Mchizi alinihadithia kidogo skani, nikaweka nia ya kuitazama kabla ya kulala, angalia, saa tisa sasa bado sijauona usingizi. Filamu kali yenye mafunzo halisia. Asanteni sana kwa zawadi.
The realest movie ever.....kwa mara ya kwanza nimekua proud of the job well done from home. Idea nzuri mno, cinematography ya maana sana. Long live bongo Hip Hop.
Hatimaye mwaka huu nimeangalia filamu yenye uhalisia,ambayo sikutaka kuiacha hata sekunde,haijanikera,sijairusha hata tone,you guys did great job! Aisee shikamooni
This is bongo movie next level, no waste of time, every scene is amazing, sound track ndo usipime it goes wit the story. All the actors are amazing. Keep it up DREAM HIGH PRODUCTION. Can't wait for the next one.
Daa! I just feel a lot when i check this Movie. It gives something real. Reality on top. Credible..... Reasonable man to understand. Much appreciated.🙏
Bongo na flava Ni bonge moja la picha Sana nime appreciate kile mlichokifanya picha Ina uhalisia wa maisha halisi hususani kwetu sisi vijana ambao wengi wetu unakuta Ni jobless kwenye jamii wamekuwa wakifanya kazi za kuhatarisha Sana maisha ili waweze kupata hela na vitu vingine nimependa maudhui ya Kwenye hii filamu moko wa miujiza a.k.a Zopa your incredible character big up Sana kwako na kwa wote wanaosapoti harakati za hip hop asante.
dah! dah kumamake hii muvi mnetisha wanangu! ONE,wakaz,saigon, salu,na wana kibao waliopo humu mana asilimia 80 ni maisha yngu nayopitia 4real!! God bless
Nashindwa nianzia wapi ila inshort hii ni move ya kwanza yenye uhalisia na mafundisho nimeipenda fid q,one theincrindible,wakazi,ramaa,makamua songaa na wengne wengi mmetishaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Ukweli ni kwamba BonGoHooDz kazi zenu mnapita kwenye uhalisia wa mambo yanavyo kwenda katika ulimwengu wa upambanaji kazi zenu huwa nazifuatilia sana kwani kuna nyakati huwa zinanipa ujasili wakutokukata tamaa lakini pia huwa naweza kurudi hatua nyuma kama kunajambo baya nilifanya na kuona mwisho wake utakua mbaya . Hakika hii level ndo inanifanya nipende sasa kazi za nyumbani Tanzania hakika sanaa ni kama kioo ukitazama inapaswa uone taswira yako na kukufanya utafakari. Big up brotherz
Well well well....kila mtu amecheza uhusika vizuri, Anita,Fid Q,Makamua and Zopa pia....nice story man! The movie deserves a bigger promo kwan there is a lot to learn....Hongereni sana
Hii movie ina mafundisho yote kwa vijana😊😊😊😊 Mungu awabariki sana nmechukua mda wngu dah sijui kama naweza kueleza najisikiaje hapa nawapa heshima sana kwa wote waliosababisha ikatoka hii movie
hii ni revolution kwenye story lugha na maisha halisi lakini cinematography iko on point sana colour grading iko so cinematic tofauti na movie nyingi za kibongo colour grading yeboyebo sana big up kwenu wana
Duuu bhana eee ni kweli inawezekana... ni kazi kubwa sana sana hata bongo movie hawausogelei huu moto.. naomba naomba sana creativity hizi ziwekewe budget kubwa katika kuzindua na ku promote jamii nzima ifikiwe pia naomba iwe ni dili kubwa market yake iwe kubwa ili hili kundi dogo lilisimama humu ndani kikamilifu na hawajaacha hata gep moja kila mmoja apate stahiki uake yaani kazi hii iwe na maslahi hata zaidi ya mtonyo mnene kwa kila mmoja hata kila mtu akiondoka na milion mia 8 poa tu afu one increadible bilion 2 fid q moja na nusu na wengine milion hata mia tano mia sita makamua bilion 1..ndo nachoomanisha
Move kali nimeielewa inaelezea maisha halisi ya underground wanao haso kutoka kimuziz..Mwanangu oneicredible(zopa) umeua kinyama ,,Fid Q umetisha mbaya,,Wakazi umekinukisha kinomanoma big up kwenu wana endeleeni kukaza naamn one day tutazifikia zile level ambazo tunahtaj kufika ,,,,,,,,thanks.....!!
Nilipojaribu kuitazama nikasema ngoja niiangalie dakika mbili then Nizime data nilale Lakini Sijaweza Kufanya Hivo na nikajikuta naangalia Mpaka Mwisho Movie Nzuri Yenye Mafundisho na Uhalisia wa maisha yetu vijana wengi wa Bongo Akina Zopa Tupo Wengi Sana Mtaani tunaotamani kutimiza ndoto zetu lakini changamoto Kidogo huwa zinatukatisha tamaa kabisa na kufanya alternative zingine ambazo sometimes sio nzuri kabisa Katika maisha Don't Give up Wana Safari Ni ndefu sana na Tutafanikiwa Movie ni Nzuri Sana Asanteni Sana Kwa Kazi Nzuri iliyojaa ubunifu na uhalisia Salute kwenu
Movie Kali sana wana, mmejaribu kuonyesha Uwezo uliotukuka. Kwa hili mlilotuonyesha ni uthibitisho Kuwa tunaweza tena sana. Kwa Kuwa mmeonyesha uwezo mimi hata siwalaumu kuhusu video production kwa sasa. Mmejitahidi sana tena sana
movie kali mpaka nomaa... moja ya movie bora sana ata sisi tusioangalia sana bongo movie kutokana na mapungufu mengi ila humu amna kilichokosewaa big up sanaa...
Bongo Na Flava reminds me of Eminem's 2002 8 Mile Movie. a hip hop drama film. The story is heavily best on new hip hop artist from North West Region of Tanzania, Kigoma in search of his boyhood buddy to pursue his dream of becoming an Artist.The trials and tribulations walk through to recognize ones dream. Very well acted for a small production. Two Thumbs Up!
Respect mwanangu zopaaa umetish xana brother na kundii zima lililofnikish kuptkn kwa movie hiii kaliii ukwer n kwamb mm nmtej mkubwa wa bongohoodz cwapingiiii brother
Nikweli ila lakini huwa tunavumilia zile f za movie za Hollywood mbona?? , uhalisia wa mtaa ulivyo bila kuongeza chumvi ndio nafikiri kilichoigizwa humu. Kwani hayo matusi hayapo Mtaani kwenu? Ndio maana haya mambo yana age retriction.
Tusipoonyesha uzalendo na kukubari kazi kama hizi tutafeli vingi makosa yapo madogo madogo ila ni filamu ya kipekee wanasema husipojifunza kwa mapoto yako yatakuwa ni mapigo kwako big up saaana
Hatimae new image ya Girlfriend imepatkana... kwa mara ya kwanza nmeangalia movie ya home na nmeielewa baada ya muda mrefu saana kupita. Imepangiliwa vzuri kuanzia story mpaka scripts.. BONGO MOVIES piteni kwenye huo mstari, hakika tutaenda kimataifa..
mok_ njm ni kweli iendelee mpaka Series to Episodes , bonge ya kitu you feel yr on it when yr watching. Especial Kama ume pitia hizi Mbishe.. Keep it on UNO De Incr ' ✊🏿
Bonge moja ya movie🔥 sema mnafeli kwny kuzipromo movie zenu imagine nimekuja kuicheki baada interview ya director shwaibu wasafi 2020
ni noumaah nimekuj kuichek 2024 dah nimechelwa sanaaa
Zopa a.k.a ONE INCREDIBLE nakukubaliiii sn mzazi
Hiindio Movie yanguKali yamuda wote kamaumeikubali kama mm gonga like twendesawa
Mchizi alinihadithia kidogo skani, nikaweka nia ya kuitazama kabla ya kulala, angalia, saa tisa sasa bado sijauona usingizi. Filamu kali yenye mafunzo halisia. Asanteni sana kwa zawadi.
The realest movie ever.....kwa mara ya kwanza nimekua proud of the job well done from home. Idea nzuri mno, cinematography ya maana sana. Long live bongo Hip Hop.
m
Daaah makini saana Moja wa pekee (zopa) movie imenifungua mambo mengi saana katka maisha.
Such a dope movie tukiwa na uwezekezaji mkubwa tutafukia baadh ya mapengo na naamini jiwe litakuwa kubwa zaidi
One the incredible,, dreams coming tru.
Hatimaye mwaka huu nimeangalia filamu yenye uhalisia,ambayo sikutaka kuiacha hata sekunde,haijanikera,sijairusha hata tone,you guys did great job! Aisee shikamooni
Christina Erick thank Tina, jiandae
Christina Erick
Samakiiiii 😂😂😂
Du ii imrnigusa uno tamaduni me nakubali Sana Tena sana
Christina Erick kabisa
shooo Kali. bonge la move..iko poa sana nimeipenda shooo.. .gud i dea
This is bongo movie next level, no waste of time, every scene is amazing, sound track ndo usipime it goes wit the story. All the actors are amazing. Keep it up DREAM HIGH PRODUCTION. Can't wait for the next one.
Hii mub ik0 p0a sanaaa.. Nmeikubalii..... Actors wote wamecheza, kama vile n ishu ya kweliii kumbee muv, daah big up...BROTHERS...
Hii ishu imechezwaaa..kiakili, i appreciate it👊👊
Heshima kwenu wana mmetisha mbaya
Daa! I just feel a lot when i check this Movie. It gives something real. Reality on top. Credible..... Reasonable man to understand.
Much appreciated.🙏
Respect SANA
Bongo na flava Ni bonge moja la picha Sana nime appreciate kile mlichokifanya picha Ina uhalisia wa maisha halisi hususani kwetu sisi vijana ambao wengi wetu unakuta Ni jobless kwenye jamii wamekuwa wakifanya kazi za kuhatarisha Sana maisha ili waweze kupata hela na vitu vingine nimependa maudhui ya Kwenye hii filamu moko wa miujiza a.k.a Zopa your incredible character big up Sana kwako na kwa wote wanaosapoti harakati za hip hop asante.
respect sana kaka
dah! dah kumamake hii muvi mnetisha wanangu! ONE,wakaz,saigon, salu,na wana kibao waliopo humu mana asilimia 80 ni maisha yngu nayopitia 4real!! God bless
Boce angalia lugha za kuongea tunafundisha nn jamii ktk matus yako
Songa fid q
Good job
Nashindwa nianzia wapi ila inshort hii ni move ya kwanza yenye uhalisia na mafundisho nimeipenda fid q,one theincrindible,wakazi,ramaa,makamua songaa na wengne wengi mmetishaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Makaro Kacheingi
Nakubari
nmeangalia mwanzo mwisho streaming.gb ngapi sijui big up .uno. one
dahh iam bless ...dahh nimeenjoy san jamaa kaongelea maishahalisi ya wataftaji kujihusisha na biashara za ajabu ilii tupate kipato kikubwa kwa haraka ..but piya tumefundishwa kutokata tamaaa kwan palee unapo waza kukata tamaa ndipoo mafanikio yako yanakuja ..god bless aisee 🔨👏👏👏👏
Felix Gasper
Kazi njuri mwana wazi
harisi harisi ;;;;;;;;;;;;;;;mmetisha sana ma brother''
Kama haileti hela kwao hai make sense -a ha ha ha ha muvi kali sna big up zopa........... Miaka buku bro nakukubali
Uno moko wamiujiza we ni incredible tuu bro mwenye fikra kwakila kazi mungu akubarikie
Nakubali knoma ma icon wangu tamaduni music one, wakaz, q nakubali brothers
Zopa na chausiku movie imetulia Sana pamoja na mzee kizito
bongeee mojaa la movie..(idea) ni kubwaaa saana...shoutout tu #uno#wakazi#fidq# and everyone who support this
Asante sana kaka sambaza amani
Dah movie kubwa sanaaa
tasha matutu
Ukweli ni kwamba BonGoHooDz kazi zenu mnapita kwenye uhalisia wa mambo yanavyo kwenda katika ulimwengu wa upambanaji kazi zenu huwa nazifuatilia sana kwani kuna nyakati huwa zinanipa ujasili wakutokukata tamaa lakini pia huwa naweza kurudi hatua nyuma kama kunajambo baya nilifanya na kuona mwisho wake utakua mbaya . Hakika hii level ndo inanifanya nipende sasa kazi za nyumbani Tanzania hakika sanaa ni kama kioo ukitazama inapaswa uone taswira yako na kukufanya utafakari. Big up brotherz
Respect Sana mkuu, tunashukuru kuwa inspiration kwako, sambaza Link ili na wengine wawe inspired, blessed 🙏🏾
Honestly niliichukulia poa sana mwanzo, bro we ni bonge la actor, nimeipenda sana hii one, mr. Zopa ur the baddest. Sema fid ni comedian 😂😂😂
Chafu mbaya nakubali
@@ruckyyusiphu9613 yes
story ya muvi nzuri na kilamtu kacheza poa sema quality ya picha ndoipochini semafresh tutafika tu
Who with me 2019
Daaaaaah movie inamafundisho makubwa saaana..Asante kwa hili nahisi imenibadilisha kwa namna moja au nyingine
#kutokatatamaa
Bonge moja LA movie aisee...the reality life👌👌
kazi nzur.....nmependa....
kias sasa na cc tunasogea...
Well well well....kila mtu amecheza uhusika vizuri, Anita,Fid Q,Makamua and Zopa pia....nice story man! The movie deserves a bigger promo kwan there is a lot to learn....Hongereni sana
Big up sana wanang wa power mnatisha sana
Hii movie ina mafundisho yote kwa vijana😊😊😊😊 Mungu awabariki sana nmechukua mda wngu dah sijui kama naweza kueleza najisikiaje hapa nawapa heshima sana kwa wote waliosababisha ikatoka hii movie
so dope with the real life expression...whats presented whats going down on the streets...
::iko vizuri sana,, Hip Hop ni vile tunaishi ,,, Hii yafaa kuwa kioo kwa jamii,, one love the incredible muvi kali sana
hii ni revolution kwenye story lugha na maisha halisi lakini cinematography iko on point sana colour grading iko so cinematic tofauti na movie nyingi za kibongo colour grading yeboyebo sana big up kwenu wana
TRESFORI CHALE are you a Film maker. we can work together
Kazi swafi masela. Natengeza mix ya hip hop ya kibongo nanyie muko kwenye orodha. Nimependa sana
Kama unaamini kuwa mitihani ipo kwetu binadam like hap
Duuu bhana eee ni kweli inawezekana... ni kazi kubwa sana sana hata bongo movie hawausogelei huu moto.. naomba naomba sana creativity hizi ziwekewe budget kubwa katika kuzindua na ku promote jamii nzima ifikiwe pia naomba iwe ni dili kubwa market yake iwe kubwa ili hili kundi dogo lilisimama humu ndani kikamilifu na hawajaacha hata gep moja kila mmoja apate stahiki uake yaani kazi hii iwe na maslahi hata zaidi ya mtonyo mnene kwa kila mmoja hata kila mtu akiondoka na milion mia 8 poa tu afu one increadible bilion 2 fid q moja na nusu na wengine milion hata mia tano mia sita makamua bilion 1..ndo nachoomanisha
Move kali nimeielewa inaelezea maisha halisi ya underground wanao haso kutoka kimuziz..Mwanangu oneicredible(zopa) umeua kinyama ,,Fid Q umetisha mbaya,,Wakazi umekinukisha kinomanoma big up kwenu wana endeleeni kukaza naamn one day tutazifikia zile level ambazo tunahtaj kufika ,,,,,,,,thanks.....!!
Shukrani Sana kamanda
FANTASTIC MOVIE, LAKINI MWANZONI MATUSI MAKALI SANA YAMETUMIKA.. NEXT TME TAFSIDA MUHIMU... 100% SALUTE KWENU WASHIRIKI.
Akuna muvi ya hip hop iliyokosa matusi duniani kote acha ujinga wako ndomana umewekwa umri wakuangalia
Kuna pahara hapahitaji tafsida kaka siyo Kila sehemu tafsida inaweza fit ili uhalisia ufike haja ya hiyo kitu hakuna
U made my day bro sanane za ucku cjalala nimehakikisha mpaka inaisha u présent reality in thé whole movie🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tumalizien hii movies imeni gusa Sana na I really like this song aka zopa👌
From now napendekeza bongo fleva ndio wacheze movie cause movie zinauhalisia kinoma big up sana.
Bonge moja l movie yaan saf xn incredible umetishaaa
Asante sana kaka sambaza amani
Tanzania one
Dah!!! Hongera sana "Zopa" sijui "Zapo" in fid voice Uno hili ni boooonge la movie aisee safi sana moko wa miujiza
Nilipojaribu kuitazama nikasema ngoja niiangalie dakika mbili then Nizime data nilale
Lakini Sijaweza Kufanya Hivo na nikajikuta naangalia Mpaka Mwisho
Movie Nzuri Yenye Mafundisho na Uhalisia wa maisha yetu vijana wengi wa Bongo
Akina Zopa Tupo Wengi Sana Mtaani tunaotamani kutimiza ndoto zetu lakini changamoto Kidogo huwa zinatukatisha tamaa kabisa na kufanya alternative zingine ambazo sometimes sio nzuri kabisa Katika maisha
Don't Give up Wana Safari Ni ndefu sana na Tutafanikiwa
Movie ni Nzuri Sana
Asanteni Sana Kwa Kazi Nzuri iliyojaa ubunifu na uhalisia
Salute kwenu
Respect sana
Movie Kali sana wana, mmejaribu kuonyesha Uwezo uliotukuka. Kwa hili mlilotuonyesha ni uthibitisho Kuwa tunaweza tena sana. Kwa Kuwa mmeonyesha uwezo mimi hata siwalaumu kuhusu video production kwa sasa. Mmejitahidi sana tena sana
Kwa kipnd kiref bongo imekosa muv ka iz... Gud job broh.. Kp t up uku mwishon u made me cry mzee
Zopa zopa nakubali kaziyako mzee unatixha sanaa
*Aisee kazi zenu ni nzuri Sana*
*Pia na zielewa Sana*
Great movie ..watching from 254
movie kali mpaka nomaa... moja ya movie bora sana ata sisi tusioangalia sana bongo movie kutokana na mapungufu mengi ila humu amna kilichokosewaa big up sanaa...
Hii ni moja Kati YA filamu itakayobaki akilini mwangu forever... Mmetisha wahusika wote humu, gonga like Kama umeikubali🙌🙌🙌
steve melodiaz asante Sana kamanda endelea kusambaza upendo
pamoja xana movie imetsha uo ualisia wa maisha tunayoish mtaan
Shukrani Sana
Makamua amecheza uhalisia mkumbwa sana.. vivyo hivyo fid q na wengine wooote increandible pia kaonyesha mwanzo mwisho..
One of the best movies. Movies kama hizi zinazorecordiwa hivi ndizo tunazozitaka hapa bongo aise
Nimechek mwanzo mwisho hii ni kwa sabab ya love ya Hip Hop
Joseph Cosmas kwel
Daaah mwanangu one uko njema hii ndo bongo na flavor
Hali halisi
Hawa jamaa wametisha sana, its something ambacho watu waliokuwepo kwenye bongomovie miaka kibao wanashindwa kufanya ....ila hawa wametisha 💪
Bongo Na Flava reminds me of Eminem's 2002 8 Mile Movie. a hip hop drama film. The story is heavily best on new hip hop artist from North West Region of Tanzania, Kigoma in search of his boyhood buddy to pursue his dream of becoming an Artist.The trials and tribulations walk through to recognize ones dream. Very well acted for a small production. Two Thumbs Up!
Ebhaaaana eee ni bonge la move usiache kulichekiiiii revolution moja hatar big up
daaah bonge la movie yaan iv ndo inavyotakiwa
cjajutia muda wangu na mbs zangu kuangalia hii kitu
Fact
Respect mwanangu zopaaa umetish xana brother na kundii zima lililofnikish kuptkn kwa movie hiii kaliii ukwer n kwamb mm nmtej mkubwa wa bongohoodz cwapingiiii brother
Asante sana
Bonge la movie
Incredible umetisha mzaz sio kwa upole huo
Napenda ku criticizes movie nyingi zaki bongo na pia huwa simaliziagi movie lakini Hii movie imeni touch na to attract my brain big up sana 🙌🏽
Ni bonge la movie, imeongozwa poa Sana, kidogo ubora wa picha umeangusha! Ila Kunta kinte..askari anapokufa hatumuachi vitani ✊✊
Asante sana kaka sambaza amani
cypher kongwe haina maadili wanatukana ovyo ovyo yu
Nikweli ila lakini huwa tunavumilia zile f za movie za Hollywood mbona?? , uhalisia wa mtaa ulivyo bila kuongeza chumvi ndio nafikiri kilichoigizwa humu.
Kwani hayo matusi hayapo Mtaani kwenu?
Ndio maana haya mambo yana age retriction.
movie kali sana
cypher kongwe kweli unachosema mwana movie za mbele wanatukana sana. Haya ndo maisha ya Kitaa
Movie nzuriiiii I love it
Nice iko na story nzuri sanaa Elimu tupu ndani. Hii film ni elimu tosha tena mmeitoa bure kabisa Safi sanaa 🔥🔥🔥💯
Gudd sanaa brazaa ww fundii milele
🤝Hongereni Sana movie nzuri ina mafunzo mengi ila mukome matusi wengine tunaitizana na watu tunaowaheshimu👌
Khadija Ali
Hii unajifunza na your peer
PRINCE PETER inafundisha sana tu ila huo mwanzo duh matusi ❎
Hayo ndio maisha halisi ya uswahilini kma umewahi ishi maisha ya kitaaani
Ila movie kaliii
Khadija Ali
Dahh Ila wanatukana Sana matus Sana tena live bila chenga😴😴😴😴😴😇😇😇😇watoto jaman eeeh
harry this some next level shit..........!! aya bongo movie endeleeni kupeana tuzoo za kipuuzi😷😷😷 saigon i loved ur part....! DJ druuh indeed
cherie bae That ass 5:18
Bongo movie hizi huwa hawazioni, afu ni wabaguzi sana
Nakubarisana harakati hizi nazikubarisana maana tumepitia hasoling nyingisana
Dah Sanaa inawadai sana nyie jamaa hebu fanyeni Series kabisa tule maepisodi
Kitu kizuri Tutakifuata2 Hata Uchochoroni #Ayeeee
hii kitu nilikuwa siijui lakini bhana bonge la movie nilivyoicheki aiseee bhana makaka respect aiseee
Pamoja sana wakali
Nimeipenda ipo kiuhalisia zaidi nimeielewa sana
Ase good job mwangu zopa ,respect kwako fid my bro na wengine wengi kazi mzuri nimejifunza mengi kwenye arakat za mtaa
THIS IS INTERNATIONAL BROTHER BLESS....
Chammie Twix thanks brother
Mkn
@@bongohoodzpichaz amisanayam
@@youngsonnystb1011 sugaashukali
Good job I appreciate
asante sana nancy
Zopaaaaaa!!! gud stuff indeed
Hii nimeielewa aise, safi sana
Shukrani Sana
Naamin Kuna Somo hpa kwa bongo movie 👊💪💪💪💪
Tusipoonyesha uzalendo na kukubari kazi kama hizi tutafeli vingi makosa yapo madogo madogo ila ni filamu ya kipekee wanasema husipojifunza kwa mapoto yako yatakuwa ni mapigo kwako big up saaana
Hatimae new image ya Girlfriend imepatkana... kwa mara ya kwanza nmeangalia movie ya home na nmeielewa baada ya muda mrefu saana kupita.
Imepangiliwa vzuri kuanzia story mpaka scripts..
BONGO MOVIES piteni kwenye huo mstari, hakika tutaenda kimataifa..
+96879030752
🙏
Nakubali sana wakubwa mmetisha kinoma % kama zote
Dah ni zaidi ya movie aisee Maana ni maisha yetu halisi tunayoishi
Since day1 mabaharia 2nahustle I appreciate
Makini mkali maisha hayakosag changamoto nakubal sanaaa na sanaa zopaaaaa mkn
Ni bonge la kazi hongera hiphop artist....@onetheincredible
Zito... Zapo....Zopa ..10 Crack Commandments.....booonge la kazi nzuri
Fredy Julius asante sana
Naaandika xtory pia ni Actor naweza kuzicheza cinematographer my no 0687741193 Shukrani
hii sio bongo muvie. n ubongo wa muviee..
wanangueee sina chakuwapa ila much respect kwenyuuu
shot out kwa director. colour kalii stori kaliii
i diint thout i would finish this mvie bt it turn out to be my best bongo movie after girl frien.. keep it up.
daaaaah! moko!!!! sijui ni comment nin, ndo maisha yetu.
Duh.. chombo haichoshi aseeeh..
Mzigo mtamu balaaa, (gwara iwahusu)
Big up.. ZOPA bongo la movie!! Shout out to songa & fid q na huyo manzii wa ZOPA ametisha sn alimuerewa mchizi kiroho sf. Vijana tusikate TAMAA
Respect SANA
ALL THE WAY FROM UNITED KINGDOM BRO THIS PROJECT IS VERY UNDERSTANDABLE I FEELT LIKE I WAS IN CINEWORLD BIG UP..
Muongo wewe ety UK
@@Cfd_monarch hahaha true talk
Dahh kuma mkee .ichikituuuuu aijawah tokea bongo 👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
big up sana ,,sema tusiishie apa
mok_ njm
ni kweli iendelee mpaka Series to Episodes , bonge ya kitu you feel yr on it when yr watching. Especial Kama ume pitia hizi Mbishe.. Keep it on UNO De Incr ' ✊🏿
Charles Sonyo ndio ndio bob
For sure its my firt tym kuandika cmmnt in youtube....wadauu hongeren sna...kep it up i enjoy de lechr for dis firm...🙏🙏🙏🙏🙏
Aisee Safii Sana, Hii Kazi ni Zaidi ya Hao kwa Mainstream
nimekuona mzee
Kaka Kenny, Mambo Vipi, Hii Kazi Nimeielewa Aisee
Fresh kaka, hii kitu ni hatari tupu kaka wazee wamefanya kweli
Kabisa Yaani
Kennedy Kayinga Wale Wanaopeana Tuzo Waje Hapa Wajifunze Kazi Inavyofanyika
Who is watching this Masterpiece and triumph in 2024 ??
You are, respect Sana kwako ✊🏽