Huyu alijiingiza kweny mambo ya ufremason na ndio maan alipoulizwa ukifa utaenda mbinguni? Akasema ni Bora niende kuzim maan huko ndiko kuna watu wazur wenye Mali hata mavaz yak yanaonyesh alikua mwanachm sema Kwa wakt huo walikua wanaficha
Justin shedy umenikosha sanaaa....❤❤Anaitwa freddie mercury A.KA.(Queen) ngoma yake ya ...(bohemian rhapsody) naikubaligi mpk kesho...pamoja na (we are the champion my friend )pamoja na (we will rock you )
@@BONGOFASTAYaah..katika historia ya wanamziki wenye vocals kali wa wakwanza Michael Jackson wa pili freddie mercury..na michael alikuja kumzidi baada ya kuchonga pua...akawa nauwezo wakupiga vocal kali nakuimba melody za juu...bila hvyo michael angesubiri.. Kwa huyu mwamba..
Hao alioimba nao kwenye Bend walishajua mapema kuwa Fred ana maambukizi ya ukimwi ila ilikuwa ni siri yao mpaka Fred mwenyewe alipotangaza siku moja kabla ya kufariki kuwa ana ugonjwa wa ukimwi
Freddy alikuwa bisexual. Sio shoga per se... Alikuwa mtu ambaye alipenda kufanya kile anachokifanya kiwe tofauti na wengine. Ndiyo maana hata jina la kundi alitaka liwe Queen ilhali waimbaji ni wanaume. Alitaka avae nguo yoyote aitakayo regardless ni ya kiume au kike. Ni mtu ambaye hakutaka mazoea ya dunia yamwendeshe! Mimi ninampenda kivyovyote alivyo! Alikuwa na uthubutu uliopitiliza kuliko hao wasio mashoga! RIP Freddy!
@@danielfesto489 Unajua maana ya "bisexual?" Bisexuality is romantic attraction, sexual attraction, or sexual behavior toward both males and females,[1][2][3] or to more than one gender.[4] It may also be defined to include romantic or sexual attraction to people regardless of their sex or gender identity, which is also known as pansexuality.
@@TamuzaKale mbon unttea Sana vip mwenztu ulikua nae nn??? Au ulkua n mpngo wa kujiunga group lake? Km wew mwnaume unatkaje kuvaa nguo za kike?? Au naw mwenzao? Nn Sasa ukitaka magau. N ss tuvae boxa au.poleee n dunia yko y kuttea mashoga.
1969... alipewa uraia wa uingereza baada ya wazazi wake kuhama zanzibar kwa sabab ya mapindzi ya 1964 ambapo watu walio na asili ya kiarabu walikua wanauawa(sidhan kama hii ni kweli) halafu1974 akarudi zanzibar kuishi na wazaz wake how yan na umesema waliondok 1964 alirudi kwa wazazi wapi hao???
yaani akiwa mtoto alipelekwa india na nduguze maana wazazi walikuwa wahindi ila 1963 akarudi Zanzibar akiwa bado ni mtoto ambapo 1964 yakatokea mapinduzi Zanzibar na waarabu na wahindi walikuwa wakiuawa na hapo 1969 wakahamia UK
I didn't have an intention of watching this but I had to 😅the reason to why Freddie died is that he died bcoz of lung cancer and being gay it's bcoz he never understood or he wasn't that committed to the relationship with Mary...watch BOHEMIAN RHAPSODY
Me mwenyew nashangaa kwann watz hawamjue freddie mercury wakat ni mmoja ya waimbaji bora watatu kuwah kutokea dunia 1. Michael jackson 2. Freddie mercury 3. Elvis preslay
Huyu alijiingiza kweny mambo ya ufremason na ndio maan alipoulizwa ukifa utaenda mbinguni? Akasema ni Bora niende kuzim maan huko ndiko kuna watu wazur wenye Mali hata mavaz yak yanaonyesh alikua mwanachm sema Kwa wakt huo walikua wanaficha
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭 mmh! Alijaza umati wa watu 😰 lakini kaenda peke yake 😭
Amlaze pahali anapostahili
@@aghaamohamed4654 aminthumm amin
Kenda na mushkil mkubwa wa kuwa "SHOGA"
Hata hilo jina la bendi kujiita Queens ni hio sababu hata wenzake walikuwa MASHOGA!
Watu tunaomba pepo yeye aliomba moto mungu amesha mpa kinacho stahili sasa🔥🔥
Hahhahhahhaahah jmn ww
Sasa utaombaje pepo wakati unajua matendo yako hayatakupeleka, kwahy yeye akaona huko ndo kunamfaa hajawa mnafki kwakweli
@@veekenzo hakutaka kubadirika
Subhanaallha Allha nisamehe mm na umati muhamadiiz😭😭😭😭
aamina
Kuna movie kuhusu maisha yake hiyo movie inaitwa Bohemian rhapsody hiyo movie ni nzuri sana inahusu maisha yake na kuugua kwake mpaka kifo chake
Natamani kuiona ila sijui naweza idownlodia wapi
@@veekenzo naishi nje ya bongo huku huwa wanaiyonyesha kwenye tv hasa wakati wa sikukuu
Haya kama motoni ni better, ndo yupo huko. Majibu ameshayapata, u'better wake amesha uona.
She'd ww n zaidi ya noma... Unafanya kazi nzito sana
kabisaa, alichaguwa sehem sahihi mjukuu Wa firaun
Hata uimbe vipi kama we ni shoga sintofuatilia huo uimbaji wako acha aende kuzimu huko alikotamani!!
Kabisa anajutia kwa kweli
Mm ndo uwa at kusklza huo ujnga siutak aisee
Sasa twende kazi mr justin 🙏💪
Hasante sana napenda sana kusikiliza
History za zamanyi shukran
Bro huyu hana asili ya India, huyu asili yake ni Iran, wazazi wake walihamia India kutokana na mauwaji yalokuwepo Iran kutokana na imani za kidini
Umejitahidi very very good job
I really love how you narrate stories...🔥🔥💯✌️
Thanks kwa story hii 🙏
Lkn ule wimbo bomehang mbona unatisha vile
Justin shedy umenikosha sanaaa....❤❤Anaitwa freddie mercury A.KA.(Queen) ngoma yake ya ...(bohemian rhapsody) naikubaligi mpk kesho...pamoja na (we are the champion my friend )pamoja na (we will rock you )
Jamaa alikua na kipaji sana..he is Legend
@@BONGOFASTAYaah..katika historia ya wanamziki wenye vocals kali wa wakwanza Michael Jackson wa pili freddie mercury..na michael alikuja kumzidi baada ya kuchonga pua...akawa nauwezo wakupiga vocal kali nakuimba melody za juu...bila hvyo michael angesubiri.. Kwa huyu mwamba..
Mbamkubali shoga?..
@@mwalimdibwe6290 muziki tuu
Mambo mengine atajua yeye
Et mtu anachagua mwnyew kuzmu avune alichopanda aisee
Justine shed twende kazi Broooooo💥💥💥💥💥
Ee Mungu tusaidie
Napenda Sana style yako ya kutoa story
History nzur ya Fred hadi Leo jumba Lao lipo stone Town apo hurumzi limekua jumba la makumbusho ukiacha Ile Fred mercury ya forodhan wow
nyumba alozaliwa Freddie ipo Shangani bro
Dah..sad story..thanks bro
Asante kwa sapoti kaka.
Afetuu hatuna masikitiko juu ya mashog
Na ukimwi zamani ulikua unatesa jamani
Wazanzibar tunamjuwa mbona
Ata Fred mercury meusim ipo zanzibar stone town
Ulimuona???😂😂😂😂
me simjui
hakuwa Mzanzibar ni muhindi..hakuna fredi Zanzibar
Hapo AKuna Cha kuuliza uyu jamaa ni chakula sii unaona kiuno chake
Hello brother... samahan naomba kufaham histor ya muigizaji SENSIA. Na maisha yake kwa ujumla. 🙏
Si u google tu utaona
Sensia yupi sasa
Kuna dada alikuwa anaigiza movies za action sana brother nchini marekan. Namfaham kwa hilo jina la SENSIA tu kaka
Rothrock au?
@@abdulmpunjo1241 ndio nafikili anamanisha Cynthia rothrock
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
Aiseeeeeee atariiii nimependa Sana ulivyo ichambua
Ndo ndo mambo ya ushoga wazungu wanataka kwa lazima tuukubali
Where was I born oooooo it's 3 months I'm knowing about him
Hakuna kitu hicho mabaradhuli muna watupia Zanzibar mbona maulamaa hawa sifii Zanzibar Haboo la Uingereza hilo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sema kumeumana wasio kubali jambo. Mbavu zangu
Yani alikuwa shetani kabisa na alijijuwa kuwa yeye in pepo tena oepopunda
Mmh
Asante kwa darasa
Baradhuli unusu!
🤣🤪🤪
Sana Dada
Zuri sana
INNALILLAH
Mi simpi heshima
OMG,he continue resting in peace
Good job from 🇰🇪 kenya
Ah msituhusishe na nae huyo kama wazazi wake ni wahindi basi ni muhindi sio mzanzibari
😆😆😆😆
😂😂😂😂
Kwani wazanzibar si ndo zenu hizo ku🤐🤐🤐🤐🤐
🤣🤣🤣🤣🤣
Ni mzanzibar kuntu huyu. Fred, beaches na karafuu ndiyo vinaitambulisha Zenji worldwide
Hao alioimba nao kwenye Bend walishajua mapema kuwa Fred ana maambukizi ya ukimwi ila ilikuwa ni siri yao mpaka Fred mwenyewe alipotangaza siku moja kabla ya kufariki kuwa ana ugonjwa wa ukimwi
Hatari kwa kweli duniani
Hi thenk from there video
Yupo hell ivi anaenjoy moto 🔥🔥🔥
Ucvae kazi ya Mungu huwezi juwa mzee
@@abdulmohd6880 Yeah siwezi juwa kweli but kumbuka njia ni mbili. Usitegemee kufa kwenye dhambi afu ukaingia mbinguni 😭😭😭😭
Mbona hujatuma hata picha za huku zanzibar ungerulize hata tukutumie basi au
Innalillah
Kwani ulikuwa hujui .
Mimi nlijuwa pale movie ya bohamed rampsid
BOHEMIAN RHAPSODY!
Tunaomba na story ya george michael
Mimi leo ndio najuwa maana ya fred mecury hapa home zenj
Na Mimi sifuatilii mtu shetani
@@sabihaibrahim143 wakati mwengine tunatakiwa tufaham tu mambo flani ili tujifunze
Umetisha bro but music ungechombeza kidogo kidogo japo hati miliki inabana
bora ata
Kla m2 hashughulke na zambi zake kwakwel🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna movie pia imechezwa ya hii story
Movie ipi hiyo?
Hataaaarr
Mnh ,Sasa twende kazi...☑️✅☑️
Asante sana kaka kwa kutazama.
Sensi.a ni mchaga
Dah inasikitisha san
Freddie alikua the best of the best
ALIZALIWA ZNZ BUT SIO MZENJI
Kamziki kidogo tuwe tunakaxikia kwa mwanamziki huxika
Aliingia mkataba na iluminati
HUYU ndgu yetu alipotea ,mapaka Leo IPO Zanzibar pale MJI MKONGWE ..FREDYMARCURY
Ni kweli kabisa.
Sasa kafa au yupo Zanzibar 🤔🤔🤔🤔
@@neemazee1864 mmh akil zako
@@neemazee1864 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Yupo Arusha
@@stephanomoses7694 zimefanyaje
Not pride of Zanzibar
Mtu anatamani aende motoni si shetani alikuwa hyu
Faruuk umezingua mwamba
Kuna watu wamepinda jmn yan anaona jehanamu kwake fresh tu
Jmn wajina
duuh ndo nimejua leo
Duuuh watu mna just Siri nyingi
u hv better voiv bro, Hii dunia ni Hatari
Ebwana usisahau kuhusu kutuletea kuhusu wagner group natamani sana kuwaua hawa askari
kuwaua au kuwajua?
Ahsante kwa story hii
Asante sana kwa kutazama.
Ww ni fire 🔥😍
Rip Freddie mercury 😢
Michael Jackson walimuiga Fred
Freemason huyo we uoni anapromote alama zao
Freddy alikuwa bisexual. Sio shoga per se... Alikuwa mtu ambaye alipenda kufanya kile anachokifanya kiwe tofauti na wengine. Ndiyo maana hata jina la kundi alitaka liwe Queen ilhali waimbaji ni wanaume. Alitaka avae nguo yoyote aitakayo regardless ni ya kiume au kike. Ni mtu ambaye hakutaka mazoea ya dunia yamwendeshe! Mimi ninampenda kivyovyote alivyo! Alikuwa na uthubutu uliopitiliza kuliko hao wasio mashoga! RIP Freddy!
😂😂😂 alikuwa gay huyo fuatilia vzr hist yake afu gay ni wote wanaoshiriki
@@danielfesto489 Unajua maana ya "bisexual?"
Bisexuality is romantic attraction, sexual attraction, or sexual behavior toward both males and females,[1][2][3] or to more than one gender.[4] It may also be defined to include romantic or sexual attraction to people regardless of their sex or gender identity, which is also known as pansexuality.
@@TamuzaKale mbon unttea Sana vip mwenztu ulikua nae nn??? Au ulkua n mpngo wa kujiunga group lake? Km wew mwnaume unatkaje kuvaa nguo za kike?? Au naw mwenzao? Nn Sasa ukitaka magau. N ss tuvae boxa au.poleee n dunia yko y kuttea mashoga.
@@maryandason1815 Kama kutoa somo ni ushoga basi yaishe... Lazima tujifunze maana ya gay na bisexual. Freddy hakuwa full fledged gay...
@@TamuzaKale Acha maneno wengi huyo alikuwa choko au na wewe ndio walewale
Bohemian rapsody
1969... alipewa uraia wa uingereza baada ya wazazi wake kuhama zanzibar kwa sabab ya mapindzi ya 1964 ambapo watu walio na asili ya kiarabu walikua wanauawa(sidhan kama hii ni kweli) halafu1974 akarudi zanzibar kuishi na wazaz wake how yan na umesema waliondok 1964 alirudi kwa wazazi wapi hao???
Hata me nimejiuliza hapo
yaani akiwa mtoto alipelekwa india na nduguze maana wazazi walikuwa wahindi ila 1963 akarudi Zanzibar akiwa bado ni mtoto ambapo 1964 yakatokea mapinduzi Zanzibar na waarabu na wahindi walikuwa wakiuawa na hapo 1969 wakahamia UK
How are you doing ?
Am doing Great sir
Shikamoo ukimwi
noma sana
Asante sana kwa kutazama
Suarez
Meno hahaha
Jaman huyu ni muhind sio mzazibar
kwani mznz lazima awe black na awe na nywele za ki pili pili
Unaijua Zanzibar kabla mauwaji y 1964
zaman zenj ni wahind warab na waafrica
KWAKWEL😭😭
Tunamjuwa kama ni Mzanzibar
Duuuh hatar sana
zanzibar hakunamtu kamahuyu
Aliondoka natabia yake ya kipwani , mchezo mbaya sana msela kubashiwa 🤣🤣
I didn't have an intention of watching this but I had to 😅the reason to why Freddie died is that he died bcoz of lung cancer and being gay it's bcoz he never understood or he wasn't that committed to the relationship with Mary...watch BOHEMIAN RHAPSODY
Legend
He died of Aids. HIV
He died of acute bronchitis due to AIDS
Me mwenyew nashangaa kwann watz hawamjue freddie mercury wakat ni mmoja ya waimbaji bora watatu kuwah kutokea dunia
1. Michael jackson
2. Freddie mercury
3. Elvis preslay
Mimi namjua Michael Jackson tuu hapo
@@sarahmsangi7243 😩
44
44
44
Ulimjuaje km mzanzibar
Atar sana
Asante kwa kutazama.
Zamani nilishajua historia ya huyu jamaa wa nyumban.
🔥🔥🔥
Umaharufu una siri nyingi🤔🤔🤔🤔
Sana
Kwakweli yn ukitaka umaarufu kubali kumtumikia Shetani, Uwe Shoga,Msagaji, na mengne mengi tu
@@missmwayway4704 watu wengi hawataki kula kwa jasho ndio tatizo na maisha yanavyo enda mbio mimi sipooo kabisa🧐🤔
@@3kings63 😆😆😆😆😆😆😆🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Unadhani ww peke yko ndo haupo hata mm pia hata sipo huko kwakweli