @aminasogo5780
    @aminasogo5780 День назад

    Usajili wa kukomoana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День назад

    ACHA UJINGA SAJILI ZA CHAMA C MLITEMBEA NCHI NZIMA KUBANDIKA MABANGO? DUBE MLIPOMSAJILI MLIFURAHIA SANA TATIZO LA NYIE HUWA MNASAHAU

  • @aminasogo5780
    @aminasogo5780 День назад

    Usajili wa kukomoana