Uchambuzi:ZUCHU ni level nyingine! album yake mpya PEACE AND MONEY ni yamoto sana,nyimbo zote kali..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @MeshackMagaro
    @MeshackMagaro 13 часов назад +12

    Mimi zote ni Ngoma zangu pendwa kabsa Yani kiukweli upande wa female sijawahi kuona female mwaenye atakuja kurisi jina la zuchu Yani ni zaidi ya kipaji ❤❤❤

    • @MartinLaurent-h2f
      @MartinLaurent-h2f 10 часов назад +1

      Naomba sapota kwenye game langu la mziki nina nyimbo yangu mpya iitwayo dunia ina mengi inapatikana RUclips kwa jina langu la shollest classic baby ft mirror karibuni tuiskilize kwa pamoja

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 13 часов назад +7

    Nachopenda kwny album hii iko tfaut ngoma hazifanani kila ngoma iko kivyake I like the creativity ameumiza kichwa sana

  • @MamuHssn-o6h
    @MamuHssn-o6h 11 часов назад +4

    Zuchu ni moto wakuotea mbali😊❤❤

  • @MamuHssn-o6h
    @MamuHssn-o6h 9 часов назад +4

    Zuchu kawazidi mpaka vidume waliyo tangulia kutoa album zao siku kadhaa zilizo pita 😂😂 mimi nimezipenda zote aiseee 😊❤❤❤❤

  • @meislive5234
    @meislive5234 14 часов назад +10

    Verry Nice album 👍👍👍👍💥💥I love it 😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Час назад

    Kiukweli zuchu aachiwe tu queen wetu❤🎉

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 13 часов назад +7

    Queen of Africa...

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 13 часов назад +9

    Yan hihalbam noma sn

  • @AIMEMAS-G
    @AIMEMAS-G 13 часов назад +4

    ❤❤Good album for. Queen zuchu from AEST Africa

  • @LatifaIrakoze-ws6hp
    @LatifaIrakoze-ws6hp Час назад

    I love you zuchu ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 13 часов назад +6

    10/10 minus nothing yaani bi zuuh ameuaaa sanaa

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 13 часов назад +3

    Goose bumps all over. This Queen is truly talented. She is so good. ❤❤❤❤❤❤❤❤🇺🇸

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 13 часов назад +5

    Mie zote zuchu anaweza anaweza anaweza tena bint mkali sana huyu ktk mziki

  • @SuziKimweli-dk5nq
    @SuziKimweli-dk5nq 8 часов назад

    Me zangu pendwa nimechoka shell walewale❤❤❤

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 10 часов назад +3

    Ngoma yangu pendwa ni ile aliyowashirikisha H_art band

  • @charabudochar2027
    @charabudochar2027 13 часов назад +4

    D voice

  • @ArmchairtourismTv
    @ArmchairtourismTv 13 часов назад +5

    Ile nyimbo yupo na Yemi Alade ni noma sasa

  • @RachidecatambocatamboCatamboca
    @RachidecatambocatamboCatamboca 12 часов назад +2

    Ngoma Kali sana

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 14 часов назад +4

    Peace and money 🎉🎉🎉

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 9 часов назад +1

    Yani huyi nikali sana ❤❤

  • @mussammbaraq1063
    @mussammbaraq1063 13 часов назад +4

    Umeiruka my favorite lullaby ft majeeed hi ngoma ni kali ❤❤

  • @JoelMukulu-f4i
    @JoelMukulu-f4i 9 часов назад +1

    Yani kazi nzuri sana. Ila zuchu. Ongera sana kweli. Ila i don't Care bonge moja la ngoma

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 14 часов назад +4

    08 Ya moto🎉🎉

  • @samuelmwatsuma4462
    @samuelmwatsuma4462 10 часов назад +2

    Tinini 09 bonga moja la ngoma

  • @MarcelKipushikaronda-q2d
    @MarcelKipushikaronda-q2d 11 часов назад +2

    Uyu dd amekwisha kumaliza kabisa apa aaaa🎉🎉🎉🎉

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +4

    Yaani hii album ni Kali Sana!! Yaani nyimbo zina burudisha zote yaani Moto yaa ajabu ❤❤....very true hu skip

  • @marleshjimmy1972
    @marleshjimmy1972 12 часов назад +3

    Album ni kaliii ila umesahau lullaby nikaliii sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @hassansukari5211
    @hassansukari5211 8 часов назад

    Chuchu❤

  • @safarimusa5946
    @safarimusa5946 11 часов назад +1

    Album ya Zuchu ni moto wakuotea mbali.. NOMA SANA

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 12 часов назад +1

    Zuchu ❤❤❤❤

  • @RehemaKatana-m6l
    @RehemaKatana-m6l 12 часов назад +2

    Jaman zuchu apa umeweza...mm.zote nmependa

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 8 часов назад

    Album Ni Kali San aise ngoma yang tinini, mama na mwizi

  • @Sunflower001-xt3ou
    @Sunflower001-xt3ou 12 часов назад +1

    Best album

  • @joelkomba442
    @joelkomba442 14 часов назад +3

    💥💯🔥🔥

  • @mwambehaji69
    @mwambehaji69 14 часов назад +3

    ❤❤❤

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 12 часов назад +1

    Zote Motto 🔥 ❤️ dadek ww zuchu lollipop 🍭 umeimba dadeq

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 10 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @siwetuahmad1381
    @siwetuahmad1381 13 часов назад +2

    Ngoma zote noma napenda mwizi mama na walewal

  • @DelphinAsumani
    @DelphinAsumani 13 часов назад +5

    ina ruhusiwa nasisi watu ambawo tupo DRC congo

  • @odettemurebwayire3915
    @odettemurebwayire3915 11 часов назад +1

    🔥🔥

  • @emmanuelmashauri466
    @emmanuelmashauri466 13 часов назад +3

    lolipop

  • @IsaacSalali
    @IsaacSalali 14 часов назад +5

    Middel simba

  • @FrobyRobin
    @FrobyRobin 13 часов назад +2

    we zombie

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +2

    MIMI NAPENDA NYIMBO 12 KUTOKA KWA 13. NYIMBO HAINI KOSHI NI MAMA TUU!!! LAKINI LOLLIPOP NA ZOTE

  • @WycliffeAbdulLigare
    @WycliffeAbdulLigare 13 часов назад +4

    Huyu mrembo tu peke yake tu anashinda willypaul wa kenya mara millioni na ukumbuke ameanza mziki juzi tu...😂😂😂😂😂😂😂😂😂alafu paka inataka kupishana na simbaaaaa la masimba dangote haujui 🎉🎉🎉🎉(simba anajua kutafuta kweli yaani pesa juu ya pesa sio wajinga wenye wanaangalia matako tu

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 14 часов назад +5

    Album ya rayvanny ukuiongelea iyo inaziilisha kuwa umpendi rayvanny kama sio ivo shida nin?

    • @Medicalstevo95th
      @Medicalstevo95th 14 часов назад +2

      @@draxelr-vc9wr achana naye rayvanny ashakuwa mkubwa hizi media yeboyebo promo zao hazihitajiki

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 12 часов назад +1

      Bana ile ya rayvanny si album ni mkusanyiko wa ngoma

  • @Medicalstevo95th
    @Medicalstevo95th 14 часов назад +6

    Ulikuwa hujaona album za wasanii wengine ila wewe jamaa unazingua 😂

    • @MbalasaJRMwakabalile
      @MbalasaJRMwakabalile 14 часов назад +2

      Wcb chawaaa

    • @Medicalstevo95th
      @Medicalstevo95th 14 часов назад +1

      @MbalasaJRMwakabalile nakubali mkuu ametoa EP ibra kmy,Mario rayvanny wametoa kmy huyu jamaa Huwa anaboa sana

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +1

      Hakuna kama ya Zuchu

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +3

      ​@@Medicalstevo95thsema amesema ukweli hii album kiboko Sana Zuchu hammfikii bwana

  • @AndrewChishambo
    @AndrewChishambo 13 часов назад +3

    album mbovu afadhali ep ya Ibrah

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂utakufa Kwa hasira!!!! Huyu ib nikama kamisi 😂😂😂😂 Zuchu to the world

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 12 часов назад +2

      Peleka hasira uko..acha ss tuinjoi ❤❤

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 12 часов назад +1

      @RehemaKatana-m6l hebu mwambie huyu kijuso.....

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 10 часов назад

      Atulie uko...mbovu MBNA ameskiza​@@BarbaraPatience-qt9cc

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 6 часов назад +1

      Zuch Forever 🔥🔥🔥

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 10 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 5 часов назад

    ❤❤❤❤

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 10 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AhmedAbdallah-y6q
    @AhmedAbdallah-y6q Час назад

    ❤❤❤❤

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 10 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉