The #Gog_Father of #bongo_Flavor The #Greatest_of_all_time #Dully yupo positive all the time hata namna anavyojibu maswali ktk Kila interview 🐐 heshima yako Mzee 🙌👑
Bongo maana yake ni akil so kihistoria DSM ama dar es salaam ni mji ambao unahitaji akil nyingi ili upate riziki ama kuepuka kutapeliwa mali yako so hata bongofleva imeanzishwa DSM nisawa na kusema DSMfleva (tumia bongo) tumia akil....
Hapana Bongo ilikuwa ni AKA ya Dar salaam, ndiyo maana kipindi kile ukienda nje ya mkoa wa DAR wanakuuliza wewe ni m'bongo? Mpaka professor J akaimba bongo Dar es salaam" lakini kwasasa bongo inafahamika kama Tz.
Legend wa Mziki Wetu Tunamkubari sana huku Geita Tunaomba Aje afunge Mwaka Na WanaGeiTa Tunampenda Na tunamheshimu Sana 🙏🙏
Moja kati ya interview nzury niliienjoy kumsikia legend wa bongo flavour
🙏🏽🙏🏽
The #Gog_Father of #bongo_Flavor
The #Greatest_of_all_time #Dully yupo positive all the time hata namna anavyojibu maswali ktk Kila interview 🐐 heshima yako Mzee 🙌👑
Real legend as legend much respect dully Sykes
mimi ni mkongomani na nipo kinshasa na namkubali Sana dully, nakumbuka wimbo wake shikide shikide basi sema shiki shiki shikide
Ukimchukia Dully,Jay,jaydee,jaymo,ay,fa,mr blue,utakuwa na matatizo ya akili,nimezingatia vigezo vingi sana.
Tid je 😂
Kazi nzuri sana
Katika wasani wot duli nakupenda sana
Tunaomba mumtafute na Q.CHIEF aje kutupa Madini ya zama zake❤
He's the best legendary ✊️
Big five bro
East Africa , Q.Chief Tafadhali😢Mumtafute
Safi brother
nice interview
Chamillionaire-ridin dirty
😇🙏🏽
Anaitwa chameleoner huyo jamaah...they see me rolling heaters...mistari mikali xna ....
Dully
✌️👊👍.
Bongo maana yake ni akil so kihistoria DSM ama dar es salaam ni mji ambao unahitaji akil nyingi ili upate riziki ama kuepuka kutapeliwa mali yako so hata bongofleva imeanzishwa DSM nisawa na kusema DSMfleva (tumia bongo) tumia akil....
Legend ✊🏽
Izo Ndo interview sasa sio mną kalia harom na baba yake mondo ulizeni wa zee ao ndo wana jua
Sawa tumechukua ushaur 👌🏽🙏🏽
@@lesasid6494 okok
My father
Anaitwa black eyes peace
Strategy ni nzuri lakini tupu,Ila huyo dada mtangazaji nime muelewa
Asanteee 🙏🏽
Baba wa bongo flavour hata wasipokupa tunzo ukweli upo tuu
Hio ndio interview zingin fujoo
🙏🏽🙏🏽
Bongo inamaana ni Tz!! Bongo ni Kama AKA ya Tanzania katika Burudani
Hapana Bongo ilikuwa ni AKA ya Dar salaam, ndiyo maana kipindi kile ukienda nje ya mkoa wa DAR wanakuuliza wewe ni m'bongo? Mpaka professor J akaimba bongo Dar es salaam" lakini kwasasa bongo inafahamika kama Tz.
Chamillionaire 😂
Hao washirika walikuwa waislam ndio maana hawatambulishwi kwenye hizo sherehe za uhuru
😅UTAFUNGWAAAA😅
@@allahisone6386 hafungwi mtu angefungwa Lisu kwanza