Mama unafanya Nini kwenye Ndoa? // Dada unaenda kufanya Nini kwenye Ndoa? // Bi. Deborah Urio
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Karibu katika mkutano huu na mfululizo wa masomo mbalimbali kwa ajili ya watoto, afya ya akili (kimwili na kiroho), malezi na mahusiano pamoja na mafundisho makuu kutoka katika Biblia Pekee yenye ujumbe mkuu usemao #yatoshajangwani. Tutakuwa mbshara kuanzia 11 mei hadi 1 juni 2024, kila siku kuanzia saa 11:00-2:00 usiku.
#pizzoonlinetv #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #sdasermon #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming
Karibu sana.
Welcome into this session, we believe that it will add somethig in your growth spiritually, academically, socially and inspirationally.
Asante sana mam nimejifunza kitu hubarikiwe sana
Barikiwa sana
Asante mama angu Mungu akubariki sana kwa huduma iliyo ndan yako na aendelee kukutumia apendavyo
Praise God 🙏
Hallelujah, Amen... Be blessed
❤nabarikiwa sana.
Amina
Nabarikiwa sanaaa mama "acn
Haleluya
Mama karibu mara hakika tunabarikiwa.
Hallelujah 🙌🙏🙏
Amina macho ya moyo wangu yameona
Hallelujah ubarikiwe sana kijana
Ubarikiwe sana mama Urio, umegusa sana maisha yangu.
Haleluya, jina la Bwana lipewe sifa
Asante Mama
Barikiwa sana
Ndoa zimepata tiba kwa kweli. Barikiwa sana mama Deborah
Aminaa
Amina
Amen
Barikiwa sana
By Emmanuel mathayo misalaba kutoka mwanza kwimba kanisa la mwambogwa nazidi kubarikiwa bwana awalinde
Hallelujah 🙏🙌