Ni kweli kabisa mbunge Mungu azidi kukusaidia Baba,sio tu tunamaliza chuo kikuu na miaka 24 hadi 25 mbunge wangu tupo wengi na hii ni kwasababu ya mfumo wa elimu wa muda mrefu.
Just imagine unastaafishwa 😢 kwenye profession yako ukiwa na miaka 26, inauma sana ukizingatia wazazi wameewekeza sana kwenye elimu yako. Kila nikiwaona wazazi wangu wanavyoumia kuhusu hili swala najisikia vibaya sana. Hoja za ukakamavu hazina mashiko kwa uhalisia, na miaka yangu 27 sasa nishakamata majangili 15 katika mahangaiko yangu ya kazi za kujitolea ncaa.

Ni kneeling chair

ndio Bado tupooo
me naona katika fani zotee.
Hiyo kanuni ausheria ya umri kama ingewekwa kwenye kugombea ubunge ndio ingekuwa sawa
Dada umeongea vizuri mungu akubariki elimu yako unaifanyia kazi ww ni kichwa siyo mkia