WAJIBU WA MWANAMKE KWA MUME WAKE // BI DEBORAH URIO DAY 17

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Karibu katika mkutano huu na mfululizo wa masomo mbalimbali kwa ajili ya watoto, afya ya akili (kimwili na kiroho), malezi na mahusiano pamoja na mafundisho makuu kutoka katika Biblia Pekee yenye ujumbe mkuu usemao #yatoshajangwani. Tutakuwa mbashara kuanzia 11 mei hadi 1 juni 2024, kila siku kuanzia saa 11:00-2:00 usiku.
    #pizzoonlinetv #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #sdasermon #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming
    Karibu sana.
    Welcome into this session, we believe that it will add somethig in your growth spiritually, academically, socially and inspirationally.

Комментарии • 21

  • @AmbokileMwanyilu
    @AmbokileMwanyilu 5 месяцев назад +2

    Ubarikiwe. Sana. Mtumishi. Wa. Mungu. Kwa. Mafundisho. Mazuri. Kwa. Kuliponya. Kanisa

  • @KamaraSiruri
    @KamaraSiruri 7 месяцев назад +2

    Ubarikiwe

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 5 месяцев назад +1

    For me bi Deborah Urio is a best❤

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  5 месяцев назад +1

      And she is a blessing to many

  • @AgapeandGlorySingersTz
    @AgapeandGlorySingersTz 6 месяцев назад +1

    Barikiwa sana mama urio

  • @dorahalfayo355
    @dorahalfayo355 5 месяцев назад

    Asante kutufungua masikio mtumishi wa Mungu.

  • @willygwaikana6783
    @willygwaikana6783 19 дней назад +1

    Msingi mkuu imara wa ndoa yenye amani, furaha na upendo ni mume kudumu kumpenda mke na mke kudumu kumtii mume. Lakini hili haliwezekani kama kumcha Mungu kikweli hakupo kati ya wanadoa hao. Kipindi hiki cha haki kengeufu, mke nae ni kichwa juu ya mume katika ukristo uliokengeushwa na haki za wazungu.

  • @silvanaivan-m1d
    @silvanaivan-m1d 6 месяцев назад +1

    Ndio mama endelea kutupa vitu wanawake wa kisasa hawatutii kabisa

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  6 месяцев назад

      Mungu atusaidie kwakweli

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 месяцев назад +2

      Na ninyi hamtupendi vilevile

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  5 месяцев назад +1

      Kumekucha 🤗😁

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  5 месяцев назад +1

      @emmadora7848 kumekucha kumekucha 🤗

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 месяцев назад +1

      @@pizzoonlinetv ndio hawatupendi ,watupende waone kama hatuwatii na kuwaheshimu