@Ahmed Ally.. wachezaji wa SIMBA SC ni wavivu hawapendi kujituma hawapendi kujaribu ..kubwa wanachojua kutegeana kukimbia majukumu na ndio maana hatufiki malengo.. Utakuta nafasi ya kushinda mchezaji anataka kutoa pass.. na akipiga mpira anapiga bila kufungua macho anapiga hovyo hovyo.. Tunahitaji ushindi mechi ya leo ...
Munguu🙏 isaidie simba sisi niwanadamu hatutaki malaikawakuchezanao bali mungu🙏 tunaomba malaika wakutusaidia tuweze kupata ushindi ❤❤ mungu tusaidie
Inshaallah mungu isaidie simba iweze kushinda
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉
I yo, Jez nyeupe y cola we acha tyu❤
❤❤❤❤❤❤
🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
@Ahmed Ally.. wachezaji wa SIMBA SC ni wavivu hawapendi kujituma hawapendi kujaribu ..kubwa wanachojua kutegeana kukimbia majukumu na ndio maana hatufiki malengo.. Utakuta nafasi ya kushinda mchezaji anataka kutoa pass.. na akipiga mpira anapiga bila kufungua macho anapiga hovyo hovyo..
Tunahitaji ushindi mechi ya leo ...
Leo lazima tuondoe aibu ya taifa
Fadlu hawezi shinda hiyo mechi
Bac utashinda ww km yy hawez
uto, ni mwovu na sio mtu mdogo t