Ma sha allah, Dr. Zaitun yupo vizuri na Prof Mo, Janabi. Allah awakuze hawa watoto ya rabby na ashukuriwe sana kwa neema zake na mitihani yake hakuna la kusema ila Alhamdullilah. Mama kaza moyo ulee wanao tupo pamoja na wewe kwa hali na mali watakuwa tu ❤
Tunaishukuru Serikali yetu ya Tanzania,pamoja Serikali ya Saud arabia, kwa kufanikisha kuwatenganisha Hassan na Husein, Mungu aendelee kuwalinda na kueatunza watoto hawa.Mungu aendelee kuwabariki na kuwapa moyo wa huruma na utambuzi wa huduma. Yao Madaktari wetu wa Muhimbili.
Asante MUNGU Nami naunga na Watz wote kuwaombea nafuu njema Hawa Malaika, wakuwe kwa kimo na Maarifa na Mama Yao Mungu ampe nguvu aweze kuwalea Watt wake , Amina, Asante MUNGU. 🙏
Mung u I bar ik Tanzania Munguwabariki madactari wetu wa Muhimbili Mungu awabariki watoto wake Hassan na Hussein Mungu awabariki Madactari wa Soud Arabia.
We thank God for giving our doctors wisdom,we are grateful.To the wonderful women God bless you for taking care of his creation,may his name be praised.Quick recovery little ones we love you.
Wa tz wanaishi kwa kupenda sana, ila kule kanda ziwa sehemu hiyo mama anaishi hakuna wale watu wenye mila potofu? Kama vipi huyo mama ahamishiwe Dar tu kwa usalama zaidi
Mungu awakuze watoto hawa. Mungu awabariki wote walihusika mpaka hapa na wanavyoendelea kukuwa
Mungu ni mkuu jmn 🙏🏾❤️
Ma sha allah, Dr. Zaitun yupo vizuri na Prof Mo, Janabi. Allah awakuze hawa watoto ya rabby na ashukuriwe sana kwa neema zake na mitihani yake hakuna la kusema ila Alhamdullilah. Mama kaza moyo ulee wanao tupo pamoja na wewe kwa hali na mali watakuwa tu ❤
Mungu awaponye na awrinde katika maish yao yoteeee
Tunaishukuru Serikali yetu ya Tanzania,pamoja Serikali ya Saud arabia, kwa kufanikisha kuwatenganisha Hassan na Husein, Mungu aendelee kuwalinda na kueatunza watoto hawa.Mungu aendelee kuwabariki na kuwapa moyo wa huruma na utambuzi wa huduma. Yao Madaktari wetu wa Muhimbili.
Asante MUNGU Nami naunga na Watz wote kuwaombea nafuu njema Hawa Malaika, wakuwe kwa kimo na Maarifa na Mama Yao Mungu ampe nguvu aweze kuwalea Watt wake , Amina, Asante MUNGU. 🙏
Allahumma Ameen yaraabbi 🤲🤲🤲 Allah Azidi kuwalinda
Hongera Sana mungu awabariki na kuwapa hekima,upendo,juhudi na maariga zaidi nasikia kulia.kwa furaha
Alhamdulilah shukran zote anastahiki Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi
ALLAHU AKBAR.
Good job kwenu madaktari. Mwenyezi Mungu awape maisha mazuri na marefu
Mungu ni mwema sana
Mung u I bar ik Tanzania Munguwabariki madactari wetu wa Muhimbili Mungu awabariki watoto wake Hassan na Hussein Mungu awabariki Madactari wa Soud Arabia.
Alhamdulillah, Allah Awape Afia Ameen❤
Mungu akukuzue vyema
Mashallah Allah awafanyie wepes
Mungu mkubwa.hongera team ya madamktari,hongera familia.tunaomba Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema watoto Hassan na Husein
We thank God for giving our doctors wisdom,we are grateful.To the wonderful women God bless you for taking care of his creation,may his name be praised.Quick recovery little ones we love you.
Allahu Akbar
Watoto wazuri yesu awatunze jamani🙏🙏🙏
Pole mama wawil mung nimwema hiyo nifurah yako wapende xana wanakutegemea xana
Allah akbar allah akbar allah akbar alhamdulillah furaha kubwa Allah atukuziye
Acheni Mungu aitwe Mungu hakuna wakushindana nae
Mungu ni mwema sana, asante sana Doctor wote , afadhali huko saudi Arabia, ingekua India ungesikia kitu kingine.
اللهم صل على محمد وال محمد وعجل فرجهم الشريف ،، الحمدلله على كل حال لا حول ولا قوة الا بالله
Mungu nimwema
Mungu awatunze jamani
❤❤🎉❤ MaashaAllah
Kazi nzuri sana dr recho
Mashaallah Allah awape afya
Our God is wise
Manshallah mungu atawakuza
Allah Akbar
Inshaallah atapata nyumba wa tz tuna umoja xana mwenzetu akiwa na shida
Hongera sana mama, watoto, madaktari na hospitali. Mungu mkubwa
Pole mama wawili
MUNGU assante kwa afya ya watoto hawa 🙏🙏
Mashallah
Mashallah Allah Kareem kwa waja wake awakuze njema
😢😢😢😢Mungu awalide hawa watoto
Mungu awabarikioi sannaa
Alhamdulillah Alhamdulillah thumma Alhamdulillah
Alhamdulilahii mashallaaa jaman daaa nmeumia sanaa
Shilole dada yako huyo wa Igunga msaidie na allah atakuongezea zaidi na zaidi
😅kwann we usimsaidie, yan watu wengine sijui uwa mnawaza nini
Hilo nalo neno
MASHALLAH ❤❤❤
Hongera madaktari woteeee
Dah🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwenyezimunguni mkubwa❤
Jamani had huruma
Nimepkumbuka uyu dada mungu mwemaa. Nayeye kapendezaaaa jamanii
Ad machoz yamenitoka
Acha mungu aitwe mungu sas km waligandan sas walizaliwa vip 😢😢😢
Mashalah hongeren
Alhamdulillah yaarbi
Wa tz wanaishi kwa kupenda sana, ila kule kanda ziwa sehemu hiyo mama anaishi hakuna wale watu wenye mila potofu? Kama vipi huyo mama ahamishiwe Dar tu kwa usalama zaidi
ALLAHUMMA LAKAAL HAMD WA SSHUKUR
Wekeni namba ya kuchangia