Kaka yetu jiran yetu tuta kukumbuka daima mungu akupe makaz mema ya milele chanika mtaan kwako kume poaa mpaka aisimuliki asee pumzika kwa aman brother 😢😢
Sote marejeo ni kwa Allah hakuna kitakachobaki isipokuwa nuru ya molla wetu mlez kama alianguka mwenyew au alisukumwa kwa makusud yote Allah ndie mjuz na hafichiki na chcht kwan habar zetu zote za ss wanaadam kwa yale tuyafanyayo yawe mazur au mabaya yote anayajua. Allah amrehem kijan mwenzetu mtanzania mwenzet amsamehe makosa yake amuhifadh mahali pema pepon Amiiiin. Sote marejeo ni kwake Allah mtukufu hatuna pa kwenda
@BrownHuncho-jt6oi inasikitisha sana siku zote wanaanguka weusi tu ,hii sijui mara ya ngapi nasikia vifo vya watanzania, wakenya n.k walikuwa kwenye boti,, wanatalii na wengine, sijawahi kuelewa vyema ila Mungu anajua,tumuachie yeye.
Maji ni hatari Kama hujui kuogelea ni Sekunde tu unazama chini moja kwa moja, muhimu kujaribu kuchukua tahadhari kwa kila jambo unalofanya, pengine jamaa alikaa pembeni kabisa kwa boti yenye kasi akateleza au kilevi kimechangia uwezo wa maamuzi
Watanzania kila kitu kikitokea lazima mtu ahusike? Mmeambiwa kateleza. Video zinaonyesha alivyokuwa amekaa kwenye Pembe ya boti wenzie wanamwambia aangalie na hata mwingine alitaka kumfata kumrudisha ndani ili asianguke bado mnasema kauliwa. Polisi wa Marekani hawana cha kusema ni ajali kama sio ajali. Kateleza mwenyewe hakuna aliyemuua. Acheni fikra mbaya.
Vonsolata hata uwaeleweshe vipi ni bure kama maelezo hawaelewi na picha pia? Au Kila mtu atafsiriwe na kwa lugha yake wenyewe kama kiswahili kimekuwa kigumu
@@SalhaMohammed-y9m Haya fatilia basi. Wasimuue hiyo miaka 10 aliyofanya kazi wamuue Leo ? Tatizo unafikiri sheria za Marekani ni kama za bongo. Kama kuna mtu angehusika angeshakamatwa hakuna aliye juu ya sheria kwa taarifa yako. Ila siwezi kuendelea kubishana na wewe
Kaka yetu jiran yetu tuta kukumbuka daima mungu akupe makaz mema ya milele chanika mtaan kwako kume poaa mpaka aisimuliki asee pumzika kwa aman brother 😢😢
Mungu akulaze mahari pema pepon mdogo wangu nakusubili ufike nikupumzishe
Usikute kasukumwa jamani, watu wana wivu sanaa, pole sana family na friends, rip
Inasikitisha sana... There was a big future ahead of him. RIP 😔
Tumepigwa pata potea apo. Wamerekami kwa kuuwana wanajulikana. Huwo ni mchongo.
Sote marejeo ni kwa Allah hakuna kitakachobaki isipokuwa nuru ya molla wetu mlez kama alianguka mwenyew au alisukumwa kwa makusud yote Allah ndie mjuz na hafichiki na chcht kwan habar zetu zote za ss wanaadam kwa yale tuyafanyayo yawe mazur au mabaya yote anayajua. Allah amrehem kijan mwenzetu mtanzania mwenzet amsamehe makosa yake amuhifadh mahali pema pepon Amiiiin. Sote marejeo ni kwake Allah mtukufu hatuna pa kwenda
Amen
mbona kama sielewi mtu anadondokaje kwenye boti mwenyewe... hapana waseme ukweli wabaya ni watu...waseme ukweli hao wazungu.
kaka ao ndo wazungu buna mtu ana aanguka tu afu anaokotwa maiti 😅😅😅 wazungu bhna afu anafanya kazi goggle
@BrownHuncho-jt6oi inasikitisha sana siku zote wanaanguka weusi tu ,hii sijui mara ya ngapi nasikia vifo vya watanzania, wakenya n.k walikuwa kwenye boti,, wanatalii na wengine, sijawahi kuelewa vyema ila Mungu anajua,tumuachie yeye.
Pole sana familia , ukifanya kazi na wenzetu kuwa sana makini ..
Wazungu wanaubaguzi mnoo hawapendi mtu mweusi awe juu wanataka tufanye kazi chafu tu na sio maofisini.rip bro
Mmmh
Ukiwa ulaya utaelewa Ila Kama upo bongo hutoelewa kabisa
Ulaya marekani kila kona kamera zimezunguka so tukio Kama hili lazima kuwe na pruvu tu everything is pruvu dear
Watakufa wegi
Kwa record hii huyu ni genius. Kwenye boat hakukua mtaalamu wa kuokoa? How?, Law suit inahusika hapo😮😮
😂😂😂inauma sanaa mungu atusaidie tuu🙏🙏🙏
Kiswahili kigumu aliteleza mwenyewe na alikuwa amelewa angalieni video za jana ziko wazi
😂😂😂 ao ndo wazungu bhna sisi tutabaki kua weusi tu
Dah nimeumia Sana kuona kijana mwenzangu smart na ndevu nzury anafariki kwa utata eee Mungu MPE pumziko la Milele Amen😢😢😢
Mmh!! Mbona inafikirisha sana.🤔
Alikuwa amelewa Sana na kuogelea hawezi.
@@aloycekiwia8613 Jamaniiii.😭😭😭
@@aloycekiwia8613 umejuaje
Kweli ng'ombe wa masikini hazai
Kabisa yaani bro
Jmn polen wooot watanzania
Inamaana hao woteee kwenye boti hakuna anaejuwa kuogelea akamuokoa? Sio kweli Mungu atawalipa kama kweli
Inawezekana walimuuwa na kumtupa
Majuzi tu hapa alihojiwa na milady eti Leo kafa jmn jmn 😢rip kijana mpambanaji
Walimsukumia kwenye maji au alidondokea kwenye maji na je hapakuwa na ulinzi wala waokozi kwenye hiyo bot
Uchunguzi zaidi Una hitajika
Huyu ni wa pili kuangukia mtoni mwingine muhaya naye aliangukia mtoni ladt year ukouko USA mbonà hatuelewi au mnatuulia ndugu zetu
Uwiii inaumaaaa
Jamaa alkuwa na bahati ,kufanya Kaz Google siyo kchezo
Sana and smart too
Kwa staili hii nitachelewa kuelewa kifo cha kijana mwenzangu.
Waiting
Maji ni hatari Kama hujui kuogelea ni Sekunde tu unazama chini moja kwa moja, muhimu kujaribu kuchukua tahadhari kwa kila jambo unalofanya, pengine jamaa alikaa pembeni kabisa kwa boti yenye kasi akateleza au kilevi kimechangia uwezo wa maamuzi
Wakishagundua wa tuletee hizo mbinu.. Marekani sio
Wamemfanyaje tena mtanzania mwenzetu😢
RIP BRO
Atakuwa kasukumwa
Wote tutarudi kwetu mbele yetu nyuma yake 😢
Uongo mwingine jamani wazungu washindwe na MTU mweusi hawa hawajawahi kutupenda ,kwani video ya alivyojirusha au kuanguka iko wapi?
Kwaiyo alikuwa hajui ata kuogelea wakamuona au walimkaba kisha wakamtupa majini
Hakusukumwa bwana alilewa bwiii
Masikin mtu kwao ugeni sio kitu chema,siku imeifika mauti ya meifika siku yk Kila mtu atakufa yy ametangulia tu
Watanzania kila kitu kikitokea lazima mtu ahusike? Mmeambiwa kateleza. Video zinaonyesha alivyokuwa amekaa kwenye Pembe ya boti wenzie wanamwambia aangalie na hata mwingine alitaka kumfata kumrudisha ndani ili asianguke bado mnasema kauliwa. Polisi wa Marekani hawana cha kusema ni ajali kama sio ajali. Kateleza mwenyewe hakuna aliyemuua. Acheni fikra mbaya.
Vonsolata hata uwaeleweshe vipi ni bure kama maelezo hawaelewi na picha pia? Au Kila mtu atafsiriwe na kwa lugha yake wenyewe kama kiswahili kimekuwa kigumu
Vidéo ziko wapi?
Mbona unatetea sana au na ww miongoni mwao lazma tuseme damu nzito kuliko maji kaa kwakutulia ndio nyie watumwa wanchi zawatu😏
@@jaqlinecharles4126 kaangalie kwa Mange
@@SalhaMohammed-y9m Haya fatilia basi. Wasimuue hiyo miaka 10 aliyofanya kazi wamuue Leo ? Tatizo unafikiri sheria za Marekani ni kama za bongo. Kama kuna mtu angehusika angeshakamatwa hakuna aliye juu ya sheria kwa taarifa yako. Ila siwezi kuendelea kubishana na wewe
Sasa alivyo tumbukia walishudwa kumpa yale maboya ya kujisaindia kuto kuzama??? Au mmoja wao alishudwa kumuokoa ?????..
Mbona hakuna video
💔💔🙏🏻
😥🙏🙏
kunauwalakini kifo chake y aakunge pekeyake