Na MWALIM mkuu anakuchukia baba joan pole mwaya Mungu atawaaibisha mwisho WA siku we endelea kuwafundisha WANAFUNZI kwa ubunifu wako watafaulu zaidi na zaidi
NABII MAARUFU NCHINI AFANYA MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI, ILI KUWAAMINISHA WAUMINI NA DUNIA NZIMA KAMA YEYE NDIYE NABII PEKEE MWENYE MIUJIZA. KIJANA ALIYELIPWA ILI AKAFANYE MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI AELEZA ALIVYOKUWA ANATAPIKA NYOKA, VYURA, MIJUSI. HALI ILIYOWAFANYA WAUMINI WENGI KUMIMINIKA KANISANI KWAKE NA KUAMINI MIUJIZA HIYO INATOKANA NA NGUVU ZA KIMUNGU ALIZOMPA NABII HUYO. HATA WAUMINI WENGINE WAPO TAYARI KUPIGANA HATA NGUMI IKITOKEA MTU AMEWAAMBIA UKWELI KAMA NABII WAO HAYUKO SAWA. NABII AMTISHIA KIJANA HUYU ENDAPO ATAVUJISHA SIRI HIZI. KARIBU UTAZAME TUKIO LA KIJANA HUYU ANAVYOSHUHUDIA NA ALIVYOPITIA NJIA NGUMU YA MAISHA. ruclips.net/video/Ew8F2liyltE/видео.html
Mkiwa mnaigiza na umechukua nafasi ya mwalimu hatutaki love bite.... Madam analove bite ...afanye makeup kwenye hyo alama akiwa anaigiza please....... Movie nzuri mno....na tunaifuatilia
KESHO SAA KUMI JIONI MWALIMU MGENI ❤️ NO 04 ITAKUA HEWANI SUBSCRIBE ILI UWE WAKWANZA KUTAZAMA
lllllllll
Mwalimu mgen
Mwalimu mgen thanks a lot msalimie madam witnesses
Uwakika 😂😂
Endelesha movies kbx mpaka 150 kweli movie ya fresh sn ❤❤❤
Huyu kijana anakipaji cha kuimba kweli❤❤❤
Mwalimu mgeni. I love this nikiwa Kenya 🇰🇪
Na MWALIM mkuu anakuchukia baba joan pole mwaya Mungu atawaaibisha mwisho WA siku we endelea kuwafundisha WANAFUNZI kwa ubunifu wako watafaulu zaidi na zaidi
Leo mimi wakwanza kutoka mozambique kazi nzuri wa Tanzânia nipenda kuliko
Madam akachora ❤akaeka wino mwkund akamlizia i ❤u 😂😂😂 aki kitu kitamu hiki❤❤❤❤❤❤
Daah huyu kijana anajua kusing wallae,,, likes Kwa huyu kijana wadau
Mgeni mwalimu love you nikiwa kenya
patronize unajua ukiendelea utafika mbl
Jmn uyu kijana anaeimba jmn anakipaji kikubwa 🎉🎉
Wanafanya vizuri❤
New fantastic comedian kazana baba Joan maua yako 🎉🎉🎉🎉
Patronize unakipaji ukiendelea utafika mbali Kwa uwezo wa mungu
Dogo mpelekeni studio 🎙️ mimi wa kwanza naombeni like zangu
Acheni kuwaharibu vijana wetu na kuwafundisha Uhuni pumbavu zenu✓
Au co
Dogo hongera 🎉 wallah umebarikiwa na kibaji
Patronize namwita tena patronize namwita tena patronize this boy was so talented and gifted 🔥🔥✌️🙏
😂
Mwalimu ameambiwa mambo Ni matatu😂😂😂
Uyo janja ni kwel anakipaji cha kuimba anajua sana kama chinga wa konde boy
Dhu pole san mwalimu mgen japo mnaigiza
Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu
🎉🎉🎉🎉
Hatari
NABII MAARUFU NCHINI AFANYA MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI, ILI KUWAAMINISHA WAUMINI NA DUNIA NZIMA KAMA YEYE NDIYE NABII PEKEE MWENYE MIUJIZA.
KIJANA ALIYELIPWA ILI AKAFANYE MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI AELEZA ALIVYOKUWA ANATAPIKA NYOKA, VYURA, MIJUSI.
HALI ILIYOWAFANYA WAUMINI WENGI KUMIMINIKA KANISANI KWAKE NA KUAMINI MIUJIZA HIYO INATOKANA NA NGUVU ZA KIMUNGU ALIZOMPA NABII HUYO.
HATA WAUMINI WENGINE WAPO TAYARI KUPIGANA HATA NGUMI IKITOKEA MTU AMEWAAMBIA UKWELI KAMA NABII WAO HAYUKO SAWA.
NABII AMTISHIA KIJANA HUYU ENDAPO ATAVUJISHA SIRI HIZI.
KARIBU UTAZAME TUKIO LA KIJANA HUYU ANAVYOSHUHUDIA NA ALIVYOPITIA NJIA NGUMU YA MAISHA.
ruclips.net/video/Ew8F2liyltE/видео.html
😅
Hi
Congratulations 🎉🎉 bongo movies tutafika mbali
Sir magesa kazi unayo naona mzimu utakusumbua sana
Iseey barua jamani 😂inavutia yaani hata kilochoko ndani chavutia yaani 🎉dah mpaka me mwenyewe nikajikuta nacheka peke yangu 🤣 mbwa mimi😂
Daaaa,,mapenzi,,,,uchawi.........mambo ya shule bwana.........mu medicine
Big up👍👍👍
Kazi nzuri sana hongera, endelea kukaza msuli
kazi nzuri sana tunasubiri epsode ya 4❤
Congrats 👍 kinjana huna kipaji kweli
Baba Joan patronize anajua mzee usiache Hilo groupp
Congratulations huyo kijana ako na kipaji cha kuinba
Siku zote penye mafanikio hapakosi Chuki na majungu. Ple sana Mwl mgeni....
Hii imeenda 😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥
Dgo unajua kuimba
hii movie ni noma sana nimeipenda kama nyie p mume I like nipeni like ap❤😂
DAAAH @babajoan unajitahidi kutupa Raha sisi tupo Oman ila nishaniki zako tokea unaanza tupo nawewe KAZI zako nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
kimeumana mwisho wa season 🤣🤣🤣
Mbosso brother 🎉🎉🎉
Kama unaamin uyo dogo anajuw kuimba naatafika mbali em dondosha like apa na utoe maoni❤❤❤❤
Hapo patronize ulikosea kidogo ungemuuliza kwanza madam anapenda wimbo gan
Dah!! Kazi kali mzee ❤❤❤❤
Mwarimu mugen pore sana umekutana nacangamoto nyingi sana
Mwenyw nimeshtuka apa
Ooh my God uyu kijan nyimbo zake zinanifurahisha ,,I'm Rwandan 👉🇷🇼 but sijui kiswahili sanif vizur nakiskiya kidogo
Oooh kumbe na wewe unafuatilia
Nimetokea us
Kikweli mnasauti nyie watoto👏👏
Watano 5nipeni maua yangu🎉🎉🎉🎉
Nakuomba Baba Joan nakuomba kesho Leta part 3
Sio part 3 ni part 4
Hilo group ni noma baba Joan usiliache ❤❤❤
Hongereni kazi mzur
Huyuu mtoto wa kikee ni vocalists mbaya
Eheee
inapo elekea itakua nzur zaidi ❤❤
Baba Joan, sijuwi niseme nni ninavyo enjoy
Hatal
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
🔥🔥🔥 HII IMEENDA,
GONGA LIKE KAMA UPO MBEYA
Kijana huu anajuakuimba Sana ananitoachozi Kbis 😭😭anaimba mpaka mwalimu akalala kwakweli namimi ananitoaloho❤️😍🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
kwan kile kanyimbo chake au
Mkiwa mnaigiza na umechukua nafasi ya mwalimu hatutaki love bite.... Madam analove bite ...afanye makeup kwenye hyo alama akiwa anaigiza please....... Movie nzuri mno....na tunaifuatilia
Wow nice song and voice
Pongezi kwakwe #patronize 💪💪
Hi wa kwanza leo
Mnanikumbusha machungu namkumbuka Ali ponela alipo fariki msindo iliniuma sana
Pole Sana mwalm mgeni natoa ad machozi
Uyu mwalimu kuu atakuwa kweli n mwalimu
Maan ivi vimikoba vya mikopo ndo uwaga vyao
🇰🇪🇰🇪 keep it up babajoan
Hapo wanafunzi wanapoongea Na mwalimu boom microphone imeonekana😂😂😂😂😂
I'm the first one from Kenya wapi likes for this video
Naomba kujua hii shule ni ya tabata shule au
Patronize just like IBRA OF KINDE GANG
Aww 🥰🥰 sauti za wasanii
Kula chuma icho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉dogo anaimba sanaaaaaa🎉🎉
Please 😢kijana petronizee. ,,aende studio please
wow ! nimewapenda htr
Kazi nzuri Sana, Ila mtu wa sauti awe makini na kazi yake Kuna baadhi ya boom mic Inaonekana kwa frame
Npeeni patronase jamani awe kipenzi changu
Na mpenda saana madam wenu wanafunzi munaona dje? 🤣🤣😂😆
Sipendi mtu anae sema haya mambo yapo wakati hakuna njia mbadala ya kuzuia isitokee daaaah
Hiki kipaji cha Muziki kikikaza kitafika mbali
Patronize😂😂😂
Daah sir nimekukubar Bora unaju
Baba Joan big up brother ❤️❤️❤️
Ndiyo
Ndiyo
Kutoka tanga handen nice 🎉🎉
Mwalimu usijali pambana na kazi Mungu mbele
Nakweliq
Naaam ni kazi nzuri hakika pongezi kwa @mwalimumgeni
Congratulations from Mombasa Kenya 👊
shega
Jamaa kamuimbia madam song la mapenzi
Hatali
Mko vizuri kuigiza ila zingatieni maadili
In o level you get to experience many new things
Ikiwezekana tengenezeni hata 100 nzur sana
Piga kazi unajua sanaaaa
Nataka like tu ata mbili tu
😂😂 mwalimu kalala kwa muziki😂😂😂
Dogo namuona kama ibra anaomba mno
Nimempenda muimbaji
Waalimu na wanafunzi,,, wote wasanii
Patronize me nakupnda ❤❤❤
Uyo msani wakiume aende BSS kushiriki achuguwe hela
Siwezi marioo😊😊😊😊😊😊
Ila huyo dogo anajua kuimba.....
i love mr teacher
You are my medicine, imeweza
At alikua anapata bili😂😂
MKOJANI kimbia