ALLAH akubariki uwe daai mzuri kwa waislamu na kwa hili umeweza kumgaragaza sheikh Kasim Mafuta na kundi lake maana ni mmoja wa watu walokua wanakubeza kua umeishia Thanawi tu sasa watakuheshimu sana wale wote walokua wanakubeza,mie nakupongeza na nakutakia kila la kheri kwenye kazi yako ya dawa inshaaAllah.
Masha Allah nimeona faraja sana kuona mwaislaam tunapenda sana,, Congratulations Sheikh Nurdeen. Sheikh Mwaipopo hongera kuwa na Moyo wa Upendo Allah awazidishie. Amen
Mwl kishk masa'la ya kuweka challenge kati ya quran na biblia ni kuwabainishia tu kua allah hana kitabu kinachoitwa biblia Lakin mkianza kuwasomea mistari yao ya biblia watamtukana mtume s a w ilhali sisi waislam hatujawahi hata mara moja kumtukana nabii issa a s bimaana nakusudia hawa sio wakristo waliotajwa katika quran tofauti yao hawa wako kishari na bw mhammad s a w kisha wale walikua na injiil hawa wana biblia vilevile ahlulkitaab walikua wana tawraat hawa waleo wanakumbukumbu latorati sasa hawa wakristo waleo yaani wapaulo hua wanajipachika ni ahlulkitaab mwl kishk naomba liangalie hili msiwape faida hawa nikuwabainishia tu wao nikinanani kwa sababu ahlulkitaab walikua wakiswali rakaa mbili asubuhi na jioni ahlulkitaab tofauti yao walikua hawamkubali mtume s a w kua ndie aliekusudiwa baada ya nabii issa a s yaani miongoni mwao ambapo wengine hata huyo nabii issa a s hawamkubali wao wanamkubali nabii mussa a s hizi ndio zilikua tofauti zao na zetu ila hawa wakristo waleo walikwisha kukufuru kwa mujibu wa quran allah s w aliposema لقد كفرللذين قلو ان الله هو ثلث ثلثت kwa hivi mwl kishk hawa nikuwabainishia tu wao nikina nani kwanza wajijue maana tabia zao wako kikaraha na miizah ili wawafurahishe wenziwao wakati hawana dini wala nabii wala kitabu wabillahi tawfiik assalaam alkm warahmatullah

Maashaallah tabarakallah
Masha allah allah awahifadhii
Nakila balaa na macho mabayaa
Mashallah Allah azidi kukufungulia sheikh Nurdiin
Mashaaallaaah ❤❤❤❤
Mashaalah sheikh wetu kipenz abuu ibrahim
MASHA ALLAH TABARAKA ALLAH may Allah bless you all
Mashallah ALLAH AAWAHIFADHI
Mashallah ❤️ ❤️ ❤️
Allah awalipe kheri mashekhe zetu inshaalah
Masha'Allah tabarack allah.
Sheikh mwaipopo wallah naomba na sheikh Yusuf diwani awepo tafadhali.
Mwl kishk masa'la ya kuweka challenge kati ya quran na biblia ni kuwabainishia tu kua allah hana kitabu kinachoitwa biblia Lakin mkianza kuwasomea mistari yao ya biblia watamtukana mtume s a w ilhali sisi waislam hatujawahi hata mara moja kumtukana nabii issa a s bimaana nakusudia hawa sio wakristo waliotajwa katika quran tofauti yao hawa wako kishari na bw mhammad s a w kisha wale walikua na injiil hawa wana biblia vilevile ahlulkitaab walikua wana tawraat hawa waleo wanakumbukumbu latorati sasa hawa wakristo waleo yaani wapaulo hua wanajipachika ni ahlulkitaab mwl kishk naomba liangalie hili msiwape faida hawa nikuwabainishia tu wao nikinanani kwa sababu ahlulkitaab walikua wakiswali rakaa mbili asubuhi na jioni ahlulkitaab tofauti yao walikua hawamkubali mtume s a w kua ndie aliekusudiwa baada ya nabii issa a s yaani miongoni mwao ambapo wengine hata huyo nabii issa a s hawamkubali wao wanamkubali nabii mussa a s hizi ndio zilikua tofauti zao na zetu ila hawa wakristo waleo walikwisha kukufuru kwa mujibu wa quran allah s w aliposema لقد كفرللذين قلو ان الله هو ثلث ثلثت kwa hivi mwl kishk hawa nikuwabainishia tu wao nikina nani kwanza wajijue maana tabia zao wako kikaraha na miizah ili wawafurahishe wenziwao wakati hawana dini wala nabii wala kitabu wabillahi tawfiik assalaam alkm warahmatullah
Mimi Naomba tu Wahusika Mumualike Na Sheikh Othman Khamisi Imam Msaidizi Wa Mtoto
Hawa ndio wa kulinganiwa na ndio maana wakilinganiwa wakaufahamu uislamu wanasilimu qur'ani 5-82
Mkono kwa mkono hadi Peponi
Mmemwogopa huyo jamaa?si mumuelimishe sasa,wewe mwenye masters
Sheikh kishki ukimusikiliza Kuna ka utukufu flani kana niingia...ila kuslim 🤐🤐
Huyo ni sharifu halisi siyo wa kuchovya. Ni damu ya Mtume Muhammad (S.A.W).
@rayisadesigns2646 inawezekana kweli 🫡
Allahuma amiina Allah barik
Allah akuongoze maana yeye ni muweza wa Kila jambo karibu ndugu yangu katika Uislam
Karibu ndugu yangu kati ka uislaam kamwe hutojuta duniyani na akhera
Allah akuongoze inshaallah
Mwaipopo na wewe unacho cheti chochote cha kisomo?diploma au degree ya kwanza?