MWALIMU MGENI ❤️ /25/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2023
  • #comedy #lovestory #babajoan
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 700

  • @sussyshikube-lh9gz
    @sussyshikube-lh9gz 7 месяцев назад +100

    Watu wamelia wacha like ya baba joan na our kids😘😘😘😘😘

  • @Pierre-de-lubu
    @Pierre-de-lubu 7 месяцев назад +92

    Gonga like❤ kama unampenda Mwalimu Mgeni,,Patronas,,Sasha❤❤

  • @user-wv9wc6yr1u
    @user-wv9wc6yr1u 7 месяцев назад +18

    Anaemkubali mwalimu mgeni angonge like apa

  • @user-bq6tg1bj9s
    @user-bq6tg1bj9s 7 месяцев назад +50

    Mwalimu mgeni nakupenda pamoja na wanafundzi wako ❤❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 7 месяцев назад +48

    Timu baba joan mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu maana mnatufunza mengi😢

  • @mushimbiespoirbaraka7633
    @mushimbiespoirbaraka7633 7 месяцев назад +19

    Baba we ni mwamba nakukubali toka hapa South Africa 🇿🇦

  • @jamsonjasson7591
    @jamsonjasson7591 7 месяцев назад +51

    Daah Leo nimepigwa na kitu kizito kichwani, hadi nimechelewa.... Ila kiukweli Baba joan unajua sanaa,, LIKE 5tuu jamani nitapona maumivu kichwani hapa❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 nawapenda sana...❤

  • @mugishafred4196
    @mugishafred4196 7 месяцев назад +12

    Asanteni sana Timu ya Mwalimu mgeni, Filamu nzuri sana yenye kujifunza. Like yangu kutoka Rwanda

  • @aumasusan-gw9gq
    @aumasusan-gw9gq 7 месяцев назад +10

    Kama umelia na wimbo 😢😢😢ya baba Joan nipe like so emotional 😢

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 7 месяцев назад +14

    Kazi nzuri jamani mungu aendelee kuwaongoza nimeona machozi yakutoka yenyewe kweli mungu ni mwema Kila wakati😢

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 7 месяцев назад +24

    Hii series ya mwalimu mgeni hua yanitoa machozi kila ninapo agalia ❤

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 7 месяцев назад +19

    Nzuri sana sana ❤❤❤ Sasha, Patronize na Mwalimu mgeni leo mmenitoa chozi na utu uzima wangu. Mungu awabariki kwa kazi nzuri

    • @AlicyCiddy
      @AlicyCiddy 3 месяца назад +1

      😂😂😂𝑺𝒊𝒐 𝒄𝒉𝒐𝒛𝒊 𝒕𝒖 𝒌𝒖𝒍𝒊𝒂 𝒌𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒐𝒕𝒐

  • @yonacherona4535
    @yonacherona4535 7 месяцев назад +16

    Much loving Baba Joan and your entire family mnaniboresha kwelikweli,Mimi ni mwalimu Hadi Mimi natumia mbinu zako katika ufundishaji wangu,na Nina ushirikano mzuri sana na wanafunzi,mungu awabariki sana,yona from kenya

  • @SophyPeter-ne4yp
    @SophyPeter-ne4yp 7 месяцев назад +201

    Jaman Leo nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu hata 50

    • @christinekendi1719
      @christinekendi1719 7 месяцев назад +3

      🔥🔥🔥🔥🔥

    • @amina-xv7ox
      @amina-xv7ox 7 месяцев назад +3

      Hadi machoji zaman

    • @Faru808
      @Faru808 7 месяцев назад +5

      Usha Pata nipe Faida yake 😂😂

    • @marynamachanja1836
      @marynamachanja1836 7 месяцев назад

      ​@@Faru808😂😂😂😂😂

    • @SophyPeter-ne4yp
      @SophyPeter-ne4yp 7 месяцев назад

      @@Faru808 nime enjoy 😂😂😂😂😂😂

  • @dominicomari7040
    @dominicomari7040 7 месяцев назад +22

    So much lovely kutoka kenya nawapenda yote ❤❤❤❤

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 7 месяцев назад +7

    Nakufwatilia sana mwalimu mngeni nikiwa saudi arabia shikilia hapo❤❤❤❤

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 7 месяцев назад +42

    Watching all ways from Washington DC a great fun of Madam vicky our african Kim Kardashian and never missed any episode. Mungu walinde nakuwapa nguvu yakuigixa katika jina la Yesu kristo 🙏

  • @BLESSINGJONAS
    @BLESSINGJONAS 7 месяцев назад +15

    Kwa kweli hili ep imenipa imani na nguvu sana Mungu ambariki Batronize 🎉🎉🎉🎉❤❤🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇰🇪🇹🇿 Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬

    • @amanikudeli5297
      @amanikudeli5297 6 месяцев назад

      youtube.com/@Patronize-hs6bv?si=KnDyHz7BPma0SJ48

  • @NdayishimiyeNatasha-ll7gz
    @NdayishimiyeNatasha-ll7gz 7 месяцев назад +5

    My favorite teacher nakupenda sana ❤❤ naomba le 10 tu

  • @vannvannjokes2239
    @vannvannjokes2239 7 месяцев назад +12

    Kuna waja aibu zimewafika hapa Ila all in all mambo yako 🔥

  • @user-yi5rj2xu7l
    @user-yi5rj2xu7l 7 месяцев назад +9

    Hii episode imenitoa machozi jamani hongereni much love All baba Joan Gang.😂🎉🎉🎉❤❤

  • @SaidShaban-qf9jf
    @SaidShaban-qf9jf 7 месяцев назад +6

    Kazi nzuri zaidi tunakuombea uzidi kufanya mazuri zaidi ya hapo kaka

  • @EmmanuelPhilosopherStar
    @EmmanuelPhilosopherStar 7 месяцев назад +11

    Wow so inspiring and emotional. May all Almighty continue enriching your talents.

  • @josephsaruni31
    @josephsaruni31 7 месяцев назад +17

    Congratulations Baba Joan for your good work that you are doing may the good Lord bless you and your team abundantly🙏

  • @Victorarisi
    @Victorarisi 6 месяцев назад +7

    CONGRATULATION BABA JOAN FOR YOUR GOOD WORK AND YOUR GROUP LET GOD GIVE YOU STRENT FOR THE WORK YOU DO ....AM VICTOR WACHING FROM KENYA

  • @user-bu4op2hq2p
    @user-bu4op2hq2p 7 месяцев назад +11

    Have been following since..but Leo ..it's soo sweet and emotional...good job guys

  • @arafaramadan6234
    @arafaramadan6234 7 месяцев назад +10

    Patronize 😢😢 we n mwalim mgen big up love you guys

  • @silviak1776
    @silviak1776 7 месяцев назад +9

    Hadi nimelia sna 😭😭😭 we love you from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 7 месяцев назад +15

    😭😭😭😭😭nalia kwa furaha ,nyimbo ya mwalimu mgeni ongela sana baba Joana.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

    • @user-ze5ps6uc8m
      @user-ze5ps6uc8m 6 месяцев назад +2

      😂😂😂😂 tulie kwa furaha

  • @dominickipkirong3988
    @dominickipkirong3988 7 месяцев назад +2

    Hakika sipendi kupitwa na kila episode ya mwalimu mgeni,Baba Joan hakika Mungu akubariki pamoja na hawo wanafunzi wote.Natiwa moyo kila ninapofuatilia, asanteni sana kutoka Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @paulinewambo001
    @paulinewambo001 7 месяцев назад +6

    Leo nimeingia mapema Leo hongera kwangu😊❤

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth 7 месяцев назад +6

    ❤❤😢 jaman MUNGU tungepata waalimu wa namna hiii ...
    .Yani TANZANIA 🇹🇿 INGEKUWA NYINGINEEEE ,MUNGU AWATUNZE DAIMA ❤

  • @dominicomari7040
    @dominicomari7040 7 месяцев назад +5

    Naomben like zangu mm wa kwanza kutoka kenya ❤❤❤❤❤🎉

  • @felixmaosa6668
    @felixmaosa6668 7 месяцев назад +9

    Hey here ,,am from Canada ,,I love the show ❤

  • @christinekendi1719
    @christinekendi1719 7 месяцев назад +7

    My favorite teacher nakupenda sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-eq6ju8qs2q
    @user-eq6ju8qs2q 7 месяцев назад +24

    ❤❤❤One love from mozambique 🇲🇿💪🐚

  • @leemima
    @leemima 7 месяцев назад +3

    Kama machozii yalitaka kutoka kipindi cha sir kuingia clss gonga like hpa tujuwanee 😢😢

  • @user-tt6cc9cz4k
    @user-tt6cc9cz4k 7 месяцев назад +4

    Ganga like kbx Kwa mwalimu mgeni Kama unampenda pamoja Na wanafunzi wako Kwa upendo❤❤

  • @stevekoech6874
    @stevekoech6874 7 месяцев назад +15

    soo emotional episode ❤❤❤❤

  • @user-wf4ul2lf7w
    @user-wf4ul2lf7w 6 месяцев назад +5

    Touching indeed almost cried Baba Joan good job

  • @joshuaorete1724
    @joshuaorete1724 7 месяцев назад +5

    leo wakwanza jamani 🎉🎉🎉🎉❤❤❤ like zangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @patricksonandanje4632
    @patricksonandanje4632 7 месяцев назад +5

    Thanks for your good show.Watching from Nairobi (KENYA).

  • @omarimohamed9366
    @omarimohamed9366 7 месяцев назад +3

    Dah leo nacomment safi sana inafundisha na inafurahisha iko nondo balaaa,msiishie apa tu mzidishe maboresho❤❤❤❤........

  • @everlynyatoli
    @everlynyatoli 7 месяцев назад +4

    Napenda sana video zako zina mafunzo makubwa .. baba joan keep going bro kazi nzuri sana Unafanya ..na Mungu abariki kazi ya mikono yako ❤

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 7 месяцев назад +2

    Najikuta natokwa na machozi nimejifunza kitu kuhusu upendo kazi nzuri sana bba Joan love much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @jonathanmurithi9726
    @jonathanmurithi9726 7 месяцев назад +5

    Pia nimetokwa na machozi......watching from kenya

  • @geoffreymarube1879
    @geoffreymarube1879 7 месяцев назад +3

    Hongera mwalimu na wanafunzi

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve 6 месяцев назад +1

    Nawafata sana Mimi natoka buja🇧🇮🇧🇮 nawapenda sana mwalimu mgeni wote nipeni like

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 7 месяцев назад +1

    Wana team strong km wapenda mwalimu mgeni like apa tukisonga mble love from 🇰🇪🇸🇦🥰

  • @dickydickson4370
    @dickydickson4370 6 месяцев назад +1

    Mwisho wa ubaya ni aibu kwa nini tuchukiane... Let's show love 😍 to everyone regardless of the race, age, height and gender

  • @cassimorachidealirachideali
    @cassimorachidealirachideali 7 месяцев назад +13

    Professor babá Joa vc é o melhor

  • @HappynessMkatika-wm5zl
    @HappynessMkatika-wm5zl 7 месяцев назад +2

    duuuh jaman me nabarikiwa sana na uimbaji wa patronize na sautii yake...baba joan endelea kushika mikon ya wanafunz na vipaj vyao na munguu atakubariki 🙏

  • @lydiawaweru6391
    @lydiawaweru6391 7 месяцев назад +10

    So emotional episode ❤❤❤

  • @jumadiver7011
    @jumadiver7011 7 месяцев назад +5

    Like zang, wakwanza hapa leo!!!

  • @antonytsuma
    @antonytsuma 7 месяцев назад

    Natamani hata Mimi ningekua mwanafunzi wa mwalimu mgeni, much love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉🎉

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 7 месяцев назад +3

    Mpaka napatwa na emotional 😭😭😭😭 baba joan umetisha baba all the best

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 7 месяцев назад +3

    Baba Joan ama kweli unakalia ya ualimu kabisa,utadhani utaisomea👏👏👏

    • @happymwalongo810
      @happymwalongo810 7 месяцев назад

      Kazi yake ndo mwalimu sema kaacha kufundisha kwa ajili ya hii sanaa yake ya uigizaji

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 7 месяцев назад

      @@happymwalongo810 Kweli

  • @RahmaRamadhan-us3kr
    @RahmaRamadhan-us3kr 7 месяцев назад +2

    Kweli Mungu ndo kila kitu katika haya maisha big up baba Joan 💖💖💖 jamni nyimbo za Patronize zimetoka

  • @user-kw2yg6bc1j
    @user-kw2yg6bc1j 5 месяцев назад

    Good work babajoan movie nzuri Sana asee mungu akubariki na kukuza kipaji chako mungu akubariki

  • @user-wy6fw4mg5n
    @user-wy6fw4mg5n 7 месяцев назад +3

    Kipindi cha leo kimekuwa tofauti na vingine.... kazi nzuri hio ❤

  • @nkwandessaid9464
    @nkwandessaid9464 7 месяцев назад +1

    Nmefatilia from beginning to now,, jamaa upo vizur sana kamanda 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚

  • @oscarstephen6464
    @oscarstephen6464 7 месяцев назад +3

    Kazi nzuri baba Joan

  • @Riziki254
    @Riziki254 7 месяцев назад +10

    Feti she is active for the first time 😂.1❤ from 254

    • @dhomsofia5483
      @dhomsofia5483 7 месяцев назад

      Let me tell you maina, it's my first time indeed

  • @PeterNzomo-wc6md
    @PeterNzomo-wc6md 7 месяцев назад +3

    Nalia na Mimi n mtu mzima 😂😂😂😂
    Kenya tuned 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ronnybthebigboy
    @ronnybthebigboy 7 месяцев назад +3

    I really like today's episode. 21 minutes is good. Next time make it 30 minutes otherwise it's minutes you need to be watched..... So my suggestion is post daily episodes... Am addicted to Mwalimu mgeni episodes walai 😅😅😅... Post daily please 🙏🙏🙏🙏. Mimi Leo date 2 siku ya pili ndo wa Kwanza😅😅😅likes zangu bana😂😂😂😂😂

  • @user-xk5ev3hk3j
    @user-xk5ev3hk3j 7 месяцев назад +1

    From Pemba kweli kaka hii epsod umefunika Allah akuongoze

  • @jecintaokiya9783
    @jecintaokiya9783 6 месяцев назад +3

    This is a real talent...God bless you baba Joan

  • @wilmotkarisa6174
    @wilmotkarisa6174 7 месяцев назад +2

    Hakika Baba Joan unakipaji sana...Endelea Kutupa mavitu🙏🙏

  • @user-eb6gx2qm2h
    @user-eb6gx2qm2h 7 месяцев назад

    I watched from zambia we love you and congratulations to mwalimu mgeni God bless you. Am Fidelis zambia Lusaka.

  • @pascalnivyayo521
    @pascalnivyayo521 2 месяца назад

    Nampenda mwalimu mgeni ningekuliwa na change ningefurahia kumuona macho kwa macho.asanteni sana kwa darasa lako.hongera sana

  • @silviajuma5510
    @silviajuma5510 7 месяцев назад +1

    Hongera sana baba Joan kwa kazi nzuri nawapenda sana ktk Kenya🇰🇪

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 7 месяцев назад +1

    Huyu mwamba yuko creative sanaa nakubali

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 7 месяцев назад +10

    Wow I can't stop crying 😭😭😭😭😭 your song baba joahn ,, only legends can understand this movie 😢😢😢😢

    • @psychologist799
      @psychologist799 7 месяцев назад

      For sure only us legends can understand this movie

  • @deniskiwanga85
    @deniskiwanga85 7 месяцев назад +3

    So much emotional 😢 kazi nzuri sana

  • @Pk-solutions
    @Pk-solutions 7 месяцев назад

    Mwalimu mgeni namupenda Sana yeye iko na rhoo Muzuri am watching from uganda 🇺🇬.

  • @OntwekaHellen19-ml7kj
    @OntwekaHellen19-ml7kj 7 месяцев назад +1

    This is excellent....I'm happy for you mwalimu mgeni a.k.a babajoan....much love from kenya. Madam vicky you're such a bad influence

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 7 месяцев назад +3

    Jamaniii imeniuma hao watoto wanavolia😢😢😢

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 7 месяцев назад +1

    Mwarimu mugeni asante saana murinifundisha ❤😭😭😭😭 saana kukua naroho nzuri saana

  • @user-yw8gr1uq3h
    @user-yw8gr1uq3h 7 месяцев назад +2

    Kaz nzuriiii baba j oneza mda kidg

  • @joanbwahama-rx3tc
    @joanbwahama-rx3tc 7 месяцев назад +6

    Nimefurahi sana❤❤❤❤❤❤

  • @AkexLamek-vv1cv
    @AkexLamek-vv1cv 7 месяцев назад +1

    kutoka Congo Lubumbashi tunakupata sana kaka Mungu akulinde sana mkubwaaa 🔥🔥🔥

  • @user-vo7yb6wp1m
    @user-vo7yb6wp1m 23 дня назад

    Wee mwalimu mgeni kazi safi sana kakangu endelea hivo hivo Mungu atakuchalia kaka🎉🎉🎉❤❤

  • @user-fn6tb3si7m
    @user-fn6tb3si7m 7 месяцев назад +3

    Mwalim mgen unaweza kweli❤❤❤🎉🎉

  • @user-uf3py2iv9v
    @user-uf3py2iv9v 3 месяца назад

    Hakika hii série ya mwalimu mgeni ni nzuri sana haichoshe ni ya kufwata Siku zote hongera kutoka RDC goma

  • @user-ds6vk7nn1s
    @user-ds6vk7nn1s 7 месяцев назад +2

    Feti amesha kuwa mwenye msimamo😂

    • @IldephonceRutta
      @IldephonceRutta 21 день назад

      Yaan hapo umenenaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @samuelkilonzi678
    @samuelkilonzi678 7 месяцев назад +2

    Almost crying,mwalimu great song

  • @Rajabnyamawi
    @Rajabnyamawi 7 месяцев назад +4

    Much love ❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @theetrendingsisters2546
    @theetrendingsisters2546 7 месяцев назад +1

    Great imeweza sana nakubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅

  • @husseinkarisa9392
    @husseinkarisa9392 7 месяцев назад +1

    Kwakweli hii ya leo imenitoa majozi aisei wallah, nipenii likes bac

  • @aminamwamoki4825
    @aminamwamoki4825 7 месяцев назад +7

    Why am I crying congrats 👏

  • @ondevictor1493
    @ondevictor1493 7 месяцев назад

    Kazi nzuri napenda hii movie sana

  • @Lewis-kq7cz
    @Lewis-kq7cz 6 месяцев назад +1

    This is too emotional , , , from kenya am so inspired this is pure talent

  • @user-ii3rb6uj7g
    @user-ii3rb6uj7g 6 месяцев назад +4

    Nmelia haki mwalimu mgeni naomba likes ❤

  • @ezrakayinga8934
    @ezrakayinga8934 7 месяцев назад +1

    baba Joan nimependa vile nafas ya MUNGU umeiweka kuhangaika kote mwsho MUNGU ndio anakuponya

  • @steveastinekatapwe5372
    @steveastinekatapwe5372 6 месяцев назад +3

    watching from kenya 🇰🇪i love it

  • @user-dg2tb3lw1w
    @user-dg2tb3lw1w 3 месяца назад

    Nakupenda sana mwalimu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 pia na wanafuzi wako kweli wana kupenda sana

  • @mariamlukoya9758
    @mariamlukoya9758 7 месяцев назад

    Safi sana baba joani bila kupoteza mda mapema sana

  • @user-bj4qj8of5q
    @user-bj4qj8of5q 7 месяцев назад +7

    Great job 🎉🎉🎉

  • @user-ix9kq6ke2m
    @user-ix9kq6ke2m 7 месяцев назад +3

    Mashaa Allah nyimbo zr

  • @khalifaseif7958
    @khalifaseif7958 7 месяцев назад +2

    Mwalim mgeni imeanza kutoka ladha fanyeni imalize ten mutow ep nyengine