BABALEVO CHANGAMOTO MPAKA KUFIKIA MAFANIKIO YAKE, KATIKA KUUMALIZA 2024 NA KUUKARIBISHA 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Baba Levo: Mchango wa Kweli kwa Bongo Fleva, Uongozi na Maisha | Heshima kwa Influencer Hodari
    Katika video hii, tunatoa heshima kwa Baba Levo, gwiji wa Bongo Fleva na kiongozi mzalendo. Baba Levo ameendelea kuwa chanzo cha inspiration kwa wengi, akichangia muziki, uongozi, na kusaidia vijana kwa kutoa fursa. Kwa imani thabiti na roho ya shukrani, Baba Levo amekuwa mfano wa kweli wa upendo na kujitolea. Tazama video hii na jifunze kuhusu athari zake katika tasnia na jamii.
    #babalevo #bongo #bongofleva #influencer #uongozi #Shukrani #muziki #kiongozi
    #millardayo #sevenmedia

Комментарии •