Daaah nimempenda huyu kaka, ameelezea vizuri sana na nimejifunza mengi sana na hii Story inasikitisha sana aiseee,Pole sana kak etu,tunapitia haya ili kujifunza
Alichanganyikiwa.kwa kufikiria alitenda wema kwa kutokataa mimba na halafu akapewa kifungo na kufika kule akakuta mateso makali ambayo yalimfanya aamue kujihami ili wamuogope wasimguse pole sana baba angu uliumia kiakili.
Subhana allah naona machozi yananitoka bila kujua...pole sana ndugu yangu kweli jail sio mahali pazur kabisa Allah awastir ndugu zetu na watoto wetu Allahuma Amin
Kwanza kabisa pole sana kakangu M/ Mungu aliye kuweka hai na ukawa huru tena ana jambo njema na wewe unabii huo uliyo utoa kwa ajili ya jamii unatosha kabisa kumpa Mungu utukifu , Lakini kaka Zahir ndugu kanivunja moyo Mimi nitaka kuomba mawasiliano lakini masharti yamenishinda duuuh anataka vidogodogo bado na Mimi 40 🤣🤣🤣
Pole kaka kweli gereza sio zuri.. Maximum good job tuleteeni story km hizi za kuzingatia za udaku hazina ladha . Mama Samiya mtafute kijana huyu akupe vitus tusivo vijua vya gerezani.
Pole sana suleiman ni mitihani ya duniani, ushaur wangu inaonekana una afya njema kaka cha msingi fanya kazi ili kujipatia rizik ndio jambo kubwa ili kuweza kujipatia cha kuendeleza maisha cha msingi ni kujichanganya na watu ili urud katika hali yako
Kaka pole Mungu Ni mwema siku zote kwakuwa umetoka salama Ape we sifa nimependa ulivyo jieleza nakusema ukweli Nakutakia Maisha marefu na Mung Akuwekeye Wepesi usikate tama
Pole sana kaka angu muombe allah akusameh pia msameh mwenzako ulimpenda mpak unaenda kwao kujielewa ni wachache san makak wenye roho hizo allah akufungulie milango ya rizki
Duul pole sana kaka, ingawa nimewai bakiwa binti yangu inauma mzazi na cwezi mlaumu mamake binti cos najua uchungu wa mama ni mzazi, lakini pole sana, kamuone mwanao atakukubali Inshallah.
Hizi Sheria niza kishenzi sana. Zinaumiza sana boychild. Ukiangalia msichana wa 16 yrs na mvulana wa 19 yrs hao ni agemates. Niwatu wenye pia akili zinakaribiana. Hakuna sababu ya kutosha ya kupunish mtoto mvulana miaka 30yrs eti kwa sababu ya mimba. Haya nimambo yanayoweza kusuluhuhishwa kwa njia Bora zaidi nasio kupoteza Maisha ya boychild. Ni uchungu sana. Serikali ziangalie mambo haya
Nimependa sana kauli yako kuhusu aina ya mke unayemtaka. Wewe ni mwanaume mwenye ufahamu mkubwa sana. Mbinguni patakuwa mahali pa kushangaza mno. Sio mahali pà dini. Ni mahàli pa wateule. Nimependa hiyo❤👍
@@trophywilson7211 30 years for a consensual sex is too much.Not even 1 time I heard someone serving 30 years for imprinting a girl with intention to marry her. 😎
Iyo kesi shida Ilikuwa umaskini. Angekuwa na wakili mzuri angetoka. Ama angepata adhabu kidogo. Maana walisikizana na msichana. Sheria mbaya, umaskini tatizo. Huyu ni mtu mwerevu sana. Akili iko timamu. Musaidieni aanze RUclips channel apeane stori za jela.
inauma😭Nainasikitisha😭hilo neno lakusema jera hipo kwaajiri yabinadam kwahiyo siogopi lolotee lakini kupitia story hi kuaziya leo Mungu naomba Nifunge kinywa🤐jela sio mchenzo km Tunanavyotamka😭pole sanaa sele,Mungu bado Anampango Nawewe
Kwa kweli Tanzania inabidi ibadirishe sheria za magereza kwani sio haki za binaadamu, mtu unamfunga miaka kibao halafu unamtesa balaa, unamfanyisha kazi humlipi mshahara hata kidogo hiyo sio sawa kabisa ni unyanyasaji mkubwa mnooo, MAMA SAMIA LIANGALIE HILI, JELA SIO SEHEMU YA KUMPA MFUNGWA MATESO YA KUPITILIZA, POLE SANA BRO DUUH
Aiseeeee!! Huyo jamaa namfahamu tuliwahi kukutana nae maeneo ya njia ya maji huko kapalamsenga na tuliwahi kupanda nae meri moja mv liemba na tukapiga nae picha kibao mpaka leo ninazo. Mwaka 2002 nilipita shinyanga natokea mwanza kuna mabrother zetu wa kigoma hapo shinyanya wakanipa hizo habari zake nikaumia Sana maana alikuwa mdogo na nilizoea kumwita dogo janja Mgasa. Allaah ni mwema Kama katoka aiseeeee
Pole sana kaka ,mungu akupe hutaji lako la moyo umpate mke msikivu mpole mwenye kuthamini ,pia awe na heshima na upendo kwako ili akusahaurishe kwa mengi ulioyapitia,kaka zahir barikiwa san , na MUNGU.
Huyu jamaa anasema ukweli ilmbidi kujiprotect ndiyo Hali ya gereza badala ya kurekebika walimharibu lakini haya simaumbile yake anahitaji msaada wa kazi na pia msaada wa datari Wa siekolojia🇰🇪🇰🇪
Maximum TV umefanya jambo ya haki mimi niko sehemu ya wilaya nitatuma vipi mchangu yangu na huyu ni mtu mwaminifu yani Honest Asante sana watanzania ni watu karimu mimi sio mtanzania lakini wanaopendo sio kama watu kwetu jirani yenu sitaji jina utajua mwenyewe
Nimefurahi kusikia Serikali yetu ya Tanzania inatekeleza sheria, umefanya kosa sheria inachukua mkondo wake, kijana umekua muwazi sana umeongea ukweli wako, kifupi muogope sheria somo hili kutoka kwa kijana,
Mambo matatu katika dini lazima yaharakishwe mtu akitaka kuoa na amepata mke muozesheni Mtu akitaka kusilimu mslimisheni Mtu akifa wahini kumzika shukhran
Masha Allah Allah akuongoze kwa ulioyapotia kakangu kwa kweli umejieleza vizuri sana tuu nitajitahidi nikusaidie kakangu we ni muwazi sana Huna uongo wala short cut hujifichii mabaya. ulofanya ya ukweli unasema na ambayo hujafanya uko wazi sana.
Daaah nimempenda huyu kaka, ameelezea vizuri sana na nimejifunza mengi sana na hii Story inasikitisha sana aiseee,Pole sana kak etu,tunapitia haya ili kujifunza
Waah,gerezani Kuna changamoto na huku nje watu wanaishi vile wanataka hata bila kumuogopa MUNGU Wala Kumshkru
Mungu amrehemu huyu kaka
Subhannah Allah 😭😭😭😭kwa kweli Huyu kaka amepitiya mateso makubwa,Allah amfunguliye njia masikini
Mama Samia Rais wetu,Asante Kwa kuwasamehe haya,Mungu akubariki mama
Aliachiwa na magu huyu
Hongera Sana! Unajua Sana kiswahili,unapangilia maelezo kiufupi unajua kujieleza
MUNGU BABA asaidie Rais wetu Uhuru Kenyatta kabla atoke kitini awasemehe wafungwa wetu watoke.Mimi ni Mkenya 🇰🇪na wapenda sana jirani wetu Tanzania.
nakupenda pia
Alichanganyikiwa.kwa kufikiria alitenda wema kwa kutokataa mimba na halafu akapewa kifungo na kufika kule akakuta mateso makali ambayo yalimfanya aamue kujihami ili wamuogope wasimguse pole sana baba angu uliumia kiakili.
😢😢😢
Subhana allah naona machozi yananitoka bila kujua...pole sana ndugu yangu kweli jail sio mahali pazur kabisa
Allah awastir ndugu zetu na watoto wetu Allahuma Amin
Allahhumma ameen inshallah
Allahumma amiiin Yarabb
Pole sana bro God is with you. Pongezi kwako unajua kujieleza vizuri
Pole Sana kaka. Mungu kuhifadhi KWA Hilo gumu na mengine na atuhifadhi na sisi sote. Mitihani yote hii ni kipimo Cha subra NJEMA.
Watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 zahiri tuna kufatilia sana MUNGU akuzidishie iman
Mi nimempenda huyu Kaka yuko straight forward
Hongera habipty
Omba namba uwe nae
Pole sana .Mungu yu mwema
Huyu ana hitaji nyenzo atakuwa ili aendeshe maisha ni mtu mwema huyu
Kwanza kabisa pole sana kakangu M/ Mungu aliye kuweka hai na ukawa huru tena ana jambo njema na wewe unabii huo uliyo utoa kwa ajili ya jamii unatosha kabisa kumpa Mungu utukifu ,
Lakini kaka Zahir ndugu kanivunja moyo Mimi nitaka kuomba mawasiliano lakini masharti yamenishinda duuuh anataka vidogodogo bado na Mimi 40 🤣🤣🤣
ruclips.net/video/rhly5nUZ2Rw/видео.html
Huyu kaka atakuja kua mtu mkubwa sna pia huyo mama ana dhambi kubwa sna khaaa mtot asomi afu unamfanyia hiv kweli dah😪😪😪😪😪 pole sna kaka Mungu yupo
Kaka zahir hiyo sura ya usingiz kabisaaa umetoka kulala, pole sana Broo ogopa wanafunz
Jela isikie kwa mwenzako yani ukitoka huko ni mawili uwe mbaya zaidi ama ubadilike uwe mtu mzuri zaidi... Waah pole bro.
Pole kaka kweli gereza sio zuri..
Maximum good job tuleteeni story km hizi za kuzingatia za udaku hazina ladha .
Mama Samiya mtafute kijana huyu akupe vitus tusivo vijua vya gerezani.
Pole sana
Miaka19,ulikuwa bado mdogo
Mashalah hana kinyongo Allah atamfanyia wepes
Hongera kaka kwa ujari na ukwel kwan ukwel humueka mtu huru nimekubal sn kwakwel 👍👍😍
Kijana yuko smart kiakili wallahy Allah akuongoze akuepushe na mabalaa maisha yko yawe mapya mungu atakusaidia kaka mambo yatanyooka bi idhnillah
Husband material, pole Sana kakangu, Mungu atakuonekania
Mm nimekupenda kw vile umeongea ukwl karibu zanziba
Fanya ivyo tena
@@mohamedihasani622 vp nifanye
Nimekuelewa. Mpe pumziko
mpe mawasiliano yako aje wasiliana na Zahir
@@assiakhadijz4167 🤣🤣
Ooo nimewahi leo
Maximum tv super
Innalillah waina illah rajihuon.. HasbiyaAllah waneemal wakeel... Pole Sana...
Innallillahi wainnailley rajiun. Kitu nitakushauri zahir akipata mkristo amake sure amamfunza dini ya kiislamu
Pole sana suleiman ni mitihani ya duniani, ushaur wangu inaonekana una afya njema kaka cha msingi fanya kazi ili kujipatia rizik ndio jambo kubwa ili kuweza kujipatia cha kuendeleza maisha cha msingi ni kujichanganya na watu ili urud katika hali yako
Mbona kesha fariki huna tarifa
Nmeumia sana ila pole yote Mitihani, Allah akuzidishie subraa
Mungu ni mkuu kwa kila jambo.Atukuzwe kila wakati🌞🙏.
Duuh hii story imeniumiza san ila tumshuklu mungu kwa kutoka sallama kaka zahir nakuchek whatsap
Pole sana bradher❤❤❤❤❤❤
Assalaam alaykum kama umebadilika bc mm apa njoo uniowe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👈
😂😂😂🤣
@@ayshamahariq6665 huyu dadaetu yaonekana ana uchu🙄 duhh kamkubali chapchap kabla ata ya mawasiliano🤣
Maxhaallah jambo la kheri
Pia.nisuna.ya.mtume
Kaka pole Mungu Ni mwema siku zote kwakuwa umetoka salama Ape we sifa nimependa ulivyo jieleza nakusema ukweli Nakutakia Maisha marefu na Mung Akuwekeye Wepesi usikate tama
Pole kaka daaaah akuna mtu anaijua kesho yake kwakweli unahitaji misahada😭
Pole sana kaka angu muombe allah akusameh pia msameh mwenzako ulimpenda mpak unaenda kwao kujielewa ni wachache san makak wenye roho hizo allah akufungulie milango ya rizki
Zahir kweli akipata hizo zote kweli utakuwa umetengenezea mwanaume mwenzako mazingira mazuri ile hatokuja kukusahau katika maisha yake yote.
Duul pole sana kaka, ingawa nimewai bakiwa binti yangu inauma mzazi na cwezi mlaumu mamake binti cos najua uchungu wa mama ni mzazi, lakini pole sana, kamuone mwanao atakukubali Inshallah.
Mwee pole saana
Umenisikitisha Sana mdogo wangu m mungu ni mwema umetoka salama
ruclips.net/video/rhly5nUZ2Rw/видео.html
Pole Sana kaka MUNGU akufanyie wepes Ishaallah
Allah yupamoja nawe kkngu, never give up brother
pole sana kaka. hta mm yamenikuta gereza co pow.mtu anaekupeleka gerezan muogope
Pole shemeji angu.
Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi utatoka kimaisha
Mugu Akufanyie wepesi kaka
Pole sana . Je mtoto yupo wapi? Au yule mdada umekutana nae?
Pole sana
Pole sana ndg yangu ,na huyo mwanamke yy keshaolewa na mwanamume mwengine na anawajukuu ndio ujuwe Sheria mavi hii
Hizi Sheria niza kishenzi sana. Zinaumiza sana boychild. Ukiangalia msichana wa 16 yrs na mvulana wa 19 yrs hao ni agemates. Niwatu wenye pia akili zinakaribiana. Hakuna sababu ya kutosha ya kupunish mtoto mvulana miaka 30yrs eti kwa sababu ya mimba. Haya nimambo yanayoweza kusuluhuhishwa kwa njia Bora zaidi nasio kupoteza Maisha ya boychild. Ni uchungu sana. Serikali ziangalie mambo haya
Hizi sheria zingine ila nizakijinga sana. Mtu hajaua, ajaumiza mtu, hajaiba halafu adhabu take 30 yrs????
Sheria zimeweka zifatwe acha afungwe
Jmni nagpa mungu akupe ngvu kka nkukmbka skumoja nilienda geleza rakeko kumuona mfungwa bba Ang mlezi Ila bale nilkua kwenyefleni yakuingia ndani lkaja gali lamageleza bas tkaludishwa nyuma wtoto wdogo wlishushwa akiamungu niliumia nkueaza mbali ilesemu sonzuli jmni mungu atuepushe kwakweli naakutie nguvu kka angu daaa😭😭
Nimependa sana kauli yako kuhusu aina ya mke unayemtaka.
Wewe ni mwanaume mwenye ufahamu mkubwa sana.
Mbinguni patakuwa mahali pa kushangaza mno.
Sio mahali pà dini.
Ni mahàli pa wateule.
Nimependa hiyo❤👍
Kwani eti maximum TV niwaulize swali?
RUclips siku hizi imekuwaje mbona sioni pa kukomentia😲
Pole sanakk
Pole shikama na allah muombe allah msamah pale ulipokosea allah akusameh msamehe pia mwenzako
He's a nice guy turned to monster in self defense. Stupid rules. A 19 year old is a kid. 💔
@@aby21111 is A Kid in which Country ??Even USA 18 is not a Kid
@@trophywilson7211 30 years for a consensual sex is too much.Not even 1 time I heard someone serving 30 years for imprinting a girl with intention to marry her. 😎
Pole sana kaka
Mungu akufanyie wepesi inshaallah
Iyo kesi shida Ilikuwa umaskini. Angekuwa na wakili mzuri angetoka. Ama angepata adhabu kidogo. Maana walisikizana na msichana. Sheria mbaya, umaskini tatizo. Huyu ni mtu mwerevu sana. Akili iko timamu. Musaidieni aanze RUclips channel apeane stori za jela.
Huyu kaka anaendelea aje jamani. Naulizia toka kenya
Musaidie sana umukutanishe Na muzazi mwenzake kbs atizame ata mtotoake kbs bro big up sana 💪 💪 💪
inauma😭Nainasikitisha😭hilo neno lakusema jera hipo kwaajiri yabinadam kwahiyo siogopi lolotee lakini kupitia story hi kuaziya leo Mungu naomba Nifunge kinywa🤐jela sio mchenzo km Tunanavyotamka😭pole sanaa sele,Mungu bado Anampango Nawewe
SUBHANA ALLAH MIYAKA 30 WEEK TO MITIKHAANI POLE SANA
Miaka 20 tu miaka 10 alisamehewa
Pole sana kaka Mungu atakufanyia wepesi
Pole sana Kwanza esta mukristo
Kijana handsome and smart pole Sana kijana mungu atakusimamia
Dah huyu kweli anahitaji msaada jamaa hakukataa mimba wakamueka ndani.doh pole sana kaka.
Nimecheka eti sijakumbuka kumuaga rafiki wala nani mbele tuu hahahha nimechaka mbaka kichwa kuuma
Pole kaka😢😢😢
Kwa kweli Tanzania inabidi ibadirishe sheria za magereza kwani sio haki za binaadamu, mtu unamfunga miaka kibao halafu unamtesa balaa, unamfanyisha kazi humlipi mshahara hata kidogo hiyo sio sawa kabisa ni unyanyasaji mkubwa mnooo, MAMA SAMIA LIANGALIE HILI, JELA SIO SEHEMU YA KUMPA MFUNGWA MATESO YA KUPITILIZA, POLE SANA BRO DUUH
Na ntoto wake yuko wapi ?
Aiseeeee!! Huyo jamaa namfahamu tuliwahi kukutana nae maeneo ya njia ya maji huko kapalamsenga na tuliwahi kupanda nae meri moja mv liemba na tukapiga nae picha kibao mpaka leo ninazo. Mwaka 2002 nilipita shinyanga natokea mwanza kuna mabrother zetu wa kigoma hapo shinyanya wakanipa hizo habari zake nikaumia Sana maana alikuwa mdogo na nilizoea kumwita dogo janja Mgasa. Allaah ni mwema Kama katoka aiseeeee
Mtafute
Umesha fika kaparamsenga kaka
Daah uyu kaka mashallah ❤Mungu atampa mke mwema
Pole saana kaka angu
Pole Sana! Ila Sasa ukiona wanafunzi kimbia usiwaguse
Kwl kabisa
Wow mtu wakwetu kizazi cha congo wamanyema 😘😘🥰😍😍😍😗😗😗
ruclips.net/video/rhly5nUZ2Rw/видео.html
Pole sana kaka ,mungu akupe hutaji lako la moyo umpate mke msikivu mpole mwenye kuthamini ,pia awe na heshima na upendo kwako ili akusahaurishe kwa mengi ulioyapitia,kaka zahir barikiwa san , na MUNGU.
Halafu ety vibaka wanakamatwa wanaachiwa peleka huko gereza la kilmo aipate freesh
Subhannahllah pole sana my brother.
Huyu jamaa anasema ukweli ilmbidi kujiprotect ndiyo Hali ya gereza badala ya kurekebika walimharibu lakini haya simaumbile yake anahitaji msaada wa kazi na pia msaada wa datari Wa siekolojia🇰🇪🇰🇪
Pole sana kakangu mungu akupiganie
Kaka Mzuri Mashallah. Kama ana tama mke nipo hapa tusaidiane maisha. I serious Zahir
Iddy niko serious kabisa
Chukua namba ya zahir iyo mtafute private kama kweli uko serious
@@Randm- wengi maneno tu
Pole kaka
Maximum TV umefanya jambo ya haki mimi niko sehemu ya wilaya nitatuma vipi mchangu yangu na huyu ni mtu mwaminifu yani Honest
Asante sana watanzania ni watu karimu mimi sio mtanzania lakini wanaopendo sio kama watu kwetu jirani yenu sitaji jina utajua mwenyewe
Anaonekana mstaarabu Kwa mke hakosi Allah amfungulie rizk tu
Sote wa mungu kwake tutarejea
.umeshakuwa marehemu.Allah akusamehe
Mungu atakufanyia wepesi kaka
Daah
Nimefurahi kusikia Serikali yetu ya Tanzania inatekeleza sheria, umefanya kosa sheria inachukua mkondo wake, kijana umekua muwazi sana umeongea ukweli wako, kifupi muogope sheria somo hili kutoka kwa kijana,
Sio sawa. Sheria inamuumiza mtoto mvulana. Ngono walishiriki wote. Hawa ni agemates. 16yrs na 19yrs. Sio sawa.
Hapo Sheria Lazima irekebishwe Kuna Vitu havijakaa Sawa
Serikali bado ina mapungufu kumfunga MTU kwenye kiza .
Mmm ulitegwa pole sana
Mambo matatu katika dini lazima yaharakishwe mtu akitaka kuoa na amepata mke muozesheni
Mtu akitaka kusilimu mslimisheni
Mtu akifa wahini kumzika shukhran
Na mtu akitaka kazi asaidiwe haraka sana
@@rosenaheka7100 umeonaeeh!?
Masikini pole my brother kira mda sema Alhamdulillah wara kuli Khaly
Hapana chezea Jamhuri, ndanda cosovo alishaimba Jela Jela ni mbaya, Jela Jela ni mateso.
Pole Kwa mitihan
pole sana bro maisha magumu sana dah inauma
Pole sana kaka kwa maumivu uliyo pitia inauma kwakweli kwasababu ungekua unaniya mbaya ya huyo msichana ulivyo itwa wala usingeenda
ruclips.net/video/rhly5nUZ2Rw/видео.html
Subhanaallah
Subhanaallah
Subhanaallah
So sad moment
M/mungu azidi kukupa afya na endeleee na kukupigania inshallah Mr seleman
Husband material 🤗
Wee!!neema hilo jina kwa sasa ni tatizo!! Kkkkk
@@stevemwakisimba5986🤜 🤛 umeonae una akili sana Steve 👏
@@stevemwakisimba5986 hahahaha🔥
Hahaha napita
Hahahaaaa jina hapana
Masikini pole sanaaa kaka yangu ALLAH akujalie uwe mwema kwenye maisha YA Uhuru Na uwe Mwema sanaaa
Pole kaka pole sana
Duh😪
Touching story jamani, alafu kaka mkweli huyu
Pole sn kaka amevumiliaje mpaka ukamchanja?
dah ni story ya kusikitisha sana na ya kujifunza
Wao my kaka pole xana kwa matatizo
Masha Allah Allah akuongoze kwa ulioyapotia kakangu kwa kweli umejieleza vizuri sana tuu nitajitahidi nikusaidie kakangu we ni muwazi sana Huna uongo wala short cut hujifichii mabaya. ulofanya ya ukweli unasema na ambayo hujafanya uko wazi sana.
Ni mwaminifu sana mwanamke atayeolewa naye atakuwa ameokota dodo