Neria (Swahili Version)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Kupita jitihada na ushirikiano mkubwa, Neria na mume wake Patrick wanajitengenezea maisha waliokuwa wakiyataka siku zote. Lakini Patrick anapofariki katika ajali ya gari, maisha ya Neria yanagueka ghafla na kuwa mateso. Wakati Neria anaomboleza kifo cha mume wake kijijini, shemeji yake, Phineas, yuko mjini akishughulika kumnyang'anya mali zake zote. Phineas anadai kuwa mila za Kiafrika zinampa haki ya kurithi mali zote za kaka yake marehemu. Neria anashuku lengo halisi la shemeji yake, lakini Phineas anapowateka watoto wake, ndipo Neria anaamua kumpiga vita.
Hii ni filamu ya Kiafrika ambayo imegusa watu wengi barani, na inayoshirikisha nyimbo za mwanamuziki mahiri kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukudzi.
Filamu hii imeshinda tuzo 10 za kimataifa, zikiwemo tuzo ya OAU Carthage (Egypt) mwaka 1991 na tuzo za MNET nchini Africa Kusini za Muigizaji Bora wa Kike na Filamu Bora mwaka 1992.
A film from Zimbabwe dubbed in Kiswahili.
Mwenye kutizama movie hii2020 ache like hapa
L
I first watched this in 1998, just 5 years after its release. One of the best at that time along yellow Card. Zimbabwe meant a face of Africa then, a true manifestation of African encounters.
On this very 28th day of November, 2024 it still stands a top notch in my list. I watched this as a young boy, and soon will be downloading it for my boys and girls; David Isole, Danielson Isole, Meghan Isole and Michelle Isole.
Wanawake kama tungekuwa na umoja kama huu tungekuwa mbali sana wenye kumpenda nelia piga like kubwa sana 2019.
najma abby
najma abby
hi am also called nelia
najma abby kwa ss watu kama hao hawapo
najma abby kweli
My mommy told me she gaves me name neria becouse of the movie she saw from Tz that neria was so patient woman but I don’t know if is this one 😢
Zimbabweans will forever cherish the good content that Mutukudzi Oliver gave us . Our national heroe .
Like apa tujuane tunao itazama hii movie 2024
Nimelia kama ndo kwanza leo sijui stresss
daahh inaskitishaa ,jinsi gani neria alivo pambania Mali ,inatufundisha , tunakumbuka tukiwa wadogo tukiitaza ila Leo tunacomet, angusha like twende sawa
Tunaoitazama 2024 mwezi wa saba tujuane kwa like apa
Who is still watching this movie after the death of Oliver
R.I.P Legend
Glory Raphael hapa nko
Niko hapaaaa
Nani ako hapa after kifo cha oliver 😭RIP legend
Am here dear 😭😭😭😭
r.i.p Oliver
Chaby Carpoza just came here to see him more😭
tupo p1
Me
kwa mara ya kwanza niliangalia hii filam 2001 na leo ni 2023 r.i.p all regend walio husika kwenye hii filamu bila kumsahau oliver kudtukuz
Najiuliza hivi Baba zangu wadogo Gabriel Sigore, Felix Sigore, Cassian Sigore, Raphael Sigore au mwingine yeyote kati yao amewahi kuona hii move maana walichotufanyia baada ya wazazi wetu kufariki hawana tofauti na huyu. Inauma sana, pole wote mliodhurumiwa baada ya wazazi kufariki dunia 😭😭😭😭
Wille Sigore pole sana ,kuna watu wanaroho mbaya mnoo
Wille Sigore Pole sana ndugu
Inatokana na tamaa,kukosa utu,roho mbaya na uvivu wa kutafuta
*POLE SANA NDUGU*
Pole
Simuwaroge wawe machizi woote vinyelofingo haoo
2020 nani bado ako akiwatch?
Mim napenda San mov iyapa
Natokea Tanzania Niko napenda sana movie hii❤️❤️
Asanten sana kwa simulizi na kipindi hiki cha NERIA.
Mwenyezi Mungu awalinde na kuwabariki mliokiandaa.
nazipenda sana filam zakuigiza maisha yazamani kuliko filam za kisasa
nimejifunza mengi kwakweli
Asanteni ote mlio ifasiri filam hii kwakiswahili.
aryan season kwa kiswahili
2024 nmeipenda hii na mama mkwe yupo fear sana
Anyone 2019 ??? Nelia #ARREY🔥😄
Tupo pamoja
Hakikaa movie inamafunzo na inatufunzaa muda unakwenda kwa kasi sana,ashume hii movie toka imeigizwa ni miaka mingap imepita mpka sasa,hii inatufunza pia kutumia muda wetu vizuri na wakati wetu kwa mema na kusaidia wengne mana tunajiwekea akiba na ni kwa faida yetu sote,..bila ya hivo tutakua ni wenye kula hasara kwa kutumia muda na wakati wetu vibayaa! Mwenyezi mungu awabariki sana i love you all❤❤❤
Ni historia ya maisha yangu kilicho tokea hapo hakuna tofauti kubwa na kilichotokea kwangu na familia yangu baada ya baba kufariki lakini mahakama ilikuwa ndo msaada kwetu n haki zote tulipata. Ni film ya miaka mingi lakini kila siku ni bado mpya kutokana na uhalisia wa film yenyewe. Naipenda sana.
Asante sana na pole
Asante ndugu ndio maisha
pole sana dada angu
pole sana dada angu
pole sana
Haki filamu nzr sana nimejifunza mnooo naipenda sichoki kuiangalia pole sana Neria kwa yote uliyo yapitia kutokana na tamaa ya mali ya shemeji yako
The movie is so beautiful! It's perfect. Well written, shot, directed, scored and edited ...we have fallen so far from the standard it set!
I love this Zimbabwean film i was in form 1(one) then when this film was made.Asande sana
Roho inaniuma na nelia niliona mwaka 2004 mpk leo December 14 2024 ndo naiona Tena,,rest in peace Oliver mutukudz🥺💔
Kwa movie hii ndo tunaweza kusema kuwa msanii ni kioo cha jamii.Kusema kweli hii ni movie ya Kiafrika inazungumzia jadi zetu kiuhalisia
Legends don't die they rest ... We loved u but God loved you more rest in peace daddy
naangalia now usiku saa nane dakika 16 2025, nimekumbuka utotoni jamani,nilikuwa nakumbuka nyimbo tu
filam hii inanikumbusha mbali sana kipindi Niko mdogo nilikuwa naiangalia kupitia Chanel ya TVT Miaka ya 2001 na nilitotokea kujifunza mengi sana mpaka Leo sija wai kuichoka kwani ni filam bora Africa nzima na ilipendwa na watu wengi zaid miaka hadi miaka, hivi ndivyo inatakiwa wa Africa tutengeneze vitu vyenye ubora mfano movie ya Neria .
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Hakika
Tvt aikuwepo 2001
Excellent movie.Deserves all the credit.Am living in Tanzania so I understand Swahili and I've enjoyed the film so much.Wanawake tunaweza,na wale matapeli kama Phineas Allah atawanyosha InshAllah
Hi
Imenikumbusha mbali Sana hii picha mala yangu yakwanza kuiona ulikua 2002 sofa ziende kwa waandaaji wa hii picha
wooooow zamani sana nilikuwa mdogo nimeitafuta sana bila mafanikio asante mungu nimeiona tena.
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Nakumbuka mbali kabx
2020 who is with me here
Me
Me
What's the name of the original movie and what is the original language of the movie?
Rest in peace Oliver, I'm still watching this and I love it since I was young.
Like tujuane tunaoitazama Kwa mara ya kwanza hii ngoma
Aloyce Usunguwanje hatukua na smartphone
Muda huu
Daah yaani huwa nikingalia iih Movie nakumbuka mbali sana maana inanifariji kipindi mama yangu alivo zurmiwa Mali mpaka sasa tunaishi kwa bibi My Mom shindaa moyoo shindaa
Pole Sana. Bt mungu ni mwema.as long as mko pamoja na mnaishi kwa furaha. Then that's so good.. Tuwapende mama zetu sanaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️
pole sana nmekupenda buree chek me plz hctolia ako imeniuma
Davis Mwakanosya pole Sana , Kila jambo lina mwanzo na mwisho wake hasa likiwa baya na zito. Mungu akubariki Sana wewe na Mama pia , Awape nguvu na kuwafungulia njia njema na mwisho kila mwenye haki atapata haki yake.
Mungu awabariki sana wewe , Mama na Bibi .
Davis Mwakanosya
Daaaah ya zamani kweli m nazaliwa ndio movie inatoka
2024 Nimeitazam leo hii
Ni filamu bora, iliyofichua mifumo dime na unyanyasaji wa wanawake pale wanapofiwa na waume zao
Well yet for another time!!!!Well done Zimbabwe and we are praying for the situation of the country returns to how it was and better.I just love Neria and koni and her friends at work.Bravo
Fatma Abri Asante..je unadhani filamu gani zingine umependa ha Swahiliwood..?
Ni uhakika mambo haya ni ya kila siku na ndivyo yatupasa kuwa macho Mkanda mzuri mnoo na Neria umeacheza vizuri saaana.God bless all of you
Sinema nzuri sana, imejaa mafundisho na hoja za msingi sana katika maisha
Hongereni sana waandaaji
Wakali wa hizi kazi Kama upo Iringa gonga like
Am commenting again!I had to after watchin it for yet another tym!Ni nzuri sana.Alaf inasikitisha vipi watu wengine wanavyo jali mali kuliko undugu.Na ujirani mwema.Marafiki wa zuri na sio wa kona kona
Filamu nzuri na bora sana, nakumbuka tulikuwa tunaiangalia kwa jirani mwaka 1994, kwetu hatukuwa na luninga.
Mmmh kwani imetoka Mwaka gani?
1993@@AbelRobert-f6c
Hii movie napenda kuirudia inafundisha sana.....gonga like kwa tulioirudia 2020
Who is still with me in twenty twenty 👍
Nani anaitama 2020?
Hongeraaaa sanaaa, poleeee mama
Inanikumbsha mbali sana mpk nimelia
kweli mama zetu huwa wanapata shida sana pale tu mumewake anapofaliki hii ni fundisho tosha tuandae wosia mapema
Sirgo Mahojoa Unadhani kuna haja ya kuandika wosia kabla huja aga dunia..?
ndiyo wosia lazima ona sasa nelia alivyo pata tabu bila ya ushauli kwa mwanasheria na wenzake angepata shida sana
Kumbusha mbali sana aise,Niria alifundisha wamama wengi sana
My childhood movie...tulikuwa na liya kila siku kama tuna angaliya iyi movie
Even me..
Iko vyema sana japo sijawahi kuiona ila nimeipenda sana
Mwenyewe kuitizama movie hii 2021 like tafadhali
nammiss my mumy alikua akipenda sana kuimba nyimbo ya neria 😢😢😢
Afikiri hii ni mara yangu ya kwanza kuitazama hii filam nikiwa na ufaham, na nimeipenda sana
Kitambo sana nilikuwa nachungulia kwa jirani yetu, nikapigwa ikabidi mzee cku iliyofata athletes TV aina ya GRANDING
😊Umenikimbusha hata mm Nilikua natizama kwa jirani
2019
Ten years back nimeiona hii, ila utamu ule ule🔥🔥🔥
Kufiwa na mwanaume inauma sana,hii movies naipenda sana inafundisha sana,wanawake jifunzeni kwa hii filamu
Hii movie nmeona nkiwa mdogo na iliniliza as f najua maisha ❤️ naipenda mno now nmekua nazd elewa
Asante saana Swahiliwood,Neria ni mfano mkubwa wa kuigwa.
Updates Tv 📡 RIP mpendwa wetu mlicheza mover nzuri utakumbukwa kwa hili
Afadhali leo kuna sheria ya haki za mjane jaman ...leo hatupitii suruba kama aliyopitia Nelia ...tunashukuru selikali kuyaona haya 👏👏
Dah laiti filam za saivi zingekua Zina content hizi na kuigiza hivii mafundisho mazur sana ila dah za saiv ni za ajab sana sjawah iangalia hii but Leo ndo nimeiangalia wow best one🎉
best movie of all timea neria since my childhood
Nani anaangalia mwaka 2020 tujuane hapa tafadhali
Mim APA naipend sanaa
Inanoga san
Mashoga wa hivi walipoteaga vita ya 2 ya dunia wa sasa wanatukumbushaga vijora tuuu walahi siichoki hii movie since utoto
Heheheheeee
😂😂😂😂😂🤝
Umenichekesha saaana
Kwakweli marafiki sisi ni fire
My childhood movie,rest well legend Oliver
Naipenda sana hii movie inagusa maisha yetu halisi !!!!
I can't get tired with this video for it reveals real life situation
nimeipenda sheria ya miaka hiyo jamani haki alikuwa hai
naipenda sana hii film, niliweza memorize neno kwa neno, yan nimeiangalia toka mtoto mbaka sasa
nelia naipenda sana hii move
Neria i lov it... Rip Oliver Mtukudzi
Aiseee longtime aiseee ina bamba sana enzi hizooo
hiii move bado naiangalia. 2024
Sasa wasanii wa Tanzania jifunzeni kazi za kisanii kutokana na awa watangulizi wenu kama hawa. Inapendeza sana ata uchoki kuitazama
Juve Muchunguzi Ni kweli wallahy nimeanza kuitazama tangu Niko mtoto
I heard about this short movie long back ago 2008 in South Africa 🇿🇦 by my girlfriend...a Zimbabwean, I got time and chance to watch it today August 27 -2018 . Nice story with nice Conclusion. 🇨🇩
Swahili wood mnazidi kunifurahisha....kazi nzuri endeleeni hivyo hivyo
Movie nzuri sana na inanikumbusha mbali sana kipindi nipo kidato cha nne kwenye kiswahili (uhakiki wa kazi za fasihi) dah kweli mama zetu wananyanyasika sana# Sir. Bora @2014
kumbuka xn hii filamu na kuipenda
#neria ooh neriaa
🙊Ma favorite movie
Super women neliya and good brother Oliver r.i.p legend
Nimeiangalia sana hii movie toka nikiwa mtoto..inafundisha sana ni nzuri, Phineas alicheza fresh sana katika hii movie, ni my favorite...filamu nzuri sana, hongereni wazimbabwe
Sajo Mwakasege Nikweli kabisa vipi unadhani watanzania tuna weza tengeneza filamu zenye kudumu miaka mingi?
Swahiliwood Ndio. Kama Network ya Demango inaweza dumu miaka 100
Best movie of all time
Dah nimeipenda bule me Bado kijana mdogo lakini nahic Kama imenikumbusha mbali xana😎
kameza kadogo mno 2019
nitamuonyesha, nitamkomesha 2019
Hahaha jamn wa2 Waco na visaa
Best movie I have ever seen its 2022 but still 🔥🔥🔥🔥🔥
Nice movie, R.I.P Mtukudzi
Jibu swali bwana Kashande!
😂😂😂
A movie that my father brought, and and a movie that foretold his story, a movie my mother cries when she watches it. A lesson
11/12/2023 in still watching with tears, from Tanzania
Hakika nimejifunja mengi wanawake wate tungekua hivi tungekua mbali sana
zimbabwe in the good old days!!! Wonderful
This movie makes me cry because it reminds me of my aunt whom we watched the movie together and now she is dead
1998 mpaka Leo nikiiangalia inaniliza na uzee wangu jamani inafundisha sana
Jamani hii movie imenifunza mengi kabisa
Move nzuri inatufudisha sana kina mama
Nilikuwaga nadhani Neria Mtanzania mwenzangu
Else still watching in 2021🇹🇿🇿🇲
Dah, leo ni maajabu kuu na tena makuu kwani hii sinema niliitazama 1999 na 2002 hadi waleo tena ndo naikuta baada ya kuitafuta kwa muda na kutofanikiwa. Nitahishi itazama tena na tena hadi dunia ikatae kunibeba ila tu kunifukia kama patrick. Sinema zuri sana, hakika hivi leo au waleo sinema za sasa zingelikuwa kana hizi hakika funzo tungelikuwa nalo kuu mno. Asante na mola awe nanyi kokote mliko,
Kitambo sanaaaaaaah
Thanks movie nzuri sana kije kingine asee
Aisee! Hii filamu inanikumbusha mbali sana.
naikumbuka hii movie,yani kitambo sana aiseee alafu iko gud