NATAMANI KILA MTU AJUE KUHUSU VIATU HIVI, CROCS VIATU VlBAYA VINAVYOPENDWA NA WENGI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 519

  • @damari_Auntrasta
    @damari_Auntrasta Год назад +68

    For None Swahili Speakers and For those who didn't watch the video and went straight to the comments thinking he said Crocs are demonic, he actually said about the history of the shoes and The People Behind it and Business in General no Demon no Hell or satanic mentioned..I believe the image was to draw your attention.. We should Stop Jumping into Conclusion. Thank you.

  • @celestinekhabukwi6747
    @celestinekhabukwi6747 Год назад +41

    God is our protect everything we satisfy with the blood of Jesus Christ

  • @shaniterloveran8342
    @shaniterloveran8342 Год назад +11

    Cjawahi kuvipenda na wala cjawah kuvivaaa ktk maisha yangu

  • @cosmaswambua7758
    @cosmaswambua7758 Год назад +70

    Whether they are from hell or not, we are loved and,washed by the blood of christ...

    • @Patricia0794
      @Patricia0794 Год назад +1

      Amen

    • @beatricenjoki2925
      @beatricenjoki2925 Год назад +1

      AMEN AMEN AMEN 🙏

    • @bethwangari6672
      @bethwangari6672 Год назад +1

      Just imagination they are sold worldwide.

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Год назад

      But they bring bad dreams dear dnt just say God above all 🤔🤔
      If u use Satan's tools u are Satan's and if u use God's tools you are God's 🙏🙏🙏

    • @eunivermbungu6147
      @eunivermbungu6147 Год назад +2

      Only God knows and he will protect us from all this

  • @AbisaiBulimu-pw1mu
    @AbisaiBulimu-pw1mu Год назад +13

    Hadithi nzuri sana, initia moyo.pia inaonyesha Mungu hukumbuka wanao muomba walio na mahitaji na walio na bidii,wa vumiliaji na wavunifu.Wa barikiwe sana.

  • @fanuelmduma9296
    @fanuelmduma9296 2 года назад +16

    Umetuweza na huo mpicha wako ulioweka hapo. Tunavyooenda Mambo ya Kutisha Sasa.... Kumbe hakuna loloteeeee...!!😂😂😂

    • @mariaalmack3686
      @mariaalmack3686 2 года назад

      Kwakwel

    • @maissarahirakoze5581
      @maissarahirakoze5581 Год назад

      😂 😂 😂 😂 😂 Kabisaaa

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Год назад

      @@mariaalmack3686 mnawezaje kupenda mavitu ya kutisha jamanii sipendiii!

    • @mariaalmack3686
      @mariaalmack3686 Год назад +1

      @@fatmazullu4933 havitish bana we vaa tu siku 1 uone

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Год назад

      Mie nilijua vya kifreemason 🤣🤣nikaanza kukimbilia comment km kawaida yetu watz 🤣🤣

  • @princegerard4704
    @princegerard4704 2 года назад +198

    Tulioanza Kuvaa YeboYebo wakati wa Miaka 2005 tujuane hapa..

    • @neemajames2073
      @neemajames2073 2 года назад

      Tunatoka mbali jaman

    • @damaspmtz1018
      @damaspmtz1018 2 года назад +2

      Najua, zilikuwa zinadumu Sana kua nzia kuitwa chacha hii ilikuwa inatoka Kenya

    • @kelvinemkebo5522
      @kelvinemkebo5522 2 года назад

      Donald majura

    • @jacklineitala
      @jacklineitala 2 года назад +1

      Jua likiwaka zlikua znalainika znachoma😂

    • @jacklineitala
      @jacklineitala 2 года назад

      Tuliletewa na wacanada wakikatholic

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +11

    Hahahaaa kila nikipita sokoni haviniingii akilini sijui kwa nini kumbe mhmm

  • @genarahaswile2990
    @genarahaswile2990 Год назад +9

    mm navichukia sanaaaaaaaaa hata kuvijaribu sipendi

  • @edwinkanyi7498
    @edwinkanyi7498 Год назад +15

    its blessing i do love crocs and in kenya these is what most people were including me and my family actually i cant see anything bad in wearing them they are my favourite

  • @ElizabethMuia-p2e
    @ElizabethMuia-p2e 3 месяца назад +2

    Sijwai penda mpaka mtoi wagu kaniuliza y mum ununui zako,kumjibu zizipendi,mpaka leo,may GOD protect us always

  • @naketizainabu7803
    @naketizainabu7803 2 года назад +57

    Very comfortable shoes here in Canada we love them.

    • @anjewvision9344
      @anjewvision9344 Год назад +1

      Wouderful crocks at canada

    • @ItsJustSid
      @ItsJustSid Год назад

      You're not from Canada 😂

    • @naketizainabu7803
      @naketizainabu7803 Год назад +2

      @CakeBoyLol yes I'm Canadian and who are you to question were I'm from?

    • @ItsJustSid
      @ItsJustSid Год назад

      @@naketizainabu7803 you're African stop lying 🤣

    • @cypriansituma3044
      @cypriansituma3044 Год назад

      can i have your number..am in kenya

  • @jnn1715
    @jnn1715 Год назад +28

    I have a pair and I love them so much. They are very comfortable. I see nurses wearing them at the hospitals while working as well and they look so comfortable in them.

  • @flezzyroshan9380
    @flezzyroshan9380 Год назад +21

    Everything on this world has its advantage and disadvantages so it's only Gods protection against us🙏🙏even clothes only God who knows 🤔🙌🙏

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 2 года назад +11

    Mtangazaji weye ni lofa sana unatutisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 Год назад +27

    Sijawahi kuvipenda tangu nivione kwa mara ya kwanza.

  • @ruthmukuyu725
    @ruthmukuyu725 Год назад +6

    Mim hata sijawai nunua.wala kupenda.wala sijawai nunulie mtoto wangu.hata sipendi mtu anunulie mtoto wangu

    • @lucyochieng3860
      @lucyochieng3860 9 месяцев назад

      I hated these shoes from day one I Saw them hata nipewe Bure Nita choma ama nitupe

    • @Juliah-kp1uc
      @Juliah-kp1uc 7 месяцев назад

      ​@@lucyochieng3860mi too

  • @jacklinejerr2447
    @jacklinejerr2447 2 года назад +96

    Sio siri ulinitisha kabla sijasikiliza yote nikajua kuna mauwaji sijui yan mana tuna pair 9 yan familia yote tunavaa sasa nikawaza naanzaje kwenda kuvitupa na wanielewe😂😂

  • @rabbidaniel3797
    @rabbidaniel3797 2 года назад +30

    Ulinitisha sana kabla ya kusikiliza. Nilidhani ni vya kishetan

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Год назад +4

    WAAFRICA MNA DHARAU MKIPATA VIHELA WAUGUZI MAREKANI NI MATAJIRI HASA LAKIN ZERO DHARAU

  • @Sammyrashidjnrcom
    @Sammyrashidjnrcom Год назад +10

    We loved them so much,, more flexible 🕺🕺

  • @maryannastansilaus7703
    @maryannastansilaus7703 2 года назад +17

    Nashukur sijawai kuvipenda hata mtt wangu sjawai kumnunulia

  • @Lydiaingolo333
    @Lydiaingolo333 2 года назад +14

    🤣🤣🤣ati viatu vibaya vinavyopendwa, viatu vyaa ma nurse

    • @faeshanoor4129
      @faeshanoor4129 2 года назад +2

      heheee lols medical pipo hatuez ishi bila hzo viatu aiseh all the movements and standing up cant be done in normal shoes..

  • @choicebarber_KE
    @choicebarber_KE Год назад +5

    I love secondhand crocs here in kenya, bt hate the counterfeit from China

  • @vanebichanga9466
    @vanebichanga9466 2 года назад +63

    I thank God since I was born until now I have never admire them 🙏🙏🙏hata nipate ni 20bob🥺🥺🥱

  • @Keirfey
    @Keirfey 7 месяцев назад

    I love Nigerian comedy. German Jackson, here

  • @tabithacharles8545
    @tabithacharles8545 2 года назад +30

    Crox na zipenda na sitakosa kuzitumia ...kwanza kwa denge ukisafiri na uvae na socks very comfortable .

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 года назад +3

    Sijawah kuvipenda na siwez to a pesa yangu kwa ajili ya hii fashen et mtanisameh mnavyovipenda😂😂

  • @monicakamau9682
    @monicakamau9682 Год назад +8

    We are no longer slaves of Satan. We believe in the power of cross .

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 года назад +15

    Nimekuelewa mwisho kwani mwanzo nilistuka ulivoandika viatu vibaya kwani nimenunua zawadi ya mtoto nimevituza kwenye begi vizur ❤💯👍

    • @starjay3052
      @starjay3052 2 года назад +2

      ok pamoja ndugu

    • @asnathmasegenya9890
      @asnathmasegenya9890 2 года назад

      Hata mimi nimesyukq mno vya watoto wangu vina week moja na bei yake nzuri mno kwa kweli vizuri na vyepesi mno

  • @zakariadesha2707
    @zakariadesha2707 Год назад +1

    Kwaviatu ambavyo nnavichukia maishani nasitakuja kuvivaa niyeboyebo hatalingetolewa toleogani kwanzia MWANANGU hatamm

  • @robertihiga2707
    @robertihiga2707 2 года назад +18

    Sijaelewa shida ya kuzivaa hizi viatu ni Gani?

  • @LUKIMatheo899
    @LUKIMatheo899 Год назад +1

    Namie sijawai kuvivaa Wala kutamani sijui kwann nanikimuona rafiki angu kaava namzalau sijui kwann mie 😢😢😢

  • @shalvingurema6074
    @shalvingurema6074 11 месяцев назад

    awesome he said hater nobody ignore that

  • @janepherodouri3393
    @janepherodouri3393 Год назад

    Kwenda hebu nipee siri ya shakakholo it seems unajua sana😂😂😂😂

  • @winifridatairo6660
    @winifridatairo6660 Год назад +5

    Yaani siyo siri,, mimi sivipendi mpaka nashangaa kumuona mtu anavaa na kufanya mtoko jamani,,

    • @Juliah-kp1uc
      @Juliah-kp1uc 7 месяцев назад

      Sijawai zipenda kabisaaa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 года назад +8

    Hata mimi binafsi zivipendi. Ila napenda kuviona miguuni kwa watoto

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 года назад +13

    Navipenda hvi viatu

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 2 года назад +11

    JUSTIN SHED NAOMBA UTULETEE SABABU ZINAZOFANYA VYUO(UNIVERSITY/COLLEGE) VINGI KUWEPO AU KUTENGENEZWA KARIBU NA BICHI(BEACH)... KWANN NA IMEANZIYA WAPI AU KUNA SIRI GANI? 🙏

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 года назад +10

    Kwaiy hv vilivuopo huku kwetu vya buk 3 inawezekana ni fake? Maana dizain ni hyo ila ni yebo za Kenya

  • @MoureenSyombua
    @MoureenSyombua Год назад +5

    i cant mind of leavimg the shoes i love them uncontrollably

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Год назад +7

    I'm going to buy a pair for me 🏃

  • @Fancyron
    @Fancyron 5 месяцев назад

    God protect our lives,, because santan uses everything to overcome Gods people but one santan would be defeated

  • @aash4145
    @aash4145 2 года назад +2

    Ukitenda, wema, hulipwa wema,,,, Ukitenda, ubaya,,, hulipwa ubaya,,, hata kama ichelewe lakin malipo yapo,,, nivema kuishi vizur, ndio maana walipungua wakabaki 2,

  • @emanuelhermin4438
    @emanuelhermin4438 2 года назад +5

    Yebo la matobo 😂😂😂

  • @MeskoTossi
    @MeskoTossi Месяц назад

    M ndo cjawah hata kufikiria kuvitumia viatu hivyo😅😅

  • @EdnaJeremiah-i2c
    @EdnaJeremiah-i2c Месяц назад

    Kila kitu dunia ni kibaya tunamuachia mungu atulinde hakuna kizuri duniani

  • @azizambise
    @azizambise Год назад +1

    Mwenyew sijawah ht kuvivaa

  • @ZablonMilengo
    @ZablonMilengo 8 месяцев назад

    Waaah😮😮😮

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +2

    Sasa twende kazi 🙆😄😄

  • @davis9951
    @davis9951 Год назад +4

    Mambo mengi yakupoteza bundles za watu

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 года назад +10

    Mi sivivai hivyo viatu, cvipendi mno

  • @theekieny
    @theekieny 7 месяцев назад

    Watching this whilenimevaa zangu 😂😂

  • @kombojuma2873
    @kombojuma2873 Год назад

    I love vr much this sandals 👌

  • @maryannBoke
    @maryannBoke 2 месяца назад +1

    Kusema ukweri mm sivipendi hata kidogo

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 года назад +6

    Alf nikwann unawekea watu mack kwenye macho hapo pichan bro?

  • @MubengwaDieumerci
    @MubengwaDieumerci 27 дней назад +1

    akuna kitu una sema

  • @josephinegagai
    @josephinegagai 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 sasa kaka braza tufanyeje????tutembee mguu chuma?????????? God is our protector,He knows everything 💯💯💯💯💯💯.hizo story zote unatupea tu ju ya crocks??????ama kuna cha mno???????????? 🇰🇪🇰🇪

    • @ScovyaPatrick
      @ScovyaPatrick 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @frankpaul8784
    @frankpaul8784 2 года назад +8

    Bro tunaomba story ya quavo huncho 🙏🙏🙏

  • @godfreysway1732
    @godfreysway1732 Год назад

    Na nina vingine vina sik 2 sasa cjuy kama ntaacha kuvaa navyo vipenda😂😂

  • @Bkamandawazam
    @Bkamandawazam Год назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenifulaisha Sana hapo ulipo sema ilibidi wawekezenguvu kwenye kutengeneza vitu vyenye sura mbaya

  • @minzamuhandagani5002
    @minzamuhandagani5002 3 месяца назад

    Sijawahi vipenda mpk leo😅...Ila nanunulia watoi

  • @jaynemevo1297
    @jaynemevo1297 Год назад +1

    We use crocks for work as nurses herr in Europe as they are comfortable when we are working long hours.

  • @mariaalmack3686
    @mariaalmack3686 2 года назад +2

    Kakangu kaanza kuvivaa sibce 2006 alikuw ana miaka mi5

  • @adijashaban4793
    @adijashaban4793 2 года назад +2

    Niatari my brother mi naviuza dukani kwangu 😳

  • @WinifridaAndrea-bt5iz
    @WinifridaAndrea-bt5iz 10 месяцев назад

    Mimi napenda vavyo mpaka ndege😂😂

  • @monicawambui1818
    @monicawambui1818 6 месяцев назад

    Waaao mi napeda crocks zenye navaa hazina mashimo, no weapons shall Form what l wear Shall prosper

  • @ftoomibrhoom7512
    @ftoomibrhoom7512 2 года назад +12

    Mimi sipendi Tena atavikiwa mlangoni unikera Sana

  • @AgnesWambui-wr9wl
    @AgnesWambui-wr9wl 6 месяцев назад

    Crocs.... crocodiles 🤔🤔

  • @loventinesamy1325
    @loventinesamy1325 Год назад

    Me hubuyia tu watoi wangu bt me mwenyewe no sivipendi hataaaa watoi wangu shauri yao

  • @lewisleonard3672
    @lewisleonard3672 10 месяцев назад +1

    Kudadeq niliona hii video na sikuwahi kuifungua juzi nimejikuta nanunua kiatu kama kilichopo kwenye kava lkn caption ya video ikaanza Kuja kichwa mpaka nimeamua kuifungua Leo tar. 2/2/2024😆

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 Год назад +1

    for real and for sure cvipendi na cjawah kuvipenda navichukia na ctokaa nivae kamwe hata mwanangu

  • @RosPhanuer-xk5vu
    @RosPhanuer-xk5vu 5 месяцев назад

    Navipenda xana🎉🎉

  • @kibibimimi3927
    @kibibimimi3927 Год назад +1

    Wallah nilidhani kuwa ni sheria ya manesi wakunga na madaktari kuvaa Crocks

  • @catherinesichangi9051
    @catherinesichangi9051 2 года назад +12

    Kiatu kina maana nyingi wengi hajaelewa. Kiatu hiku nakijua, na lazima uwe Makini chapendwa na wengi.

    • @victorosong
      @victorosong Год назад +3

      Wewe ndiyo hujaelewa, amefanya kutafsiri kutoka Kiingereza "ugly shoes loved by everyone" Hii story ya Crocs iko kwa RUclips lakini kwa Kiingereza.Jamaa amefanya kutafsiri tu.Akisema vibaya anamaanisha ugly.

    • @mercynaibei
      @mercynaibei Год назад

      Wee aki n nguo pia Zina maana yake lol we're living in an evil world

  • @DaudiSendama
    @DaudiSendama 8 месяцев назад

    Ila jamani ukweli hivo viatu mmmmmh! Kwangu mie yaan mpaka vina nichefua halafu hivo Havifai kabisa jiulize hizo kama kwenye tope lazima uanguke

  • @ndindajackline9798
    @ndindajackline9798 Год назад +8

    I have more than 3 pairs and they are very comfortable.

  • @injeudorine3668
    @injeudorine3668 Год назад +9

    I remember my dad telling me never to buy to her granddaughter oooh maybe he had a revelation

    • @victorosong
      @victorosong Год назад +1

      Wewe ndiyo hujaelewa, amefanya kutafsiri kutoka Kiingereza "ugly shoes loved by everyone" Hii story ya Crocs iko kwa RUclips lakini kwa Kiingereza.Jamaa amefanya kutafsiri tu.Akisema vibaya anamaanisha ugly.

    • @hannahwangui7080
      @hannahwangui7080 Год назад +1

      I believe he had a revelation,
      coz to me I was told to burn them and never wear even my kids, hawavai. Only the Holy Spirit can help you.

    • @hannahwangui7080
      @hannahwangui7080 Год назад +1

      Also I have seen several videos about the shoe, kwamba zinasabab Isha cancer.

    • @theboytz5222
      @theboytz5222 Год назад

      To buy to😳😳

  • @NuruKasiro
    @NuruKasiro 3 месяца назад

    😂sijawahii vipendaa kiukweli

  • @kavirajanine4893
    @kavirajanine4893 Месяц назад

    Nivizuri muache usenge
    Ukikataakitu usiwaze
    Wengine hawakipendi nzo
    Fashion ya Sasa mbone
    Munavaaka makambambili
    Duniya hii kunawengi wanajivuna

  • @SharonJepkiruilaban
    @SharonJepkiruilaban 2 месяца назад

    Haha karibu niende kutupa zangu nimenunua siku 3zilizopita

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr 2 года назад +7

    Vipi kuhusu jobless sandals sizikubal hata kidogo

  • @Keirfey
    @Keirfey 7 месяцев назад

    When you sign up for hospital work, they run tests for TB and give you updates on innoculations. I got MMR, etc before kindergarten

  • @OfficialJellyroll-r5t
    @OfficialJellyroll-r5t 29 дней назад

    Nothing is pure in this world but once the blood of jesus is involved no worries, before you use anything sanctify it with the blood of jesus. then you continue using there no wahala

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 2 года назад +2

    niliulizia pale mliman city bei ni 99,000 nikala kona 😂

    • @mama_mlezi7744
      @mama_mlezi7744 2 года назад

      Heeeee mambo yenyewe ndio yako ivo nilijua elfutano mimi

  • @BrianAbanja-tq9rq
    @BrianAbanja-tq9rq Год назад +1

    Navichukia viatu hivi tangu nianze kuviona sijawai kuvivaa

  • @alfredrweyemamu7807
    @alfredrweyemamu7807 Год назад +1

    fashion hz daaah sema basi tu ila ndio maisha ki ukweli nmewahi kuvivaa ila si vipendi

  • @bethshebaoloo708
    @bethshebaoloo708 9 месяцев назад

    Everything you pray before using because alot of things the devil use to get to us.

  • @chrisbaraka5288
    @chrisbaraka5288 2 года назад +7

    Sijawahi kuvikubali

  • @salomeshila3671
    @salomeshila3671 Год назад

    Jmn unatisha ww kichwa chahabari kimeniogopesha sana kabla sijaskiliza

  • @juliassamwel3232
    @juliassamwel3232 Год назад

    Picha na unacho kieleza todauti 😂😂

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Год назад +1

    Haya Ni matokeo ya zile bangi zinazo teketezwa kuleee mashamban na Moshi umefika hd kwako.

  • @joicenjoki7620
    @joicenjoki7620 10 месяцев назад

    As long as Mungu ako everything is fine❤😮

    • @joicenjoki7620
      @joicenjoki7620 10 месяцев назад +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 2 года назад +12

    These shoes are for many years but in Africa few yrs ago

  • @HopsonGamadzi-e6n
    @HopsonGamadzi-e6n Год назад

    In Malawi, viatu hivi vinaitwa "MBAULA'' .Tunavipendaga

  • @JanethMadios
    @JanethMadios 8 месяцев назад

    Navipenda hayari

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 2 года назад +3

    Vle zinakaa kwa Munda murefu,na unaweza kutumia kwa matope

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 6 месяцев назад

    Sijai vaa hizi design xa macrocks ata sijui bei zake

  • @wanjirususan
    @wanjirususan Год назад +3

    Are you sure it's not market fights

  • @theclassicwurldlyric
    @theclassicwurldlyric 7 месяцев назад

    sema hawa watu wanapotosha sana kila mtu na imani yakee