KUSAGA -"Nilimuachia RUGE Kampuni SIKUJUTA Nilimuamini Sana"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 27

  • @mustafajuma5037
    @mustafajuma5037 5 лет назад +3

    Poleni sana ndugu zetu msiba wetu wote clouds imetuma sana sana mungu amlaze pema ameen

  • @asiamohamed7829
    @asiamohamed7829 5 лет назад +1

    B g p sana sana nawapenda bure mungu awape Moyo waimani muendelee crauz jamn

  • @hosearwechungura5391
    @hosearwechungura5391 5 лет назад +9

    Nawapenda sana Clouds Asante kwa msikamano wenu wote, hakika nitaendelea kuipenda kampuni yenu daima!

  • @mathayomkumbuchile2808
    @mathayomkumbuchile2808 5 лет назад +3

    Hongera vyombo vya habari nchini kwa umoja mkuu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 лет назад +1

    RIP Kibonde

  • @teddykassinde4608
    @teddykassinde4608 5 лет назад +7

    Msife moyo simameni imara madam kazi mnazijua wajibikeni kikamilifu kuilinda heshma ya ruge, MUNGU AWAPE UPENDO NA MSHIKAMANO,@ clouds media grp

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 лет назад +9

    Cjajua kama Media zingine, zinajiita Familia kama Clouds wanavyojiita familia Moja!!! Hii kauli inaleta umoja na thamani ya Kila Mmoja katika kuipeleka mbele Clouds!! Binafsi nimependa hii kauli""""""

    • @alexmerck2568
      @alexmerck2568 5 лет назад +1

      hata mmi nimeipend sana hio kauri 🙏

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 5 лет назад +1

    pole san kusaga

  • @banshbansh2329
    @banshbansh2329 5 лет назад +5

    Innalillah wainalillah rajiun
    mungu awape subra

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 лет назад +1

    Pole Kwa wazazi pole Kwa Tanzanian uwo umati wote aliuweza kuedeleza hii jamiii

  • @salmamshana1928
    @salmamshana1928 5 лет назад +3

    Tanzania tumewezwa kwa hili jamnnnnn dahhhh sijuiiiii

  • @josephinagustino9866
    @josephinagustino9866 5 лет назад +1

    Sijui Niseme 😢😢

  • @restymlale6003
    @restymlale6003 5 лет назад +3

    Well done Joe.R.I.P RUGE. URE AN AMAZING HUMAN BEING.💖

  • @africanreal8782
    @africanreal8782 5 лет назад +1

    Uyu mzee kajaza familia yake atatokomea na share za mzee baba

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 лет назад +5

    Poleni nyote jamani inauma Sana

  • @pilikasimu1593
    @pilikasimu1593 5 лет назад +4

    So sad

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 5 лет назад +1

    Namna pekee ya kumuenzi RUGE, ni kuyaishi yake mema aliyoyaamini RUGE.

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 лет назад +3

    Inalillah wainaillah rajiul

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 5 лет назад +4

    Share za Ruge zisitokomee sasa sio kuleta porojo za kujidai kama Clouds ni yakwako pekee!!

  • @africanreal8782
    @africanreal8782 5 лет назад +1

    Uyo sheba kusaga n nani