ENTERVIEW ZA AJIRA KUZUNGUMKUTI, MBUNGE AKERWA ''NAFASI 2 WATU 200 KUJAZANA DODOMA
HTML-код
- Опубликовано: 6 янв 2025
- Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki Mheshimiwa Fransic Mtinga amesema licha ya Rais kufanya vizuri katika ongezeko la ajira na kupandisha madaraja Watumishi katika kipindi kifupi lakini kuna changamoto kwenye utumishi hasa waalimu.
Mtinga amesema hayo wakati Bungeni Dodoma wakati akitoa mchango wake ambapo amesema kuwa urithi pekee wa kuwaachia watoto ni elimu kwa sababu elimu ni swala mtambuka na ukiwa na elimu unaweza kufanya mambo mengi hivyo ni vizuri watoto wakapata elimu bora.
Ameongeza kuwa njia ya kwanza ya kupata elimu bora ni kuwa na waalimu lakini bado tatizo la waalimu ni kubwa hivyo ameiomba wizara kuweka vizuri ajira zinazotolewa japokuwa tatizo ni kubwa lakini kuna taitzo katika mgawanyo wa waalimu kwa sababu kuna maeneo yana upungufu mkubwa na kuna maeneo walimu wamejaa.
Ameendelea kusisitiza kuwa hali ya upungufu wa walimu inachangia pia Halmashauri kutofanya vizuri maana kwa upungufu huo watoto hawawezi kupata elimu bora.
SSambamba na hilo amemuomba Waziri wakati wa ugawaji wa ajira kuangalia sehemu ambayo ina upungufu na athari ipo kiasi gani kwa sababu kuna watu wanaumia na kukosa elimu hali ambayo inaendelea kusababisha umaskini katika nchi yetu.
Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo
MEDIA COVERAGE
1.Goverment Events
2.Social Events
3.Documentary
4.Live Streaming
5.Zoom Meting
6.Photo & Videograph
BUSINESS ADVERTISEMENT
#Hotel
#Appartiment
#Restaurant
#Supermakert
#Hall
#Sallon
#New Business
PTINTING
1.Banner
2.Sticker & Flyers
3.Brochures
4.Business Card
5.Graphics Design
6.Logo Design
7.Tshirt Printing
Call Us
0716909567
0766909567
DODOMA
Asante kwa maoni yako Mh.Nazidi kumuomba Mungu nami mwaka huu niajiliwe ualimu,nipo najitolea kwa sasa by Mwl Mussa Shukuru
Ubarikiwe Mbunge wazazi tunateseka sana na nauli
Ushauri huu ni mzuri sana kwenye suala la interview. Wanaofaulu ni wengi lkn idadi inayotakiwa ni ndogo, Je, kwanini wasiwekwe akiba?!
Hongera kwa ushauri mzuri
Asilimia 80 ya kura yangu amepata
Big up sanaaaa
Vijana tupo kwenye wakati mgumu sana
😢
Wee baba umeongea vizuri tunateseka wasakatonge tunaharibu vimitaj vyetu kwenda kufanya interview alafu unakuta nafasi 2 watu 200 inakera
Ameongeza madeni makubwa kuliko Marais wote
Huo ni unafiki sana .hali mtaani ni mabaya sana
Mbona waziri wa afya yeye asemi kuusu Hospitar zake kua azina wafanyakazi?
Wasomi tupo ajira shida wakati shule hazina walimu. Kwa Hali hii hakuna umuhimu wa kusoma sas
Upuuzi tuu na ujinga ujinga wa MAJUHA
Yaaani mchango wako ni mchumia tumbo. Kuna ajira hapo za kumpongeza au huna takwimu za waliohitimu vyuo. Kodi za Watanzania zinahujumiwa , wahitimu wakizidi kuathirika.
Ni kweli muheshimiwa kiongozi na hii inaitwa file explicit file shida inakuja shida hitabaki palepale na hivyo bado ni Changamoto kwetu sisi vijana
Muundo kwa watumishi elimu wengine bado
Vyeti vyao vina kazi Gani?
Utakuta mkoa mzma wanaajiri walimu wa tatu ndyo nini hvo. Kaeni tu kimya msisumbue watu