He is real, and amezungumza akiwa timamu full Hekima sana no pretence no tripping, yani ameyaeleza maisha ya binadamu yoyote ni kupanda na kuna kushuka, na ukishuka chunga adabu na kubali kuwa makosa yamefanyika, get back to the drawing board and draw again, you have been there to the best of you before, inshallah you will always get back to your best. Hongera sana Mr. Blue AKA Baiser👊🤝👍👏🤝💪
Nakumbuka ulikua Genius hatari,kuna cku mstarini Mwalimu mkuu alikupaga vitabu flani hivi kama Zawadi,alitamka kwa kusema hivi vitabu vijawahi kumpa mtu yoyote ila nakupa wewe kutokana na ufaulu mzuri.
Me Blue mtu pouwa sana nmewahi kukutana naye Club 101 ya Tabora mwaka 2014 kabla sijaokoka. Mnyawezi sana Mwamba. Wasafi Festival wamuweke Mr Blue moto uwake.

Fact...
Jamaa ni mnyenyekevu sana, tofauti na mwonekano wake. Nammubali sana.
Mtu wa Mungu Mr blue saluti naona utumishi ndan yako baada ya ya kuachana na mziki uwe sehe
Namkubali saana Mr blue
Bizzy always Bizzy!!!! Ni unyama
Nakumbuka ulikua Genius hatari,kuna cku mstarini Mwalimu mkuu alikupaga vitabu flani hivi kama Zawadi,alitamka kwa kusema hivi vitabu vijawahi kumpa mtu yoyote ila nakupa wewe kutokana na ufaulu mzuri.
Nakukubali sana tungia wimbo histor yako
Me Blue mtu pouwa sana nmewahi kukutana naye Club 101 ya Tabora mwaka 2014 kabla sijaokoka. Mnyawezi sana Mwamba. Wasafi Festival wamuweke Mr Blue moto uwake.
Kwan lazma useme kabla hujaokoka
Mashallah ❤❤🔥🔥
Ajengewe sanamu lake
Huyu baisa mwamba sanaaa
Safii sanaaa
💪
Nakubal sana mwamba regend
SIO ZAMANI HATA SASA,,TENA SASAHV FAME NDO INAPAMPISHA WATU KINOMA.
Huyu dem ajui utangazaji anaskumwa tu kiboya na watu flani nyuma byaaach
Byser mkali wa mainterview
Tangazo linaboesha mno
This is not pride ,drop school is not inspiring