INASIKITISHA! MBOSSO AONGEA KWA UCHUNGU KUWA ANATATIZO KUBWA LA MOYO / ANAWEZA ASIZAE TENA
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Развлечения
Pole sana Mbosso Mwenyezi Mungu akunehemeshe,, lots of love from🇰🇪
Pole sana lkn nenda kwa mzee wa upako utapona
Pole sana mwenyezi mungu akufanyie wepesi tunapenda sana nyimbo zako mbosso
Utakuwa sawa kwa uwezo wake mola amini.
AMIIIN
ruclips.net/video/l0YrmnuouYE/видео.html
God bless our Mbosso❤. Nampenda sana mtaalam wa nyimbo za mapanzi.
Pole sana mbosa ila hakuna Jambo MUNGU kwa MUNGU nakushauli nenda kwenye maombi makanisa kiroho utapona kama unaamini. YESU aliyemfufuwa lazalo kaburi ,kwa hakuna magonjwa anasema njoo kwa kwake kuna uzima tena tena anaponya bure
Muamini Allaah .na ujiweke karibu yake sana umuombe akupe mwisho mwema .mudamwingi karibu yake .muda mdogo kwenye music. Nakuombeya kilalakheri.unajuwa Mungu akikupenda anakupa mtihani namtihani nimajaribiyo ivo basi muoneshe kama inaweza mtihani wake siyo music.hiyo nisain kakuonesha kazi kwalo .
Allah akujaalie shifaa ya haraka InshaAllah...Sheikh Othman Michael anaeza kukusaidia kwa tiba fanya fikra umuone InshaAllah.
Pole sana mungu atakusaidia utapona
Pole mbosso mungu atakupigania maana magojwa sio sehem ya maisha yako,, nakuombea nkiwa kenya 🇰🇪
Pole sana Allah Akujaalie Shifaa illa tu nakusihi Afya bora ndio twaomba Mwenyezi lakin ukisema wataka kuweka vitu Sawa sawa kabla ya kwenda matibabu Umekosea hapo kijana,, nenda utibiwe nyingine hizo baadae maana ugonjwa haiwi Bali wakati ikifika imefika,, nakusisitizia tena Nenda matibabu,, sisi Mashabiki wako tuko na tutakusubiri,, Allah akufanyie wepesi my 👦
Healing is your portion
I love your songs so very much🙏may GOD come through
Pole sana mboso mimi sinauwezo wakukusaidia kulingana na kipato changu ila nakuombea mungu awafungue wenye uwezo wakukusaidia wafanye hivyo bado tunakuhitaji Sana kwenye tasnia ya muziki wa hapa Tanzania naomba waziri mwenye mamlaka wa sekta hii umsaidie kwa sababu huyu msanii Yuko begakwabega kwenye matukio yanayohusu serikali nawaomba muweke mkono wenu juu yake.Tanzania yetu nchi yete🤲
Sorry bro....am your fun and I feel it...with God everything will be okey...we will continue praying for you ...much love from kenya
Woiye mbosso khan wetu! Mungu akupe nguvu ya kukuwezasha na uponyaji
Mwanangu Mbosso, Mungu atakujaalia Shifaa Insha'Allah,utapona 2 kwa uwezo wake Allah... Mungu akulinde daima Yarrab!(from Kenya with love)!
@@barakakweyederrick4008 Allah ni muumbaji wa kila kitu,, kuwa makini
@@abdillahhussein347 hakuna kitu km hicho Allah nikiumbe km ss na hana wezo wa kuumba nipe no yko nikupigie
@@barakakweyederrick4008 SubhAllah Innallah wainailah rajoon msiba mwenyeezi mungu akusamehe
Oh pole sana Mboso . But just look after yourself your health comes first. Everything will be looked after because if something happens to you (God forbid) it's going to be even worse for your family.
Now where is your Boss who Issa Azzam, Baba Levo, H baba, Abitoke brother whatever his name is ,whom they claim he just hands out money when they ask him? Am glad you showed us that ukweli unakuweka huru👏
Mtembelee pastor Ezekiel...wengi wamepona huko bro bora uamini tuh...but all the same I wish you a quick recovery
May God heal you Mbosso.
From Kenya
Allah akupe shifaa ya upesi Mbosso Khan .......mm shabiki wako mkubwa sana........mwenyezi Mungu atakupitishia hayo inshaaAllah kaka
It now hits hard when he sang 'tuoge ya vuguvugu maji ya baridi siyawezi si unanijua nina ugonjwa was kutetemekaa' I feel him now,kenyans support you mbosso
Nenda Kwa watumishi wa Mungu
Mbosso mungu akupiganie upate uponyoji uendelee na kazi yako mtaalam wa music twakupenda 🇰🇪🇰🇪 nawapata nikiwa Emirates
Pole sana mwanangu mwenyez mungu akuondolee maradhi mboso khan 🙏🙏🙏
Muombee dua allah amuondoshe ktk maaswi umesikia akisema akipumzika na wenzie ucku
Mungu akuponye mbosso. Nyimbo zako zuri sana. Much love from Nairobi Kenya , ninakuombea upone
anyway ukiamka salama mshukuru Mungu
Tunatembea tukiwa tunaumwa.
Healing is your portion. Utapona in Jesus name. Much love from kenya
Pole mdogo wangu..I feel your pain..Diamond mfanyie favor mwenzako akapate matibabu...Takufanyia D'ua kakangu insha Allah🙏
Pole san mboss mungu akupe uhai mrefu
Pole ndugu yangu... Kikubwa uhai, Mola akujalie maisha marefu na afya jema🙏🙏🙏, jikaze utapoa
Pole mdogo wangu mungu atakuponya jipe moyo kwa mungu kilakitu kinawezana jipe moyo wa matumaini na misha yataenda tu kwa uwezo wake muumba amina
Much love 🤗🤗, from Kenya 🇰🇪🇰🇪,may the Almighty God 🙏🙏 heal you.
Pole Sana Mbosso, You'll be healed in the name of Jesus Christ and I wish you quick recovery.
pole sana mboso ...my favorite artist from Tz. God will always be there for you
Acha na Muziki wa kidunia.....Muabudu Allah....Allah ndo kila kitu......Akufanyie Wepesi In sha Allah.....
Atakula nini?
Mbosso kiboko bana nyimbo zako utamuu Mungu akuponye bro🙏🙏🙏🙏🙏👆
Sorry man God protect you and don't give up mboso Khan💓♥️❣️💕
Poleni sana Bosso mungu akulegeshee yeye ndo muwezo wayote akupe shifaa na usipende kukasirika nakula vitus vya mafuta achana navyo na chunvi ili ukipata mulenda bamiya unayakatakata unaweka kwenye cupa yamaji unatiya maji unakunywa kama kawayida itakusayidia
I feel u bro.I also have similar condition but I trust God in everything.He's always faithful n I have faith that one day am gonna free from this condition.
True ata nilikuwa nataka kuadika ivo enda Kwa ezakeli
ooh my God,quick recovery bro all will be well with you; get healed in Jesus name🙏
Mungu yupo na wewe, magonjwa ya mababu na familia yasiwe kikwazo kwako mungu akulinde quick recovery,much love from kenya
Pole sana mbosso mungu akupe nguvu inshaallah
Pole sana...Insha'Allah Mmungu atakuvusha hapo na pengine.
Pole sana Mola akusaidie hii hali na mimi niliteseka nayo miaka karibu mitatu nilikuwa silali usiku lkn baadae Alhamdulillah nilipata dawa na sasa namshukuru Allaah nakushauri Biidhnillaah itakusaidia na mimi nilitumia hii nashukuru ilinisaidia Biidhnillaah tumia CHIA SEED KIJIKO KIMOJA, ASALI NA MAJI YAMOTO PAMOJA NA LIMAU ITAKUSAIDIA BIIDHNILLAAH MIMI NAMSHUKURU MOLA WANGU KWA SASA ALHAMDULILLAH
HII HALI KIUKWELI NI NGUMU KUNA MUDA UNAKUWA UNAJISKIA KUCHOOOKAAAA KWA KAZI NDOGO
LKN YOTE KWA YOTE TUTUBIENI TURUDINI KWA MOLA WETU KUNA WAKAATI TUNAKUWA NA MITIHANI LKN NA DHAMBI ZETU HUTUZIDISHIA MARADHI 😢😭
Pole sana mbosso!shauri yangu kwako fuatilia diet na mazoezi itakusIdia sana na ku avoid stressful situations ❤️love from your fan here in Canada 🇨🇦
Hayo ni mawaidha kutoka kwa Allaah subhaanaah wataalaa ili urudi kwa Allaah kama ni sifa ushapata kama ni pesa unayo Allah atakusamehe Inshaallah coz wajua kila binaadam mwisho wake nkurejea kwake upone usipone na usihadaike na mitandao umaaruf wala kupanguwa na madaktar ndgu yang kaz hyo ya usani nikweli ni sehem ya maendeleo au mafanikio coz wapata pesa wanunua utakacho wapendwa nawa2 weng zaid ndg yng lkn kupendwa na Allaah muumba wko aekupa rizk uhai na kila k2 nibora zaid kwan maisha haya ni mafupi mno bora uchukiwe na viumbe lkn muumb wko akupende Inshaallaah naitwa ust Abuu Abdullaah Abdulrahman bin yahya wa madrasat rridhwaan litahfiidhilquranil Kareem Kigoma vijijini huu niujumbe maalum tubia rud kwa mungu wako najifunza sana kwa msanii chipkiz skikuwa akiitwa Fadhil mussa kaola aliefariki baada ya kuumwa nakuuacha hii kaz naakarudi kwa mola baada ya mwez mmoja 2 tujifunze kwa haya sihuyo 2 wapo weng kwahyo ndugu yang nliwah kuskia ukisoma Quran mashaallaah Allaah akujaalie maamuz mazuri na mwisho mwema Ameen shukran namba yang ya simu ni 0627451384 naomb untafute soon Inshaallaah ليلة سعيدة
Pole sana bro, MUNGU awe nawe na azidi kukulinda na kukupa afya njema
God blees ue my king nakupenda sana mbosso natamani one day unioe sema ndiyo ivyo haiwezekani
Poles sana! Ila usiongee kwa unyonge hivyo. Mshukuru Mungu kwa kila jambo kwani umeshagundua tatizo. Mungu akuponye kijana katika Damu ya thamini ya Yesu Kristo!
Pole sana bro, mungu akuponye ishallah..
Pole sana Mbosso...Mungu akuponye. Much love from 🇰🇪
Pole sana! Mungu ni mwema atakupa uponyaji.
Pole sana kakangu mbosso, tunakuombea sana Allah akupe shiffa. Inshaallah utapona. Jipe moyo
Allah akupe uzima inshallah 😍
Pole sana. Bora umuone sheikh uthman huko Dareslam Michael atakusaidia kwa uwezo wa Allah utapoa
Uthman Michael
I'm your biggest fun , and I'm really sorry about that my brother. Quick recovery in might name of Jesus Christ.
So sorry
Pole sana Mbosso Mungu atakutibu,shabiki wako from Rwanda
Pole Kijana wangu! Ila kwa udogo wako umetupa fundisho tusifiche maradhi yetu
Pole Sana my model mbosso Khana inshallah mungu akufanyie wepesi nakuombea
Sorry to hear that mboso
Believe in God and more medication and exercise i take this opportunity
To send my sympathy to u dear
May god keep u safe mboso
Luv frm 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 ❤
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu Mbosso Khan ❤🙏🥺
Subhanallah pole sana bro sawali kwa wakati usichoke kumuomba mungu Allah yuko pamoja na wewe inshallah
Pole sana mbosso utampona tu napenda kazi yak love from kenya
God is there for you broh much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Pole sana mshedede mungu akujarie nguvu na wepesi upone
From Geita
Aende aombewe na mwamposa atapona ktk jina la Yesu kristo😍🦋
Kwaiyo umeona Mwamposa ndio mchungaji pekee anayeweza kumwombea?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oooh mbosso wangu Mungu anilindie wewe uishi maisha marefu na akupe afya njema
Pole sana Mungu atakuponya na utakua sawa usife moyo Muombe mwenyezi Mungu ndio tiba na utapona
Pole sana kwake Mboso👊 Allah ampe afya njema🤲
May Almighty God heal you Mboso Khan so sorry for what your going through
Tafadhali muone daktari uzingatie matibabu ya mapema Mimi ni mkenya nakupenda sana mbosso
Shukuru mwenyezi mungu umejua mapema sana,fanyia kazi
Pole sana brother Mbosso Allah atakuafu utapona Inshaa Allah 🙏🙏🙏
Daaa mboso pole cana mungu atkutia nguvu utaponaa
Duhuuu subhana allh pole sana mwenyezmungu ukupunguzie maradhi inshallah
pole Mbosso. Mungu akutie nguvu
Mbosso my favorite singer. Mungu akuponye kabisa. So sad but God will fight for you till end
Nimetokwa na machozi this story made me feel emotional
Pole sna mbosso ,utakuwa sawa siku moja usishtuke mungu yupo
Dogo, tatizo hilo kwa YESU KRISTO kwake ni tatizo dogo sana weka Imani kwake MUNGU utapona.
Mungu atakuafu..we ur fans from kenya really pray for ur speedy recovery...
pole sana broo may God b with uu all the time, uu will make it in Jesus🙏🙏 name, tunakuombea, penda wewe snah,,,,, ❤️❤️❤️
Mshauri aokoke kwanza ampokee Yesu km bwana na mwokozi wa maisha yake then everything about him will be ok
@@josephstephen1079
usi mjudge
no one is perfect. but we keep repenting whenever we do wrong,,, nazidi kumuombea
pole mpenz Allah atakufanyia wepes kwenye kila mtihan wak na pia atakufanyia wepes kwenye kila hatua yako ya maisha
Quick recovery in Jesus name may the Lord protect you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole sana Mboso Mungu akakuponye nakuliondoa ilo tatzo kwajina laYesu kristu
Pole sana ndugu yetu allah akupe nguvu na subra pamoja kuwa unaendelea na marina I lkn usimsahau allah zidisha dua zako usiku na mchana allah atakuponya
Hapo kidole kilikosea nimemaanisha matibabu
Pamoja na wewe mboso hadi ndala ziishe❤❤❤
😒😒 ALLAH still protecting you and Don't give up for your work life 🇰🇲🇰🇲 🤲🏼🤲🏼
Pole. Sana brother Mungu. Yupo itaisha. Iyohali. Inshallah
Pole sana mboso mungu wa mbinguni na akuponye
Ooooh my God may God heal you mbosso ,,,,,, sicknessi s not your portion
Pole sana mbosso jamani my GOD being with you jamani like I feel your pain 💔😢😔 MUNGU awe upande wako siku zote🙏🙏 believe in GOD utakua Sawa
Pole xana mbosso Mungu aku piganie akulinde uwe na afya njema ukuze watto wako niki sali nakuombea kila siku
Mbosso usife moyo endelea na mazoezi and all shall be well,, make sure you visit a cardiologist frequently ..I pray for you
Pole sanaa Mbosso Mwenyezi Mungu akulinde na upone
Pole sana mboso mwamini mwenyezi mungu
Pole sana kaka, Mungu anaweza amini tu hilo tatizo litakuondokea
Coronary artery disease is a narrowing or blockage of your coronary arteries usually caused by the buildup of fatty material called plaque. Coronary artery disease is also called coronary heart disease.
Dr
Ooh I understand better thanks
Thanks 🙏🏼 is it curable?
@@sureiamboo yea it is curable through surgery. The tubes can be unlocked through surgery.
pole sana mdogo wangu...Mungu ajidhirishe kwa ajili ya uponyaji
Allah akupe shifaa Pole sana
Pole sana mbosso Allah akupe afueni ln shaa Allah .
Ni mambo ya kawaida, usiogope lakini tafuta namna ya kuyatibu kama yana dawa na kama hayana. Be strong,. You can't have what's you can't handle.
Upo sahihi
Ugonjwa wa moyo ni mabaya Sana mm ni mmoja wapo hayana tiba lakini tiba yake ni mazoezi tu
Mm mwenyewe mama yangu moyo unamsumbua Lakin Mungu ni Mwema atapona tu
@@zahrakazungu5026 unamafuta kwenye mirija ya damu au. I have a high Ldl cholesterol level
@@zahrakazungu5026 ukifanya mazoezi unatulia et?
Ishaalla Ishaalla Allah helpe you Ishaalla Mboso
Mbosso I just wish you a quick recovery ❣️
Pole sana Mbosso, Allah atakupigania inshallah 👏
Pole sana Bwana Mbosso ,I'll advise mbosso to persue its medications. Its important to follow his medical program ,mbosso should really thank God that he identified his problem earlier and ihope and trust he can afford his medical bills.
Pole saana mbosso mungu atakuponya hakuna lisilowezekana kwake🙏🙏
Pole kaka Mungu akutie nguvu.
Pole San Mzee baba Mungu atakusaidia ili uendelee na Cheche zako
Nilichojifunza kila mtu anastruggle na shida zake, ila tunachojitahidi ni kuwa happy always, kwahiyo embu tujaribu kuwa wema, kila mtu anapitia changamoto zake jmn
Kweli kabisa
Hayo maradhi ya moyo yana dawa. Mimi nimeziba mshipa mitatu nilifanyiwa opreshen na mpaka hivi sasa niko vizuri alhamdulilah. Miaka 11 toka nifanyiwe. Njoo Oman wako ma doct hodari sana
Polesana mbosso love ❤️ from Malawi ❤❤❤❤