Zuchu - Tinini Feat H_art The Band (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 558

  • @fogdeshadow4g
    @fogdeshadow4g 4 дня назад +84

    Wakenya naomba tumpe huyu support juu ya @hart the band🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JLMEDIA-35
    @JLMEDIA-35 4 дня назад +111

    Kenya boe kama wewe mkenya unawakubali ndugu zako basi like hapa

  • @esikingamrperfume1997
    @esikingamrperfume1997 4 дня назад +88

    WCB Asante kuwashikisha ndugu zetu tena wimbo mtulivu huba tele 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 3 дня назад

      Sisi hatuko na shida,,,tatizo ni Pozee wenu anaelazimisha bifurcation kwa manufaq yake yakipumbavu

    • @RojaMwinyi
      @RojaMwinyi 3 дня назад

      Alafu mukamtukana diamond na Watanzania wakati mnajua Hakuna Kenya bila Tanzania kimziki..you should give us our respect in music industry

    • @Halima-z7x
      @Halima-z7x День назад

      Kisha mkamuonrsha daimond madharau kisa pozeee

    • @alimwema
      @alimwema 18 часов назад

      🥱🥱🥱🥱🥱​@@RojaMwinyi

    • @EmmanuelMukubwa
      @EmmanuelMukubwa 13 часов назад

      Bila Kenya bongo flava haina soko​@@RojaMwinyi

  • @gerdmosler3180
    @gerdmosler3180 3 дня назад +19

    Daaah huyu Zuchu ana balaaa zito sanaaaa Ndugu Zangu ,,she is so talented Mpaka baaasi

  • @snogad
    @snogad 3 дня назад +18

    Nimetokea kuipenda hii Kwa kweli❤

  • @alfonceomondi8944
    @alfonceomondi8944 День назад +8

    Kenya Siku zotee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥💯

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 3 дня назад +14

    Unajua Zuchu ni Queen of the jungle hana mpizani huyu mtoto wa kizenji mke halali wa The King Simba la Masimba mwamba kabisa Dangote

  • @KevinKharlix
    @KevinKharlix 4 дня назад +271

    Kama wewe ni mkenya ni like Moja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chutney1173
    @chutney1173 4 дня назад +24

    Zuchu’z voice is sending me anh😩😩😩🥹🥹💕💕🙌🏾❤️❤️ you’re the QUEEN 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @Money-q8q
    @Money-q8q 17 часов назад +1

    I am from tz my blood country,ndugu zangu wakenya tukisema vipaji tunamanisha vipaji kama hivi,Hawa jamaa wa bendi wanajuwa na watakula snaa shavu tz,nimewasikiliza Sana wanajuwa watafika mbali MUNGU awajalie na awape riziki

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 4 дня назад +44

    Hart the Band❤❤❤❤Kenya to the World...all love mnipee hizo likes❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 6 часов назад +2

    Kw ushirikiano huu basi tutaenda mbali 🇰🇪🇹🇿

  • @tnums001
    @tnums001 4 дня назад +35

    Zuchu utaatuuwa mbona nyimbo zote kali ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @World-wide_Musiq
    @World-wide_Musiq 4 дня назад +12

    Damn! This is more than what i expected! Wow! Unyama mwingi sana humu Malkia Zuu! 🇰🇪 254 representing. H_art the band mambo yao haya 🔥🔥🙌

  • @tridun.65
    @tridun.65 3 дня назад +12

    OUR GIRL HAS TRIED FOR HER FIRST ALBUM❤❤❤❤❤❤LETS GIVE HER ,HER FLOWERS 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 3 дня назад +13

    Wasafi Asanteni Sanaa kwa kuwapa wakenya Nafasi kwenye hii Album ya Zuchu....Kenya tunasema Asante Sanaa na Zuchu Kenya unakaribishwa tenaa.... Receive Love toka Kenya♥️♥️♥️

    • @RojaMwinyi
      @RojaMwinyi 3 дня назад

      Kwanza mutuombe msamaha Kwa matusi mulompa diamond na Watanzania wakati we always support you na kuwafanya mujulikane international

    • @RoyAshuma
      @RoyAshuma 3 дня назад

      @RojaMwinyi Hapo kwa Msamaha bado Sanaa😂😂😂

    • @Wangoi5
      @Wangoi5 2 дня назад

      @@RojaMwinyimtangoja sana diamond harudi kenya😂

  • @Jayjones2005
    @Jayjones2005 3 дня назад +6

    Sasa zuchu tunakuona vizuri sana,,love frm kenya to zuchu 4 de 1st time🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏👏👏👏

  • @Collo_mshairi
    @Collo_mshairi 3 дня назад +10

    Mukhana ❤nina roho moja
    Nimechora tatoo
    Hata kama kwa dini ni taboo
    H_art the band siku zote Tinini
    Zuchu🔥

  • @vancykhan234
    @vancykhan234 4 дня назад +19

    H_art The Band noma sana awaaa watu

  • @ZIZEDANETVSHOW
    @ZIZEDANETVSHOW 4 дня назад +12

    Kama una mama mbaka now ni mzima na unaongea naye mahukuruu sana kama unampenda mama ako onyesha upendo ❤

  • @hamzarashid9705
    @hamzarashid9705 4 дня назад +8

    Didn't see it coming to be honest, never thought these Kenyan artists have this talented. They kill it, let's give em their flowers!🙌

  • @janetsafari5644
    @janetsafari5644 4 дня назад +40

    Zuchu unanivuruga jmn mpaka ssa nko track ya nne kuskilza ila cjui fav yangu n gani zote kali mama umeweza😍👏👏👏🙌🙌🙌

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 4 дня назад +78

    Kiukwel hii album zuchu ulitulia san tena san, hii ndo maana halisi ya album, ubunifu ulioweka humu ndani ya album daaaah umetisha San, hapa ndo tunaweza kutofautisha album ya marioo, Rayvany na yako, kiukweli umejitahid san! Siyo wale unasikia kila wimbo haloooooooo😂, na wengine unackia oya oya oyaaa chiz limetoloka milembe😅, na wengine unackia chuiiii😅,,,,,,,, aise kwa namna ulivyobadilika kweny nyimbo zako, unastahili pongezi kubwa san 🙌🙌🙌

    • @Lyrac91
      @Lyrac91 4 дня назад +2

      Bomboclat

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 4 дня назад +2

      Kabisa zuchu ana balaa na nusu

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 4 дня назад +1

      ​@@Lyrac91Nginja nginja😂😂

    • @mlelwatv5831
      @mlelwatv5831 4 дня назад +2

      Yes tena kachanganya mziki wenye Radha mbalimbali Kuna mbaka singeli humu ndani sio poa 🔥🔥

    • @richardmloha1762
      @richardmloha1762 3 дня назад +3

      Unaweza msifia bila kuwa underate wengine na ukaeleweka

  • @MCBLEEZYTHAAMEL
    @MCBLEEZYTHAAMEL 4 дня назад +17

    Asante zuchu mungu akubarikie 🇲🇿

  • @jaykaris
    @jaykaris 3 дня назад +12

    Nyimbo ya kwanza ya zuchu mimi kucomment ju ya vijana wetu tu

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 дня назад +9

    Ooh hii nilikua sijaisikia yaani Zuchu mkali!!! Hii album unaweza sikiza pole pole ukasafiri mombasa hadi mwanza peke yako

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 3 дня назад +4

    Wow!... Kwa HartTheBand nayo lazma ukaze Zuchu vocals.💞🫶... Umeuwa sana🇰🇪🥂🔥🤝😊

  • @vivianluvuka6573
    @vivianluvuka6573 4 дня назад +5

    Kenya we are here to represent the band❤❤❤❤

  • @VinaboyOfficial
    @VinaboyOfficial 2 дня назад +1

    Duh 🙄 hili ni noma yani bonge moja la mdundo. Hongereni sana H.the band tunawaombea mfike hadi kule Ugaibuni and may God bless your journey of music forever 🙏💥

  • @NarisisiLugakingira
    @NarisisiLugakingira День назад +1

    Queen of bongo fleva hakuna ubishi katika nafasi yako 👑🙌

  • @Amaizingkariuki-un4rr
    @Amaizingkariuki-un4rr 20 часов назад +1

    Omg,really waited for this combi❤❤❤❤

  • @almasinillan
    @almasinillan 4 дня назад +3

    Naamini Ipo Siku Africa itasikiliza Mziki Wangu 🎁🎶🫅🏾 #AlmasiNillan

  • @BarryPaulo-w8n
    @BarryPaulo-w8n 3 дня назад +2

    Zhu chu chu chu fire kuna vipappy viwili vimetoa et albam albamu zenyewe hazisikiki. Ira hii ndo ARBAM.. Umeua. Get your crown

  • @Sunflower001-xt3ou
    @Sunflower001-xt3ou 4 дня назад +7

    Zuchu utengwe ,my kenyan brothers you killed it 🇰🇪

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 3 дня назад +2

    Huyu demu hata huyo wapili anae mfuata kamuacha mbali sana 🙌

  • @theballosm
    @theballosm 4 дня назад +8

    The best album in tz of the year❤❤❤

  • @Sincerelykentrell038
    @Sincerelykentrell038 4 дня назад +7

    Hongera Zuu Kwa kuingia Kenya🇰🇪

  • @fantacyfour8040
    @fantacyfour8040 4 дня назад +13

    Hii ndio album sasa zuchu tulikuwa tunasubiri tutolee sisi watu wazaima sijawai comment lkni hii album kali😊

  • @ericnzaro9138
    @ericnzaro9138 4 дня назад +6

    My favorite jam in this album 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 4 дня назад +7

    Well done my lovely daughter zuchu👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰♥️♥️♥️

  • @CLAM_VEVO255
    @CLAM_VEVO255 4 дня назад +61

    Tunao mkubali Zuchu tujuane kwaku Like hii comment

  • @yobo_master_254
    @yobo_master_254 4 дня назад +24

    Big my Kenyan fans
    I can this full album will shock the wrld go out there shine east Africa 🥹✌️

  • @MonzerAlshafie
    @MonzerAlshafie 4 дня назад +5

    I am Sudanese and I like your songs and I love you very much. Stay well. 🎉❤

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 4 дня назад +22

    Tunao mkubali zuchu tujuane kwaku like hii comment

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 4 дня назад +6

    Zuu Chu❗Chu❗....Unajua mpka Unapitiliza Aisee🔥🇹🇿

  • @AgmanMalila
    @AgmanMalila 4 дня назад +6

    Ah!! Mdàda anajuà huyu 😍😍😍

  • @Bonymuruki
    @Bonymuruki 4 дня назад +4

    Ugomvi wa 🇰🇪 and 🇹🇿 umemalizwa na hii jam hapaa. spectacular❤❤

  • @NeemaOmari-h2j
    @NeemaOmari-h2j 4 дня назад +15

    Who else love Zuchu like me ❤❤

  • @Queenlily7350
    @Queenlily7350 День назад +1

    ❤❤❤ka nyimbo katamu flani hivi katilivu

  • @JosueElbikrito
    @JosueElbikrito 4 дня назад +4

    Je vous love depuis la rdcongo 🇨🇩
    Nalingi yo mingi zuchu
    Tinini tananana
    J'ai kiffé le son

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 4 дня назад +7

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 my country well represented

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 4 дня назад +8

    Aisee Hii Nyimbo Kali SANA 🎶🎵🎼💯🔥

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 3 дня назад +4

    Vibe moto walahi❤🔥💪🙌

  • @ClassicSound-e8l
    @ClassicSound-e8l День назад

    Nangoja nafeel modekai amepita aji mule zuchuuu one of a kind kwa hili pia 🎉

  • @jembeMahiri
    @jembeMahiri 4 дня назад +12

    Ishara tosha kuwa undugu kati ya Kenya na Tanzania hautenganishiki.

  • @dickeyprattybuoy
    @dickeyprattybuoy 3 дня назад +3

    ❤❤❤sisi wakenya tunapenda vitu kama hiki yawaaa ,,zuchu we love you

  • @officialrichmondchibu2212
    @officialrichmondchibu2212 4 дня назад +17

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪ngoma kalii kama we ni mkenya like hii comment na pia iache flag

  • @dangotemajor6198
    @dangotemajor6198 3 дня назад +2

    The chemistry is on a whole new level for real.its just amazing

  • @JacksonNgede-k4q
    @JacksonNgede-k4q 4 дня назад +4

    Kipenzi cha watanzania 🎉🎉🎉❤

  • @GraceGolden-q5y
    @GraceGolden-q5y 3 дня назад +1

    Zuchuuuu mitoooo nandi jipange sana kushindana na zuchuuu

  • @AliILHAMMUTHONI
    @AliILHAMMUTHONI 2 дня назад

    💥💥💥〽️💯💯💯💯💯Zuchu my 001 heart the band mumeuwa vinoma mumetupresent poa kama sisi wakenya na dada yetu kama east africa❤🎉❤️‍🔥

  • @jacksonlidovolo299
    @jacksonlidovolo299 День назад +1

    The only song by Zuchu that I have listened 2 twice .

  • @KhalifaZuel-sn9uo
    @KhalifaZuel-sn9uo 4 дня назад +1

    Uyu ndo zuchu ninae mtaka mie kwa kuimba hv saf sana uzungu mwing napenda ukimwaga uzungu zuchu saf sana

  • @ashamaku7370
    @ashamaku7370 3 дня назад +2

    This song hits different 😢❤

  • @lusanalusana-o3h
    @lusanalusana-o3h 3 дня назад

    Zuchu nakubari sana mungu akupe nguvu zaidi na maisha marefu neema yake iwe juu yako

  • @kdbwoy766
    @kdbwoy766 4 дня назад +5

    Ety leo ni siku ya tatu tunapatana na yeye kwa Matatu....❤‍🔥❤‍🔥 thats my verse in this song👏KE to the World...give me a like if you agree with me.

  • @kiddiemelody6282
    @kiddiemelody6282 4 дня назад +2

    Kenya well represented' loving it shouts out to u zuchu keep it up u will continue going far

  • @mkboxingkenya
    @mkboxingkenya 4 дня назад +5

    🇰🇪 is Tinini Tananana.....🔥

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 4 дня назад +8

    Kutoka track 1 mpaka 10 🎉🎉naomba like zangu

  • @gloriaokaya2429
    @gloriaokaya2429 3 дня назад +1

    Am kenyan here to support my favourite band ❤❤❤ Zuchu lots of love

  • @pintomofh6454
    @pintomofh6454 День назад +1

    Zote tamu ,,,big up wasafi,,,i like🎉 the album

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 4 дня назад +5

    Zuchu ❤❤❤❤

  • @DominiqueJones-r1x
    @DominiqueJones-r1x 14 часов назад +1

    Yeah dis shii hard

  • @kachinarrations
    @kachinarrations День назад +1

    Nmefurahia ndugu zangu h@rt the band. wimbo mzuri

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 4 дня назад +3

    Mashaallah ukhty Zuhura ❤❤❤❤

  • @ChillyMbuto
    @ChillyMbuto 4 дня назад +4

    Zuchu vraiment unaajuwa sema merci 🎉🎉🎉😢😢😢😢

  • @SIRAJIRISASE-w1j
    @SIRAJIRISASE-w1j 3 дня назад +2

    This Album is so hot she deserve it ❤❤

  • @ZaiJuma-c5f
    @ZaiJuma-c5f 4 дня назад +4

    Jmn zuchuuu umeua sn jmn❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salamamamashenge5493
    @salamamamashenge5493 4 дня назад +1

    Tinini goes along with having goosebumps 😣🫠😻the whole body na machozi mu macho🥹😢😂❤Greatest Job be done as always DaZuhura a k a Zuchu The Lioness 🫠👌🙌🫶💐💐💐

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 20 часов назад +1

    Woooow 😮😮😮

  • @Mwiduke_boy
    @Mwiduke_boy 2 дня назад +1

    Anakipaji uyu demu miziki ni tofauti halaf Ngoma zote kali

  • @AllyAmini-x9i
    @AllyAmini-x9i 4 дня назад +6

    wasafi tunaandaga vitu sikilizen mizigo ishatoka

    • @rashidingole1588
      @rashidingole1588 4 дня назад +1

      Noma san huu ubunifu wa album hii Ni mkubwa San, sio wale wa makelele tu ngoma mbovu

  • @Jack_Leadismo
    @Jack_Leadismo 3 дня назад +2

    This is the best song in this Album

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 4 дня назад +3

    Kenyans in the house ❤❤❤

  • @KipimoEsdrasbenjaboy
    @KipimoEsdrasbenjaboy 3 дня назад +1

    Dhaaa umeimba sna zuchu dhaa 🙌🙌

  • @Yonabangilidaniel
    @Yonabangilidaniel 16 часов назад +1

    genius singer

  • @Glory_Ade
    @Glory_Ade 4 дня назад +2

    Kenyan love❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GodwinJohnSila
    @GodwinJohnSila 4 дня назад +4

    Nice my princess zuchu like kwake 😅😅❤❤

  • @JoelMukulu-f4i
    @JoelMukulu-f4i 3 дня назад +1

    M'y favorite song. Ongera sana zuchu Queen of bongo fleva

  • @janga-platy
    @janga-platy 4 дня назад +2

    Zuuuuh.. always unauaaaaa

  • @AliILHAMMUTHONI
    @AliILHAMMUTHONI 2 дня назад

    Woooow you guys kill it fr my zuchu nd heart the band more wins more collabo🎉❤

  • @KenNdeje
    @KenNdeje 3 дня назад +1

    Modecai max all the way....plus hyo poetry❤❤

  • @BarickBrave
    @BarickBrave 4 дня назад +4

    Tininiiii❤❤❤

  • @tradoofficial1677
    @tradoofficial1677 3 дня назад +2

    Nimefeel H art the band kushinda zuchu

  • @KarumeBlaise
    @KarumeBlaise 4 дня назад +3

    Umeuwa san Zuchu❤❤❤❤❤❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 4 дня назад +12

    Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲✍✍✍🤝💥💥💯💯💥🤝✍🤲💫💯💢💥🤝✍💫✍✍✍🤝

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 3 дня назад +1

    NA IMAGINE KINA ESMA,JUMA MUNASIKIA NINI KWA HII ALBUM.....YAANI KILA MAHALI KUNA KA MSG KANA WAHUSU

  • @MwatumMwinyi-t5d
    @MwatumMwinyi-t5d 3 дня назад +2

    Moto kama pasi🥰🥰

  • @SalumHussein-t7r
    @SalumHussein-t7r 2 дня назад

    umetulia sanaa kwenye vocals sister, how sweet of your vocal, umetulia kwenye utunz dada

  • @robbykofficial9901
    @robbykofficial9901 День назад +1

    So sweet from zuchu and lava lava. ❤