Inside Story (Swahili Version)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Inside Story - Ni filam inayohusu kijana mmoja mcheza mpira aliyejikuta kwenye mahusiano na dada ambae yeye alifikiri kuwa anawapenzi wengi. Fuatilia kisa chake
Subscribe: goo.gl/cR0mA
Facebook: / swahiliwood
ukimwi hupo ndugu zangu daaah nimejifunza sana Niko makini sasa
Hakika ufahamu ni nguvu. Sinema kali sana na ina mafunzo zaidi haswa zaidi kwetu sie vijana. Asante kwa elimisho
Napenda visa vya hivi asante movie nzuri na ni kisa kizuri
Daah one of my best movie, sichoki kuitazama...
SPIKIRI...noma sana
Best best iko pouwa sana
Nimeipenda sanaa Filams hiii😍😍 hongeleni sanaaaa
Daaaaaah nimejifunza mengi sana kweli
Kiswahili chetu tukipende ni lugha nzuri sana
Daah nizaidi ya fundisho kazi nzur 👏👏
Love you African ❣️❤️
Ufahamu ni nguvu! Nimejifunza kitu ktk hii story
hakika ufahamu ni nguvu...nzuri sanaa Nimependa
Safi sana Hongera kwa Mtunzi
Kama hii picture haija kufuraisha ila ime kufundisha gonga like
Inafurahisha na inafundisha👌🏼
Hiyo movie ina fundisha sana vijana
Dah movie nzuli sana
11-04-2020 Naiangalia hii movie 🎥 Inside Storie 🇹🇿🇹🇿☝️
I like this movie too much.
Never give up💯
Nc 1 story ileke tht 😍😍
I love it ❤️❤️❤️❤️🌸 good movie
Movie nzuri sana,Caro nimejifunza kitu kutoka kwako,Kumpenda mtu anayekuchukia na kuwa mvumilivu katika nyakati zote.
bt kujua afya ni muhim hasa kwa vijana wenzangu.
"Ufahamu ni nguvu"
Nice story
Ni wakusisimua sana
safi sana mumejaribu sana
Dah 🙆🏽 ukimwi upo tusiwe wadhaifu wa kumwamin yoyote kutokana na uzuri wake Au muonekano wake kuna funzo kwa kila Tambo
iko vizuri. sana
Watching now 2025 from congo brazaville
Mmmmmmhh. NAMINOMEJIFIZA
KUWAUFAHAMUNI NGUVU
CALLO... ONGERA..
AKI AYAMAISHA NDOYALIVO
TUSIJARIBUKUKATA TAMAA
KILAMTU APIGANIYE NDOTO YAKE🙏🙏🏃♀️🏃♀️
nzuri sana
Great story and film techniques!
Ufahamu ni Nguvu ✍
Nimejifuza vitu vingi sana
Nice one
Napenda sana filam za hivi najifunza mengi
najivunia kuwa mtanzania film zetu ni za kipekee na vipaji vya kweli vipo Tanzania
acha kuzingua filamu ya south hii lol
South Africa cyo tz mpuuz wewe. Au Kwa vle wametafisili
@@BennyChristian 😁😁
@@mauwapuga4777 😂😂
Zibambwe sio south
Duh ilikuwa fresh sana lakini virus ni bala sio tu kuweda
I love so much
Movie tamuu sna
Cinéma nzuri imafundisha
Waoo it's a better movie
Ukweli ,UFAHAMU NI NGUVU, AND THE GREAT KNOWLEDGE COMES FROM THE REVELATION OF THE WORD OF GOD. IMEKUWA.
Haaa the funny part was how he was picked at the airport.
Ufahamu ni nguvu dah
movie nzur ila uyo aliesuka mkatili sana
I like it
Dh! Move Kal sana
Hakika Muvie ni nzur na inafundisha
Nice movie
Nzuri sana wakenya na afrika mashariki yote
nimejifunza mengi ktk move hii
NEVER GIVE 💯💯💯👍👍👍
The best movie ever
Great One ✌
Nice story
ila huyo jamaa ana movie yake moja inaitwa inambanamba in muvi nzur sana kacheza km afisa usalama alafu atapewa majukumu mazito sana ni bonge la movie
nimepata kitu #ufahamu_ni_nguvu
Nzur
movie hii INA story ambayo inanihusu
nawewe una Vvu pia au
Good movie
🔥🔥🔥
WELL DONE
Love it
It is amazing so so nice KALU KAMINJU
Good
his a good player
2023 ufahamu ni nguvu
unyonge sio dili
hii movie nzur sana ila arsenal mungu anawaona
Hahahaha
please English subtitle!!! movie
Smart sana
Kuna jambo kubwa sana la kujifunza kwenye hii movie
N mchez mzur xan. Umebeba ujumbe mkubwa xan ususan kwa vijana ambao ndio tegemeo ktk jamii.
More movies like this plzzz
What a movie,, nilikuwa nasali Karo apate Pena 😂😂😂
Hahaha
safi
Jaman nampenda jabu mwwnye namba naomba
Bonge la movie ili
ufaham n nguvuu
ufahamu ni nguvu
pongezi kwake mtunzi wa move hii
Hua naiangalia kila mwaka kila Mara sichoki
kazi nzuri sana karibuni kwenye chaneli yangu kupata mahabari ya ujerumani
usikubali kukata tamaa kamwe .....
utafanikiwa
nimaneno ya kocha 2.......yanafundisha
Lazima tuwemakini aise
Black star
Tunaomba latifa part 3 jaman
This movie make me feel I can do better in future
nice
Ata ww uko poa ashura
gud lesson
mvumilivu hula mbivu
Can you put the French version please?
Hakika,ufahamu ni nguvu
Mambo ya virus tena kha jmn aiseh
The same guy aliyekua adui mkubwa mwanzo sasa amekua rafiki wa msaada nadhani kuna kitu cha kujifunza hapa
They removed English version this year 😥
filamu murwa kabisa nifahamishe zingine thafadhali iwapo zipo
Swahiliwood.com zipo km zote vlee
Daa this movie is great but was it true
Ovyo sn mja fanya llte kbs
mbon hatukuon arsenal yenyewe
hahahaha jaman govi ndo nini
kuto tairiwa
Kassim Jumah kumbe asantee kwa kunifamisha
mzuli
Swahili bible App
English bible App
Afrikaans bible App