Baba joan ama kwel una kipaji mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili uendelee kutufunza kwel kila kukicha unakuja na mapya na mazuri zaidi hongera sana❤❤❤❤
Mr Ntusu, you never disappoint together with your crew! Here you go again! A great masterpiece!!!! God bless the works of your hands. Deuteronomy 8:18.
Hapo kwenye kuzaa jaman mbna mmerahisisha sana, yan mnatufundisha kua kuzaa ni rahisi kiasi iko tena kuzaa watoto mapacha hata dk kumi azijapita kashajifungua wote jaman kueni serious.
Kazi nzuri sana baba Joan pamoja na wenzako mnaoshirikiana nawapeni Maya yenu❤. Nawapenda sana toka Kenya. Naomba siku Moja kufanya kazi nanyi Inshallah.
Kazi ni safi ni unyama sana Zaid unaleta vitu vikali sana hongera sana🎉🎉🎉🎉kama unakubaliana na mimi weka apo alam ya upendo
Plan B inakawiya KP 😂
Wagwan bro.. thanks 🙏 for appreciating your fellow
Hdi Sunday wamesoea after one week😅😅@@shekyajonasjojos
Ô
'' 'llooooiuuhhuo le plus tôt de chez nous le plus ihchjhhhhhhhybbb. N. N. Jkjhhhjhgfx
Bbbbbvvbjvcgggcvvcc. Vfffddddddds🥰😘😘😘😘😆😮
Safii
Kp plan b fanya week mara mbili
Tuliotamani kuona movie hii gonga like 🥰 much love baba Joan. 💘
Tujuane mapemaaaaa tunaoanza kufutalia watoto wangu weka alama yako hapa
Haya Sasa hatimaye tumeinza vyema Watoto wangu team strong 🇴🇲🇴🇲🇧🇮
Nawapenda sana Karobo na omari watoto wazuri munavichwa vakushika sana ata shuleni mungu awatangulie INSHAALLAH🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Tumeianza leo 6/11/2024 jumatano,Eee Mungu wetu tunakuomba ukawe nasi hadi tamati ya tamthilia hii...ulinde kila mmoja wetu hadi tamati🙏🙏🙏
Ameeni
Amen Thuma Amin Yarabb 🤲
Amin yaraby
Allahum amiin
Ameen
Watching from +254 Kenya 🇰🇪❣️
Asante Sana Baba Joan Kwa kutuletea vitu vikali Sana much love from Kenya congratulations 👏 Kwa kazi nzuri 🎉🎉❤
Waouh congratulations baba joan wewe ni mkali movie yamafundisho hii mimi natuliya zangu kufata hii movie 🇧🇮
Nawaangalia nikiwa 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦team strong mko wpi mbn cwaoni uku ndani mm nko tyri😂😂😂😂
Tuko hap mbon dear
Tupo mbn lihomu wajid shughul😅😅😅
Tuwete nalo adi muwesho like please 😊
😂😂😂pamoja Habibi
Oman 🇴🇲
Makofi mengi kwa baba joan kwa kitajali MASHABIKI zake hii movie inaonekana nzuri sana, walioona utamu WA hii movie ka mimi like my comment
🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿
Ubarikiwe sana ba karobo pia hii move imenikumbusha kitabu cha takadin kina sekai Kaz nzur sana
Nimekuwa wakwanza watoto ❤❤❤❤ Ep 1 kama tutakuwa nanyinyi kutoka Burundi nataka nione upendo wenu gonna like❤❤❤❤ zameni
Unajidanganya
😢❤@@Al-farsy-l6p
Leo wakwanza kutokeya congo 🇨🇩 🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali baba Joan
Mmeanza vizuri muimalize vizuri kuliko ulivyoimaliza vibaya ya mama kalobo
Mmmh,iliisha vibaya kweli?
Jmn wee dada ww muvi iliisha vzr sana et imeisha vibay
Duuuuuh kumbe iliisha vibaya
Walimaliza vizur kipenz najua pale kat ilikuchosha ila alihamdulilah
Jiwe jipya ilo kali❤❤🎉🎉🎉🎉 hongera baba Joan
Wakwanza kutoka kenya nipe like zangu
Karibuni Tena tuko pamoja Kigali 🇷🇼❤❤❤❤❤ cyaneeeee
Wa kwanxa kutoka kenya❤❤kama unakubali Baba Joan gonga tukisonga❤❤❤
Kazi nzuri sana 😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naipenda sana baba Joan ❤❤❤❤
Nice job baba karobo nazikubari kazi zako ❤
Baba Joan kiukweli filamu zako mara nyingi ni za maarifa na maadili katika jamii kongole sana . Tunakukubali kutoka Kenya 🇰🇪
Mpyaaaaaaaa❤
Mama kibendu uki huku kuumbe♥️♥️like zako
Wakenya tupo 😂
Tupo
Tupp😂
Tupo wengi muno
Tupo
Tupo 😅
Karibu tena🇰🇪🇰🇪
Nimekua wa kwanza kwenye episode ya kwanza like zangu plz 😂😂🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿
Wanao utamani watoto pacha km hawa gonga dole ya umoja mungu atubariki tupate kwa haraka
baba joani move zako zinanifurahisha sana
Metoo
Awo walinzi wa chief 😂😂😂😂
Ni shida jinsi walivo😂😂😂😂
@olicej7837 😂
😂😂😂
🎉🎉🎉hatupoi twendeni nalo tuipe nguvu kama babayangu n kipofu❤❤❤pia mnifatilia mm pia n muimbaji from Kenya 🎉
Tumeanza na nyie Mungu atusaidie tumalize na nyie❤❤❤
Na uyo jamaaa Si Ni mrefu sana
Huyo ni mrefu kuliko wote Afrika Mashariki😂 na pia ni kivutio Cha utalii😂
Mashallah
🤣🤣🤣@@user-vi5zj7yi1d
Jama mlefu wa level ya kuzidia ulefu nyumba 😂😂😂
Hiyiii movie noma sana
😂😂😂
Movie za baba Joan sinakuaga moto moto sinampagilio Wa ukweli ata hii tutaifuatiria sana❤❤❤
Kazi safi 🎉🎉🎉
1 2 3, Set? Goooooooo✊😊🔥🔥💥💥🇰🇪🇰🇪
🎉🎉haya hatimae tumianz vzr watto wangu 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuriiii ila sauti ya mziki ipo juu sana zinamezana na maneno,ni vema ikawa chini zaidi au wakati wamazungumzo isiwepo kabisa ila big up sana
+254 Kenya following this new movie.
Pamoja sana Baba Joaan
Aya sasa twende sawa tena kutoka kwa baba yangu kipofu tumekutana kwenye watoto wangu🇲🇿🇲🇿🥀🌹😝🤣🤪
Jamani iyi move ni moto yani ninzuri sana baba Joan mauwayako ayo🎉🎉🎉🎉🎉Mungu azidi kukupa nguvu yakutuelimisha insha Allah
Kwaheri hii movie ni 🔥🔥🔥twendelee vivyo hivyo much❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Wa kwanza leo
Baba joan ama kwel una kipaji mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili uendelee kutufunza kwel kila kukicha unakuja na mapya na mazuri zaidi hongera sana❤❤❤❤
Daah kali kuliko mambo yanakuwa mazurii🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Kanzi Nzuri San ❤❤❤❤
Jamani nipo pamoja na nyie kutoka baba yangu kipofu hii movie nzr sana aisee nipo chini ya magoti yenu tupeni episode nyingine nimeipenda sana.
baba Joan kamaliza chuma ya baba yangu kipofu kaleta chuma ya wanangu bonge moja la movies aseee Allah akuzidishie kipaji kaka
Kazi mzuri sana baba karobo❤❤❤
Duuh mpka kwenye huku tumepata kaka kasongo noma sana
Movie nzuri sana hii nafuatilia hadi mwisho
Kama unampenda babá Joan ginga like 🎉🎉🎉❤❤❤
Wewe baba kalobo unaanza guchezea hakili zetu sasa
Daah bonge la movie
Wooow❤❤❤❤ mzri sana
Kazi njema sana hongera ❤❤❤
Japo sasa kazi inaanza ya kuweza ku musapoti musanii wetu baba kalobo yaani baba tupo nyumako kaabisa
Mama kibendu tunaomboleza kwa house girl kumbe uko uku hongera sana 🎉🎉🎉❤️❤️❤️
Nmefurahia sana episode hii,,, nlikiwa nmeitegea kwa hamu,,,, kutoka 🇰🇪🇰🇪
Mwenyezi Mungu awatangulie nyote kwa pamoja hakuna kukata tamaa kazi iwe juu ya kazi 🎉❤❤
Ii movie ni moto🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana Mungu walinde 🙏🙏🙏🎉🎉🎉❤❤❤
Aya team bba joan kujeni uku watoto wangu imefika ssa❤❤ njooni mbio
Tuko hapa
Japo nimechelewa ila axanten xna 2meianza vyema move hii nyingine baada ya kumalza baba yang kipofu na na2maini 2taimalza vyema axanten xna ❤❤❤
❤❤❤❤❤ kaza moyo baba joan❤🎉🎉
Yaani awo WATOTO wanaonekana kabisa kama wa kuedit....mmh aya
Kazi IPO ntamu sanaaaaaaa jean from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wow kazi nzuri sana hongera baba karobo ❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri baba joan yaani vitu kali tunawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤
Kwema
Mr Ntusu, you never disappoint together with your crew! Here you go again! A great masterpiece!!!! God bless the works of your hands.
Deuteronomy 8:18.
Hapo kwenye kuzaa jaman mbna mmerahisisha sana, yan mnatufundisha kua kuzaa ni rahisi kiasi iko tena kuzaa watoto mapacha hata dk kumi azijapita kashajifungua wote jaman kueni serious.
Watu wamekubali hi kazi kama nikali nipeni like baba Joan mauwa yako from 🇧🇮
Kazi nzuri sana baba Joan pamoja na wenzako mnaoshirikiana nawapeni Maya yenu❤. Nawapenda sana toka Kenya. Naomba siku Moja kufanya kazi nanyi Inshallah.
Hongera sana baba joan sema isiwe ndefu saaana inapoteza radha tunasahau mwanzo
Napenda sana,, from Kenya,, currently Saudi Arabia
Movie kali xna inatufunza vinzuri much Love ♥️♥️♥️ guys
Hongera baba Joan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zuri sana😘
Nani mwingine anapenda hiki kipindi,pia sisi tufuataneni hapa pia sisi tufaulu pamoja ❤❤❤❤
Waaa mmetumalizia 🔥 mmetulitea faya😂😂😂😂😂😂😂😂 more love team baba karombo hongereni kwa kazi nzuri ❤❤❤
Nmefufahi kukuona goliathi ilasijamjua jina lake naomba m niambie nawapenda sana
Nilicelea Lakini niko na nyinyi.!!!!Am great from Mozambique 🇲🇿 tuko natatizo ya enternet siku hizi.
Congratulations kwa kazi nzuri 👏👏🎉🎉💖
Huo wimbo ungeimbwa na patronice, ungeskika vizuri sana, ni ombi tu 🙏
Exactly
sahihisaana🎉🎉
Ndo yeye kaimba
Ni yeye patronise jmn
@AhmedA-zw3jv really?
naikubali kazi yako kaka... Moja Kali baada ya Baba Yangu Kipofu... jirani 254
Kaz nzur jaman ,Mungu asaidie tamthilia hii imekuwa nzur na mwishoe iwe nzur
❤❤❤❤❤ nilikwa nimesubilia sana kuiyona hii movie
Wow amazing baba Joan kazi nzuri sana from baba karobo Andy watoto wangu napenda movie sako sana baba. from team strong ❤❤❤❤❤❤
Waoooo mmi natikea burundi mmetupa kitu kikari tena papa karoba uzind kusonga mbele sn🎉🎉🎉
Dah,!Aisee movie tamu kweli.watching from 🇰🇪 🇰🇪..much love Baba joan
Aki nataka baba joan from a,z
❤❤❤❤❤hawa watoto wawili nawapenda bureee karobo na omar
Napo Mozambique nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
Niiliisubiri muda mrefu sana kwakweli team baba karobo hongereni sana
Kazi nzuri sana jaman nawapenda wote❤❤
C🎉🎉good start
Mimi nimechelewa ilitakiwa niwe wa kwanza