KONDE BOY HARMONIZE AKIFUNGUKA YA MOYONI PLANET BONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 101

  • @mkutiamani
    @mkutiamani Год назад +11

    Sema mwanangu mnyama umetisha sana huna baya

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 Год назад +7

    Nimekuelewa Sana mtuzi Rajabu

  • @wizzyneyzer
    @wizzyneyzer Год назад +5

    Nimependa sana majibu ya harmo umekuwa blooh✌✌

  • @daudimdio4985
    @daudimdio4985 Год назад +6

    Akili kubwa mzee ✌🙌

  • @FreddyJoe-hv7rp
    @FreddyJoe-hv7rp Год назад +21

    Konde boy for everyone❤❤

  • @FRANCISCOSIMANDO
    @FRANCISCOSIMANDO Год назад +2

    Yaaaap nakubal bro piga kaz Mungu azidi kukusimamia

  • @kadito-music
    @kadito-music Год назад +15

    Ameacha madem anazingatia maokoto ya tuzo ndio maana hata majibu ni ya kubeba tuzo zote msimu ujao❤

    • @diamondplatnumz649
      @diamondplatnumz649 Год назад +3

      Hahaha anakumbuka shuka,kumekuchaa😂😂 kwa tuzo bado sana na simba kabakisha grammy na BET tu yote kashabebaaa

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 Год назад

      ​@@diamondplatnumz649hilo ooooooo wivu tu imba👎👎👎👎😬😬😬😬 ww tuone kama utashinda ht tuzo moja🥶🥶🥶🥶🥶🥶

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 Год назад

      ​@@diamondplatnumz649hakuna competition

  • @MahenzoNzai
    @MahenzoNzai Год назад +2

    Jeshi. Kama jeshi😘😘😘

  • @SideMohd
    @SideMohd Год назад +8

    Jmn hii interview nimeanglia nimeridhika yan haina matangazo matangazo yni yan unainjoy kbsa😊😊

  • @NkusiFred
    @NkusiFred 7 месяцев назад

    Harmonize , diamond, mbosso, alikiba, professor jay G. O. A. T rapper in east africa, matonya ndiyo wasani wangu kabisa hata T. I. D( nyota yako) merci beaucoup sur Vous plait Tous le monde

  • @BakariMtomae
    @BakariMtomae Год назад +5

    Msafi ni mmoja tu #maji yamelowana

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo Год назад +1

    Kongole Harmonize 🎉🎉🎉❤❤❤Umekomaa

  • @FlowGanjaNdinguka
    @FlowGanjaNdinguka 11 месяцев назад

    Mwamba uyhoooo Konde boy Nakukubalhi Sana Harmonize

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 Год назад +1

    Jeshiiiiii nakubali mwanangu hunabayaaa

  • @osamampali7078
    @osamampali7078 Год назад +4

    Konde boi 🔥🔥🔥❤❤

  • @ColestMakolo
    @ColestMakolo Год назад +3

    Jeshii kama jeshii killing it

  • @dastandeogratius
    @dastandeogratius Год назад +1

    Uy anayesm kuw Hamo han mashabik labd uyo yuk sayar y 50,,Hamo n mkubw I proud to see y'r work harmo

    • @NicksonRajab
      @NicksonRajab Год назад

      Aminia Konde majibu ya kiutu uzima

  • @JosephgaidonMtwara
    @JosephgaidonMtwara Год назад

    Sawa kaka me ni mtu wako sana kk❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lilbobi2347
    @lilbobi2347 Год назад +3

    I love the lady’s voice 🥰

  • @abisaabisa3587
    @abisaabisa3587 Год назад +23

    Harmonize now days unawajibu poa sana maana maswali yao hua ni ya kuleta uchokozi ukulungwa neyo

  • @JamilaHassan-xl4sn
    @JamilaHassan-xl4sn Год назад +6

    Hawa watu wana maswali yakisenge sana

  • @RenatusKing-db4bf
    @RenatusKing-db4bf Год назад

    Saf sana my brother 👊👊

  • @AmadeMbezy
    @AmadeMbezy Год назад +2

    Kafanya meng mapya mazuri

  • @sayuka6578
    @sayuka6578 Год назад

    Huyo mtangazaji anahoji maswali muhim sana kifupi ana tallent sana japo na harmo anajibu kiutu uzima zaidi safi sana

  • @majallaloggo7934
    @majallaloggo7934 10 месяцев назад

    Nakubar konde❤

  • @RobertEmuria-t2r
    @RobertEmuria-t2r 11 месяцев назад

    l like the way kondeboy copper ret

  • @prospermuhindo
    @prospermuhindo Год назад +1

    Navakubaki Sana dada ❤❤❤❤

  • @NelsoniMatambo
    @NelsoniMatambo Год назад

    Nakukubali

  • @BwoyCure
    @BwoyCure Год назад +1

    Konde boy 2the worldwide na hawaniwezi

  • @Theesnipershow
    @Theesnipershow Год назад +2

    Afu uyu dogo mbea sanaaa hakomi 😂😂😂😂😂

  • @DuniadjumaKatanangwajr-yh2dl
    @DuniadjumaKatanangwajr-yh2dl 11 месяцев назад

    Sisi watu wa Congo tunakuamini Kaka konde boys

  • @musarashid3482
    @musarashid3482 Год назад

    Tz tunaubinafsi sna kwel, Naigeria wako poa sana kwa kusaidiana.uku kwetu Hasada chuki uchawi tu kufitiniana ..Hamo umesema poa

  • @FRANCISCOSIMANDO
    @FRANCISCOSIMANDO Год назад

    Yaaaaap nakubal sana bro

  • @Theesnipershow
    @Theesnipershow Год назад +10

    Nyie hua ni wachokozi sana mnapenda kuona watu wakikosana ndo raha yenu acheni unafki 😡 Tanzania iende mbelee

  • @FabiooAiden
    @FabiooAiden Год назад +1

    Good kondeboy more

  • @OnesmoMwipopo-co8dr
    @OnesmoMwipopo-co8dr Год назад +3

    Kwel harmonize umekua now

  • @OmarSalamata
    @OmarSalamata Год назад +1

    Yaan anahojiwa maswali ya miaka ming ilopita as iff hamna mapya watangazaj wa bongo bado sana

  • @AmosilistonyLukosi
    @AmosilistonyLukosi Год назад

    Kondeee kiboko unawajibu kwa hakili mnooo

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo Год назад +2

    unakili sana kujibu maswali boy

  • @idrisalikembe1831
    @idrisalikembe1831 Год назад +3

    jamaa inteviw unaweza kujibu kinom

  • @ManuelTadeuLipumunangue
    @ManuelTadeuLipumunangue Год назад

    Jeshi

  • @Dachboy-f3v
    @Dachboy-f3v Год назад

    Pafect

  • @mentor07
    @mentor07 Год назад

    Mjeshiiiii

  • @Kombeks
    @Kombeks Год назад

    Kijana ya Wamakonde

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Год назад

    That was impossible you make possible thanks Jesus for hamo tz

  • @shemaemmanuel7373
    @shemaemmanuel7373 Год назад +1

    jeshi

  • @CountryboyofLuckTz
    @CountryboyofLuckTz Год назад

    okey m'y bronzer Harmoniz konde boy jesh I'm comming ❤🇹🇿❤️♥️🙏🦜🇨🇩

  • @Bobbrownjumbo
    @Bobbrownjumbo Год назад

    Tuzo akichujua Diamond au rayvany ni tuzo kubwa Ila tuzo akichukua harmonize ni tuzo ndogo, kanunua tuzo😏😏😏 fala kweli wabongo 😅

  • @JamaliOmary-o4g
    @JamaliOmary-o4g Год назад +1

    Nice konde

  • @BIGGIEBOOST
    @BIGGIEBOOST Год назад +4

    Mwamba huyo maswali yake always ndio ya hivyo jeshi umetisha umemfanya kapoa kudadeki

    • @noelkabaila3284
      @noelkabaila3284 Год назад +1

      Live amekuwa na busala sana kiukweri nipale alipomwambia amuulize yeye kama yeye ya wengine no comment

    • @BIGGIEBOOST
      @BIGGIEBOOST Год назад

      @@noelkabaila3284 achana na hii interview Yan huyo mwamba Huwa anawaongelea wasanii anavyojua yey angeendelea angekula makofi hapo

    • @gideonmathew5198
      @gideonmathew5198 Год назад

      Umekua homo big up

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 Год назад

    Rich Msafi na maswali yake!!! ingekuwa Baraka angesepa zake, mpemaaaaa. mwana mwenye brown ana maswali makili hadi raha

  • @SabihaSalum-kg7bc
    @SabihaSalum-kg7bc Год назад +2

    Yani watu wengine bwana unawezaje kusema hamo hanamashabiki mh

  • @travellianmasha5025
    @travellianmasha5025 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @JumaPaschal-q3y
    @JumaPaschal-q3y Год назад

    unyama

  • @modoclanca2268
    @modoclanca2268 Год назад +1

    mwambieni huyo dogo aache usenge
    atambue anafanya interview na nani pumbavu zakke
    AACHEE UTOTO NA ASIWE ANAPEWA HIZO NAFASI NI MPUMBAVU

  • @WestonyOsward
    @WestonyOsward Год назад

    Acha umpumbavu kunamda unajibu vzr lakini %90 unatuboa

  • @KmbalphaniMoradj
    @KmbalphaniMoradj Год назад +3

    Like

  • @SheeMwakuyumba
    @SheeMwakuyumba Год назад

    Rich msafii amechange moods kapoooa😂

  • @RamaChii
    @RamaChii Год назад

    Kaka Rajabu harmonaiz wala usijari usijibu tofauty kbsa

  • @lady-ayo26
    @lady-ayo26 Год назад +2

    HAWA WAPUUZI NDO WANACHONGANISHAGA WATU NA CHENI ZAO ZA MBWA

  • @LadaSaid-lj2pc
    @LadaSaid-lj2pc Год назад

    Huyu jamaa ameshakua asee yani Mondi kashamuweza kumkroo

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df Год назад

    Jama yupo vzr kweny IQ,kuna tofauti kua boy na men.na ili uwe mwanaume shujaa ni lazima upitie changamoto nying ndizo zinazo kujenga.

  • @donatusnicolaus6403
    @donatusnicolaus6403 Год назад

    Ety Konde hanywi kbx🤣🤣

  • @Abuu2645
    @Abuu2645 Год назад +2

    Duuu kapuyanga kweli swali gn hilo la kumuulz mtu ..muwe mnaanda maswali kabla ya interview

  • @SaidtAly-r6e
    @SaidtAly-r6e Год назад

    Belisepenga feki namuona

  • @HitonAmbeyi
    @HitonAmbeyi Год назад

    Mambo

  • @ibrahimabdallah4858
    @ibrahimabdallah4858 Год назад

    Hahaha rich msafi kapoa🤣🤣🤣🤣 acha maswali chochezi kenge wew

  • @JovitoDercio
    @JovitoDercio Год назад +1

    ❤ like

  • @AleyMakuku
    @AleyMakuku Год назад +1

    Mkimuhoj msanii mkubwa mnakuwa na adabu San hamchek chek

  • @lady-ayo26
    @lady-ayo26 Год назад

    Alafu kwanin apigane na waliinzi pale kwa mkapa

  • @youngtone4333
    @youngtone4333 Год назад

    Alafu huyo mjinga ambaye ajielewi amevaa kofia ya blue nae analipwa kweli au nimtoto wa boss ana miswali ya kijinga naisi vyeti vyake mfatilie vizuri

  • @SabihaSalum-kg7bc
    @SabihaSalum-kg7bc Год назад

    Mh😀

  • @saimooyahya
    @saimooyahya Год назад

    Kode uko fersh

  • @therealprincess.1458
    @therealprincess.1458 Год назад +1

    The lady should learn to let the guys finish their questions instead of trying to cut them off or finish the questions for them 🤔

  • @SuzanimmyallyaNamagembe
    @SuzanimmyallyaNamagembe 11 месяцев назад

    Yaw yaw

  • @joselynesango4430
    @joselynesango4430 Год назад

    harmonize kasema ukwei kabisa tuko
    America harmonize akija america ju tunapenda kiba hatwendi kabisa kabisa kabisa hasa diamond ndo hasaaaaaaaaaaaaaaaa akija hatwendi kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwamatendo yake mabaya kwanza hataki watu wampite yeye awe yeye 2 siyo powa kuwa mubinasi

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 Год назад +1

    Kwanza kaa ukijua hauna mashabiki .wasanii wenye mashabiki hapa bongo ni wawili tu. Diamond na ally kiba .wasanii wengine mbawashangiliaji

    • @beckermbagala8
      @beckermbagala8 Год назад +1

      UNAONAJE HILI BADO LAKO UKAFANYA PUNYETO UKAPOST...MANA AKILI HAUNA

    • @ShabaniNachembe
      @ShabaniNachembe Год назад

      Ww nayai trnti

    • @Semtoto
      @Semtoto Год назад +3

      Diamond na alikiba ni wasanii wenye mashabiki wengi ila harmonize ndio msanii ANAEPENDWA zaidi.....

    • @RamadhanMatula-vg1wx
      @RamadhanMatula-vg1wx Год назад

      Acha uchoko kma aumkubari m2 kaakimya ku......eee

    • @georgemerere3448
      @georgemerere3448 Год назад

      Uyu jamaaa ni mbuzi au 😅