MZIZE HANA MUDA MREFU ANAENDA KUENDESHA RANGE KUTOKA KUWA BODA BODA - EDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 26

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 4 месяца назад +3

    Afu leo nyie nyie mnasema Finest akapike chapati

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 4 месяца назад +4

    Mzize aende mbele akajaribu

  • @josefonte7640
    @josefonte7640 4 месяца назад +1

    Anaweza kwenda huko na pia asicheze

  • @JohnJeremia-tq9jp
    @JohnJeremia-tq9jp День назад

    Wachambuzi hawajielewi mzize asiwe na haraka ya kwenda nje asubili kwanza

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 месяца назад +4

    Waongo wakubwa mafatani wakubwa nyie wacheni kupotosha umma nyie bhana daaah aisee msikilizeni Kamwe kasema nn. Wacheni kupotosha umma jmny

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 месяца назад +3

    Kwa hiyo yanga sio timu ya maana?? Mbona mkwala ana nguvu na amekuja simba??

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 4 месяца назад

    Acha ujinga huo Edu, kuwa anaenda timu kubwa, kwa nini hizo timu kubwa wasitengeneze wachezaji wazuri?

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 День назад

    Soka la bongo bhna

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 4 месяца назад

    Kaka wa namasakata acha hizo.kama unaamini atakuwa mchezaji Bora kwanini auze kwa Bei ndogo.ataendelezwa Kama Mayele hatauzwa Sasa akarudi Kama akina nickson na chama.kuma kila kitu avic town kufanya Bora zaidi ya Mayele

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 4 месяца назад +1

    kumbe unakuwa akili huna.

  • @DotoRamadhani-k1x
    @DotoRamadhani-k1x 4 месяца назад +2

    Shida ya mashabiki wa simba machoko sn yani mnashupalia vitu ambavyo havimiusu kabisa bora kwa vile yupo yanga

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 4 месяца назад +1

    Wa swahili amjuwi mpira ndomana mpira nibihashala siyo uswahili umbwa nyinyi

  • @NikoAgast
    @NikoAgast 4 месяца назад

    Hili lijamaa lipumbafu sana

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 4 месяца назад +1

    Yanga ni lidude likubwa ndo mana wachezaji wao wanatakiwa na vilabu vikubwa vyenzao hivyo yanga hawana mpango wa kumuuzia adui silaha ya na maanagamizi nyambafu

  • @Mbavunene-7
    @Mbavunene-7 4 месяца назад +1

    Wadau piteni na wangu Tu subscribe ❤

  • @MunaMohammed-j3m
    @MunaMohammed-j3m 4 месяца назад +1

    mbona nyie hua.mnashobokeaga yetu, miachrni aende mnakazi ya king'ang'ania wachezaji waacheno msiwabanie

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l День назад

      Ww mzize mjomba wako kakaako au babaako mzize mchezaji wa yanga anamkataba na yanga na mmiliki wake yanga so kumuuza ni uwamuzi wao hakuna ulazima kama hatuna shida ya pesa

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 4 месяца назад +2

    Mzize ni Europe material dogo yuko vizuri sana, hatari. Yanga mpeni fursa dogo aondoke

    • @FatumaIssa-w1s
      @FatumaIssa-w1s 4 месяца назад +1

      Kibu mbona akupewa fursa

    • @saidmasoud9004
      @saidmasoud9004 4 месяца назад

      ​Kibu alitoroka hakufuata utaratibuu​@@FatumaIssa-w1s

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l День назад

      Kucheza yanga tupu fursa

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 месяца назад

    Ujinga wa wabongo! Range ndo nini over development?