ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 175

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 2 часа назад +12

    RESPECT FOR KINGKIBA GREATEST OF ALL TIME🎉

  • @kingsmusicfans1416
    @kingsmusicfans1416 6 часов назад +23

    Only one KING 👑 🔥🔥👏🏾

  • @MathieuLwebula
    @MathieuLwebula 30 минут назад +1

    Only one King 🎉🎉🎉

  • @KelvinPetro-v6y
    @KelvinPetro-v6y 2 часа назад +9

    King Noma sanaaa

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 часа назад +8

    Heshima yako king kiba. Utabaki kuwa juu Kila leo ❤

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg Час назад +5

    The only one King 👑❤👑

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Час назад +2

    Safiiii King 👑
    Kiba nimelipenda jibu lako ❤❤❤❤
    Kwahyo yeye mbosso anajifananisha na king 👑🤣🤣
    Diamond aje crown
    Na kiba ataenda wasafi khalaas 😂😂😂
    Htakama wanakuita mzeee unazeeka na kipaji chako kwaninkuna shido🤪🤪🤪

  • @Ezekielbishoo
    @Ezekielbishoo 53 минуты назад +5

    jamaa yupo na fulaa Kila siku nakubali sana song lake na baraka daa prenss ni samehe duu mli uwa sana

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga Час назад +4

    Saluth kwako King kiba ❤❤ from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 4 часа назад +8

    Nakubali KING👌💥

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w Час назад +2

    The king himself ❤

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 48 минут назад +1

    King kiba the best

  • @Denickibaden
    @Denickibaden 5 часов назад +14

    Sema alikiba kweli ni king 👑 anajua kuongea kiutu Zaid 🎉

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 2 часа назад +10

    Mtu aliezaliwa 1986 na mtu aliezaliwa 1989 hao wote wanazeeka pamoja kama kiba mzee basi na mond mzee. Kupishana miaka 3 hakuwezi kumfanya mmoja awe kijana. fuatilia wazee wote mtaani hawalingani umli ila niwazee. Uzee sio hoja niutani tu mboso kamtania kwamtazamo wangu mm.

    • @K25795
      @K25795 47 минут назад

      Aja mjibu mbosso na Wala aja mind ila ukipitia kwenye comment comment nyingi umesha zeeka, kiba kazeeka

  • @kdady7589
    @kdady7589 2 часа назад +21

    Mimi ni mkenya lakini nawaambia wa Tanzania,,hakuna msanii anaweza kumshinda ali kiba katika mziki hapo tz hata sekunde Moja Ali kiba is the best artist kuliko hata diamond 🎙️

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Час назад +1

      We mkenya umefta nin umu😂😂😂

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 Час назад +1

      Ubora wa Diamond hauwezi kupatikana kwasababu ya comment za watu, au chuki za watu. Ubora wa Diamond unajitosheleza wenyewe hata tusipoongea. Yap kiba ni msanii mkali sana hilo tunalijua pia kiujumla wasanii wa Tanzania karibia wote ni wakali sana

    • @DivinebabyDee
      @DivinebabyDee Час назад

      Niyakweli lkn hayakuhusu,changanya kwato zako huko

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Час назад

      ​@@SeifJuma-l8t😂😂😂

    • @johnmshuta5133
      @johnmshuta5133 46 минут назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 Час назад +2

    Nyie hamjamuelewa mbosso mnachukulia negative tu uzee ni busara

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 часа назад +6

    Yaan huyu jamaa Ana utu na utulivu. King ni mmoja tu

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 4 часа назад +7

    King kiba❤❤

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 3 часа назад +4

    My king 🤴 ❤

  • @Educatedmind-k9r
    @Educatedmind-k9r 6 часов назад +3

    Well spoken King

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 41 минуту назад

    Alozeeka Niyeye Sio King 👑👑

  • @SelemaniMsuya-q8n
    @SelemaniMsuya-q8n 5 часов назад +17

    Ali kiba kuimba Anajua sana
    Lakn ktk biashara ya muziki na kutazama soko linataka nn amezidiwa na Nassibu , kuna wakati aliridhika nakujisahau

    • @Meddy360
      @Meddy360 5 часов назад +4

      Jifunze jambo ndugu,,,,,,alikiba kazi zake zinajiuza zenyewe na zinapenya zenyewe sokoni hatumii nguvu

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 4 часа назад +1

      ​@@Meddy360 zinapenya kivipi??😂

    • @Garikamedia
      @Garikamedia 4 часа назад +1

      @@yussufritzy7684 sasa wewe ulimjw j kiba kam sio ngma zak kwnd sokon

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 часа назад +1

      Si​@@Garikamediahiv kumbe kiba ni msaniii mbona simfahamu

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 часа назад +1

      ​@@Meddy360kumbe alikiba ni msaniii mbona simfahamu

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 59 минут назад +1

    Mi nimeondoka na wanaelewa wana understand na wana enjoy😅

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 часов назад +3

    Only One King✊❤️👑

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 2 часа назад +2

    All the Best

  • @Ramerkomango
    @Ramerkomango 4 часа назад +2

    Respect king

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Час назад +1

    Kazeeka kweli

  • @kaJEMBEvip
    @kaJEMBEvip 4 часа назад +7

    Watangazaji wanafiki sana wachonganishi..

  • @EunicePaulo-l2t
    @EunicePaulo-l2t 2 часа назад +2

    😮uzee uzee unawahusu

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 5 часов назад +6

    Unazeeka mzeeee kafanye kolabo😂😂😂😂 mboso muuni sanaaaa😂😂😂

  • @MariamKamote-i4i
    @MariamKamote-i4i 3 часа назад +2

    King 🤴 kaongea mnatakiwa mnyamaze mfalme akiongea

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 часа назад +1

    King yupo vizuri mno Hana kashifa anajitambua kwe ww king iunavaa vizuri mm naogopa wanaovaa micheni ,mipete mhuuu

  • @DadeCajanja
    @DadeCajanja 5 часов назад +1

    Umejibu vizuri❤❤

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 15 минут назад

    Yani King 👑 kapangua majibu yote angekua yule anaejiita simba angeeza kujisifia 😅😅😂😂😂

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 Час назад +1

    Wandishi wa habari mnauliza maswali ya uchonganishi sana kwa wasanii

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 3 часа назад +2

    Endelea hivy tu king uzuri hjawah kuwalilia njaa

  • @YUSUPHOMARY-r7l
    @YUSUPHOMARY-r7l 2 часа назад +2

  • @ZecaZecado
    @ZecaZecado 3 часа назад +1

    KING MUSIC aiwenzi kuwenda wasafi mimi sitaki ancha biff iende

  • @TeacherMwinyi
    @TeacherMwinyi 3 часа назад +2

    akuna kama wew utu akili na unakijuwa unacho kifanya family bg up

  • @s.a.8402
    @s.a.8402 45 минут назад

    Reporter ame chemsha. Mbosso ame sema wa collaborate pamoja

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 27 минут назад

    Nimependa Hilo jibu 😂😂

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 2 часа назад +2

    Kingkiba

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah 4 часа назад +4

    KING 👑👑👑👑 atyabaki kuwa juu cku zotye

  • @AlphaMawila
    @AlphaMawila Час назад +1

    Yooo sauti zahabu maneno almasi

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 Час назад

    Ali kiba ni mzuri jameni waah

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian Час назад

    Sina la kusema nampenda Alikiba 😂❤❤

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 часа назад +1

    Wabongo tunaishi sana jana hawa vijana wameshachoka hizi mambo zenu na nyie ni Wana habari ni sehemu ya kurekebisha hilo kwenye jamii acheni wafanye kazi zao kulingana na feeling inavyowataka kama Ali kwenda kule au Naseeb kwenda kule itatokea with time

  • @ianbaraka6005
    @ianbaraka6005 5 часов назад +5

    ni utani tu bro

  • @A2Z_tv1
    @A2Z_tv1 Час назад

    Only one King👑

  • @ConsciousBNB
    @ConsciousBNB 4 часа назад +2

    Ubinafsi ni kitu kibaya sana 📌

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 4 часа назад

      Acha ukuma huyo mboso ni kama katumwa kwani kings yuko kiba peke yake ?kwann amtaje kkba that is disrespect

    • @ConsciousBNB
      @ConsciousBNB 3 часа назад

      @shwaibukhatibu2838 chuki tu kuoga aaaaah!

  • @FarYawaka
    @FarYawaka 6 часов назад +2

    ❤❤❤❤

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 48 минут назад

    Kupoteza pesa za umma

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 часа назад +1

    Amnaaa hatakae bakii kijanaa mileleee

  • @IreneShadrack-p6c
    @IreneShadrack-p6c Час назад +1

    Kwahyo diamond ndo hawez kumfata alikiba atake kolabo wanamsukuizia king wetu ili waseme anahangaika na mastar

  • @KristophKihakwi
    @KristophKihakwi Час назад +2

    Alikiba kwa nyimbo gan alio kuwa nayo mond amuofie uyo paka wenu acheni kumfananisha mond na ujinga uwo wenu

    • @BlessSabo-v2t
      @BlessSabo-v2t 50 минут назад

      Kwanza nmbinafsi sana me huwa namchukia sana

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 2 часа назад

    Mbosso hajamtukana Alikiba, alizungumza kwa utani tu!

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 часа назад +2

    King kiba

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 5 часов назад +44

    Niliwahi kusema mimi, ALi wamemshindwa kwenye kuimba na sasahivi wamepata msemo ya kazeeka😂😂😂.atawaumiza mpaka siku wenyewe waseme aLi ni jini 😂😂😂

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 5 часов назад +9

      Wazee ni Jz na Kanye west ila wakikupa collab niko pale😅 kija mdog bado umri mdog et kazeeka wanao sema awajitambui

    • @razakilipwelele5518
      @razakilipwelele5518 4 часа назад +8

      ​@@africanQueeny-u7ohuyu jamaa wamemshindwa kabisaaaa. Mzee ni koffie olomide😅😅😅

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 4 часа назад +4

      Ni mzee

    • @festovenas502
      @festovenas502 3 часа назад +3

      Lakin kumbuka huyo huyo mbosso kamzid watazamaj kwenye kila mtandao sjajua nini kina zingatiwa kusema ivyo 😅😅😅

    • @georgejohny6422
      @georgejohny6422 3 часа назад +1

      😂😂😂😂😂alinyooko

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 2 часа назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @piusdp7328
    @piusdp7328 9 минут назад

    Nan kama king ila Ali kwa mond usikanyage ukijichanganya tyuu crown 👑 media 😢 beybey

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 2 часа назад

    Ndugu umehoji vizuriii

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 2 часа назад

    KING UKO VIZURI ILA WW UKIAMBIWA ISHU YA KWENDA WASAFI HUWA UTAKI KUONGEA POSITIVE KABISA KWANI MONDI ALIKUFANYIA NINI KISICHOSEMEKA SI USEME TU. MR.KING

  • @BenadFrank
    @BenadFrank 2 часа назад

    🎉🎉

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 4 часа назад +3

    Umezeeeka umri umeenda

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 3 часа назад +1

    Hamna msanii wa hivi duniani ambae kaanza trending 2004 hadi leo shows anapiga nyimbo zinaend hayupo ni kiba tu

    • @franklyfaustine3880
      @franklyfaustine3880 2 часа назад

      Ukwel huyu mwamba sijui aliwezaje mpka leo wenzie washapotea na waliokuja kwa kasi bado wamepotea wakiwa wachanga❤

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 2 часа назад

      Huyu ndo mwanaume na nusu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @MasterMindtech_305
    @MasterMindtech_305 4 часа назад

    Hapo kwenye happy holiday wenye D2 tumeelewa 🎉

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 часа назад +1

    Kilaaa mtuuu atazeekaaaa

  • @lemontheneutral768
    @lemontheneutral768 Час назад

    Tilaah mchonganishi

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 2 часа назад

    kazeka kwani mwambino mwenyewe kijana au niule mwili wake auwonyeshi kama nayeye ni mze aya uyo mboso anaujana gani nayeye sindo wale wale kwenye uze nayeye yupo mie nakua mbona anaimba na ao group zao sasa miaka iyo mpaka leo mboso ana miaka mingap😂😂😂😂

  • @EMMANUELGENERAL-n1r
    @EMMANUELGENERAL-n1r Час назад

    👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑🔥🔥🔥

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 3 часа назад

    Uko poa

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 Час назад

    Hhaahaaa politicians are so trick

  • @002RYE
    @002RYE 4 часа назад

    Mwanahabari mchonganishi😂😂😂

  • @Dullah-c3j
    @Dullah-c3j 2 часа назад

    Mwandishi kashindwa kuuliza swali

  • @IsackNestory-b7o
    @IsackNestory-b7o 40 минут назад

    Fara huyu

  • @othmanbomboma9048
    @othmanbomboma9048 2 часа назад

    Shida ni kwambah bado Kama vile Kuna kitu kinamtafunah......

  • @khamisally9559
    @khamisally9559 33 минуты назад

    Sawa huyo msanii wao mbona umri wake unakaribiana na Alikiba? Hebu watwambie kama Alikiba ni mzee yeye ujinga kutoa wapi? Shoga wa P Diddy, mzee wa kulamba midomo na asiyekuwa na kipaji cha kuimba si inasemekana kadanganya umri ili aonekane mdogo?

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 4 часа назад

    Nimewambia huyu dada bado sana sana anahoji vitu ambavyo nivigumu kupata majibu uku akiona kawaida sana kiukweri kukuwa huyu dada msahau kwanza ana hoji kawaida sana wakuchukia achukie

    • @twalibtz1936
      @twalibtz1936 3 часа назад

      Katangaze wewe mzee inaonekana unajua sana kuliko wengine

  • @lemontheneutral768
    @lemontheneutral768 Час назад

    Yaani mwandishi hiki kicha Cha habari kinaleta chuki

  • @Garikamedia
    @Garikamedia 6 часов назад +2

    Kiba anajwg kuongea san🙏

  • @HumphreySwai-u8f
    @HumphreySwai-u8f 3 часа назад +4

    Watoe nyimbo zao ata 1000 utabaki kua mfalme wao 😂😂😂

  • @JumaMtilikwa
    @JumaMtilikwa 2 часа назад

    Ukitaka kukua mashabiki wapoje ziwe zinatokea event kama hivi ndio utajua vigeu geu wanasimama wapi

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 4 часа назад +3

    Ali ukimuwekq nchi kavu yumooooo ukimuweka baharin yumooooo atawasumbua sana mpaka waombe pooo

  • @JonasMapudi
    @JonasMapudi 4 часа назад

    Huyu mtangazaji ana uliza maswali ya kisenge sana alafu ana geuza maneno

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd 4 часа назад +1

    Kweli Alikiba maongea poa Sana. #DIAMOND PLATINUMZ hebu mtumie Kiba beat Kali mufanya ngoma

  • @Zizuuh
    @Zizuuh 2 часа назад

    Ivi jaman kwan umri unarud nyuma au unaenda mbele acheni hizo kuzeeka kwake ndo kukua huko ingekua umri hausogei saiv tungekuwa na umri sawa na mababu zetu

    • @mohdabdullwahid3172
      @mohdabdullwahid3172 2 часа назад

      Huyo hawezi kuzeeka man nimtu anaependa wanyonge anepend mayatima anaepend wazee anaependa kila rika coz watu wote pia wanamuelewa nisawa na mwalimu washule acheni maneno huyo ndyo king kiba

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 2 часа назад

      N babu yako ila sio kwa kiba fara www

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 часа назад +2

    Hawa watu wa uchafuni hawajielewi juzi walikua kenya wakazingua leo wamemrudia Ali kiba yaani kwao ni kutafutana tu, kama mbosso alienda crown kufanya kazi na Abdu kiba sasa inanuhusu nini Ali kiba si unaona wanatafuta ugomvi kama ule wa nairobi na willy poul, yaani diamond anajiita number moja lkn bado wanalazimisha kwa Ali kiba.

  • @EllyMtulumpu
    @EllyMtulumpu 3 часа назад

    Kwenye mziki nikazi sio uzee au umri! Mbona coffee ni mzee na bado wanalilia corable kwake?

  • @MorrisErenest
    @MorrisErenest 3 часа назад

    Sijawahi ona muha msenge kama huyu

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 5 часов назад +7

    Nakushangaaaa sqna kiba,unatumia nguvu kubwa kusapoti wasaniiii wengine nje ya lebal yako,huku wasaniiii wako wanatoq ngomq ila sapot ziro,jitambue mkuuuu sapoti wasaniii wako,k2ga katoa nyimbo lkn no sapotiiii,wasaniiii wako always ni ma underground,

  • @hafishsutihafish1891
    @hafishsutihafish1891 2 часа назад

    Kiba kizee ila ukweli haupendi

  • @Mc.Mwagamwaga
    @Mc.Mwagamwaga 3 часа назад +1

    Weeee,😮😮😮

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 часа назад

    Kumbe alikiba ni msaniii mbona simfahamu

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 4 часа назад

    Hivi kumbe huyu alikiba ni msaniii mbona simjui na simfahamu

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 2 часа назад

      Muulize mamaako ndo atakwambia maana alikuaga hawara ake😅😅😅

  • @LameckMangwenje-k6p
    @LameckMangwenje-k6p 5 часов назад +1

    Hana kazi ya kufanya huko wasafi

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 5 часов назад

      😂😂😂😂😂 ukwl sasa akambe na nani labd wamfaate kama rayvan alivyo mfaata

  • @AbdallahMkikitu
    @AbdallahMkikitu 4 часа назад +1

    Msanii mkubwa kujieleza hujui daaa ajil watu mzee

    • @NYOSHI-n3l
      @NYOSHI-n3l 3 часа назад

      MAMA YAKO ANAJUA KUJIELEZAAAA?

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 5 часов назад +3

    Halafu huyu marombosso hajui kuimba kwa sababu nyimbo zake kwao ni Zanzibar na Mombasa tu.

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 4 часа назад

    Mbona simfahamu na simjui alikiba kumbe ni msaniiii

  • @SharifaShery
    @SharifaShery 3 часа назад

    ʙᴀᴅᴏ ᴜᴘᴏ ʏᴏᴜɴɢ ᴋɪɴɢ ʜᴀᴏ ᴡᴀɴᴀᴋᴜɪᴛᴀ ᴍᴢᴇᴇ ᴡᴀᴋɪsɪᴍᴀᴍɪsʜᴡᴀ ɴᴀ ᴡᴇᴡᴇ ᴡᴀᴏ ɴᴅɪᴏ ᴡᴀᴛᴀᴏɴᴇᴋᴀɴᴀ ᴀɢᴇ ɢᴏ ʙᴜᴛ ᴡᴇᴡᴇ ʙᴀᴅᴏ ᴜɴᴀᴅᴀɪ ᴋɪɴɢ ᴋɪʙᴀ

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 3 часа назад

    Huyu hata hajielewi kabisa. Kiba hajui kujibu ana panic nini