Duniani tunaishi kwa mafumbo hatá sijuwi Tumwamini nani ikiwa tunawindwa kila eneo. Tunakataa kweli tunaamini maovu , Mungu wa Mbinguni Atusaidie Sana🙏
Chumvi ni muhimu kila mahali ataukijikata ama kupata ajali kwa nyumba yako kisu,panga jembe kile kitu chochote tunatumia kikokikali kama kimekukuta bahati mbaya unatumia chumvi damu inakauka mahali ulikatwa, Mungu atupiganie ni nguvu zake bado Amen 🙏🙏🙏
Ata bibilia kna mahali inasema ,n vyema kuwa chumvi yenye ladha kwa maisha ya watu sio chumvi chafu yenye inatupwa nje ikikanyagwq na watu @@TumainiSimchimba
Ni Kweli Mimi Week Moja Hi Nimewasha Moto Na Kuimwaga Chumvi Ya Mawe Kwenye Moto Cha Ajabu Walitokea Kundi La Mende Hata Sijajua Waliingia Siku Gani Chumvi Ilipasuka Kweli Kweli Jikoni Kama Mabomu Ndipo Mende Wanaluka Kama Kumbikumbi Kuanzia Apo Wametoweka Na Asubuhi Yuko Mtu Kanuna Bila Sababu Ndipo Nilijua Kumbe Chumvi Ni Tiba
Mimi kwa kusikia kazi nyingi chumvi imefanya kazi kwa mambo mengi makubwa naamini chumvi sio kitu cha kawaida hata kwa maombi mengi kwa nini wanasema wekeni chumvi kwenye maji baada ya kuombea watu wanapita humo kwa nini hawaweki sukari; kwa hiyo naamini chumvi ni muhimu sana kwa mambo mengi katika maisha.
Hata mimi nimekumbuka kitu Tukiwa wadogo bundi alikuwa akilia maeneo ya nyumbani mama anatuambia tuchome chumvi kwenye moto kwa imani bundi anaondoka for sure
mbona Naamani jemedari wa Shamu hakuoga baharini,Ni mtoni Na akatakasika ukoma wake, najua tunaishi kwa kila Neno litokalo ktk kinywa cha Bwana,baaasi✋
It,s true that salt that salty grows from the ground while it is natural where by it is mostly quoted in the bible many scrp... Says 2 king 2 vas 19 and many others
Uwo ni ukweli kabisa siwesi binga ata kidogo juu nilisha jalibu kutumia na nikaona mambo ata waliyo kuwa awaniongeleshi waliasa kuongea na mm sikuelewa ila leo ndo nimeelewa ki2 jamani
Ninaamini kuwa chumvi ni mzuri hata katika kaniza la kicatholic uweka maji chumvi na mwenye anataka maji unakuja na kitu ya kupepa hiyo maji kwa hivyo chumvi ni muhimu kwa familia ama kibiashara
Anayesema ni ushirikina, mbona ukiwa na nuksi unaenda baharini kuogelea ili utoe nuksi? Bahari (maji + chumvi), kwanini bahari isiwe ushirikana? Fikiria
Duniani tunaishi kwa mafumbo hatá sijuwi Tumwamini nani ikiwa tunawindwa kila eneo.
Tunakataa kweli tunaamini maovu , Mungu wa Mbinguni Atusaidie Sana🙏
Sawa chimvi ina mguvu na maajabu makubwa, lakini mungu mdo mwenye mguvu kuliko vitu vyote
Asante naikubali chumvi Ina mambo makubwa ktk Maisha yangu
unasema kweli kaka mkuu
Nimeziskia sana ukweli wa chumvi hili jambo ni la kweli mwanzo nilizani inahusiana na uchawi kumbe ni ulinzi tosha.Asante kaka justin
Oga na chumvi asubuhi nenda kazini kwako utaniambia ni hatari huondosha balaa,nuksu na mikosi na hulogeki kirahisi kikubwa kua na imani
Nakubali ❤❤❤
Sema kweri
True
Hatari Sana 🤣😂😂 ni Shahid
Hata mimi mshahid
Chumvi ni muhimu kila mahali ataukijikata ama kupata ajali kwa nyumba yako kisu,panga jembe kile kitu chochote tunatumia kikokikali kama kimekukuta bahati mbaya unatumia chumvi damu inakauka mahali ulikatwa, Mungu atupiganie ni nguvu zake bado Amen 🙏🙏🙏
Asante kwa darasa zuri,hakika nimejifunza jambo la maana sana.
Kiboko ni Jina la Yesu Kristo, Wewe mwenyewe fanyika kuwa chunvi uwa ponye watu kiroho,nafasi na mwili kwa kujaa nguvu za Mungu kwa Roho mtakatifu
Sawa,,, ukipat UTI katibiwe na jina la yesu
Utakufa na yesu wako moyoni na umaskini
Ata bibilia kna mahali inasema ,n vyema kuwa chumvi yenye ladha kwa maisha ya watu sio chumvi chafu yenye inatupwa nje ikikanyagwq na watu @@TumainiSimchimba
Asante
😂😂😂
Mmh hii chumvi inaonekana kweli Ina kitu ❤❤❤❤twende pamoja
Yesu ni chumvi tosha....asantekwa elimu
Kunamwanamke alijiponyesha mapooza na chumming ya mawe
Mimi najua mtoto akiwa analia sana bila sababu mpe maji yaliyochanganywa na chumvi
Hila utambuwe isiwe ya unga hilio pitia kiwandani
❤❤
Hila utambuwe isiwe ya unga hilio pitia kiwandani
Now I believe it's work.thank you
Hata kanisani fadha huchanganya chumvi na maji, ndo tunaita maji ya Baraka, 🙏 kwa kutukumbusha.
Nicely 🎉🎉🎉🎉
Ni Kweli Mimi Week Moja Hi Nimewasha Moto Na Kuimwaga Chumvi Ya Mawe Kwenye Moto Cha Ajabu Walitokea Kundi La Mende Hata Sijajua Waliingia Siku Gani Chumvi Ilipasuka Kweli Kweli Jikoni Kama Mabomu Ndipo Mende Wanaluka Kama Kumbikumbi Kuanzia Apo Wametoweka Na Asubuhi Yuko Mtu Kanuna Bila Sababu Ndipo Nilijua Kumbe Chumvi Ni Tiba
Kweli ama
😂😂😂😂
Imani
AMEN
Hi, Moto WA gesi ama jiko makaa
😮 chumvi Ina maajabu mengi inaweza kutibu hata tumbo likiwa ktk hali ambayo sio zuri kama kuvimbiwa kuumwa na tumbo Ina tibu😊
Hizo nii bada za sanamu tuu badala ya kumuabudu Mungu mwachanganya Mungu na miungu Mungu atusadie sanah dunia yaenda mwisho
Inategemea na zehebu mpendwa sis maji ya balaka tunayoweka kanisani yameombewa na chumvi
Ambae aamini chumvi asomagi Biblia na kanisani aendagi kabisa pole yake chumvi ipo Kwenye bible wala siyo Sanam Dear
Pale catholic hua wanachanganya maji na chumvi na kuya bariki Kisha kutumiwa kabla na baada ya ibada .
Asante sana kwaujumbe wako
Thanks for informing me
Asante kwadarsa zuli hakika nimejifuza❤
Asante nimejifunzi kitu kuhusu chumvi yamaw e
Yesu ndie chumvi ya ulimwengu...so Christ is everything that people believe in chumvi,vitambaa mafuta adds up to one conclusion...JESUS CHRIST
Mimi kwa kusikia kazi nyingi chumvi imefanya kazi kwa mambo mengi makubwa naamini chumvi sio kitu cha kawaida hata kwa maombi mengi kwa nini wanasema wekeni chumvi kwenye maji baada ya kuombea watu wanapita humo kwa nini hawaweki sukari; kwa hiyo naamini chumvi ni muhimu sana kwa mambo mengi katika maisha.
Nakubaliana na wewe Justin sheedy . Kaka uwe unatuletea makala kila wakati
Asante Sana Kwa ujumbe wako
Thanks for your information
Twende kazi..
Geto nimemwaga chumvi Kona zote kitambotu. Na skuzania chochote
Na kanisa la roman tunatumia,,,🤓🤓🤓 viongozi wenzangu nilisahau kuwajulisha tupandishe bei🧑✈️🧑✈️🧑✈️
Haa😂😂
Me used sea salt and praying to God everyday my Visa was canceled nikapata another contract am very good and fine
Sina l kusema Huwa Wanasema mnatafuta like lakini Ii ni kweli nimeshuudia mengi kuuhusu chumvi
amina mtu wa mungu nimepata kitu hapo nilikuwasijui kambisa
Andika Tabibu loisi kwa RUclips utapata mafundisho kutosha sababu ya chuvi
Mpaka nime sabuskilaibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Big up,,,
Sabuskilaibu
Mhhhh. La pili B.
Hyo sabuskilaibuuuuuuu
@@StephanoMoses 😂😂😂
ivi kweli mungu ni mkuu zaidi
Kaka unakipaji cha Ajabu Sana keep going it
Jina la YESU NI CHUMVI YA ULIMWENGU
Asante Sana
Ki Imani chumvi inafanya mambo Mengi
Chumvi ni Imani ya kawaida sio ushirikina
Thanks kwa mafunfisho yako 🙏🙏🙏🙏
Tena chumvi ya mawe ni nzuri sana
Chumvi ya mawe ntampata wapi??
Chumvi ya mawe nitaipata wapi 🙏🙏??
😮 it's.True@EVERTHING huwa %
Kwanza kabisa chumvi inakata sumu hata kwa mtu aliye kunywa na anataka kufa inauwa hiyo sumu pil chumvi inaponya majeraha ina toa mikosi na nuksi
Huongo..maombi Dio lengo la kila kitu
Asante kwa vidio hii ya chumvi
It really works.
🙏🙏Ni kweli chumvi ni Zaidi ya mambo makuu saana 🙏🙏🙏
Mimi niliitumia haikupita wiki, nikapandshwa cheo
Ukweli😢
Uliitumia aje plzz
uli tumiaje jamani?
Hata mimi nimekumbuka kitu
Tukiwa wadogo bundi alikuwa akilia maeneo ya nyumbani mama anatuambia tuchome chumvi kwenye moto kwa imani bundi anaondoka for sure
Kweli?
Nimekumbuka miaka mingi imepita chumvi ikitoa ushindi
Hiyo ni kweli kbs nimekumbukaa pia
Na ile sauti ya bundi inatisha jmn😢
Chumvi ya mawe ni mhimu kwa kila binadam
Asante
Mungu aliturinda kitambo sana ukila chakula paka utie chuvi chuvi ilio ndani ya mwili nahio utatumia tafauti nini
mbona Naamani jemedari wa Shamu hakuoga baharini,Ni mtoni Na akatakasika ukoma wake, najua tunaishi kwa kila Neno litokalo ktk kinywa cha Bwana,baaasi✋
Amen
@HappyWade-dg1ug barkiwa mteule
Yesu ni alfa tena omega ni zaidi ya vote
Lemme try 2use dis Salt.
Nina nuksi na mikosi yan kila kitu changu nachopanga kinakwenda vice versa
Ngoj nitumie chumvi mr shed
Naamin Mungu yupo atanisaidia for everything
Nenda duka la dawa asili nunua chumvi mawe utakuja kunishukuru.
Tumia chumvi changanya na mchaichai utanishukuru
@@yearm669 Toa na utaratibu namna ya kuitumia ndg yangu🤝
Iwe chumvi yamawe
@@KomweLake unachemsha mchaichai, ukipoa unatia chumvi ya mawe na manuizi Kisha unatia kwenye maji ya kuoga na mengine unafanyia usafi ndani mwako
🙏🙏Mungu ni mwema
Amen Amen, 🙏
Amen
Amen 🙏
Chumvi ukimnywesha mbwa mwenye kichaa anapona, ukiweka chumvi kwenye kovu ulipoumwa na mbwa inakata sumu hata Kama ni ttnasi
Ngoja na mm nifanye hivo maan nilikuw sijui
Ni kweli chumvi inavunja nguvu za ngiza ukimwaga chumvi kwa boma lako,chenye ata mchawi alikua anaplan kufanya kwa boma lako 'awezi
👍👊✌️.
Msiseme sana itapanda bei jamani😭
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahaaaaaa😂😂😂😂😂😂umeonahiloohahahaaaaaaakohokohokohooo
Itakuwa bidha ya thamani😂😂😂😂😂😂😂
Chumvi ni ya MUNGU aliiumba
The hidden truthfully
It,s true that salt that salty grows from the ground while it is natural where by it is mostly quoted in the bible many scrp... Says 2 king 2 vas 19 and many others
Kwanza Kumbukeni chunvi nde ilikuwa pesa ya duniani
Uwo ni ukweli kabisa siwesi binga ata kidogo juu nilisha jalibu kutumia na nikaona mambo ata waliyo kuwa awaniongeleshi waliasa kuongea na mm sikuelewa ila leo ndo nimeelewa ki2 jamani
Chumvi ya Mawe na supermarket wapi na wapi nenda maduka madogo madogo
Duka la dawa za asili
This is true salt is everything
ASANTE
Aki mie siamini pengine tujaribu
our priest was told by the holy spirit to be sanctifying the church compound using salt so it makes sense
Hata mtu akipagawa na mapepo machafu ukimtupia chumvi Pepo wanatii wanatoka
nakubali
Weeee mnasifia sukari 😂 tu
👍👍👍👍👍
Ni kwer kunawakati nirikuwa nafura migu nikifunguwa kazi yangu tangu niwe namwanga maji ya cunvi ndo nifunguwe kazi kwa sasa sifuri migu
Nice
Lazima iwe chumvi ya mawe au
Ndio kwa sababu hiyo haijachakachuliwa na hata chumvi ya kawaida ni nzuri sana
Ni kweli chumvi huwa na nguvu nyingi sana mwanzo yaondoa na kuuwa siafu yaan ina maana nyingi
Mh! Kwani ujio wa Yesu ni KAZI Gani
Neno linaweka wazi kbs
The race to destination depend on what u trust on is either u or worldly thing
Ninaamini kuwa chumvi ni mzuri hata katika kaniza la kicatholic uweka maji chumvi na mwenye anataka maji unakuja na kitu ya kupepa hiyo maji kwa hivyo chumvi ni muhimu kwa familia ama kibiashara
Chumvi ni nzuri naamini
Please naomba utuletee history ya king Baldwin iv
Ndo yupi huyo
Chumvi sio ushirikina
Chumvi ya kununua dukani ukitumia kwa chakula ama chumvi ipi na inapatikana wapi
Chumvi ya mawe inapatikan masokon maduka ya dawa za hasili pia
Chumvi ya mawe uliza sokoni
@@StellaMotelwa ok thanks 👍
@@ZukrahAbdul thanks 👍
Mimi pia chuvii naiamini asilimia mia INA majabuu mazur
❤chumvi kamakawaida
Anayesema ni ushirikina, mbona ukiwa na nuksi unaenda baharini kuogelea ili utoe nuksi? Bahari (maji + chumvi), kwanini bahari isiwe ushirikana? Fikiria
Chumvi ya mawe ni gani
Sea salt .. coarse salt.
Heee kumbe chunvi ni dili kubwa.
😂😂
Miye mina Juan kama chunvi ni Sawa ya kidonda😂😂😂😂😂😢
Mimi nilishatumia sanaaa ila nothing 😢
Chumvi yyte au ya mawe??
Tafuta Chumvi ya Mawe
Chumvi ya mawe inapatikana wapi @@obadiakakende2250
Siyo hushirikina ila inatokana na imani za watu na familia zao.
Wew mbn unaongea Sana ebu nenda kwenye point sio chumv2
We unaitumia nanini ndugu yetu
Ni kweli kabisa
Ninaamini imeshawahi kunisaidia mara nyingi sana