Tazama moto wa Bernard Morrison alipoichezea Team Samatta dhidi ya Team Kiba
HTML-код
- Опубликовано: 7 авг 2020
- MORRISON SHOW: Hii ni sehemu ya burudani aliyoitoa kiungo Bernard Morrison kwenye mchezo ya #SamakibaFoundation iliyopigwa leo kwenye Dimba la Mkapa, Dar es Salaam.
FT: Team Kiba 3-1 Team Samatta.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz Спорт
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Morison ni mchezaji mzuriii mnooo
Morrison chama miqsone kahata yanga bora msiingize timu uwanjani
Morson man of the match
Hana chochote wanamkuza tu morison
I'm from Australia but I like this guy
Mate, whereabouts in Aussie? Im on the coast mate.
@@seremalatznaaustralia1462 Darwin NT
@@hugfiyvhj im in NSW
Tuwe wazi hapa bongo kuna mtu anacheza mpira zaidi ya Morrison tusubr next seasonal upande wa pili mjiandae pasi 3000 kwa saaa Na una cham una mix son una kahatason una bicoson 😀😀😀😀😀😀😀
Ndevu za karantin sasa zimefika sehem sahihi
Hulu kiumbe tuache Marengo tango mengine yote ila ni mtu hatari sanaaaaa
jamaa ana kipaji cha kipekee msumu ujao vikombe vinne msimbazi uku bm33 apa bocco au kagere kule luis apa kati fraga na tshishimbi kule manula apo wawa uyu kennedy mara papu MH
Jamaaaa anajua bana
Safi Sana morson
Safiiii
Yangaaaaaa poleni sanaaa, hamna namna inabidi mkubali tuu!!
Huyu mwamba anajua 😅😅😅😅😅😅👇daaaah
Pamoja na mambo yake binafsi aliyonayo huyu jamaa Benard Morrison ni fundi kweli kweli yaani konk konk konk master
BENARD MORRISON ATARI SANA TUNAMKARIBISHA SIMBA NAMIKONO MIWILI👏👏
Daa kwel morson anawezaa
Kijamaa kinajua. Morison hapa Mikson chama huku Mzee wa kijiko wataisoma.
Morrison,chama ....kahata guu la aiscrim ahiiii ahiii,nickson....boko anamalizaaaaaaaa .....#Morrison
Good
Noma Sana mm
Next season hatocheza in Tanzania
Morxon jaman
Hahahah nomaa saana
Sema morrison anajua futbol
Morison mashine
Huyu jamaa Ana uwezo kweli
mbn kama jamaa anafuraha xana😂😂😂😂
1. Okocha 2. Gaucho 3. Morrison
#Pangaclassictv #Mishashonlinetv #Rogathpangaonlinetv
Morison anajuwa mpira jmn sema kule utoporo Fc 😂 😂 Kuna njaa
MIMI NAPENDA KULA UGLI HAPA TANZANIA
Jamaa nouma sana tutaona meng
Yeebaba
Mm nasematuu huku morison kule miquusson
Uyu mwamba anajua san tuache unafki
Benard Morrison membe
😀😀
Alivyokuwa Yanga simba mlisema morison hana nafasi yakucheza simba anakiwango cha kawaida leo kaja simba anajua aisee mashabiki wa simba acheni umalaya wa ujuaji huyo dogo anacheza kama wachezaji wengine.Lakini mshamba wa mapenzi akiona mwanamke anamatako makubwa anafikili anajua mapenzi kaeni nae mtamfukuza mechi ya kwanza tu.Kama huku mmemlubuni basi atalubuniwa na mtalia zaidi..Mtu mbaya huwa hawi mzuri wala Shetani awezi kuwa mtakatifu.
😂😂mbona hata nyie kwa sasa mnasema niwakawaida wakati alipokuwa kwenu sifa Kama zote mpira ni Kama siasa broo akiwa sehemu furani unaponda akija kwako unasifia na akileta ujuwaji wake anasugua benchi simba ni timu kubwa walikuwepo wazuri zaidi yake waliondoka wakaiacha simba naikaendelea kufanya vizuri so tulieni hivyohivyo dawa iwaingie mwenye pesa si mwenzako 😂
Waeleze bwana😆😆
🎤
Mm
Morson noma
Naona waliokuwa wanasema chama kazid xahv wamehamia huku mikiaa bhna kesi haijaixha tutawafundxha mpambane na underdog huko
Morison habar ya mjin
sisimizi anataka kupigwa na gobore..hahaha
Mbwembwe za morson uwanjani
Mpira anajua
Fundi
Aey
Akiamua kuchexa mpira akaacha ujinga wake atafika mbali
Uyu jamaa vituko anafanya hata kazi pia anafanya yuko vizur sana
Huyu refa alikua amevaa miwani ya mbao bila shaka
Guseni link ruclips.net/video/TAGs5lG-Jzg/видео.html Wanasimba wito Yanga utopolo Guseni link ruclips.net/video/TAGs5lG-Jzg/видео.html kinjonge
Waandishi wa kibongo ndiyo wanachangia kuharibu wachezaji, sasa hapo moto wake uko wapi mbona anaruka ruka tu
Yangaaa leo amekuwa akiruka ruka eti
Wewe huoni mavitu ayoo mpaka watu wanajifunga wenyewe
Hahaahahaaahja unajikutaa kipofuu eeeh
Mpanda juu ya mpila leo unamuona analukaluka tu 😃😃😃😃😃😆😆
Usitufokee
Ngassa na huyu mle mle tuu sema haka kachizi kidogo
Sina shaka Morison sasa ataonyesha uwezo wake maana amepata timu inayo jua mpira huko kwingine alipotea njia.
K
Tutamsafisha kama wale wanasiasa
Kama wale mafisadi eti walimuosha akawa msafi nouma
Au Bokosoni,kahata soni,Manila soni,hahaaaa sipati picha iyo Sikh ya clab bingwa Afrika,niksoni Chama soni,
@@linajames2653 mia maandalizi ya klabu bingwaa yameiva hayo
Akija Simba atacheza mpila maana kila mtu anajua pare pesa ipo kazi itakuwa kwaketu
Anaharibu mpira kwa mbwembwe zake, akileta Mbwembwe Simba atasugua Benchi.
Morrison habari nyingine
Aiiii yanga mtaambia nini mashabiki wenu
Sara
Sawa
RUclips
Wanayanga mpo kweli sasa toeni hela mnataka vizuli alafu hela hamna utopolo nyie
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Nani (Official lyrics video)👇👇👇
ruclips.net/video/9AfoC1NaQX0/видео.html
BM33 hahaahahahhahhah kule Miqusone hapa chama mmmh=Barcelona in Africa
Kakutana na ambao hawajui kucheza ndio mana mnamuona champion
Jamaa Fundi
Mbona alivyokuwa Yanga mlikuwa mnamtukana binadam bwana....
Kama manyani vile
Elly manjunju na ww 2mbil
Nawewe tutakufukuza nchini unaleta ubaguzi
Kumekuchaaaaa
Napa Ali Kulwa fit, mwembamba fulani,mwepesi, ila umri nao unaenda, kapata mwili siku hizi, majeruhi kwa sana, ndio maana hizi raha atupi tena
Ndomana chura wanaumia huyu mtu ni hatari kwakweli
Ukija simba atutaki mbwembwe zako izo
Si uto wanasema huku ni timu ya kulelea wazee, tunasubiri tuone
Hhh
Kuna watu wamekasirika hapa,Kuna watu wamenuna 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣
Nyimbo mpya y'a birinasi
Mogogo
Mashabiki wa simba kama mwanamke mjamzito Mara Morrison mpanda mpira tu hakuna kitu leo wanasema Morrison hatariii yaan kama wajawazito vile
Nyinyi Sasa sikama mashoga mlisema ni fundi wakati sisi tukisema mpanda mpira so nanyi mnasema hajuiq
@@husseinmillinga1920 mnajifanya mnahela Bado mnachukua wachezaj lipuli kama mnahela kachukuen mchezaj as vita au nenden uarabuni mkanunue wachezaj cyo mnagombanea wachezaj lipuli na kmc mnahela za mawazo
@@mussamakochela2206 ametoka yondan Abdul ngasa hao wameisaidia sn Tim cyo huyo mchez wa show game iliona wap mchez anakosa penalty 2 ktk game moja?
@@jamesngonyan1670 tunaanza na nyinyi kwanza huko tutaenda tukikua kiuchumi
@@husseinmillinga1920 bwalya anawapa hi
Utopolo uwo
Morisson karb msimbazi baba
Anapiga Mpira mno
Stephano
Dah morrison utapigwa vi juju na vipapi mwaka huu du sio kwa ku saliti uko.😂😂😂😂
Nahamia Simba Na jua ni UHURU wangu
Issa salim karibu mkuu achana hao wanaosajilia kwa midomo baada ya karatasi
Karibu sana chama la wana
M pila wanawake
Linachezea AKILI za watu
Jsm mm na ww chezea akil za wanyama
Unajua
mimi nishasema mapema naamia simba msimu huu sitaki pressure
Mapalala njoo mjin achana na hao mikebe
Mapalala 😂
rama
Eeeeee
Morison ni bonge la player hana muda mrefu mtamskia yupo mbele
🤣🤣🤣🤣
Mamb
Simba tutafeli pakubwa tu kumsajili huyu morison na uongozi kama munaona mbali huyu sio mchezaji wakutuletea ushindi ila kama munasajili wachezaji wakufurahisha jukwaa basi msajilini
Hayo ni mawazo yako
Mpira stareh acha ufala we izo mbwe mbwe ndo zinotkiwa aswa izo
wewe una akili kweli kumpata mtu kama morison ni ngumu sana kwenye mpira wetu kwa sababu ana kila kitu jamaa....SIMBA TUTAMUELEZA JAMBO MOJA TU APUNGUZE MBWEMBWE BASI
Sasa Kama hajakaba na pasi imefika ,utaka usifurahi nn maana ya mchezo wa mpira? Kama siyo burudani yenyewe.Kufunga ni sehemu nyingine ya furaha.
vipi kauli yako mpka sasa
Zuchu
3l
Mbwembwe za Morrison na manara uzinduzi jezi mpya za simba
ruclips.net/video/aYSpqxuxPnY/видео.html
TAMTHILIA YA ROZINA
Binti wa Kazi za ndani, anarithishwa mikoba na bibi yake ya kichawi.
Usikose kutazama kila wiki Tamthilia yako hii pendwa ya Rozina.
ruclips.net/video/xlYDiajufk8/видео.html
Yaukwer xana hyo
Huyo Morrison anaenda kukaa bench tu
Unateseka?
Ana namba yake Tatar poleee
Naona mmejiaminisha mmemsajili subirini maamuzi yatolewe kesho Jumatatu
Hawezi kukaa benchi,,huyu jamaaa ni FUNDI,ila namshauri awe siriasi,na mpira,akishafunga magoli mengi timuyake ndo atuwekee burudani na madoido yake,karibu Simba bro,umekutana na watu wanaojua mpira
Huku morisoni kule mickson kahata chama kanda! Jamani kwani hiyo club bingwa lini? Tunaitaka mjue.
Munatakiwa muwangalie gm maana kama alikuwa wa kiba kwann aikimbie naende upande mwengine inamaana hajiamini timu gan?i asheze
Ww nae hujui huyo anachezea samata Wa Simba kasha sajiriwa simba
Kamfata manara na matola
Ali kiba team yanga na samata team Simba ungetaka akachezee wp
Simba wanasikiliza akili za hajira manara atawapoteza
Manara hakurupuki wewe anachoongea ni Cha kweli
We mwehu kwel
Watanzania tunakariri sana maisha, yaani mpaka utangazaji pia? Huyu Morrison ni wa kawaida sana, hamna cha hajabu akifanyacho!
Ujui soka ww
Wanayanga bana 😂😂😂😂😂
Kweli Utopolo ni Utopolo tu
Hahahaha ebu futa ulichoandika
😂😂fikria upya mmepokonywa tonge mdomoni
Anajua mpira lakin hivyo vituko vyake vinaharibu sifa zake zote
😁😁😁😁😁😁😁😁Senzo aende tuuu kwa kwel haitustuii hii burudan itaendelea November😁😁😁😁