hawa TIMAMU EFFECTS picha zao zina ubora wa hali ya juu,wanachukua filamu kimataifa,sioni tofauti kubwa na zile cinema zinazo rekodiwa bollywood au hollywood,kwa mfano filamu ya Tino ya C.I.D ni yenye muonekano wa kimataifa kwa jinsi ilivo rekodiwa na camera za hawa jamaa, timamu effects.BIG UP
Mwisho Wa wote kila binadamu anahitaji furaha ya maisha.Wewe this movie was amazing.true life teaching and we can see how life can come into a full circle.I really enjoyed it;more so it stayed true to our traditional vintage styles.great job to the super famous acter n actress who I lov n respect their work since kitambo.big lov to this movie.
Ndio; kuna ngoma bado zina tamba sana na zinasikilizwa lakini kidogo sanaa;kutokana na maisha ya sasa especially vijana hatujali utamaduni wetu.hatutaki kujua lakini ukweli ngoma zetu na midundiko ni something we should keep,we should teach and should celebrate them.
ngoma ilikuwa na ishara flani ya kuleta vionjo ila mimi nilipenda ujumbe halisi uliomo kwenye mchezo watu waliona kimbiji /kaole hapafai kwa mtu flani kuivuruga na wakakimbilia geza ulole lakini baadae wakajirudi na kuona ni vyema turudi tuwe pamoja KIMBIJI KWETU kaole rudini mrudishe sanaa yetu iliyovurugika.....
hakika tunapotulia nakuangalia hadithi inavyotaka na muda wakutafakari location sahihi na wahusika sahihi kuanzia watoto wanapo chezeshwa bila kupuuzia scene zao bila kuweka ma movie ya part 1 na kuendelea au kuwaiga wanaijeria ambao filimuzao za tu shoot jioni asubuhi itoke tutapata soko kubwa duniani hadithi unapoifata bila kuruka vipengele ikajieleza ndiyo heshima ya filamu inapo patikana na sio filmu za kulia dakika tano nzima kuvuta muda
Swahiliwood Duuh!! nakumbuka kaole,. Jenguwa na Swebe wanaijuwa kazi yao, Hawa ni wasanii wazuri sana..Asante Swahiliwood.....tunangojea visa vya cheche katika next episode
Daaaah filamu nzuri jmn nimeipenda sn na dokii kiboko asante sn kwa kutuwekea naomba unaelimisha sana mtuwekee best wife ya mtunis na riyama cz huku kwetu muscat tunawafatilia sn na hatuna mikanda ya kiswahili
Style ya kazi,in short;wamejaribu kwa mara ya kwanza kwa kadri ya uwezo wao wa kifasihi kubadili namna ya ku deliver tafsiri ya maudhui makuu ya kazi andishi kupitia filamu. Mdundiko its a film based on stage play or musical na kwa Tanzania ni first time naona. Mara ya kwanza kuiona ikanikumbusha Ngoswe"Mapenzi kitovu cha uzembe"looool au the big Kahuna 1999,the Bargain 1931,Bent 1997 etcccccccccc
kwanza kabsa haijakopiwa hii kama movi nyingine pili ina utamadun ya zaman ,,so movies za kibongo jarbu kufkiria wenyew msikopi kabs a tungeni msiwe wavvu kufikiri nmeipenda hii saf sana
East African movies are so underrated, beautiful cinematography from my Tanzanian people❤
waliocheza vizuri walineemekaaaa,waliocheza vibaya walipata majangaaaa...daaah nimeielewa sana hongeren sana kwa hii kitu nzuri saaana
Angekuwa marekani njimba angekuwa tajiri sana kwa basketball au movie
Nimeipenda sana hii filam sababu imeonyesha maisha yetu hali c kuiga toka mbele
Mm napenda hizi muvi ziko poa Sana'a Kazi nzuri tuekee nyengine
hawa TIMAMU EFFECTS picha zao zina ubora wa hali ya juu,wanachukua filamu kimataifa,sioni tofauti kubwa na zile cinema zinazo rekodiwa bollywood au hollywood,kwa mfano filamu ya Tino ya C.I.D ni yenye muonekano wa kimataifa kwa jinsi ilivo rekodiwa na camera za hawa jamaa, timamu effects.BIG UP
sawa kabisa timamu wako vzri
Hongera sana kwa mliotengeneza hii movie.nimeamka usiku ea mane hapa marekani na mawazo.movie imenifajiri.
Hongera
ahahahaha nimeipenda saana nimecheka sio kwa mdundiko hui amazing chezea zaramo Weee hongeren sana asil haipotei Kama hiv nje ya Tz tunainjoi kinomaa
Kimbiji inaashiria kaole kundi lilitawanyika sasa limerudi..... kazi nzuri na ina maadili inafundisha na kuelimisha na burudani
Lameck lazaro
Asante Lameck lazaro. Nambie ngoma gani umeipenda zaidi kwenye Mdundiko ?.
Bonge moja la movies yan mshamba hawezi kuelewa😁😁hongereni washirika
Mwisho Wa wote kila binadamu anahitaji furaha ya maisha.Wewe this movie was amazing.true life teaching and we can see how life can come into a full circle.I really enjoyed it;more so it stayed true to our traditional vintage styles.great job to the super famous acter n actress who I lov n respect their work since kitambo.big lov to this movie.
Rahabu Lubala
Tunashukuru sana Rahabu Lubala kwa kutazama. unadhani bado kuna Ngoma zinatamba kwa maisha ya sasa?.
Ndio; kuna ngoma bado zina tamba sana na zinasikilizwa lakini kidogo sanaa;kutokana na maisha ya sasa especially vijana hatujali utamaduni wetu.hatutaki kujua lakini ukweli ngoma zetu na midundiko ni something we should keep,we should teach and should celebrate them.
Hongeren sana kwa ujumbe mzuri
movie ya ukweli kabisa yn mafunzo ya nguvu,thanks alt
alianza mamako unafiki ndo akakuzaa ww chusa
asante bibi ya mzee kondo kumbe wajiamini kwa ushangingi......ngoja mume uolewe
filamu ipo katika anga za kimataifa,ina kila aina ya ladha ndani yake,sitoisahau daima
Yaan mpo juu sanaa hawa ndio wasanii
R.I.P Mzee Janguo
ngoma ilikuwa na ishara flani ya kuleta vionjo ila mimi nilipenda ujumbe halisi uliomo kwenye mchezo watu waliona kimbiji /kaole hapafai kwa mtu flani kuivuruga na wakakimbilia geza ulole lakini baadae wakajirudi na kuona ni vyema turudi tuwe pamoja KIMBIJI KWETU kaole rudini mrudishe sanaa yetu iliyovurugika.....
Lameck lazaro Asante Lameck. Unadhani filamu za kiasili kama mdundiko zina nafasi kwenye tasnia ya filamu Tanzania ?.
You reap wat you sow
Daa nuni ana mzgo balaaaa
hakika tunapotulia nakuangalia hadithi inavyotaka na muda wakutafakari location sahihi na wahusika sahihi kuanzia watoto wanapo chezeshwa bila kupuuzia scene zao bila kuweka ma movie ya part 1 na kuendelea au kuwaiga wanaijeria ambao filimuzao za tu shoot jioni asubuhi itoke tutapata soko kubwa duniani hadithi unapoifata bila kuruka vipengele ikajieleza ndiyo heshima ya filamu inapo patikana na sio filmu za kulia dakika tano nzima kuvuta muda
Noma sana full kubambia..
naima adamu
Dha sema huyu jamaa Anatisha!kwa jinsi Tu Alivyo!
Vizur mnajitahidi
Nuni uwo mzigo balaa😂
Kabisa unafikiri maisha halisi
Tuko pamoja iko fresh👊✌️
Mpo vizur sanaa
Kali 🔥🔥🔥🔥😘💯 we can
Kazi nzuri ya fasihi!
Abdallah Msuya Asante endelea kufatatilia filamu zetu zingine.
Hatari
I love Jenguwa and Swebe...nice movie, Thanks for shared
Aysher kabby
Asante Aysher Kabby. Unakumbuka nini ukiwaona Swebe na Jenguwa?.
Swahiliwood Duuh!!
nakumbuka kaole,. Jenguwa na Swebe wanaijuwa kazi yao, Hawa ni wasanii wazuri sana..Asante
Swahiliwood.....tunangojea visa vya cheche katika next episode
+Swahiliwood jamila na pete ya ajabu
Dokii uko na mzigo hatare
Sio mauza uza ya bongo move
Move mzuri sana
good production,good movie,kazi nzuri
Nice one
Move nzr sana,👏👏👍👍
movie inayoelewa good kwa waigizaj wote
wamejua kuact
Basilisa Shauri
Haruna ishola
Movie ya kibongo nzuri kweli ya mafunzo kweli
Nuni akili ana atamoja
Nimeipenda.
I Appreciate whole production
ahaa, ata uwe gwiji na kupata sifa dhabiti, nimeelewa kuwa ni bora kuyatilia maanani maoni ya wengine.
Andati Nandwa Nikweli kabisa vipi kuna lipi jipya umejifunza hapo..?
Daaaah filamu nzuri jmn nimeipenda sn na dokii kiboko asante sn kwa kutuwekea naomba unaelimisha sana mtuwekee best wife ya mtunis na riyama cz huku kwetu muscat tunawafatilia sn na hatuna mikanda ya kiswahili
nice sana
Safi
Amazing movie 👍👍👍👍
Nkweli iko na mafunzo tena mazuri sana
Mm ama ww
Dokii
Naona production ya kwanza iloenda shule .
Godwin Mathew Karibu twambie nini kimekufurahisha kwenye filamu hii..?
Style ya kazi,in short;wamejaribu kwa mara ya kwanza kwa kadri ya uwezo wao wa kifasihi kubadili namna ya ku deliver tafsiri ya maudhui makuu ya kazi andishi kupitia filamu.
Mdundiko its a film based on stage play or musical na kwa Tanzania ni first time naona.
Mara ya kwanza kuiona ikanikumbusha Ngoswe"Mapenzi kitovu cha uzembe"looool
au the big Kahuna 1999,the Bargain 1931,Bent 1997 etcccccccccc
kwanza kabsa haijakopiwa hii kama movi nyingine pili ina utamadun ya zaman ,,so movies za kibongo jarbu kufkiria wenyew msikopi kabs a tungeni msiwe wavvu kufikiri nmeipenda hii saf sana
Ngoma zipo ila zipo vijijini sana sio mijini kwahiyo kwa mlilolifanya mmewarudisha watu mbali kufikiria walipotoka .
Big guy sounding like cad bane from star wars the clone wars
Haaa mzee tupatupa
Ya ukweli
Best movie
Njimbwa mfisadi
hiyo ngoma ahiiii
Hili libabaa
i'm using adblocker and will not see the ads. is there another way i can pay for the movies?
kama ngoma ilikuwa tamu kwa Chumi, hata kwangu hii simulizi ni tamu;;;;~
yan nuni ni shida
Pia napenda rangi yake
Movie hii siichoki
Maandazi
Hiii pisha Hina Manisha kukiwa mfalme mbaya watu pia wata fata vile anavyo tumika na taifa Lita hangamia
Saf
Bd cjaju ckugn ntamfta,,,,
Duuuuuuuuu bimwenda huna nn
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Nimeipenda
Bd cjaju ckugn ntamfta,,,,
snsnsnmmmsmkiosookkkwkk IJ