NIKKI MBISHI AFUNGUKA KUSAPOTI ZUCHU KUPIGWA MAKOPO STEJINI, ROMA ANADANGANYA WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 83

  • @christianbihemo8211
    @christianbihemo8211 2 месяца назад +29

    Vizuri sana Nikki Naona Hao ma Tv presenter wa sasa hata hawajui underground na upcoming artists wao bado wanadhani underground ni msanii mchanga kisanaa ni aibu kwa ma-presenter wetu

  • @KevinTube.1
    @KevinTube.1 2 месяца назад +23

    WHO else enjoys listening to Unju ?

  • @donrick5922
    @donrick5922 2 месяца назад +6

    Mnamkubari san Nikki kila planet bongo uwamnamtaja sana hongereni sana

    • @RevocatusLukansola
      @RevocatusLukansola 2 месяца назад

      Usahihi kidogo kwenye matumizi ya R na L, ni nakukubali sio nakukubari, Asante

  • @jbsilulatv4513
    @jbsilulatv4513 2 месяца назад +9

    EATV inasapoti sana mziki bila kuchagua aina...na haiwaachi mastar wetu wa nguvu

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 2 месяца назад +9

    Unjuuu ni 🔥🔥🔥, ila mmekatakata kishamba sana hizo script.

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 2 месяца назад +7

    Yeah This is Nikki Mbishi 💯🙌

  • @LatiphaAyoub
    @LatiphaAyoub 2 месяца назад +3

    Nainjoi sana kumsikiliza huyu jamaa very smart

  • @batoromeojohn844
    @batoromeojohn844 2 месяца назад +6

    Daktari wa Hip Hop Bongo flevan.. Machucheee🎉

  • @dany2m782
    @dany2m782 2 месяца назад +4

    Mzee wa Ku-murder kila interview! 💯👊🏽

  • @christianmwakapola8611
    @christianmwakapola8611 2 месяца назад +5

    I wish Angekua unahand out kacertification flan ambako mtu katampa mtu pride kwamba alinunua album kwapo

  • @andrewmmbaga1665
    @andrewmmbaga1665 2 месяца назад +6

    Genius🧠🙌🏽💎

  • @bakari_njobela371
    @bakari_njobela371 2 месяца назад +9

    Nimefurahi kumsikia msanii wangu leo

  • @johnmodekai5525
    @johnmodekai5525 2 месяца назад +6

    Ooh gundu gundu kinoma nomaa uwez elewa hapo ushapewa jibu

  • @SelemeniNgassa
    @SelemeniNgassa Месяц назад +1

    Legend in the making

  • @alhajirsandari2323
    @alhajirsandari2323 2 месяца назад +8

    Sema interview mnaikata sana kuna vipande mnavitoa wanangu

    • @abasmwika3432
      @abasmwika3432 2 месяца назад +1

      Miyeyusho sana inaondoa ladha kabisa

  • @jumazinga941
    @jumazinga941 2 месяца назад +15

    Genius ✊🏿
    Unju 🔥🔥🔥

  • @RamadhanMdoe-pe9il
    @RamadhanMdoe-pe9il 2 месяца назад +6

    Mmetisha

  • @suleymanosman1788
    @suleymanosman1788 2 месяца назад +5

    Nikki u'r so smart bro

  • @henrynastorizake5089
    @henrynastorizake5089 2 месяца назад +2

    Watangazaji inaonekana hawajaskiliza album ya Nikki they could use same style of interview (asking trendings) but follow through tracks' content of the album..Sijui nmeeleweka hapo🤔🤔

  • @kitaraabdi9529
    @kitaraabdi9529 2 месяца назад +4

    Msanii wangu wa Miaka yoote Unjuu bin Unuki bin Upupuu

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 2 месяца назад +2

    King of underground literally I have done to the Earth

  • @Wil_thug
    @Wil_thug 2 месяца назад +5

    Unaleta pigo za kidada ukashindwa kusimama dede mbele ya didy na ulivyo nyoyo lazima upigwe dudu

  • @filbetdaud4597
    @filbetdaud4597 2 месяца назад +1

    Daah akili kubwa sana god father mbishi

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 2 месяца назад +6

    Interviews za Nikki Mbishi huwa hazichoshi

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 2 месяца назад +4

    Shillingi kenya hai2miki labda 2rudi 2016😂

  • @abdulrahmanbarie998
    @abdulrahmanbarie998 Месяц назад

    He's my true legend

  • @abdulrahmanbarie998
    @abdulrahmanbarie998 Месяц назад

    Nna kila album na mixtape zake na najua mwaka 2050 atakuwa very big

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 27 дней назад

    huyu yupo very smart kwa kichwa

  • @DeogratiusCharlesKisena
    @DeogratiusCharlesKisena 2 месяца назад +4

    Unju bin upupu

  • @Yegon254
    @Yegon254 2 месяца назад +1

    Spana za Unjuu ❤

  • @Samuel-m5v3y
    @Samuel-m5v3y 2 месяца назад +2

    Smoker unjuuu..
    Mpepeeee

  • @RevocatusLukansola
    @RevocatusLukansola 2 месяца назад +1

    Nikki Mbishi aka Mwabukusi wa rap 😀

  • @OmarSalamata
    @OmarSalamata 2 месяца назад +1

    Rich anapenda umbea sana

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 2 месяца назад +2

    Unjuuuuu

  • @IssaAlfaniMakongo
    @IssaAlfaniMakongo Месяц назад

    Nice

  • @kaJEMBEvip
    @kaJEMBEvip 2 месяца назад +2

    P majic unauliza maswali konk

  • @XxhamxyyxShha
    @XxhamxyyxShha 2 месяца назад +2

    Huyu jamaa HiQ ni kubwa japo kuwa pombe kamakawa

  • @ProTitle_
    @ProTitle_ 2 месяца назад +1

    Unju Mkuu🫡🫡

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr 2 месяца назад +1

    Mnakata kata sana oya mnazingua kinyama

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr 2 месяца назад +1

    Wekeni full interview

  • @williammaiga
    @williammaiga 2 месяца назад +1

    bwana machuche ...bin upupu unju best rapper baada ya farid

  • @Abubakar-jh3wt
    @Abubakar-jh3wt 2 месяца назад +2

    Unju

  • @JermarloMarlo
    @JermarloMarlo 2 месяца назад +1

    Pigo flanii za hussle

  • @Garahenga01
    @Garahenga01 2 месяца назад +1

    Zohan

  • @Jax20022
    @Jax20022 2 месяца назад +1

    Show ina watangazaji wanaume wawili na mwanamke m1 ambaye naye anahamu ya Kuwa Mwanaume.

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 2 месяца назад +4

    UNALETA PIGO ZA KI DADA
    UNA SHINDWA SIMAMA DEDE
    MBELE YA DIDI
    JINSI ULIVYO DODO
    UTAPIGWA DUDU

  • @jbsilulatv4513
    @jbsilulatv4513 2 месяца назад +1

    Kuhusu lebo ongea na countryboy alishaongea

  • @eliamkondo1720
    @eliamkondo1720 2 месяца назад +2

    baba malcom X

  • @AbrahamMwakatumbula-f5v
    @AbrahamMwakatumbula-f5v 13 дней назад

    Niki unazingua kumbe hip hop kumbe tumetelekeza nasisi kitaa

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 2 месяца назад

    Ila NIKKI kweli MBISHI

  • @MCorinto7
    @MCorinto7 2 месяца назад +1

    Kwan hamwez kuweka vpande vfup au

  • @TariqAziz-sc1lb
    @TariqAziz-sc1lb 2 месяца назад +2

    A display of low knowledege in hip hop from the presenters pull up ur socks

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 2 месяца назад +1

    IQ

  • @alhajirsandari2323
    @alhajirsandari2323 2 месяца назад +1

    Nilikuwa narisubiri sanaaaa oiiiii unju

  • @AbrahamMwakatumbula-f5v
    @AbrahamMwakatumbula-f5v 13 дней назад

    Niki wewe ni mkali ila mteme Nash uyo kama wewe mueshimiane tena make mfanye Ngoma amini wa mtaa kitacho fata uto amini shika ilo

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 2 месяца назад

    🧠 🙌 🎙️

  • @OmarSalamata
    @OmarSalamata 2 месяца назад +1

    Naipenda east Africa Kwa sabab ya mapresent wake ila huyu rich Naona kama shobo

  • @IssaMollelMasaiBondia
    @IssaMollelMasaiBondia 2 месяца назад

    Nikimbish onju

  • @richardjoseph2921
    @richardjoseph2921 Месяц назад

    Gundu dah

  • @KelvinKeita-b6o
    @KelvinKeita-b6o Месяц назад

    Hyoo dogo anaye simamia kipindi mshamba sana haujui kutamgaza kabsaa afu anajifanya bishoo kumbe k*m tu

  • @AbrahamMwakatumbula-f5v
    @AbrahamMwakatumbula-f5v 13 дней назад

    Mbishi kumbuka Koko bich

  • @sirlejah1735
    @sirlejah1735 2 месяца назад +4

    Acha urongo wewe Hakuna shillingi unayotumika Kenya gets your facts right

    • @AteniOnesmo
      @AteniOnesmo 2 месяца назад +1

      Jaribu kumuelewa

    • @Peter-fy3gf
      @Peter-fy3gf 2 месяца назад +1

      Urongo ndo nini 😅😅😅

    • @Shonni_clever
      @Shonni_clever 2 месяца назад +1

      Kenya shillings

    • @japharysety6890
      @japharysety6890 2 месяца назад +1

      Urongo Zambia au😂😂😂

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 2 месяца назад

      Unaelewa alichokiongea lakini au unalopoka tu

  • @Paplick9
    @Paplick9 2 месяца назад +2

    Unjuuuuu

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 2 месяца назад +2

    Unju

  • @t.ikingtz5703
    @t.ikingtz5703 2 месяца назад +2

    Unjuuu