Iyo sabab ya speed mimi nimeiping kwasabab huu mfumo wa qwerty ndio mfumo wenye speed kubwa ya kuchapa kuliko mofum iyo mingin na ndio sabab ya mfumo huu kuwepo na kuendelea kutumika
Haya bana mzee wa twende kazi. Tuko pamoja sana!! Huu mfumo wa QWERTY hakika nimeuzoea utadhani nilizaliwanayo. Naweza kuandika ujuembe hadi milioni 20. Hahahahaha sasa twende kazi.!!
Ipo guda Sana, nlkuwa nauliza kuhusu historia ya adam na ever je! Kuna watoto watatu ? Yan Kain ,sethi na Abel?? Na kama jib ni ndyo ina maan Kain alizaa na dada yake?👁️
asante mkuu uko vizuri sana hongera kiongizi...
Umetisha Bob
Hello am here watching this amazingQWERTY...
Mr. J.Shedy, Kiswahili Sanifu cha neno la Kiingereza "Keyboard" katika Lugja ya Kiswahili Sanifu ni KICHARAZIO au BAOBONYE.
Swafi kbs
Kicharazio ndio sahihi
Kibao cha vitufe
Naisi kitakua kicharazii kama sijakosea
Nice 👍 explanation
Umetisha sana mzee Justin...
Justin shed twende Kasi💖💖💖💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shukrani sanaa...
Iyo sababu ya1 tu ni right 👍👍
Hello, i am Brian Fidel from Kenya and i really like your documentaries.. Kindly i request for one talking about Time travelling.
Kongoleee brother j.
Unajua sna dingi BIG UP
Wow Thx ☑️
Nice
QWERTY 😁😁... thanks bro!.💪
Wonderful!
Kazi nzuri
Nimeipenda💪Big up bro
Bonjour !
Mimi Niko Congo DRC na omba video juu ya "Global information Network "
Kazi safi kaka
Saaa twende kazi Mr Justin 💪
Ahsante sana
Asante bro
sawa kaka
Ce terrible 💥
Napenda
Nawakubali sana🇧🇮
Wew jamaa ni Fundi Yani unabuni kitu ambacho syo kirahisi kukikuta pengine
Aisee upo sahihi huyu jamaa yupo vzur halafu Hana mapepe
Ya kuelimisha sana bwana shedy
safi sana hyo
Ulijuaje Justin, mi mwenyewe huwa nakereka walivyochanganya herufi.
Point
Wonderful
Asante mzee baba
First viewer here
Keyboard kwa kiswahil inaitwa bao bonye. Au kicharazio
U too gud
Mimi naitwa Justin shed sasa twende kazi
😅😅
Genius shed
Safi sana
Mmmh kwakwel haya manbo mazito sana
Thanks 👌
hauendi specific unaongea vtu vingi sanaa ambavyo mda mwingne vinapoteza mda bure
Yes inahitaj umakin sana ndo u catch main points
Asante kwa mafunzo!
Umetisha sana mzee.👏👏👏👏
Cmu yng pia n QWERTY 😎
Yes
sasa twende kazi, tupo pamoja kila episod unayoleta
Hii tayari tumesha izoea wabadilishe tena
Haya Sasa twende kazi
Nmependa clip zko hazichoshi kuzitazama maan zinachukua dk chache tu
Kama utapata mda naomba ututafte kazi ya kitundu cha kidogo kwenye mkono wa kushoto chini kabisa kwenye simat phon. 🙏
Iyo sabab ya speed mimi nimeiping kwasabab huu mfumo wa qwerty ndio mfumo wenye speed kubwa ya kuchapa kuliko mofum iyo mingin na ndio sabab ya mfumo huu kuwepo na kuendelea kutumika
Ni kweli ila ungekuepo mfumo mwingine unge adapt tu na kua fasta.
Htr sana
Oy kak sema kibod kwa kiswahili kinaitwa kichalazio
Me ntaka mwisho wa kesi ya John deep and amber head
Duh hiyo qwerty nimeielewa
Nice one
👏🏻👏🏻👏🏻
Sasa twende kazi
twende kazi 😢😢
Keyboard invites kichakata matini
Keyboar-kichakatamatini
Nilikuwa sijui Sasa nimejua
Haya bana mzee wa twende kazi. Tuko pamoja sana!! Huu mfumo wa QWERTY hakika nimeuzoea utadhani nilizaliwanayo. Naweza kuandika ujuembe hadi milioni 20. Hahahahaha sasa twende kazi.!!
SASA twende kazi
Mimi natumia azerty
Kwamaoni Yang naona ni ukweli usio pingika
Hakuna Kuna mambo mengine ujayaweka wazi
Yaweke wew bas
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Nilichosubiri nikisikie sicho
OK
Shule niko soma tumetumia hadi mwaka 2010 we unasema maofisi yote mwaka 1800s zilitoweka.
Umesikiliza vizuri yani wewe ni kiazi sana 🤣🤣🤣
Type writter
Leo ndio nimeona iyo jina qwrty
Ata mimi nilijiuliza
Ile key bord ya kifaransa inaitwaje
Hii channel iko vizuri sana lkni tatizo story zake ni fupi yani bdo una hamu ya kuskiliza waambiwa tukutane kwenye video nyengine aaaah😂😂
Video nzr sna..
Ningeomba kutoa maoni…
Kuhusu usimuliaji wako….
Kama ingewezekana ungekuwa wa haraka kdg ilikufikisha ujumbe na kusave mda pia
Ndo maana ya kufafanua lazima untumie mda kidgo kueleweshwa watu maan watu wanatofautiana katika kusikiliza ,Sasa hawezi fanya fasta😆
Mimi nimekuelewa jomba
Sawa mkurungwa
Duh
Naam imekaa poa sana
Baobonye😅😅
Ni maneno ya kinge ndo yalichangia qwerty
Nina taka video ya maisha ya vin diesel
Eti kibodi hahaha!
Ipo guda Sana, nlkuwa nauliza kuhusu historia ya adam na ever je! Kuna watoto watatu ? Yan Kain ,sethi na Abel?? Na kama jib ni ndyo ina maan Kain alizaa na dada yake?👁️
Hadi dk. 2 bado porojo tu
Justine shed
kwel
👍
Sas ndy nimeelew
Typing.......
Hapo ni kweli kabisa na Sina Cha kupinga
QWERTY lives forever
Sasa twende kax
Babu umetusha
A
Kwel
Hata mie nsha waza xana why