Huyu jamaa namkubali kinoma noma na ipo siku ataimba kwaya na roho mtakatifu atashuka ndani yawatu ,,,maana dah,,, anaimba adi unywele unasisimkaaaaaaaa king kibaa
Marioo kafanya Bora kabisa. Ali kiba we ni Moto wa kuotea mbali HUa mi Shabiki wa Diamond Platnumz ila apo umefanya Po sana. Tangu leo Mi shabiki Yako King Kiba. you did welll on this live band Karaokee
Anapo jiita king tambueni uwa anamanisha aya angalieni apo vizuri na sikilizeni sauti iyo yani bongo akuna kama king ww nakama mnabisha busu pua yako👃👃👃👃👃
Serikali inasubri nn kumjengea sanamu popote pale ama mpka afe ndio waanze alikuwa sijui nini nini bas watupe kibali sisi mashabiki zake tumjengee hata pale Airport ili wageni wakija Bongo wajue tunamsanii mmoja tu Tz waliobak wote ni wanamuziki Daah king kiba for life
No one artist Africa than you brother King kiba who can sing live performance, also your only one King of bongoflavor but continue hard work and make sure that in this year 2023 must be you prepared many projects those come to be hits songs.
UNYAMA SANAAAA MWANDALIENI SHOW ALLY NA RUBY WAIMBE LIVE ITAKUWA UNYAMA SANA
Kiba ee mi nakukubali blaza sana kwa mangoma yako magum nayaelewa mno
Hatari sana kama itatokea utakuwa corabo ya karne
Bravo point hio
Na christian bela
Huyu jamaa musikubari kuimba nae Live" anaua sana huyu bila beat ni killer ❤️
Kabsa anakupoteza
Asante kaka kiba nampenda jaman
That's king
😃😃😃😃😃Jamaa ni mnoma sana
King 👑 kiba
Huyu jamaa namkubali kinoma noma na ipo siku ataimba kwaya na roho mtakatifu atashuka ndani yawatu ,,,maana dah,,, anaimba adi unywele unasisimkaaaaaaaa king kibaa
🤔🤔
Kwenye kwaya sasa😂😂
Hapo kwenye kwaya sasa
As you Prophecy it will come to pass in Jesus name
@@joyousjackson8352sahihi kabisaaa ....Ameeen
Mwenyezi mungu akuongoze daima auna mpinzani uko peke yko 👑💖💖💖
😂😂😂
Unaota
Amuongoze wapi sasa kwenye ushetani dua zengine sizo muombeeni ahidike
Da! Kiukweli ulio wazi Kiba ss ivi yupo kinyamwezi sana hana tofauti na wanamuziki wa mbele
Marioo kafanya Bora kabisa. Ali kiba we ni Moto wa kuotea mbali HUa mi Shabiki wa Diamond Platnumz ila apo umefanya Po sana. Tangu leo Mi shabiki Yako King Kiba. you did welll on this live band Karaokee
Mbona kazidiwa na rayvanny. Kapoa sana
@@Agpthegreatcompany hujui mziki ww
Huna lolote
@@Agpthegreatcompany kazidiwa nini labda
@@Agpthegreatcompany tuoka zako wewe chizi ravyann ni mtt sn kwa kiba hawezi kuimba live kama kiba
Huyu kiba uyu ni noma sanaa yani kitendo cha kwenda kwa rais mstafu bila camera ni heshm sana wangekua wengn sasaaa mmh
Jamani Ali ni king ku compare na alivyo imba Diamond live ninam support kiba for life big up king
Diamond ni malaika anayeishi mawinguni akishiriki kuwaimbia binadamu na majini.Acha kabisa Chibu kiwango kingine
Natural voice kaka mkubwa wewe ni zaidi ya mfalme 👑👑 I appreciate you much #King Kiba
Namkubari sana Brother Kiba kwa kazi zake so Allah akufanyie upessi katika harakati zako🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Allah usimtaje ktk maswala y mziki kaka km ni muislam omba toba maana Allah hataki mambo ya sheitwani
@@rashidsaid1153 kwani makosa ya wapi kaka na ndo harakati zake zakutafuta rizki angekua mwizi pia mngesema binadamu sie kwakusema tu tumebarikiwa
@@mishibeibz8239 hata uwizi pia haukubaliwi we unapata rizk unaimba au mwizi
Ingekua ni wasanii wengine hapo hawapandi bila bodigadi,aruhusiwi mtu kusogea ila kibaa ni King 🤴 wa bongoflava
Uyu mbwa Ali ana kipaji kuliko msanii yeyote bongo ila 🔥🔥🔥🙌🙌😂😂👑👑
Napenda watu wanamkumbatia yuko kawaida bila bodyguard kufukuza watu adi rah ❤show 👌🎉❤❤
@@allthingdranabeauty angekuwa mwafran ma bodyguard kama wote
Sijawahi jutia kuwa fan wako king
King kauua saàna.....I love the tune....utu is a all time hit song.
King Kiba ,king of bongofleva hakuna km ww bongo,best live performance ♥
Kwa kweli nimeshangazwa na "sound quality". This is marvellous! It is like Michael Jackson or Rihanna is performing! Kudos for organisers!
Huyuu jamaa n hatari Sana'a no one like him n yeyeeee pekee
Unajua mpaka unakera
Sound iko poa kweli ,show nyingine msanii humsikii kabisa Kama anaimba live.
King your the best everyday my brother
King your the best everyday my brother
Mwambino akiwez kuimba hv nakunya kuanzia dar mpk kigoma.. hlf yule msengee compyut inamlind na mason hn llte naomb like zenuu timu kibaaaaa🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Aise ALI yuko vizur kwa yote be blessed natamani oneday nifanye wimbo naye wa kumtukuza mungu kbc
Hapa ndipo tofauti ya msanii na mwanamziki inapoonekana king kiba ni mwanamuziki hakika ni tunu kwa taifa ameamua kuishi maisha take pekee
wauni wana namba zaoooo zinaitwaaaa nne tanoooo🔥🔥🔥 mond anamjua kajeeeeh like hapooo kam umekubal
We love you so much💙💙💙💙 king 👑 kiba n mmja to tunamtambua kma kiba❤️❤️❤️❤️ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
King Kiba anajua anajua anajua tena sauti mie hoiiiii aiseee
🔥🔥ani sauti ya kwenye wimbo na live ni ile ile 🙌
Uhakika unyama kama wote inatakia muwe muwe mnashilikiana kimuzik hivo hivo chuki hatutaki øg mario kingi kiba nawakubali sana
Anapo jiita king tambueni uwa anamanisha aya angalieni apo vizuri na sikilizeni sauti iyo yani bongo akuna kama king ww nakama mnabisha busu pua yako👃👃👃👃👃
King 👑km king👑 na kubali Sana kazi Yako 🙌 Ishi miaka 💯 yenye Amani na Upendo 🙏
King wa izo kazi mkome kumuwekea mi live band atawaua
He~is~ablendazone~in~case~0f~musician~
❤❤❤❤respect~king~kiba
Love how we Tanzanians supporting our own. Hongera sana Marioo. ❤❤❤
Serikali inasubri nn kumjengea sanamu popote pale ama mpka afe ndio waanze alikuwa sijui nini nini bas watupe kibali sisi mashabiki zake tumjengee hata pale Airport ili wageni wakija Bongo wajue tunamsanii mmoja tu Tz waliobak wote ni wanamuziki Daah king kiba for life
Napenda sana King Kiba...ni nko Kenya Mombasa
Uyo ndio kiba big up sana king kiba
Am seeing Tanzania keep growing in music much love from zambia
Mimi nasemaga siku zote mtu anaejua kuimba ambie live , , kingi kiba ni msaniii sasa huwez kumfanananisha na diamond
You're king of bongo flavor king kiba big up broo
Only one King jamaaa anajua sana hadi anaboa kwanini lakini jamani King 🤴 hapana usifanye hiyoo King 🤴
I'll forever adore huyu msanii Ali.
King kiba ur amazing bro.mkali wao nakukubali 1oo%
Kiba na daimond popote mlipo mm nipo nawapenda sana Mungu azidi kuwaweka
Namimi nakupenda wewe
King ni1 tu❤❤❤❤❤❤
Kiba my always best singer in east Africa
Hii ndiyo Miziki ya kusikiliza 😍
Naturally sound alikiba the king of music may god bless you Ali salute you 🎉🎉
My best African artist is king kiba❤❤🎉🎉🎉🎉am from Kenya 🇰🇪 ❤
Depuis paris on se fatigue pas d écouter tes chanson le roi de la musique Tanzani
Mutu m,badi sana....you are the best...love from Malawi
10000000 % unajua mmekutana wenyemzikiwenu nimependa sanaaa kibaaa king wakuache
Nafanyeje mm kusikiliza live Alikiba
Boom 💥 💥 💥 he is G.O.A.T of bongofleva......🙌🙌🙌 KING 🤴 KIBA
👑 kiba ni mnyama bongo nzima
Huyu Mhehe anajua sana god bless you
I'm enjoy your song & voice loudly big up my broo kingkiba
Nimeirudia Zaid ya Mara 3 km nawewe pia gonga like hapa
Karibu tena, na roho yako mkononi ku sapoti mdogo wako❤️❤️
East to west your the best your the past future and present king kerp it up🙏🙏🙏🙏wewe ni munimaaa
Kiba number one✌✌
No one artist Africa than you brother King kiba who can sing live performance, also your only one King of bongoflavor but continue hard work and make sure that in this year 2023 must be you prepared many projects those come to be hits songs.
What a lovely sound #the only one king 🤴 ❤ 💖🥰 ☄🔥🔥
Ma chanson préférée depuis Paris 🇨🇵❤️
Only one king in Africa 🙌🙌🙌
King musique vraiment tu sais baucoup chanté tu es toujours numéro 1❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nyie huyu kiba hapana jmn🙌🙌🙌🙌anajua xna jmn
King Kiba na Rubby kwenye live performance ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Alikiba The king of music huyu ni msanii wangu
Ukinikata moyo wangu unamuona yy
p.a system na band ziko another level 💥💥
Marvelous King kiba❤️
nakubak kib. unaweza
Kumbe marioo aliondoka baada ya kuona jamaa anatunzwa mpunga na kushangiliwa kama shoo yake mwamba anajua
Uyo ndo king kiba
Uyu jamaa akiimba live ngoma zake zina kuwa kali sana uwishi miaka mingi
King umeua kinyama bana 🔥
King kiba is the best 👌
Kiba anajua paka anakera💣💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Mi team wcb laki kiba anajua jaman
Huyu kiba anajua kuimba 👑👑👑👑👑👑👑
Kiba 4ever. From 254
Unaweza sana brow, Allah akutie nguvu ufanye vzr zaid na zaid, Amen
Love you my brother Ali kiba..ft Mario ..big up
Daa kiba wewe ni hatari cjawahi kuona
Mungu akujalie uishi mda mrefu
Huyu jamaa ni moto sana kwenye live performance afananishwi na yeyote
The man steals the show
Yani kwanza kapendeza kaimba vizuri sana kweri 👑 wewe kiboko
Mwenye kujifanya anajua kuimba live band aje ashindane na huyu mwamba😂😂😂😂🙌🏾
King kiba hatariiiii🥰🥰❤️❤️
King biking 2 ndiomaana umeimba R kely yusundo faly
Mashallah Ali kiba❤❤❤❤❤🎉
Apo Ali umetisha na huo wimbo umeni nice mbaya
Very few people can do a live music this is what diffarenciet real talent
Huyu sasa ndiyo king mwenyewe 🧏🧏☝️☝️☝️👊👊
Nyoooooo uwezekanik brother
na mkubali huyu mwamba sana.... ww ni msanii bora wa mda wote kwangu
Muacheni king aitwe king❤
wanaongoja #King aende retire watangoja sana. This guy is from another world
Acha uhuni hhhh
Kuna tofauti kati ya kuwaimbisha watu na kuwashirikisha watu nyimbo. Hapo ni kuwaimbisha na pesa wamekulipa...
Shoo ya kiutuliv ikisindkizwa na utu king 👑 is the king yee babaa ad unaifeel nyimbo an
king kiba wewe ni mkali wao, pure talent hakuna kama wewe
❤❤❤❤❤❤🎉 my brother your so serious with your work dear ,God bless you ❤❤❤❤❤🎉
Kingkiba Salute
hii nyimbo ndo nyimbo bora ya bongo fleva ya muda wote
Afu atokee kenge mmoja bongo aseme eti anawez kumshinda king kuimba live atapigwa mawe mpaka afe