Kabla hujawasha BLUETOOTH unatakiwa ufahamu SIRI HII NZITO, na maana nyuma ya NEMBO yao.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 182

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 2 года назад +145

    wa Kristo wote leteni like zenu hapa

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Год назад +4

    Bongo fasta nawakubali xana🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 2 года назад +18

    Namba mbili on trending 🔥🔥🔥🔥

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 2 года назад +12

    Asante sawa from Burundi 🇧🇮🇧🇮 in Cape town south Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @samuelmburu5069
    @samuelmburu5069 2 года назад +10

    Shukran nimeipenda video hiyo ningeomba zingine kama hiyo

  • @NathanaëlKambale-f1b
    @NathanaëlKambale-f1b 10 месяцев назад +3

    eeeeeeeeeeeeee mungu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💰💰💰💰

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 года назад +7

    Ahsante sana mr. Shedy nakupata 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @lilvanyy_vans
    @lilvanyy_vans 2 года назад +4

    Salute kwako broo👊👊

  • @AndrewMasasila
    @AndrewMasasila 14 дней назад

    Asante nimeikubal.from kigal rwanda

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 года назад +13

    Sasa twende kazi mr justin 💪

    • @EmmanuelModesty-tb9fs
      @EmmanuelModesty-tb9fs 8 месяцев назад

      Sio hivyo kak sikiliza kwanza ndo u comment saw mwana wa Mungu

  • @josephmwangi580
    @josephmwangi580 2 года назад +31

    Na mola akubariki Justin shed ningekuomba kwa moyo mkunjufu, utengeneze video ya mabomu ya hiroshima.Utakuwa umetisha kaka Big up 🤝

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 2 года назад +4

    Ahsante Saana Justin Kwa Kutujuza

  • @sammyfundiofficial5295
    @sammyfundiofficial5295 Год назад +2

    Good job 👍👍👍💯💯

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 2 года назад +7

    Ahsante sana, vipi kuhusu wagner!? Hatuwezi kuwajua hawa!

  • @prophet_gamaliel_mkailwa
    @prophet_gamaliel_mkailwa 2 года назад +11

    Wewe jamaa unajua sana kuelewesha watu sana💥💥💥

  • @lionboy259
    @lionboy259 2 года назад +5

    good story

  • @barackbakari141
    @barackbakari141 2 года назад +8

    No 1 trending 🔥🔥🔥

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 года назад +11

    1 on trending 💥💥🙏

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 2 года назад +11

    ONE ON TRENDING💥

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 года назад +14

    Asante Kwa kutujuza. 🙏🏾

  • @the.positiveidea
    @the.positiveidea 2 года назад +5

    nakukubali sana Justin shed👏👏

  • @Claudy_tz
    @Claudy_tz Год назад +7

    Mashekhe gonga like yako apa 👍

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 2 года назад +14

    Twende kaz utakuja kua namba moja trending ipo siku

  • @husseinchai4112
    @husseinchai4112 2 года назад +3

    Mungu akubaliki

  • @danielsamwel800
    @danielsamwel800 2 года назад +6

    Umenifungua sana hapo daah u ajitahd kuchimba saf sana

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 2 года назад +2

    Kwani Mungu wa kweli yupo katika ukiristo?
    Hata waabudia ngombe mabaniani nao mungu wao ngombe ndio wanamuona wa kweli, kwetu sisi ni mboga tamu, tukichanganya na vitunguu na ndimu inakua raha sana.
    ### ALIDANGANYWA TU, MUNGU WA KWELI SIKU UKIMJUA LAZIMA UJIONE TOFAUTI.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      bado unauliza majibu>?nani Mwanaume aliyekufa akafufuka?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 года назад +1

      Kwa iyo kufufuka ndio unampa mtu uungu?
      Pale wazungu wamedanganya wengi kwa ujinga, walipowasukuma utumwani watu kwa minyororo ya utumwa, kisha wakawalisha ujinga, ati Mungu afe afufuke, ati Mungu auawe na viumbe wake alio waumba yeye mwenyewe, ati Mungu afe siku 3 aache ulimwengu ukiendelea.
      Ujinga nao ni shida.

  • @mad0060
    @mad0060 2 года назад +1

    Oyaaa unajua knoumaaaaaa mz...... sauti kaliiiii

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 2 года назад +6

    2 on trending 🔥🔥🔥🔥

  • @BONGOKUMENOGATV
    @BONGOKUMENOGATV 2 года назад +2

    Umekamata one onetrendng hongera sana

  • @Isayalamadhani
    @Isayalamadhani 3 месяца назад +1

    Hakika huyu jamaa ni noma xana

  • @thomasjohn2816
    @thomasjohn2816 2 года назад +6

    Leo broo kaingia trending ongera sanaa

  • @Hallowenpastor
    @Hallowenpastor 2 года назад +5

    Asante kwa kufungua Hakiri

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 года назад +16

    Nembo Zina maana tunafichwa ili tusijue Hawa jamaa wana akili Sana hawataki kufumbua tunatukuza vitu bill kujuwa

  • @elishamwakireti5831
    @elishamwakireti5831 2 года назад +2

    Approaching Expectations 😂🤪😂

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 2 года назад +12

    Shida ya mbinadamu hawapendi ukweli kusikia

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o Год назад

    Thanks for sharing.

  • @official_mr_bery
    @official_mr_bery 5 месяцев назад

    waislam tusibaki nyuma sasa❤

  • @MaliamAlitakalomol
    @MaliamAlitakalomol 8 месяцев назад

    ❤❤❤ God bless you🙏💢

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 2 года назад +9

    Tuletee historia ya mtawala wa Mongolia Genghis Khan

    • @hafidhali815
      @hafidhali815 2 года назад +1

      Hiyo itakuwa tamu saaaana

    • @Mollel69
      @Mollel69 2 года назад

      Hahahahaaaaaaa Mongolian🤣🤣Genghis Khan

  • @richydonjr2128
    @richydonjr2128 2 года назад +1

    No 1 on trading... Likes zote apa⌚

  • @jumaineemedi9697
    @jumaineemedi9697 2 года назад

    Thank for your hostory mm blessd

  • @mohamednamungu4113
    @mohamednamungu4113 2 года назад

    Duuh namba 3 on trending

  • @NotgarJoseph
    @NotgarJoseph 3 месяца назад

    Ah manen9 meng ya nn sasa bluetooth na ukrist wap na wap sasa jmn ✋🤚nenda moja kwa moja kweny mada kiongoz 🤚✋🤚

  • @jayhamsotz2413
    @jayhamsotz2413 2 года назад +1

    Sawaaa kaka

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад +1

    Naww ni maneno ya Kuambiwa tu sema umeniibia Mb zangu kwa uongo wa kisomi

  • @K.M.G219
    @K.M.G219 9 месяцев назад

    Asante nikiwa mtamdao kenya

  • @AminaOmar-h1v
    @AminaOmar-h1v Год назад +2

    Allahu akbar walillahil hamdu allha akujazi kheri

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 года назад +1

    Kazi nzuri justin shed Naona channel ya bongofasta inakuwa mpaka iko top in trending

  • @alexemmamueli7393
    @alexemmamueli7393 2 года назад

    Oooh mzulii kwakwrl

  • @jizasijinakubwa651
    @jizasijinakubwa651 2 года назад +18

    Hitoria ya freemasonry, kwanini wanamemba wanakufa mapema na wengine kuhishi zaidi bila kupoteza ndugu zao?

    • @jimmysamuel4915
      @jimmysamuel4915 2 года назад

      Fatilia devil kingdom utaelw

    • @jimmysamuel4915
      @jimmysamuel4915 2 года назад

      Kanumba alikuw amejenga kituo cha msaada ila walikuw wanatoa kafara ndo ivo pia wengn wanaishi kwa ivo

    • @all-victorious2156
      @all-victorious2156 2 года назад +2

      Hata wanaoishi ni vivuli , wenyewe walikufa mapema.

    • @navylatinumz1299
      @navylatinumz1299 2 года назад

      Hapo pia c elewe atueleze mmh

    • @ninjaapokalyptotz8914
      @ninjaapokalyptotz8914 2 года назад

      @@all-victorious2156 hebu fafanua kidogo

  • @musamwaifwani
    @musamwaifwani 2 года назад +1

    unajua mijuo man

  • @imaniambakisyee4676
    @imaniambakisyee4676 2 года назад +2

    Sikuping bro pamoja sana

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 2 года назад +17

    Sasa hao wagunduzi wa Bluetooth how they make money

    • @anchortechnicx5014
      @anchortechnicx5014 2 года назад +8

      Mimi nadhani hiyo chip ya Bluetooth wanauza kwenye makampuni yanayotengeneza vitu vinavyotumia Bluetooth

    • @lolojunior5808
      @lolojunior5808 2 года назад +6

      @@anchortechnicx5014 safi sana

    • @anchortechnicx5014
      @anchortechnicx5014 2 года назад +4

      @@lolojunior5808 pamoja sana

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 2 года назад +4

      @@anchortechnicx5014 dah kwel aisee🙏🙏

    • @georgenorad785
      @georgenorad785 2 года назад +1

      Afu kweli maana wametumia ghalama

  • @AthumanTwaha-t3d
    @AthumanTwaha-t3d 9 месяцев назад

    Good thing

  • @sparkjamal2543
    @sparkjamal2543 2 года назад +8

    Sasa ww waeleza Bluetooth ama story za mfalme kuwa mkristo

    • @shadyarif653
      @shadyarif653 2 года назад +2

      ata me nashangaa na watu wanamsifusifu hapa,sijaskia kitu ameeleza Mimi

  • @simonelia7831
    @simonelia7831 2 года назад +2

    Ahsant eeeeee

  • @GerryLeonard-rg3kj
    @GerryLeonard-rg3kj 9 месяцев назад

    Me nikajua kuna kitu cha ajabu kumbe kawaida tuu😂😂

  • @LydiaJohn-o1j
    @LydiaJohn-o1j Год назад

    Noma

  • @briandera3972
    @briandera3972 2 года назад

    Asante sana mimi naomba kujua kwanini USA wanajiita supper power, kwani wako na nini ambayo wengine hawana

    • @antonyndetei9246
      @antonyndetei9246 2 года назад

      They were declared as the world's super power due to their dominance in the second world war.

  • @kingsheddy255
    @kingsheddy255 2 года назад +1

    Justin sheddy ♥️ sheddy king

  • @JOEMOOFFER
    @JOEMOOFFER 4 дня назад

    Asant

  • @godfreygerase8713
    @godfreygerase8713 8 месяцев назад

    Asnte kaka hahahaha!!

  • @RichardMagobless
    @RichardMagobless 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @na-shownakshi7453
    @na-shownakshi7453 2 года назад +2

    Wadadisi mnatuzengua sana.

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 года назад +5

    twende kazi sasa 😂😂......

  • @TristanTigerFemy
    @TristanTigerFemy 2 года назад +1

    Asante Justin shed , fanya story ya tiger shroff

  • @pascaljr.5439
    @pascaljr.5439 2 года назад

    Duuh.Umetisha kaka tuko pamj

  • @justjustn1974
    @justjustn1974 2 года назад +1

    Am wajina apa

  • @hamiskwaya8118
    @hamiskwaya8118 2 года назад +1

    Ubarikiwe ndugu

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад

    Asante studios

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 2 года назад +2

    Naomba Kardashev scale of civilizations level

  • @korneliontransition6148
    @korneliontransition6148 2 года назад

    Bongo sn

  • @legamond
    @legamond 2 года назад

    Tupo trending 🔥🔥

  • @FahadiSaid-h5n
    @FahadiSaid-h5n 6 месяцев назад

    Kudadek😢😢😢

  • @sarakaranja8559
    @sarakaranja8559 2 года назад +1

    great from you

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 года назад

    2 on trandig🔥🔥

  • @JOEMOOFFER
    @JOEMOOFFER 4 дня назад

    Asante

  • @Gody360
    @Gody360 2 года назад +2

    02 trend

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 2 года назад +3

    Ata Neno Telephone ni jina ya pepo...

    • @yohanarobert2484
      @yohanarobert2484 2 года назад

      ilifaa liitweje sasa ili lisionekane la kishetani

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 2 года назад

    number #2 on treding

  • @JustArkon
    @JustArkon 2 года назад

    Asante Kwa kutujuza.

  • @brighthonest275
    @brighthonest275 2 года назад +1

    Siri za wifi

  • @dioudonnesumaili7901
    @dioudonnesumaili7901 2 года назад +2

    Wifi can I get a video about wifi

  • @masoudosea6874
    @masoudosea6874 2 года назад +1

    Duu huo ni uongo Kaka umemaliza mb zang tu za bure

  • @djbonfigkby
    @djbonfigkby 2 года назад +1

    Nice

  • @victormbekomize8154
    @victormbekomize8154 2 года назад +2

    Vizuri

  • @adamkhamis518
    @adamkhamis518 2 года назад

    Sir isac

  • @m.h.d.m.s.r.5850
    @m.h.d.m.s.r.5850 2 года назад +2

    Tutafanyaje tutasikia mengi dunian tunashukulu kutuelimisha.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 года назад

    Duuh noma

  • @jenilyimo1376
    @jenilyimo1376 2 года назад

    Ok

  • @mosesrichard1547
    @mosesrichard1547 2 года назад +1

    Mhhhhj Aya bana

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 2 года назад +3

    Freemason wapo na mchuge sana..

    • @255star2
      @255star2 2 года назад

      Nawatafuta kichizi

  • @ngunitv
    @ngunitv 2 года назад +1

    Ngunitv
    Kabla hayawakisha Bluetooth unatakiwa ufahamu siri hii nzito na maana nyumba mambo yao

  • @paskalimallya5294
    @paskalimallya5294 2 года назад +2

    Duhh

  • @christinamaxanja1534
    @christinamaxanja1534 Год назад

    Acha uongo

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 года назад +5

    Umeanza kuhubiri injili 🤣🤣🤣

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 2 года назад +3

      Kama wewe ulivyo maliza na kucheka

    • @anchortechnicx5014
      @anchortechnicx5014 2 года назад

      Nimecheka

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      ahubiri kabisa ili watu waokoke twende Kwa MUNGU aliye Hai

    • @rashowshine7849
      @rashowshine7849 2 года назад +1

      @@trophywilson7211 ulivyo na akili fupi yesu Ni mungu???

  • @sylivestersalatiely8985
    @sylivestersalatiely8985 2 года назад

    Usimualiaji wako hata hauchangamshi,hujui kusimulia

  • @Joeymo432
    @Joeymo432 5 месяцев назад

    Hata yesu hakuwa amekuja hiyo time,mfalume alikuwaje mkristo!? Mbona nahisi unatudanganya?

  • @herikaniugu
    @herikaniugu 2 года назад

    Viking Harald, king of all Norway

    • @emanueligodwin6297
      @emanueligodwin6297 2 года назад

      Viking hala hala ndio utajua kwanini alibadili dini na kuwa mfalme wa uingereza

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 года назад +1

    Sijakuelewa