KENYA WANAITAWALA DUNIA KWA SIRI? ANGALIA ILIVYOPANDA WATU DUNIANI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 595

  • @katanakazungutete8256
    @katanakazungutete8256 2 года назад +37

    Asante Sana Justin shed kwa kuitangaza ichi yetu ya kenya 🙏🇰🇪

  • @ruthwittmann3392
    @ruthwittmann3392 Год назад +6

    I love my Country, and I'm proud to be a Kenya 🇰🇪 peace love and Unity

  • @norahmakrean525
    @norahmakrean525 2 года назад +17

    Much love from my beloved country, we are really blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @achiadennis8056
    @achiadennis8056 2 года назад +8

    My beloved country Kenya I love Kenya karibu Kenya Mr Shedy

  • @Geniuz941
    @Geniuz941 Год назад +14

    Am proud to be a Kenyan 🇰🇪🇰🇪

    • @barakakiungai1976
      @barakakiungai1976 Год назад

      Broo kuja hata wabongo tumetulia huku,kenya hakuna matata

  • @titusmbithi8956
    @titusmbithi8956 2 года назад +7

    Ni kujituna tu bro na baraka za mwenyezi Mungu.

  • @efrahimphilipo4337
    @efrahimphilipo4337 Год назад +2

    From Arusha Tanzania i have two kenyan friends and what special about them is hard hardworking and ambition they tough me a lot Mungu awabariki sana

  • @johnkanyita7068
    @johnkanyita7068 2 года назад +3

    Asante jastin .kumbuka ujirani mwema wa mbuga za wanyama.tuedere hivyo.

  • @mohamedhalake5983
    @mohamedhalake5983 2 года назад +5

    Karibu sana kaka Mimi pia shabiki yako mkubwa Kenya hatuna lingine zaidi ya mola ametujalia vyote Justin shed welcome Kenya

  • @sammykeybe8856
    @sammykeybe8856 2 года назад +38

    Proud to be Kenyan...Kenya the pride of Africa

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 года назад

      Proud sio, name anything that you promote from Kenya, any football team, sport, that support...let me guese, you don't know any

    • @brigettethamani2095
      @brigettethamani2095 Год назад

      Capital of Africa

  • @hamasonwakesho3226
    @hamasonwakesho3226 2 года назад +22

    Karibu sana Kenya 🇰🇪 Justin napenda sana kuzikiliza video zako bro hongera sana kwa kazi nzuli💪💪

    • @julietnjoka9258
      @julietnjoka9258 2 года назад

      Karibu Kenya the world of milk and honey 💃💃💃💃Kenya yetu napenda bure

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 Год назад +9

    Proud to be a kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya ime Shikiria maombi Sana pia wakenya ni watu wa huruma Sana ndio maana God has given us all the favors

  • @254nicelovecomedy3
    @254nicelovecomedy3 2 года назад +14

    Much love from kenya 🇰🇪 ❤️

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @safisimkoko1932
    @safisimkoko1932 2 года назад +6

    Natamani sana sikunawakati nifike KENYA kifaida namanisha kibiashara Ee MWENYEZI MUNGU nisaidie AMEN

  • @anafrank7601
    @anafrank7601 Год назад +1

    Kenya imbarikiwe milele

  • @symonnabiswa4470
    @symonnabiswa4470 2 года назад +3

    Kenyan we are blessed by the most high GOD, am also coming as soon as possible. Please GOD I beg you clean my paths.

  • @harrisonmunga895
    @harrisonmunga895 2 года назад +10

    Proudly to be a KENYAN

  • @mohammedantony916
    @mohammedantony916 2 года назад +14

    Thank you very much Justin we are all eastern Africa don't say kenya sey est African community

  • @johnkaruga4012
    @johnkaruga4012 Год назад +3

    It's a blessing from above,GOD bless Kenya 🇰🇪🇰🇪🙏

  • @BADILIKA-e8y
    @BADILIKA-e8y Год назад

    Shukran sana kwa makala zako nzuri.Wakenya huwa twatamani sana kuwa bora Kila siku na huwa twachukua hatua ya kusonga mbele.

  • @jacobluckiztv
    @jacobluckiztv 2 года назад +21

    Proud to be a kenyan

  • @franklinpendo444
    @franklinpendo444 2 года назад +1

    Karibu sana Justin. Ufikapo Kenya njoo kwangu. Nakualika sana tutembee Kenya

  • @charlesthebulleteater
    @charlesthebulleteater Год назад

    Kenya is my country , thanks I'm charles the bullet eater . Santii

  • @Cliff254
    @Cliff254 Год назад +1

    So proud of you. Siri ni sisi wakenya hujituma sana na kujiamini kwa lolote tufanyalo, pia tunaweka mungu mbele kwa kila jambo

  • @thebananapeddler4573
    @thebananapeddler4573 2 года назад +29

    Powerful. Being a Kenyan and your number one fan, I must confessedly admit that I am discombobulated by the unstinting love that you showered my country. Let me know when you visit and I will personally be there to host you. ALL BILLS ON ME. Huku ukifika nitakua mwenyeji wako. You are doing a great job and I never miss any of your videos.

  • @emmajoy660
    @emmajoy660 2 года назад +5

    Much love from my beloved country my mother land Kenya 🇰🇪

  • @mrefumedia8681
    @mrefumedia8681 2 года назад +4

    Najifunia kuwa mkenya......asante bongo fasta.

  • @josepherima8349
    @josepherima8349 Год назад

    Karibu sana brother Niko mlolongo Kenya namaga rod ukielieke Nairobi

  • @dennismwenda5016
    @dennismwenda5016 2 года назад +6

    Karibu Sana Kenya

  • @enockbk
    @enockbk 2 года назад +6

    Karibu kwetu Kenya 🤝🤝🤝

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @onesmuskyengo9621
    @onesmuskyengo9621 2 года назад +2

    How nice nice shedy well come to Kenya tutakujuza mengi ukifika

    • @onesmuskyengo9621
      @onesmuskyengo9621 2 года назад

      Wow nice nice shedy well come to Kenya tutakujuza mengi ukifika

  • @kipinorakoi4246
    @kipinorakoi4246 2 года назад +1

    Ni kusoma brother

  • @thee_jimmie254
    @thee_jimmie254 2 года назад

    Izi n neema tu za mwenyezi mungu.wala hatuwezi Tukaringa.........Ahsante kwa hii video.

  • @ايوسف-ج5و
    @ايوسف-ج5و Год назад +5

    I proud to be a Kenyan is a beautiful country and peace

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 2 года назад +4

    karibu Sana tena karibu mnno 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hesbonk254
    @hesbonk254 Год назад

    Najivunia kuwa Mkenya a blessed nation.yaani the pride of Africa

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 Год назад +2

    Proud to be a Kenyan 🇰🇪🇰🇪 the Pride of Africa Home of Champions. May Yahweh Bless kenya

  • @shelmithjoller637
    @shelmithjoller637 2 года назад +3

    Lucy Gichuhi Australia Senator

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 2 года назад +3

    Ongeren wakenya ❣️

  • @boscobwoy1895
    @boscobwoy1895 Год назад

    Justin Shedi karibu sana Kenya nchi,hata ikiwezekana jaribu huwe na uraia wa Kenya.God bless Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @peterkpsalmist9138
    @peterkpsalmist9138 Год назад +1

    Powerful. The unique beings that you have mentioned in Kenya are among many in Kenya who believe nothing is impossible if you are willing to work tirelessly for it. Welcome kenya the home of Heroes.

  • @Hassan.Nassoro
    @Hassan.Nassoro 2 года назад +7

    Nimekuwa wa kwanza kuangalia hii video

  • @titussarkai2740
    @titussarkai2740 2 года назад +3

    U are welcome my brother 🙏 ❤ Justin to my motherland Kenya 🇰🇪

  • @kenkinyua4723
    @kenkinyua4723 2 года назад +4

    huskii ni God manze 🇰🇪

  • @rebeccah357
    @rebeccah357 Год назад

    Wow 😮 am proud to be Kenyan. Thank you 🙏 for remembering us

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 2 года назад +5

    Kenya is like London in Africa. I am very elated to b a Kenyan citizen. Born n raised here. My beautiful country

  • @serenakimigho8449
    @serenakimigho8449 Год назад +3

    Kenya is a blessed country I love my country

  • @Keiroohshow
    @Keiroohshow 2 года назад +3

    Tuombe kwa sana jumuiya ya afrika mashariki iwe nchi moja.....hii itatufanya tuwe na umaarufu zaidi👏🏾👏🏾🇰🇪🇰🇪

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 2 года назад +1

      Wewe ndiyo umeongea la maana, siyo tu kusema proud Kenya peke yake

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 2 года назад +2

    Welcome in Kenya 🇰🇪 Sìr Justine, we love Visitors.

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @lopetoetaan6204
    @lopetoetaan6204 Год назад

    Kenyans got all these through confidence and the courage that God build it in us...
    i really like your discovery. Thank you.

  • @phanicemo8190
    @phanicemo8190 Год назад

    Karibu Kenya, kazi yako Safi. Hongera kwetu sote

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 года назад +1

    Namimi napenda sana Kenya na Tazania Mungu awabariki 💖💖

  • @paulngaruiya1903
    @paulngaruiya1903 2 года назад +31

    The name Kenyah in Hebrew means, the dwelling place of God. Now you know. The Original Ark of the covenant residence is Mt.Kenya.

    • @jolynjenna880
      @jolynjenna880 2 года назад +1

      True

    • @karanjakm2993
      @karanjakm2993 2 года назад +5

      Hakuna kitu kama hio wacha uongo

    • @peterogana8937
      @peterogana8937 2 года назад

      Eeiish!!
      Don't force things now

    • @morehermadeosman4977
      @morehermadeosman4977 2 года назад +1

      Kawaida ya wazeee wa 1970 kubonga kuhusu mount Kenya kwani mnaishi pekee yenu Kenya ujinga tupendi

    • @mwangiirungu3670
      @mwangiirungu3670 2 года назад +2

      Uwongo .....uwongo ........not hebrew but in kikuyu language

  • @marydanson6154
    @marydanson6154 Год назад +2

    Am proud to be a kenyan,Kenya the pride of Africa.

    • @Tonnykilli254
      @Tonnykilli254 Год назад +1

      🙏🙏🇰🇪🇰🇪🙄🙄🙄🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌

  • @MartinMuruka-gw3ym
    @MartinMuruka-gw3ym Год назад

    Kenya tuna ushirikino kwa kila ☝️☝️☝️🌹😍Jambo

  • @agnesmwanthi3937
    @agnesmwanthi3937 2 года назад +2

    Am a proud Kenyan,welcome to our great country sir

  • @mrefumedia8681
    @mrefumedia8681 2 года назад +1

    Karibu kenya justine shedi

  • @aishakhalid6664
    @aishakhalid6664 Год назад +1

    We kenyans focus on developments and support the most talented 👏 🙌 👌 like u

  • @daudimaitha5910
    @daudimaitha5910 Год назад

    Good job and welcome to Kenya,,a home for everyone

  • @samsonolal4399
    @samsonolal4399 Год назад

    Your so right boss.

  • @sophietashily4521
    @sophietashily4521 Год назад

    Karibu sana Kenya tunakupenda💖💖💖

  • @lionelochola9369
    @lionelochola9369 Год назад

    Sure Kenya si hami👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍... Mostly us Luo we have produced world class people in Europe na USA.. Obama,Lupita, Divock Origi ndiye mwafrika WA kwanza kufunga bao LA ushindi katika champions league 2019..usisahauuu

  • @madubimabombe25
    @madubimabombe25 2 года назад +1

    Unbiased observation. Smile the beloved hustler nation. Kenya your a blessed nation.

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @irenenanjy5351
    @irenenanjy5351 Год назад +1

    Kenya is blessed we are surrounded by conflicted countries and all seek refuge here. We are a country with a unique culture and very unique people. Everywhere they go they rule. Blessed kenya.

  • @hollinessmwawughanga5769
    @hollinessmwawughanga5769 2 года назад +7

    Am proud of my country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jacksonwachira7029
    @jacksonwachira7029 2 года назад

    Ni Mungu juu ana mpango mwema na Kenya, soma biblia pia Isaya 18, zefania 3:10🥰😍😊😊

  • @susanmakasembo989
    @susanmakasembo989 2 года назад

    Karibu Kenya My brother My God bless u .

  • @AsisMediaKE
    @AsisMediaKE Год назад +1

    Safi sana kka. Karibu Kenya wakati wowote🇰🇪🇰🇪

  • @annewatiri4664
    @annewatiri4664 2 года назад +5

    Welcome to Kenya, I am proud to be a Kenyan, Kenya is the Pride of Africa with a large and intelligent youth age population 👍🏽👍🏽 willing to soar high and higher like eagles 🦅 🦅 🦅 🦅 🦅

  • @kalamapendo2701
    @kalamapendo2701 2 года назад +5

    Am proud to be a Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Год назад

    Am proud to be akenyan,,God bless our country

  • @vio1390
    @vio1390 2 года назад +1

    Umesahau omanyala

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 года назад +3

    wakenya tuinue mikono juu 🇰🇪🇰🇪

  • @adambago4095
    @adambago4095 Год назад

    Hata mimi naipenda Kenya sana. Niko Pokot. Kizuri hakikosi kasoro. Vijana wengi huzani tuna ugomvi kumbe sisi ni ndugu tangu mwanzo...Ubaya ulitokea pale Eastern African Community ilipovunjika. Imagine, you put together the whole family efforts, then one of your brothers confiscates everything! Anasubiri ndege zote zitue Nairobi halafu anatangaza kuvunjika kwa jumuia na kibadili jina. So painful. Thanks be to God all who did so are facing down! Cha pili kutojali wenzao. Leo hii our beautiful Kenya, yenye watu wa hela za kumwaga, hawawajali wenzao wanaokufa njaa hapa Pokot na huku Kaskazini! Tatu, ukabila, nne kufikiri kuwa Kimombo kinakupa hela na kuacha kulima.This does not remove the praises you have given to Kenya. Bravo my brothers and sisters from Kenya. Let our new generation from East Africa change: Respect, kuacha wizi, dharau na tupendane. Hongereni hasa kwa Democrasia!

  • @anthonymurunga9317
    @anthonymurunga9317 2 года назад +5

    Am proud to be a kenyan we lead others follows

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

    • @sebastianzongoro8915
      @sebastianzongoro8915 Год назад

      Nchi yetu imejaa utajiri lakini ndiyo hivyo

  • @goblessjrtz5464
    @goblessjrtz5464 2 года назад +6

    Huyu Rishi sunaki mama ake mzaliwa wa Tanzania 🇹🇿

  • @periskihonge4617
    @periskihonge4617 Год назад +1

    My motherland 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰

  • @philipnjoroge6595
    @philipnjoroge6595 2 года назад

    My homeland keep shining

  • @blessedreuben
    @blessedreuben Год назад +1

    It's what God is doing in the land of Kenya it's not us it's the grace of God popping on the land all Glory to God 🙏

  • @davidmuli896
    @davidmuli896 Год назад

    Am proud to be a kenyan.....come ill tell you....niko Nairobi kenya

  • @ngaosimba4221
    @ngaosimba4221 2 года назад +4

    Kenya 🇰🇪 woiye bongo fasta

  • @johnmulelamuthoka2310
    @johnmulelamuthoka2310 2 года назад +4

    From Kenya 🇰🇪 🙏

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @mkombozsanga
    @mkombozsanga 2 года назад +3

    Safi sana unaeleweka sana

  • @johjonah3714
    @johjonah3714 Год назад

    wakenya wanapenda kuwa tofauti tu brother na hawaogopi

  • @alikartelvevo1716
    @alikartelvevo1716 2 года назад +1

    Mimi naitwa Justin Shedi haiya twende kazi🙏🙏🙏

  • @diana56-lorient
    @diana56-lorient Год назад

    🙌🙌🙌🙏🏻🙏🏻🙏🏻 welcome to kenya we say hauna matata 😜😅 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 💯🇰🇪

  • @mohamedleli9928
    @mohamedleli9928 2 года назад +5

    Karibu Kenya🇰🇪

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Kenya hutawala na makabila mawili Kikuyu na kalenjin na wote ni wakristo

  • @juliusthuranira6220
    @juliusthuranira6220 Год назад

    Kenya ni inchi Iko karibu sana mungu.

  • @evansmwenda6148
    @evansmwenda6148 Год назад

    From Kenya to the World

  • @enoswafulawangwe2547
    @enoswafulawangwe2547 Год назад

    Resilience and not giving up

  • @BADILIKA-e8y
    @BADILIKA-e8y Год назад

    Twaipenda sana nchi yetu na twajivunia kuwa wake ya.

  • @Ricks254
    @Ricks254 Год назад

    Truly there is something here, no wonder world leaders always visit us

  • @justblackcode
    @justblackcode Год назад

    Karibu, mi mkenya nimeolewa Tanzania, nitakuwa meenyeji wako 🥰

  • @kelvingiteru4564
    @kelvingiteru4564 Год назад

    Ulisahao Victor wanyama footballer 😊😮

  • @angalushi8627
    @angalushi8627 2 года назад

    Receive Love 💕 from tharakanithi Kenya

  • @سوزي-ع1ل
    @سوزي-ع1ل Год назад

    I salute my country 🇰🇪

  • @JohncenaSilverTV
    @JohncenaSilverTV 2 года назад +2

    Proud to be a Kenyan kuja bro nikupee siri kidogo

  • @sussynasimiyu8467
    @sussynasimiyu8467 2 года назад

    Karibu kwetu Kenya my brother, is good country and hard working people, nakufutilia nikiwa hapa Saudia arebia mungu akubariki tu sana bro

  • @poda_boy2544
    @poda_boy2544 2 года назад +2

    Eddy Gathegi also featured in blacklist,our city Nairobi also featured in money heist 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 года назад

    🤝🤝🤝🙏🙏🙏👏👏👏karibu 🇰🇪 😍