ni ajili ya nyimbo zake za mahaba. tunapenda mapenzi jamani na kubembelezwa saana, kudekezwa sana. sasa labda akiimba tunahisi ndio kinachoendelea katika maisha yake. big love Mbosso
Mbosso km mbosso. 😍😍. Mi mwenyewe napnga kuja kufnya kolabo na mbosso😂😂. Km tun kubliana nipn like apo.. 🙈💪. Mbosso juu juu sana tamu ya warembo kwa nyimbo zko tuu sio kingine💕💕💕💕
This guy continues to win my heart....he understands how love works. Ni mustarab boy sana. He has love experience. Ngoma zake ni noma sana, its like his speaking to you directly😘😘
@@chedielymussa4045 hodar wamapenz haraf amebeba jina kubwa kutok India sio name nampenda kuchi hotahe tumpase hae wee stor ya mapenz yan namboss anamizik wake anabez na mapenz uwiii
Pia mboso we we una nyota nzuri ya kupendwa...mungu akusaidie pia wew n MTU was watu na mpole ..nyimbo zako pia za slowmotion na msisimuko.ndan ya mioyo za watu zinakongwa...mungu akulinde na hasad.pia jitahid uoe na c kuongeza watoto was nje...umeumbwa wew hujui SAA wala DKK... Prevention better than cure.tahadhari kabla lmauti
Icho ndo kilicho mfanya mickael jakson akawa king of pop mana alikua kipenzi cha watu kila alie mwambia i love you alimjibu i love you to na alieshimu isia za mashabi sugu kama uyo dada kikubwa zaidi nikumfariji kiujanja ujanja. rest in peace Mj 😭😭😭 kama na wewe umemmisi mikel gonga like hapa.
Kabisa kaka., education’ hata kidogo ni bora kwa tasnia yao ya muziki., hayo ni maradhi tu kwa huyu msichana very innocent’ ni ushabiki tu na mwanzo wa mapenz. So’ mboso kuwa na busara ya kumpunguz kiakil maana watakuja wengi kwa kupenda muziki wako., utajisikiaje mtu kapanda maradhi hata ya akil au kufa kwa ajili yako? tena ulishaongea hata mara moja?
@@minyugeminyuge6753 umeona ndo mwanzo wa kua star mboso ameanza kushindwa kuimi mikiki mpaka anadai alitaka kwenda polisi je atapofika kwenye level ya juu ya hustar mambo yatakuaje ? Unacho kisema nikweli education ni inaitaji kwenye tasnia ya musiki.
mapenzi Jamani, mbosso you're a good guy who understands hisia za mapenzi ya mtu. Wanaume wengi hawaelewi na hawaeshimu hisia za wanamke, wakisha jua una hisia za mapenzi kwake wanaakudanganya na kuanza kuchezea Moyo wa mtu.
Mapenzi kizunguzungu jameni...alafu pia wee Mbosso umzuri sana...wavutia mno..nyimbo zako pia Mashallaaah...mi mwenyewe pia wa Mombasa...na kuna venye huwa wanipagawisha lakini nachezea chini...nachorea hiyo story😂😂kwa hiyo huyo binti mi simlaumu wala I will not judge her...but ongea naye tena...tusipuuze mwishowe tukaanza kutype humu RIP Munira...ati kajiua kweli...(Astaghfirullah)...she needs help...mawaidha na ushauri tasaidia sana.
Huyo dada si mkenya,,, ata kiswahili chake si cha Mombasa mimi ni mkenya na nimekaa Mombasa sanaa... Wasichana wa Mombasa tena waswahili hawana ascent hiyo aache kudanganya na kutuvunjia heshima sisi kama wasichana wa Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiona akijitokeza yeye mwenyewe kweli mapenzi yake kwa mbosso ni 🔥🔥🔥🔥ako mwisho sasa ww muongeleshe tu vizuri atakam utamuo hivi sasa asije poteza maisha juu ya neno mapenzi
Sii mbaya mwanadada kupenda nipoa vile ameamua kujisemea but sasa mtoto wa wenyewe ako na family,mm kitu naweza ambia mwanadada eti asikiye ile mgoma ya mbosso ya salamu ulizinitumia zimenifia niko salama atausijali,your the best bro frank apa kutoka kenya
Mmmh!! Ushauri wangu huyo dada arudi kwao tuu mungu atampa mwanaume sahihi kwake mwenye kheri na yeye kwanza ni mrembo sana mashaallah...aache kujidhalilisha!!!
kabsa kwanza huyo mboso mwenyew qahba wakiume hatakama akiwa nae atalia bure kila kukicha mboso kazaa na mwanamke yungine yaani anajidhalilisha kweli kwa uzur huo akamtake mboso mmmmh? Kujidhalilisha bikubwa
@@aminafesali5817 kwanza huyo mbosso kwa hadhi gani ya kuwa na mwanamke mrembo kama huyo 😏 aende akaokote vinuka chupi huko Kujishaua tuu sura kama andazi lililozidi hamira 😂😂😂
@@ashaally6993 😂😂😂😂😂ahsan hata andaz kama jiwe wallah bint anaongea ataka kheir yakuoana yeye anatapika mbele za kamera kwanza usikute kesha mchezea ndi na kumuahid bint wawatu ndi maana bint kavuruga mokho yake halaf lijitu linaka mbele za media kuropoka awen alitaka amfikishe police kutwa wanaonda kuoga madawa wapendeke halaf wanajidai kujishauwa mbele za watu mi nafamily anafamily gani huyo mboso ndani yanyumba alokod kaeka pc za hawara aliekua hamtak yeye alimgagania hadi akamdanganya anamimba akalea mimba hewa na mtt hewa leo ajiona cake mavi huyo nahuyo aliezaa nae anamoyo we nyumba nzima imejazwa pc za mchepoku wake naww unachekelea tu Allah ampe ufaham huyu bint asirudie tena kuropoka mitandaon kwa vijana wa wcb wachafu watabia 😕😕😕
@@aminafesali5817 Yani kampa kiki walahi mtu mwenyewe hata hastahili akachukue kioo ajitazame si wa sura wala shepu ashukuru hata kawa mfanyakazi wa domo nani angemuona mshenzi huyu..yani kanikera kweli anavyojishaua basi anajiona wa maana kweli kibushuti huyo...👹
Mbosso khn nakubali kaka uko vzur weka like zako kama unamkubali muhindi wa kusini
Duh! Hilo geti ndo noma,ka unakubaliana na mimi tafadhali naomba like yako
evandan7 noma sana
😂😂😂😂😂😂😂😂
evandan7 tz tu ndo mnaona noma miji ya wenzetu unagonga kengere mtu anakuona kabisa ndani ww kweli ndo mwenyewe
mbinti njokwangu upate laha
@@mimaakenirram1405 umeonaee
Demu mwenyewe ni mzuri kinoma, Me najua mbosso huwezi kuniangush🙏 Kama na wew umeliona hii gonga like tuende sawa.
Reggy Vallerin Yule dem kamzidi mwanamke wa mbosso kwa uzuri
@@mrskhamismussa9754 Kabisa yani
Reggy Vallerin Hahahahaha mboso hawezi kukuangusha eeeh hahahahaha
Kwa kwel
Nimemuona nimzuri
Waaah noma.....swali langu ni aje
Do this girl wins mbosso?❤❤
Mbosso alimkubali ama??
Napenda mbosso venye uko tu humble Mungu aendelee kukuinua....
ni ajili ya nyimbo zake za mahaba. tunapenda mapenzi jamani na kubembelezwa saana, kudekezwa sana. sasa labda akiimba tunahisi ndio kinachoendelea katika maisha yake. big love Mbosso
Mboso unanyota ya kupendwa baba
Mbosso ana mjengo mkal hv
Asante 💎😍
Mbosso km mbosso. 😍😍. Mi mwenyewe napnga kuja kufnya kolabo na mbosso😂😂. Km tun kubliana nipn like apo.. 🙈💪. Mbosso juu juu sana tamu ya warembo kwa nyimbo zko tuu sio kingine💕💕💕💕
kama unampenda mbosso gonga like
Mbosso vp
Karibu tupoooooo
Waja lini boss
Humble mbosso 😊❤ata mm Niko njiani Naja 🤭☺️🥰,,,,,,nakupenda pia😂❤😂😂
😂😂😂😂
@@MagrethThobias-fm8bm 😂😂😂
Kama umeona picha ya boss matha gonga like hapa
Wkwanza
@@ayshamahariq6665 naqbalii
Upuuzi
Flora Mbwambombwambo Nimeona alaf ckuta kulike nyau ww
Rip martha
Kama unamkubali mbosso gonga like twende sawa huyu jamaa anajielewa sanaa
Kabisa
Nimempenda mboso naona picha ya mzazi mwenzako stand comedy Dada mkuu Martha blessing brother
Yani demu akapenda kinoma tafadhali sana tu mbosso mkubaliye anaye penda munira aolewe na mbosso agonge like hapa👈
Agonge atembee tuu
Waah bosso amesema pengine cku za usooni mtoto wa watu atapata tabu sana duuh
Mapenzi yana run dunia
0682285518
Mbosso hongera Sana kaka yangu nakukubali Sana Allah akubariki salamu zako🤝
As a Kenyan from Mombasa, this was the best option my bro Mboso. Take it easy, you are a star in Msa this is normal. How you hundled it was awesome.
mbosso u are my heartbeat😍 mob love from 254
Haha alie Sikia kuwa mboso anaweza muoa huyo dem cku za uson... Gonga like
hahaaa anaruhusika hadi wa 4
Uoe mke wa pili utanioa mke watatu
Mboso Hana nyota ya punda
@@mcmathasichone2822 😂😂😂😂 unialike harusi sawa
@@neemajohn1719 nyota ya punda au kondoo ni kali zinawakilisha diamond
Mbosso hta mimi nakupenda sana hisia za mapenzi unasijua sana keep up the good work definition of love.
Ok
Hata kama kupenda ni dhambi kesho kwa mungu nitakaa Kitano nikuombe radhiii acha yakukute mboso kama Niko sawa gonga like
Unaeshimaaa sanaa mbosso hio tabiaa ndo yakuigaaa safiii sanaa
Mboso upo vizuri sana ndugu yangu, umejua kumjibu kwa hekima.. Hongera sana
Mpee baba mtt wembe anko
dah pole sna mdgo wangu jikaze tu, ndoustar uwo
Kama unakubali mbosso amwoe Munira gonga like yako hap
Mbosso mkubali umhowe❤❤❤❤😊😊😮😮
Sisi Kama wakenya tunamuobea huyu mtoto wetu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii nayo ni Kali
mbosso unapend sn kutabasam yaan uko happy mda ote gd blss
Kama umeuelewa mjengo wa Mboso gonga like
Wale tukohapa Leo 2juane 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waislamu kumbe wana good kind...yaani wakarimu kweli asee good interview.
Mbosso anacheka poa...mm nmeona ☺☺☺
Sasa
Pole san Mboso unamutihani ila Allah atakuwekeya wepesi
Dah bro kma kipato kinatosha msitir mtoto wa watu
Hahaaa you know what mboso ,,love does not ask why xo you do have to kick her
Amiiin
Jaman me naon Kama yuko xaw kwan kuna ubay mtu kuongea hixia zak Jmn 🤷🏼♀️🤷🏼♀️🤷🏼♀️🤷🏼♀️🤷🏼♀️❤️❤️❤️❤️
Ata mimi na kupenda mbosso 😍😍😍
Ati fresh baridi uliwai mpenda mtu mwenye ako na mausiano akakufanya mchepuko umuwa broo mbosso
Mbosso upepo wa kisuli suli😂😂😂
VP mbosso
😂😂😂😂😂🙌
This guy continues to win my heart....he understands how love works. Ni mustarab boy sana. He has love experience. Ngoma zake ni noma sana, its like his speaking to you directly😘😘
Qqaaaà
A
A
aaa
A
A
Himbosso
Mbosso ana mke na watoto afaa kuheshimiwa wewe dada rudi kenya ungoje Mwenyezi Mungu akupe mume wako sio kutaka waume za watu
Sarah Kililo Ana mke au anamalaya mwenzie?
kamaupepo wa kisulisuli umemleta basi umludishe alipotoka😂😂😂😂
Sasa mbosso anamkataa huyo demu na maybe walikutana wanaume mna za ovyooo Sasa anamkana mwezie bure.
Maisha Sasa ni magumu akuna mwanamke anamtegemea mwanaume Juu kila kikicha mambo na vimambo
Sarah.. Mboso kaoa lini?
Much love from kenya 😍 big up brooo🥰🥰
Hata mm nampenda sana mbosso😍😍
Pigaaa kelele kwa mbosso wakeee
Waoooh chggaboy oyeeeee ChggaGirl tunakupaa bguup🤘🤘🤘🤘🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaallah mboso tunakusubir huk maskat
Nyimbo zako mbosso ndo zinazo sabanisha ufatwe na wasichan tofaut tofauti upepo wa kisulisuli huo 😂😂
z Qatar nom
ukiskia mbosso hodari ndo hiki kinamkuta
@@chedielymussa4045 hodar wamapenz haraf amebeba jina kubwa kutok India sio name nampenda kuchi hotahe tumpase hae wee stor ya mapenz yan namboss anamizik wake anabez na mapenz uwiii
z Qatar Hahaaaa rewo nimecheka, njoo uchukuwe soda
Punguani wa akili huyo dada
Mbosso Sisi wakenya twakukubali tu ❤ hongera
Pia mboso we we una nyota nzuri ya kupendwa...mungu akusaidie pia wew n MTU was watu na mpole ..nyimbo zako pia za slowmotion na msisimuko.ndan ya mioyo za watu zinakongwa...mungu akulinde na hasad.pia jitahid uoe na c kuongeza watoto was nje...umeumbwa wew hujui SAA wala DKK... Prevention better than cure.tahadhari kabla lmauti
Mh gelz have confdence eeh!!! Km unakubaliana na mm gonga like hapa
God bless you mboso Khan tunaokupenda tupo weng tang ya moto band full Maupendo 💖💖💖
Icho ndo kilicho mfanya mickael jakson akawa king of pop mana alikua kipenzi cha watu kila alie mwambia i love you alimjibu i love you to na alieshimu isia za mashabi sugu kama uyo dada kikubwa zaidi nikumfariji kiujanja ujanja. rest in peace Mj 😭😭😭 kama na wewe umemmisi mikel gonga like hapa.
Kabisa kaka., education’ hata kidogo ni bora kwa tasnia yao ya muziki., hayo ni maradhi tu kwa huyu msichana very innocent’ ni ushabiki tu na mwanzo wa mapenz.
So’ mboso kuwa na busara ya kumpunguz kiakil maana watakuja wengi kwa kupenda muziki wako., utajisikiaje mtu kapanda maradhi hata ya akil au kufa kwa ajili yako? tena ulishaongea hata mara moja?
Tatizo ilooo upepo huo WA kisurisuri
@Sulayzi VEVO shukrani sana.
@@ruwaidaali8937 hahaha wameanza kupokea😂😂😂
@@minyugeminyuge6753 umeona ndo mwanzo wa kua star mboso ameanza kushindwa kuimi mikiki mpaka anadai alitaka kwenda polisi je atapofika kwenye level ya juu ya hustar mambo yatakuaje ? Unacho kisema nikweli education ni inaitaji kwenye tasnia ya musiki.
Mbsso unaakili sana kwa kuangalia mbele wengine hap wangepita naye pyaaaa bila kuangalia kesho so big Up
Hongera kakangu mbosso Khan kipenzi cha watu
r.i.p boss mathar hira mbosso ulimpenda huyu dd bac tu
Anampenda ndio maana ake akazaa naee
Kwel big gup
Lkn atafanya vizuli kama utamngumbalia bro ..
2020 huyu dame bado yupo🤣🤣🤣🤣 mbossoh apenda kufurahi sana he is a good man
Duh! Mwambieni aje kwangu katuacha kenya na kuja Dar kutafuta mbosso.🇰🇪🇹🇿
😂😂😂
Yaani anatuaibisha
Yusuf Mwash - mistari unayo?
😂😂😂hakuwaona
Ili iweje sasa
Umeongea vizuri sana mboso.hujatudhalilisha wanawake.
Mbosso ata mm nakupenda Sana
Hiyo ni kweli mboso mdogo wangu anaitwa chino huwa akiona nyimbo zako lazima alie anadaiii anakupenda sana
Mack Ladislaus 🤔🤔🤔🤣🤣🤣
@@michelinemapendo6652 ni mzur au mapicha picha
Abdul huyo anaeongea kuwa atakunywa sum ndo mwenyew
@@eviepretty2646 anha Kama ni huyo nimzur♥️♥️
Mleten kwangu uyo mtoto
mapenzi Jamani, mbosso you're a good guy who understands hisia za mapenzi ya mtu. Wanaume wengi hawaelewi na hawaeshimu hisia za wanamke, wakisha jua una hisia za mapenzi kwake wanaakudanganya na kuanza kuchezea Moyo wa mtu.
mushedede mutukutu 😅😂😂😂😂tatzo una kamusi ya mapenZi kichwan 😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Gerry Komba
Wameumbwa pia kwa nasi ya kupenda yanayomzingira duniani so.mungu pia yupo kwa kila nafsi na aabudiwe mille
😃😃😃Hatareee sana
Mbosso napenda sana nyimbo zako .
Anae kubali wasanii Wanakula bata Kinoumaaaa gonga like hapa
Mboss usichengane na bahati yako. Broo fanya ivoo
mkubalie ukaenae, 2
My love from Rwanda
safi sana ila ukikua usijemsalit/ bos utokage kwawema2
Kweli lkn
Inshallah pia mm nkirud Home ntakutafita nkupe za wadi braza mbosso 😎
Una mtihani mgumu sana mbosso Dada wa watu kakolea sana mzee
Nice bro nakubali 💪
Mbosso uko very understanding to many, nakupenda sana kakangu,heko kaka,walakini saidia huyo dada munira.
Mapenzi kizunguzungu jameni...alafu pia wee Mbosso umzuri sana...wavutia mno..nyimbo zako pia Mashallaaah...mi mwenyewe pia wa Mombasa...na kuna venye huwa wanipagawisha lakini nachezea chini...nachorea hiyo story😂😂kwa hiyo huyo binti mi simlaumu wala I will not judge her...but ongea naye tena...tusipuuze mwishowe tukaanza kutype humu RIP Munira...ati kajiua kweli...(Astaghfirullah)...she needs help...mawaidha na ushauri tasaidia sana.
J
YjRyHy
HY
Y
J
👏👏👏👏👏 and that was so cute of mbosso labda ndo Kamaliza huyo ametumwa
Pia mimi mbosso nataka unioee 🙈🙈🙈kutoka Kenya Nairobi
🤣🤣🤣hongela. Kwa kutuma. Maombi. Ya kuolewa😂😂
Wew,, mm pia ntaenda kumsaka vany boy,, kama unanisuport piga like apa
Huyo dada si mkenya,,, ata kiswahili chake si cha Mombasa mimi ni mkenya na nimekaa Mombasa sanaa... Wasichana wa Mombasa tena waswahili hawana ascent hiyo aache kudanganya na kutuvunjia heshima sisi kama wasichana wa Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mmmh uyo demu nae bado anamistari ya zaman eti npo tayar kunywa sumu
Esabella Leonard vip kuhusu kukata TIKITI😂😂
@@yascoguidezanzibar 😀😀😀😀😀😀😀. Kenya ndo wanasema ivo
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂maajabu
Mbosso usiniangushe aseeee funika kombe mwanaharamu apite. 💎💎
Ukiona akijitokeza yeye mwenyewe kweli mapenzi yake kwa mbosso ni 🔥🔥🔥🔥ako mwisho sasa ww muongeleshe tu vizuri atakam utamuo hivi sasa asije poteza maisha juu ya neno mapenzi
Mboso you’re smart man
Mbosso mpole sana❤
Sii mbaya mwanadada kupenda nipoa vile ameamua kujisemea but sasa mtoto wa wenyewe ako na family,mm kitu naweza ambia mwanadada eti asikiye ile mgoma ya mbosso ya salamu ulizinitumia zimenifia niko salama atausijali,your the best bro frank apa kutoka kenya
Kachoka kusubiria upepo wa kisulisuli. Kaingia front mwenyewe 🤨🤨🤨🤨
Kkkkk,kisulisuli kimetuelemea🤣🤣
Sancho jose muhimu kujiongeza. Usikae ukisuburia tuu😁
Angecheza nachibu aone.. 😂 😂 Chibu hana hiana, angemsaidia angalau ndoa ya week moja2..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁😸😸😸
Tulio ona picha ya boss matha tujuane
M
arycelina Paschal
Marycelina Paschal
Bjs
M
Marycelina Paschal angel
Marycelina Paschal rudi tu nyumban kwenu mmy uajiaibixha sema mboso nae mh xjui huwa unawapaga nn naww punguza
Mbosso mungu akulinde
MASHALLAH MBOSO KWA KUPENDWA LAKINI MUNIRA ANAWAZIMU ENDELEA MBELE USIANGALIE NYUMA HATA SIKUMOJA BADAE
😂🤣😂🤣Mim Nikiceko tuuu na mimi niko njiani nakuja bongo kumufata aslay namim niko tayari kufa ju ta aslay😂😂😂😂😂😂Uyo Dada karogwa
Daah......Kuna watu wanaishi na wengine kubakia kuwasindikiza tu😭😭😭😭😭
Kwanza anaekunywaga sumu aagi ndugu yangu 😁 nmemuelewa Sana mbosso apo
Mbosso umetisha
Hili nano neno..Muniiira from Kenya to Tz juu ya love tu......khaa aibu zngne bwana. ..mbna kutuaibisha c wakenya. ..
Hana wakuu pegne
Apo umeongea Kaka 👏👏👏👏
Mbasso haaaaaaah nawapenda wote ongera sana kwa wasafa
Nyimbo zako pia mbosso jamani...vry romantic
Ujuwe kupenda malaz
Nyl
By in boy a bosons hiking I yang sea
Ishallah mbosso ongezaaa jikoo big
Mboss hilo get nomaa sana
Mboso unajua kujieleza vizuri saana nimependa na nikushauri kitu usijaribu kujichora kama bosi wako acha kabisa angalia ivo unavopendeza safi sana
Mashaallah mwenyezi mungu akuepushe na vishawishi akupe hitaji la moyo wako .umeongea point sana
In the meantime ,we disown munira as a Kenyan,,, 😁
Much respect mr Mbosso
mungu akubaliki San nakupe afya khan mboss
Hizi skendo kama unaona mbali kama Mimi kuwa kuna nyimbo inakuja, Gonga like
Hahahaa mboso mtoto uyo kutoka Mombasa 001
Mimi sisemi kitu naomba tu like yako wadau
Mmmh!! Ushauri wangu huyo dada arudi kwao tuu mungu atampa mwanaume sahihi kwake mwenye kheri na yeye kwanza ni mrembo sana mashaallah...aache kujidhalilisha!!!
kabsa kwanza huyo mboso mwenyew qahba wakiume hatakama akiwa nae atalia bure kila kukicha mboso kazaa na mwanamke yungine yaani anajidhalilisha kweli kwa uzur huo akamtake mboso mmmmh? Kujidhalilisha bikubwa
@@aminafesali5817 kwanza huyo mbosso kwa hadhi gani ya kuwa na mwanamke mrembo kama huyo 😏 aende akaokote vinuka chupi huko
Kujishaua tuu sura kama andazi lililozidi hamira 😂😂😂
@@ashaally6993 😂😂😂😂😂ahsan hata andaz kama jiwe wallah bint anaongea ataka kheir yakuoana yeye anatapika mbele za kamera kwanza usikute kesha mchezea ndi na kumuahid bint wawatu ndi maana bint kavuruga mokho yake halaf lijitu linaka mbele za media kuropoka awen alitaka amfikishe police kutwa wanaonda kuoga madawa wapendeke halaf wanajidai kujishauwa mbele za watu mi nafamily anafamily gani huyo mboso ndani yanyumba alokod kaeka pc za hawara aliekua hamtak yeye alimgagania hadi akamdanganya anamimba akalea mimba hewa na mtt hewa leo ajiona cake mavi huyo nahuyo aliezaa nae anamoyo we nyumba nzima imejazwa pc za mchepoku wake naww unachekelea tu Allah ampe ufaham huyu bint asirudie tena kuropoka mitandaon kwa vijana wa wcb wachafu watabia 😕😕😕
@@aminafesali5817 Yani kampa kiki walahi mtu mwenyewe hata hastahili akachukue kioo ajitazame si wa sura wala shepu ashukuru hata kawa mfanyakazi wa domo nani angemuona mshenzi huyu..yani kanikera kweli anavyojishaua basi anajiona wa maana kweli kibushuti huyo...👹
@@ashaally6993 😂😂😂 acha kufananish andaz na vitu vya ajabu 😂😂😂
Mimi pia nakupenda mbosso Nakujia bongo soon🤣🤣🤣🤣
Mbosso kafanana kanaume kenye heshima. Mbosso nakukubali sana toka Congo