Aiiiii kikawaida mm huwa nampemda na kumkubali Mbosso na leo nmeskia ni shabiki mwenzangu wa Chelsea ndo kwanza nmezid kukubali upya...MbossoCan Mshedede me an u we The Blues💙💙
We Kaka Ulie Vaa Shati Jeusi Wape Nafasi Na Wenzio Maana Waongea Tuu Wewe Namaswali Unayo Uliza Kesha Yajibu Yote Jaribu Kumfutilia Msanii Kabla hujakaa Nae Mezani Huyo Dada Hapo Yuko Vzuri Sana
Afikishe salamu zangu kwa mondi 👏🏽👏🏽 amwambie uku Congo tulisha mu miss sana akuye tena 👏👏
okay
Mbosso ndo msanii bora TZ kweny industry ya interview 💯 na Muzik kwa ujumla
Industry ya interview ndio kitu gani
@@adrianorayner6551 Atakua kamaanisha sector ya interview
Na mondi mwenyewe interview wasafi wanazijua
Hiyo hiphop sound track ni mzanii upi kindly..
Ebwana salamu ziende kwa broo mboso
Mbosso yuko smart sana kwenye interview 🔥🔥
Mim nakutakia maisha marefu mboss like you so much ❤❤
Kweli maromboso nilikuwa refu sana bro
Wow sawa mbosso ❤️❤️❤️😂😂❤️❤️❤️👌
@mbosso❤❤❤❤
Rich msafi unajua sana kutangaza nakuona mbali sana uko vizuri 👊
Aiiiii kikawaida mm huwa nampemda na kumkubali Mbosso na leo nmeskia ni shabiki mwenzangu wa Chelsea ndo kwanza nmezid kukubali upya...MbossoCan Mshedede me an u we The Blues💙💙
Yaani leo kazidisha upendo blues fan🎉🎉🎉
Mbosso umtiye na zuchu katikatiyenu yani sijuwi itakuaje iyo siku weeee aca tuuu
From 🇨🇦🇨🇦🇨🇩🇨🇩 namkubali mbosso
Mbosa umekua Sana
We Kaka Ulie Vaa Shati Jeusi Wape Nafasi Na Wenzio Maana Waongea Tuu Wewe Namaswali Unayo Uliza Kesha Yajibu Yote Jaribu Kumfutilia Msanii Kabla hujakaa Nae Mezani Huyo Dada Hapo Yuko Vzuri Sana
Mdogo wangu mbosso kuwa makini badae usijekuwa kama mzee toboa tobo mana hadi sasa hajazikwa maiti hawajajuwa wampe nani wtt 22wanawake 8 kuwa makini
😂😂we cheche kagile jina mtu sawa msafi?
Nisalimie bwana diamond Platnumz
Yani nikimwona mtu kachora tatuu na kuweka hereni namwona MPUUZI sana Kwani kama huja fanya hayo inakuaje
Kwivo wamasai wote ni wapuuzi?
@@BigZhumbejibu lako lipo sawa ila nenda shule kasome kwanza mana unajibu kitu usicho ulizwa
@@hamidudigogo5863 Wewe ndio unaona havihusiani ila wenye uelewa wataelewa
😂😂😂😂👍
Mshedede muindi wa kusini
Ula
Umechapwa mingi au sion😂😂
🎚️🎚️🎚️
😂😂😂😂😂