HUYU MH DC MAGOTI, MUNGU AKULIPE..NAWE, ULICHOWAHI KUPOTEZA KUDHULUMIWA, UWEZO WAKO ULIJALIWA TOKA MBINGUNI, UKIJITAMBUA USISTE KUTETEA WADOGO ZAKO WAZAZI NDUGU NA SERIKALIA YA mama Samia aliyekuteua. Nilidhulumiwa ardhi roho yangu inanimate hadi leo na mungu nilimwachia watesi wangu WAKIONE CHA MOTO KIZAZI HADI KIZAZI AMEEN
Huyu aliyeuziwa nyumba na Mussa kachemka sana , unauziwa nyumba bila documents za serikali . Mtendaji hajui , mwenyekiti hajui . Hizo ni lugha za ujanja ujanja 😅😅😅
Du jamani hongera yake huyu DC.lakini kwa nini serikali isiweke sehemu maalum ya kuwaweka wenye kuuza au kununua wawe na ofisi mbalimbali kila kanda ili muuzaji aende na doc sahihi zikaguliwe kwanza ili kuepusha haya mambo? Kama ilivyo Ulaya.Ulaya huwez kununua na kuuza Mara moja haya Kama una shida.unanunia unataka kujenga na ujenge kweli.Hawa madalali ndio chanjo nacha hayo na wengi ni vikundi la kihuni.Akikwama MTU kwa yangu anisamehe
MAGUFURI ALIWAFUNDISHA VZR VIONGOZI JINSI YA KUFUATILIA LKN SASA NI WACHACHE WANAOFANYA HIVYO WENGI WAO BADO WANAKAA OFISINI TU HAWANA MAANA YEYOTE NA HAO NDIYO CHANZO CHA MATATIZO
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
❤❤❤🎉🎉🎉 yaani dhuluma imezidi Mungu akulinde kiongozi
Maashaallah tabarakallah. Allah atakulipa heri kurudisha haki za wenyewe❤❤Dc
HUYU MH DC MAGOTI, MUNGU AKULIPE..NAWE, ULICHOWAHI KUPOTEZA KUDHULUMIWA, UWEZO WAKO ULIJALIWA TOKA MBINGUNI, UKIJITAMBUA USISTE KUTETEA WADOGO ZAKO WAZAZI NDUGU NA SERIKALIA YA mama Samia aliyekuteua. Nilidhulumiwa ardhi roho yangu inanimate hadi leo na mungu nilimwachia watesi wangu WAKIONE CHA MOTO KIZAZI HADI KIZAZI AMEEN
Magufuli amewaonyesha njia viongozi namna nzuri ya kutatua kero ...pumzika kwa amani JPM❤❤🎉😢
Wakuu wengine jamani igene mifano Kama hizi wanainchi wanateseka sana😢 na hawana mahali pa kujitetea
Hakika DC Magoti unaupiga mwingi,hongera sana
yaaaniii atuskiiiii vizuriiii fundiiii mitambooo vipiii
Hongera sana DC MAGOTI KUTETEA WANANCHI WAKO
DJ mic zako zina boa
Makonda style hoyeeee
Huyu aliyeuziwa nyumba na Mussa kachemka sana , unauziwa nyumba bila documents za serikali . Mtendaji hajui , mwenyekiti hajui . Hizo ni lugha za ujanja ujanja 😅😅😅
Kazi njema mkuu
Mh. Dc atashindwa
Hata kiongozi wa wilaya ya kibt kunamaozea mengi sana tunaomba chukua hiyo peleka kibt
Sasaiviiii anahamishwaaa mdaaaa siiii mwingiii Mimi nikoooo pareeeee
MC mic zako zinazingua sana DC mikutano Yako tunaifuatilia lakini MC anatuondolea utamu
Piga kazi Kama makonda
Ubadikiwe sana mtotowangu jadhulumiwa milioni tatu mpaka mumewe kafariki utapeli homboza
😂😂😂Hadi raha DC ❤
Du jamani hongera yake huyu DC.lakini kwa nini serikali isiweke sehemu maalum ya kuwaweka wenye kuuza au kununua wawe na ofisi mbalimbali kila kanda ili muuzaji aende na doc sahihi zikaguliwe kwanza ili kuepusha haya mambo? Kama ilivyo Ulaya.Ulaya huwez kununua na kuuza Mara moja haya Kama una shida.unanunia unataka kujenga na ujenge kweli.Hawa madalali ndio chanjo nacha hayo na wengi ni vikundi la kihuni.Akikwama MTU kwa yangu anisamehe
Mue mnatega mitambo vizuri co kikao chamueshimiwa kinakua kinakatikakatika alafu mnakilusha ewani
Global microphone zao changamoto miaka yote....shame on globaltv😢
Viongozi wa vitongoji, vijiji na kata ndio wanaoleta shida zote hizi
Kaza buti mzeee
Wote hapo hawajafuata sheria na kanuni za mauzo ya ardhi ya Kijiji. Ndiyo maana kuna mgogoro.
Natamani niendelee kufuatilia jinsi DC Magoti unapotatua migogoro hapo kwa hapo
Nimeipenda huyu ndo kiongozi igeni mfano
Bei sio shida shida ni je kunaukweli ktka hili
nimemuona magidu
Kuna mtu anatoka dar kwenda kujenga kisarawe😅
Shooooooo,shoooooo
Magufuli hajakosea kukupa cheo we ni mjanja
dc anasaut ya ucomedian
Tz migogoro ya arindi Aishi kwakuwa viongozi wameweka rushwa mbere wenye haki awapewi haki zao wanapewa watu wenyepesa
Saut jamaniiii
Alafu jitu limedhulumu linacheka kama mazuri 😢
MAGUFURI ALIWAFUNDISHA VZR VIONGOZI JINSI YA KUFUATILIA LKN SASA NI WACHACHE WANAOFANYA HIVYO WENGI WAO BADO WANAKAA OFISINI TU HAWANA MAANA YEYOTE NA HAO NDIYO CHANZO CHA MATATIZO
Tunaomba muende nakakola mkowa wa shinyanga
Dj 🤣🤣🤣
Kuna mtu anajiita mapete