Me mkenya ila sipendi watanzania wengine wanavyo mkosowa huyu dogo kwa kizungu anachoma I kiongea, mbona wazungu wakiboronga kiswahili hamuwacheki, acheni unafiki bana... Kaka usijali tunajifunza kutokana na makosa yetu
Subhannallah, mtihani kwakweli, maisha ni safar ndefu mmmmh! Pole sana kaka, ila umeniudhi kuweka matatoo usoni, mtu akikuona tu, atakufikiria ni jambazi kweli.
what about WaMaasai.. wana hereni ni tatizo?,, also, i it a problem , why people dissing him, stp judging a book by a cover, kila mtu atabeba mzigo wako, he is smart kid, i feel him, ni soldier huyu mchini namheshim sana, annikumbushia nililala miaka MITATu homeless, NJE, chini ya mdaraja, nilikuwaga ombaomba, kwa miaka mitatatu, nikachekwa sana, iliniuma sana, KABLA SIJAANZA KUFANIKISHA MALENGO YANGU NA WENGI WALINING'ONGA SANA , jah amenibless,
Daaaah Cdhan km utakua sio ww Ben wa keko Magereza,,, nakumbuka Pale Wailes secondary school mwisho kukuona home boy ila pambana ndo changamoto za maisha ayo....Daaaah Respect Boyi
I think before judging his appearance......kuna kitu cha kujifunza kwenye story ya huyu bro na lengo la hii interview ni kutoa lesson kwa Jamii hasa vijana.....But naona wengi naona tunajikita kukosoa mwonekano na grammar......Maneno ya busara unaweza kuyapata hata kwenye mdomo unaonuka.....!
Ben Kiwale Pritchard street & mooi jengo hilo niliwahi kuishi 2002, nijengo linalomilikiwa na jamaa mmoja anaitwa NASA ni mrangirangi, ni kweli jengo hilo kuna waTZ wengi wanaishi na ni City Center.
Npo Pritchard Johannesburg ,the truth is life is hard needs patient passion and persistence .As men we were born to hustle l will fight a fight till I die as a real nigga
bora mchizi alienda kutafta life wengi wanao toa comment za kumkejeli ni ambao bado wako home tu wanakula kwa baba na hawana ramani za maana . hata mchizi haku succed ni bora ali try. tattoos na hereni sio dili kukazania kuzidisi
Wa2 wakiona m2 katoka akafanikiwa wanamfagilia na kutaman lkn hawajui vip kapitia na pia wakiona m2 kajaribu akakosa wanamkejel ...kikubwa kila m2 anatafuta tonge lake bas m2 ujifunze kupitia mwenzio
Stanley Mlowe sure mzee me alichonifurahisha ni kwamba amesema zilichukuliwa damu,kucha, na mkojo zikaenda kupimwa lakin hakukutwa labda hata anatumia ngada km tulivozoea watanzania wengi wakienda SA wanakuwa watumiaji wa ngada au wafanya biashara...lakin huyo mwana pamoja na muonekano wake huo watu wanadiss lakin inaonesha hajawah hata kutumia ngada
Watanzania wame fungwa sauzi wapo wengi......ukweli ukweli wengi wana ishi maisha ya ujambazi na jinai.......habari izo zina fichwa kwa familia zao uko tanzania!
Mbona mimi mkenya +254 niliingia TZ na pande za moshi nikiwa temporary passport nikashikwa na kuacha kila kitu changu geust na kuridishwa na lungalunga
WAY TZ PEOPLE GOING TO SOUTH 🇿🇦 AFRICA NO LIFE WHY U PEOPLE WASTED UR TIME TRUST GOD PRAYES SALAH 5 TIMES A DAY UR ALLAH WILL LISTEN UR DUA BUT DONT SAY UR COUNTRY IN TZ NO JOB BECAUSE U DONT HAVE FAITH WITH UR GOD IF U HAVE FAITH UR GOD ONE DAY U WILL WIN UR DREAM INSHALLAH TRUST UR LOAD OR UR ALLAH WILL YOU WILL WIN UR GOAL INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SOUTH 🇿🇦 AFRICA THAT IS NOT UR COUNTRY COUNTRY TRUST UR FAITH U WILL WIN AMEEN AMEEN AMEEN 😢😢😢😢😢😢😢😢
Nina Mifano Miingi ya Dizaini hii ya watu na watu wangu. Ukienda Nchi za Wenzetu na ukipata Chance ya Kufanikiwa ktk utafutaji unafanikiwa kweeli kweeli na ukifeli unapoteza Maziima kabisa A to Z. Ukirudi Bongo inabaki stori kuwa nishahaso saana Mpaka Ng'ambo. Baada ya hapo unagongea Jero kwa Wana. #EeeeMUNGU tujaalie ktk utafutaji
Ni vizuri sana kupata exposure ili utambue mafanikio ni popote, bila kutoka huwezi kuziona opportunities zilizopo nyumbani. Tulio nje ya nchi tunaona opportunities kibao baada ya kuishi nje muda mrefu.
Najma 3 eiwaa maana watu wakiahaingia katika nchi za watu huwa hutaka makuu ila wakija huku ni uozo mm alikuj kaka 1 kitoka south akawa et anataka kunioa ila nilimshangaa sn maan karud na heren tu sikion alf kitu kidog utasikia msemo wao et wsp niga ndo nini 😁😊nikamkimbiza uozo huo wa nini stori zake tu nilikuwa na madem wa kizungu 😃😃
Dah huyu dogo nilikua nae centroo wakat tunaachiwa mm nikajikataa Botswana mpaka xaxa nipo nimekwama hapa sina wazo LA kurudi TZ nafikilia Brazilian ndio akili yangu inawaza huko sirudi nyuma mbele kwa mbele liwalo na liwe
Dah mwanangu umenikumbusha mbali kichizi court no 09 dah pagumu pale ila tupambane mzee izooo lezoo mkuluu one day yes yatima atacheka mwanaguu lindela sio poa mzee
Interview ipo poa ongera saaana Millard ayo but angalia kwenye maendeleo nazungumzia about 🎤🎤 siku izi kuna zile ndogo inakua hungoji kucha ngia n mgeni wetu kitu kama icho big up bro naipenda kazi yako 💪💪
Yah kweli kabsa iko kitu kama hii ipo. wa tz wanachomwa moto na wazulu wanapigwa chupa pub.tena usiombe wazulu wakuone unapika chai na vitumbua wataku shea kanda akokhole.
Jama huu ako na confidence na kulingan vyenye nimemuelewa akisema ni kweli south Africa wanaroho chafu sana kwa wa Africa wenzao wajinga sana nawachikia
Duh!! Nani Jonas bug kbs maana imewaweka mwaka mzima dah I see poleni san kaka ake ndio ukubwa huo ila hapo najua mumepata funzo kua nakuwaelimisha vijana wengine, shukran san kwako #MillardAyo me nakukubaligi san
Asee kongole kwake kwa ujasiri. "Hakuna jambo Dogo kwa mzazi" nimependa hayo maneno. Fahari yake na matamanio ilikiwa masuala ya Sana'a na uigizaji, kwa mazungumzo haya naamini kabisa wakongwe wanaweza kumpa pahala pa kuanzia maana anaweza mno.
Ambao tumebahatika kuishi nje, tunaelewa uhalisia.
Vijana wenzangu tuthamini kwetu, tubaki nyumbani tupambane nyumbani, tupajenge nyumbani, tupapende nyumbani, inawezekana sana kufanikiwa nyumbani....maisha nje ni gharama sana
JUMA SELEMANI SANAI kweli broo
Nakubari
Very true tena nchi za watu ngumu sana
Kweli kabisa Kaka J Me Mwenyewe Nipo Durban now
True kabisa from USA
Kama umemkubali mpambanaji uyu gusa like acha chuki.
Ammnueli mnyama
Da pole sana kaka kwa maisha magum ulio pitia mungu bado ataendelea kukulinda ila kua makini sana
Nije
Goodluck Temu
Leo naomba like ya Millaedayo
#milladayo
Duh stories nzuriiiiiiiiiiiiii. Km na wewe unaikubali hii gonga like.
sema mshkaji anaju kujieezea kinoma bless kk we fighter kak
basi tusimtanie mungu unavaa herini
Duuuh Wesgate cort no 09
From john foster dahhhh hyo kitambo sana
Pamoja mwamba🤙
Nimewai kuwa huko Durban to jburg, southafrica unatakiwa kuwa fighter kweli, pia unatakiwa kuwa mpiganaji toka day one.
Me mkenya ila sipendi watanzania wengine wanavyo mkosowa huyu dogo kwa kizungu anachoma I kiongea, mbona wazungu wakiboronga kiswahili hamuwacheki, acheni unafiki bana... Kaka usijali tunajifunza kutokana na makosa yetu
jack praise uko sahihi
@Mwajuma Kilobwa m
Hata hao wanao kosoa pia awajui 😂😂😂 ni Kweli wa tz tunatupia hiyo sana 😈
Mbon yupo vizr tuu aaa nimaisha tuu mwenyew naboronga English acha tuu
Kweli
Pole sana kaka kila mmoja huwa na historia ya maisha kwaiyo umri wako bdo mdgo pambana nyumbni mambo yatakaa sawa tu kalibu katka kilimo
Subhannallah, mtihani kwakweli, maisha ni safar ndefu mmmmh! Pole sana kaka, ila umeniudhi kuweka matatoo usoni, mtu akikuona tu, atakufikiria ni jambazi kweli.
Mambo naomba nitaft 0683924441
Kwa huo muonekano lazima awe mtuhumiwa sehemu yoyote. Hata kwenye daladala mtu akipoteza simu lazima waanze nae
Hahahahaa
anasema uongo watanzania wengi walishakuwa waarifu south africa
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahahah
Umeona eeeeh
Alyesikia jonas bagi kama mimi agonge like twende zetu😂😆
abduladhimu ally tulipekwa kituo cha Sentelo ( central ). Ukikutwa Guiliti ( guiltily) hahaha
Ndio kinacho watambulisha. Pengine hata anaulizwa ajitee ana baki kusema mi no Tanzania mi No sif.
Hahahaaaa!!!!Jonas bag
😃😃😃😃😃😃
😂😂😂😂
what about WaMaasai.. wana hereni ni tatizo?,, also, i it a problem , why people dissing him, stp judging a book by a cover, kila mtu atabeba mzigo wako, he is smart kid, i feel him, ni soldier huyu mchini namheshim sana, annikumbushia nililala miaka MITATu homeless, NJE, chini ya mdaraja, nilikuwaga ombaomba, kwa miaka mitatatu, nikachekwa sana, iliniuma sana, KABLA SIJAANZA KUFANIKISHA MALENGO YANGU NA WENGI WALINING'ONGA SANA , jah amenibless,
True man....
Lv daban
Millard Ayo Hongera Sana, Keep Inspiring.
Daaaah Cdhan km utakua sio ww Ben wa keko Magereza,,, nakumbuka Pale Wailes secondary school mwisho kukuona home boy ila pambana ndo changamoto za maisha ayo....Daaaah Respect Boyi
Nacy Avelin katoto .. avelin laurian
Tupendane watz na tumepende home kwetu maisha maagum kokote kikubwa ni tupambane tu popote waungana
jamaaa tayari anadegrii ya maisha , high confedence 9c
kijana huyu yuko honesty sioni kwanini kumtukana. ila watu wengine matunzo ni jadi yao🤔🤔🚞
I think before judging his appearance......kuna kitu cha kujifunza kwenye story ya huyu bro na lengo la hii interview ni kutoa lesson kwa Jamii hasa vijana.....But naona wengi naona tunajikita kukosoa mwonekano na grammar......Maneno ya busara unaweza kuyapata hata kwenye mdomo unaonuka.....!
Ni kweli bro
Ismail Katala Achana nao hawana Akili wajinga Sana
peter adriano MN
Daaah real broo
Ben Kiwale Pritchard street & mooi jengo hilo niliwahi kuishi 2002, nijengo linalomilikiwa na jamaa mmoja anaitwa NASA ni mrangirangi, ni kweli jengo hilo kuna waTZ wengi wanaishi na ni City Center.
Salute Mm nimekaa Deviliers and Quartz street Nakubali
Nimekaa miaka minane
Millard ni fundi wakuuliza maswali cjui kwann wengine wanaletaga ucheshi kwenye interview...
U
Npo Pritchard Johannesburg ,the truth is life is hard needs patient passion and persistence .As men we were born to hustle l will fight a fight till I die as a real nigga
Pole kaka. Maisha mitihani. Umefika nyumbani. Mshukuru mungu.
MEEDAA FARAI mitihan kaitafuta mtu anae tafuta haishi kama mjinga hvo huo ni upuuz waish kwa kuiga wahuni
Pole sana bro tunajifunza kupitia ww kweli ukiwa huna hatia Mungu anakutetea mahali popote
Ungemchikua huyo kijana beni anafahaa kuwa mtangazaji anasauti ya utangazaji na swaga za utangazaji pia anafaa kuwa reporter
kabisa jamaa anasauti ya utangazaji kabisaaaa
Kabisa anafaa
Exactly my dear
Reporter na utangazaji n komoja
Aaah,nimesoma nae jaman tang msing paka secondary wailes
bora mchizi alienda kutafta life wengi wanao toa comment za kumkejeli ni ambao bado wako home tu wanakula kwa baba na hawana ramani za maana . hata mchizi haku succed ni bora ali try. tattoos na hereni sio dili kukazania kuzidisi
Wa2 wakiona m2 katoka akafanikiwa wanamfagilia na kutaman lkn hawajui vip kapitia na pia wakiona m2 kajaribu akakosa wanamkejel ...kikubwa kila m2 anatafuta tonge lake bas m2 ujifunze kupitia mwenzio
Stanley Mlowe sure mzee me alichonifurahisha ni kwamba amesema zilichukuliwa damu,kucha, na mkojo zikaenda kupimwa lakin hakukutwa labda hata anatumia ngada km tulivozoea watanzania wengi wakienda SA wanakuwa watumiaji wa ngada au wafanya biashara...lakin huyo mwana pamoja na muonekano wake huo watu wanadiss lakin inaonesha hajawah hata kutumia ngada
True nigga hustle hard
Boss tattoos usoni utampa kazi bongo?
Sure bro
Na vijana wengi wanaoingia south Africa ni wengi mno wachuuzi wa madawa ya kulevya, Na wao kwa wao wana tabia ya kuchomeana
Cool bro unalijua life kaka Godbless yoh ma men
Eeeeh, bwana good story hayo ndo maisha kiume never give up
Kofia ime egeshwa kisela sana Millard...
Si unajua bana!!
Swaga🤣🤣🤣
@@raheemamkambha6013 hahahaa...noma sna mama
@@hollymore4904 anamuhoji msela lazima awe kisele ili apate details
kama we ni mkenya 👇🏿
Watanzania wame fungwa sauzi wapo wengi......ukweli ukweli wengi wana ishi maisha ya ujambazi na jinai.......habari izo zina fichwa kwa familia zao uko tanzania!
wewe uyawezi ndyo maana unaogopa kiwanja
Kweli best,mm nna mfano halisi
@@priscaandrew554 unaweza kutupa mawasiliano kwa ajiri ya kufanya mahojiano nao
m
@@Taifadigital Acha kufanya udalali katika channel ya watu, uwo sio uwandishi mzur!!
Pole mdogo angu hayo ndo maisha, na pia unauvumilivu sana hongera kwa sasa tafuta maisha nyumbani.
pole hom boe hizo nichangamoto tu za maisha one day yes
Huyo Dogo namjua nilisema nae. Nilimtangulia kidato kimoja. Alikuwa Msela sana
Lindela deportation center . Unanikumbusha mbali lkn stori yko ngumu as if unatengeneza isidingo kichwani
Nataman kwl kuishi nje kutaft pesa kihalali
Huyu muongo mimi niko South afrika
Yani hakuna sehemu tamu kama Tanzania mana hata usipokuwa na pesa unanenepa
Ha ha ha
we ni bangi 2
Tembea ujionee kuma wewe
Tanzania njaa tu kaka haina kuficha
Exactly
Hivi wa bongo huwa hamuwezago kucoment bila kutukana ?sa mnamtukana nn simaisha yake kilabinadam anamaisha yake huwez kumchagulia kha
this is tanzania
Wengi ni Watoto kiakili, kwa hiyo ni kuwazoea tu, Mtu anatukana hata hajasafiri nje ya Wilaya au Mkoa aushiyo,huo ni undina.
Maisha Dada sio kila MTU. Ana chagua kunamengine kawaida kukosolewa ndio njia ya kuwekana sawa
@@malalezengo4405 kymtukana mtu ndo kumkosoa
Kweli mkuu, lakini maisha popote tu cha muhimu tumtangulize Mwenyez Mungu
hawa ndo vijan ninaopendaga yaan upambambaji wa maisha napenda san story
Jamani south Africa kuzur achen tu ma hom Boy wakimbilie Kule mi nimekaa miez miwili Johannesburg ni pazur hatare
Millard ningeipata hio rozari ingekua fresh sana
Km hujapita masha Fulani hujakomaa
Bob.pole sana.ila mungu akusaidie utoboe kweny maisha kama ulivyoweza kutoboa sikio mungu.akutie nguvu
Chizi ww😹😹😹😹
mlugu sasa MTU kama uyo jinsi alvo akipita kwako atakama kuku kaenda kuzurula lazima utahisi kama kaiba tu
Huaga cici Watanzania Nchi ZaNje tunanyanyaswa saana" Nawashangaa Polis wakwetu Tz hawanaga Ishu nawageni wakat wapo wazurula tu Kkoo hapo
Kweli kabisa
Njaaa, tatizo la hawa askari hata elimu juu ya haki za wazawa hawana,wamepitia mafunzo ya kupiga na kuonea raia nakutumia bunduki tuu
Mbona mimi mkenya +254 niliingia TZ na pande za moshi nikiwa temporary passport nikashikwa na kuacha kila kitu changu geust na kuridishwa na lungalunga
polisi wa tz njaa tupu wapo
ukiwa mkenya tz utatimuliwa mbio sana
Kikubwa Mshukuru Mmungu Umerudi Nyumbn salama, Karibu sana TZ karbu Tukomae Kwetu.
Ttrue
Nashukuru umeludi salama kalibu keko mimi nipo omani
Estamele Jomah vp mwaya
WAY TZ PEOPLE GOING TO SOUTH 🇿🇦 AFRICA NO LIFE WHY U PEOPLE WASTED UR TIME TRUST GOD PRAYES SALAH 5 TIMES A DAY UR ALLAH WILL LISTEN UR DUA BUT DONT SAY UR COUNTRY IN TZ NO JOB BECAUSE U DONT HAVE FAITH WITH UR GOD IF U HAVE FAITH UR GOD ONE DAY U WILL WIN UR DREAM INSHALLAH TRUST UR LOAD OR UR ALLAH WILL YOU WILL WIN UR GOAL INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SOUTH 🇿🇦 AFRICA THAT IS NOT UR COUNTRY COUNTRY TRUST UR FAITH U WILL WIN AMEEN AMEEN AMEEN 😢😢😢😢😢😢😢😢
Hyuu jmaa ni school mate wangu jamn dooo jamaa huyu Dar.
kweli
Oya uyu Sio Ben wa Wailes secondary kwel naic km Ndo uyu iv
Ndio Ben mwenyewe uyo inasikitisha sana
Mwenyewe namjua sana uyu kaka halikuwa anapita sana keko mabembeani
Gud.. Mpambanajiiii
Tuliosoma Wailesiii ..tujuanee
Like muhim
Dah..! Ingawa hakufanikiwa kuwa Movie Star.... Angalau amejifunza KIZULU na KIDHUNGU.
😀😀😀
nakubali sn mwamba mnao mtukana mwamba mna feli mbona mnaogopa hata kupanga hata chupa cha 20 hongera ndugu 2 be continual
Nina Mifano Miingi ya Dizaini hii ya watu na watu wangu.
Ukienda Nchi za Wenzetu na ukipata Chance ya Kufanikiwa ktk utafutaji unafanikiwa kweeli kweeli na ukifeli unapoteza Maziima kabisa A to Z.
Ukirudi Bongo inabaki stori kuwa nishahaso saana Mpaka Ng'ambo.
Baada ya hapo unagongea Jero kwa Wana.
#EeeeMUNGU tujaalie ktk utafutaji
Kweli kabisa bigerup.
Geophrey Mwakasyuka Vijana tupunguze saana Tamaa
KINGCHARZ TV Namba yangu naweza kupa,sasa inategemea wao wahusika watakubali hayo Mahojiano?
@@Basagamp4 nipe wala usijal Tutajuwa Namba ya kufanya
@@Basagamp4 nipe namba tutajuwa Tunafanyeje
Nakubali hustrel za mshikaji gud bro
Sema kweli kilichokutokea jela hadi kuvishwa kipuli
😂😂😂😂😂😂hiyo ni siri
Shalo boy we nawe kuma kwel
I LISTEN THIS STORY ITS TOO SAD BUT MY ADVICE HOME SWEET HOME UR COUNTRY IS BEST TZ 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pole sana bro ..!! Sisi wa toto wakiume tusiogope kutoka nje ya nchi ..mana ata ukiwa apa Tz unaweza kusingiziw kesi na ukafungwa vilevile
michael samson Hata Mimi Naona ndivo Hivo Ila polee sanaaa Broo
Ni vizuri sana kupata exposure ili utambue mafanikio ni popote, bila kutoka huwezi kuziona opportunities zilizopo nyumbani. Tulio nje ya nchi tunaona opportunities kibao baada ya kuishi nje muda mrefu.
South Pale mashoga wengi sana .. Wa TZ tunaoenda kule ndo malijali lazma kiwake mzee
🤣🤣🤣🤣
@@faridaiddi104 😁😁
Du mungu akusaidie kaka endelea kupambana uschoke
I was there by that day I escape though emergence door Mungu ni mkubwa
Shukuru mungu
Amina
Safi
@@judymmuinde9321 0753956720
+255753956720
Kama unamkabali mwana halakati gonga like
Millard Ayo the best in asking questions
Mungu mwemaa mmerudi salama
asa nyie mnaosema kuna vitu anaficha si mkaadisie
😂😂😂😂
@@fainnamvungi4364 si wabongo tunazinguaga kinoma sa kumbe mnajua muadie nyie sasa vyote msifiche
@@manjaruujr8255 we acha 2
Wa Tz ni wajuaji sana mamaeee
@@richardyusuphmsongolomakat2049 kinoma ani sijui tunaferigi wapi
ayo huwa anajuwa kuwa hoji vizuri safi sana yan ww tz ndi mtangazaji bora mm huwa naona
ok kaka karibu nyumbani tuuze machungwa ila kama huna mawe iyo heleni vua
😂😂
Aache tu iyo coz anaweza pata mume
Wahida Shabaz 😂😂😂hareni aiweke kabatini asubiri akirud South Africa ndo ataenda kuivaa 🏃♀️
.
Najma 3 eiwaa maana watu wakiahaingia katika nchi za watu huwa hutaka makuu ila wakija huku ni uozo mm alikuj kaka 1 kitoka south akawa et anataka kunioa ila nilimshangaa sn maan karud na heren tu sikion alf kitu kidog utasikia msemo wao et wsp niga ndo nini 😁😊nikamkimbiza uozo huo wa nini stori zake tu nilikuwa na madem wa kizungu 😃😃
Pole yako kaka
Dah huyu dogo nilikua nae centroo wakat tunaachiwa mm nikajikataa Botswana mpaka xaxa nipo nimekwama hapa sina wazo LA kurudi TZ nafikilia Brazilian ndio akili yangu inawaza huko sirudi nyuma mbele kwa mbele liwalo na liwe
Nisubirie tusepe wote
@@charlzzesonconsciousness6685 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
asiliyake Chuma! Never look back go go
hahaaaaaaa
@@charlzzesonconsciousness6685 😀😀😀😀😀😀
Dah mwanangu umenikumbusha mbali kichizi court no 09 dah pagumu pale ila tupambane mzee izooo lezoo mkuluu one day yes yatima atacheka mwanaguu lindela sio poa mzee
Daaad damu yangu karibu keko ndio home wanao tupo ben
pole sana fighter maisha popote ila dua muhimu
mimi nimeishi zaid ya miaka 4 lkn mnajiweka kihunu
Interview ipo poa ongera saaana Millard ayo but angalia kwenye maendeleo nazungumzia about 🎤🎤 siku izi kuna zile ndogo inakua hungoji kucha ngia n mgeni wetu kitu kama icho big up bro naipenda kazi yako 💪💪
Yah kweli kabsa iko kitu kama hii ipo. wa tz wanachomwa moto na wazulu wanapigwa chupa pub.tena usiombe wazulu wakuone unapika chai na vitumbua wataku shea kanda akokhole.
Mirlad ayo big up bro unajua sana
Don't worry bro mey be you like president Mandela life is not easy suffer hakuna shida isiokuwa na solution be happy brazee
😂😂😂😂sisi bado tupo huku tunasavaiv
Jama huu ako na confidence na kulingan vyenye nimemuelewa akisema ni kweli south Africa wanaroho chafu sana kwa wa Africa wenzao wajinga sana nawachikia
Daah bora ungebaki huko... Huku maisha hoiiiiii
Watoboaje mskio mtoto wakivme na kvweka hereni kabisa hcho ndicho mnacho kifuata huko sovth
Baada ya miaka 40 wazee wote bongo watakuwa na tattoo na kutoga masikio🙆♂️ Mungu nakukabidhi uzao wangu🙏
Raheema Mkambha hahaaaaaaa
Rehema nitabaki mim ucjali tutajenga familia nzul.
@@matthewjohn5108 😆😆😆
Pole xanaa kalibu tz
Hahahahha
Duh!! Nani Jonas bug kbs maana imewaweka mwaka mzima dah I see poleni san kaka ake ndio ukubwa huo ila hapo najua mumepata funzo kua nakuwaelimisha vijana wengine, shukran san kwako #MillardAyo me nakukubaligi san
STREET HUSTLERS GOD BLESS EAST AFRIKA 🇰🇪🇹🇿
Mpambanaj anafia vitani sarute sana baharia ila huku South Africa kuishi Kuna hitaji akili nyingi sana pasikie kwa kuhadithiwa nomaaaah
M nimekaa Durban almost3yrs ukiwa smart unapiga mishe zako bila tabu sema mwana anatoa siri za jandoni
Hizo hazina shida na kama kuna kosa wamelifanya Kama kuruhusu simu basi baada ya video hii wakiiyona wataacha
@@Richforever66 yah
Kweli mwanangu
Mmmmmh mbona Kama Teja, jamani
aaaah huyu lazima afungwe
tatizo bangi,, coz mshkaj uyu anaonekana kabisa anakula kumbukumbu,, mdomo mkavuuuu, achen bangi ndugu zanguni🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
arafu wakaka wa tmk wengi wanapenda kwenda South Africa
True
Hahahaha umeona eh labda kwakuwa ni karibu na njia ya kusini
mimaake nirram nawakaka wa kinondoni wengi mashoga
Christina Chacky tmk kwetu akuna kulemba
TMK umewin kwetu uswahilini huwezi amini wanaishi mkachaa maskini,Home sweet home napazimia mimi kiwanja nikafuate nini?,kwetu nyumbani maharagwe ni bora kuliko nyama anayapikaga mama,mimi nayapenda sanaa!hapa hapa ndiyo nyumbani,mjomba hassani washa koroboi humu ndani mbu wamezidi.
Nakubali
Ukienda kichwa mkuki lazima udunde. Jipange ukitaka Safari. Sio ushakula bange zako .eti ooh mi nasafiri . Safari tu ..mi nawashauri tu kama unatala Safari jipange hakuna linalo shindikana.
Mimi nataka nataka nataka kwenda America yeaaaah
Huyu kitale amuweke kwenye maneno yakuambia sawa na itham wawewote magaidi
🤣🤣🤣🤣
Kweli kabsa
Ayo..tv unajuwa kuoji kipaj unacho sana
Poleni sana ila mungu mwema pia mlikuwa mnakula vizuri sihaba
Nuru Dovino
Asante
Mwanangu Jela za South Africa zina raha, Jioni mkate pia, Sahau kuhusu Bongo
Asee kongole kwake kwa ujasiri. "Hakuna jambo Dogo kwa mzazi" nimependa hayo maneno. Fahari yake na matamanio ilikiwa masuala ya Sana'a na uigizaji, kwa mazungumzo haya naamini kabisa wakongwe wanaweza kumpa pahala pa kuanzia maana anaweza mno.
Asante ayo tumeelewa
hao jamaa nilikutana nao westgate court wakiwa wamekuja kuskiza kesi yao mi nilikaa Siku tatu mahabusu nikatoka
pole
usijali sis mambo mengine yakupita tu
pole ilikuaje naww
Hakuna jambo dogo kwa mzazi
Usihukumu kitabu kwa muonekano wa nje
He is very bright guy👊