NERIA: SIMULIZI FUPI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 296

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +19

    Leo Ankojay hongera sana voice yako ni very clear asante sana

  • @zabibuhassanchitumbo334
    @zabibuhassanchitumbo334 Год назад +9

    Da! Ila nmeumia sana aisee maneno ya levo 😢😢anyway thank Ankojay na da Lisa mwaka Kwa simulizi nzur kiukwel tunainjoy

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +14

    Yan ni 🔥 achakwaza niikae
    Ahsante Lissa Mwalla umbalikiwe sana na Anko Jay 🙏

  • @Manirihotheogene-jp8fb
    @Manirihotheogene-jp8fb Год назад +7

    Hakika simlizi hii inatoa machozi 😢😢😢 amakweli binadamu sisi niwabaya sana" ANKO JAY nakuerewa bro shukrani"❤❤❤❤.

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 Год назад +17

    Neria nakupa hongera hapa ulipofika. Dada Lisa Mwala na kaka Anko J shukran sana. Nangoja sehemu ya pili kwa hamu kubwa.

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +10

    Nimekua top 10 leo Ahsante sana mwandishi wetu mahiri lissa mwala na msimuliaji Anko jay ,,,❤❤Tunaenjoy😊😊

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +21

    Rejection was much i almost cried😢..but i like the ending.the wicked mother and sisters can really pretend as nothing happened.hope PART 2 will be more sweeter...Thanks Anko ..we learn alot na sijui tutalaumu nani yakitupata.

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 Год назад +6

    Hi, i would love to meet Lissa Mwalla u really bls me .And for uncle Jay keep on keeping on ,i love u guys thank u for simulizi entertainment 👍

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +6

    Shukran anko jay Kwa simulizi nzuri mungu akubariki sana

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад +9

    Sawa tunaisubili hiyo sehemu ya pili 😊

  • @mariamathman3572
    @mariamathman3572 Год назад +7

    Jamani si kwaubaya Neria yuwaonesha anaakili Mashaaa Allah ajabu ajiongezi mwanaume gani ataka mahusiano ya kujificha

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад

      Me nimemwambia Neria hata hajajibu,sijui hanisikii

  • @ritaisaya1424
    @ritaisaya1424 Год назад +5

    😂ukishaanza kwa kucheka basi tu najua yaliyomo yamo,hembu ngoja nifanye kazi nitarudi, Asante Anko Jay

  • @dalilaamiri
    @dalilaamiri Год назад +19

    Leo wa kwanza jmn like zen ❤

  • @fjggoxfh9502
    @fjggoxfh9502 Год назад +2

    Hiii kali anko huezi amini niwikuw nahofu eti unataka kusem kam imeish lakini ninafurah😃😃😃😃😃 kwakuw inamundereo👍👍👍💟💟💟💟

  • @fredmose1117
    @fredmose1117 Год назад +4

    Uncle Jay mungu hakubariki ni kutoka Kenya ❤️❤️❤️

  • @princessmariana5935
    @princessmariana5935 Год назад +4

    Asante sana Ankojay wetu, yaana wee ni Anko wetu kabis😂 tuna jifunza mengi sana kupitia vitu hivi unavyo tuletea love you ❤ sauti yako yenyewe dhuuu 🥰 yaani mie huwa na enjoy sana sauti yako😂🤣 inakolezaga sana hizi simulizi😂 pt 2 pls

  • @khadija725
    @khadija725 Год назад +32

    Kile chama Cha wasoma comment Tanzania ( CHAWACOTA) mpoo🤣🤣 Shuklan sana Anko J mapesa huna baya mungu akutunze kwa ajila yetu🙏

    • @anethnyudula2413
      @anethnyudula2413 Год назад +2

      Tupooooo

    • @khadija725
      @khadija725 Год назад +3

      ​@@anethnyudula2413 pa1 kipenzi

    • @samrajuma4288
      @samrajuma4288 Год назад +1

      Mlikuw munip weny kit maan me nmesomea ksom comment

    • @khadija725
      @khadija725 Год назад +1

      ​@@samrajuma4288 Hahah usijal utakuwa makamo mwenyekit🤣🤣

    • @samrajuma4288
      @samrajuma4288 Год назад +1

      Ah mumnionea🥺🥺

  • @jackilnemtinangi5592
    @jackilnemtinangi5592 Год назад +5

    ❤❤❤ isaa mweeeh for me 😄😄 unanibamba sana anko jay

  • @Rummy4871
    @Rummy4871 11 месяцев назад +6

    Mapenz yanauma npo nasubil fimbo ya Mungu inavyoenda kuwachapa wote wanomuona kiumbe wake mbaya❤❤❤

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 Год назад +6

    Oooohhhh my God Anko Jays people 😂😂😂😂already full people here any way am back 🌺💗💗

  • @EditaJoseph-zo9dv
    @EditaJoseph-zo9dv Год назад +9

    Duhh me ningekufa na hyo sauti yako anko jay ukinibembeleza

  • @AishaAlabri-t1z
    @AishaAlabri-t1z Год назад +12

    Daima mimi wa kwanza❤❤❤😂😂ila nasukuro mimi wa2

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z Год назад +3

    Asante Sana ankokei kwa kutufundisha

  • @nehemiamminza4663
    @nehemiamminza4663 Год назад +1

    Simulizi ni nzuri sana ankojay ubarikiwe sana

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 Год назад +3

    😂 Wewe Anko Jay, hizi simulizi yako Lo zaregesha mtu kwa mapezi bwana hata kama hutaki kuwa kwa mapenze ya bidi ❤plas sauti Lo 😂😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +6

    Hapo Neria changanya na zako

  • @rukiaikrima5639
    @rukiaikrima5639 Год назад +3

    Ankojay asante kwa simuliz nzur 🥰😍

  • @lovenesshadson3559
    @lovenesshadson3559 Год назад +24

    Nimetokwa na machoziii kwajili ya neria 😭😭😭😭

  • @mariamrupatu
    @mariamrupatu Год назад +2

    Anko j ni haki yako kujisifia man ni kweli unajua kila kitu nakpenda jaman🥰🥰

    • @Rummy4871
      @Rummy4871 11 месяцев назад

      ❤❤❤

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we Год назад +13

    Nimerud mwenyew simuliz mix ANKO JAY heshima kwako ❤

  • @leylahashhash3481
    @leylahashhash3481 Год назад +2

    Nimecheka kifala huyo revocatus ni kiboko khaaa hayo maneno yake😂😂😂😂😂

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 Год назад +12

    Nimelia sana maneno ya huyu mwanaume mshenzi 😢😢

  • @SelemaniLihundi
    @SelemaniLihundi 7 дней назад

    Wanaume sio watu kabisa 😢😢😢nimeumia san dah ila nimekupenda bule anko j❤❤

  • @VeronicaMaico-ik3ju
    @VeronicaMaico-ik3ju 11 месяцев назад +1

    Jamn neria mungu alijua kukuoba❤❤❤❤

  • @lizdanson8190
    @lizdanson8190 Год назад +2

    Anko jay we ni kiboko wa wote mambo ni moro 🔥🔥🔥
    Hongera Sana

  • @Salalymjeshi
    @Salalymjeshi Год назад +9

    Yaani wa 69 jamani nipeni t like zinikute 🇧🇮 🇧🇮

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 Год назад +12

    Amazing story be blessed

  • @Nailah736
    @Nailah736 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂hata mie pia nicheke kidogo anko jay taniuwa 😂😂 simulizi tamu kwelikweli hongeraa🎉🎉🎉

  • @FatmaSalim-t1g
    @FatmaSalim-t1g 10 месяцев назад +1

    Nimeipenda sana simulizi n imenifunza asant anko jay na dada lisa❤❤❤❤

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 Год назад +3

    Asante anko jay jay 😍😍

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Год назад +3

    Sura mbaya kama mkaanga sumu 😊😊😊

  • @LuciaNdelwa-yi4yj
    @LuciaNdelwa-yi4yj Год назад +5

    Leo nimekuwa wapil jmn 🥰🥰

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba Год назад +3

    Elimu ndiyo ufunguo wa maisha❤❤❤❤

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 3 дня назад

    Wee. Nera. Usijidanganye. Saoma. Wewe. Ushasema. Mbaya. Anakudanganya. Atakubwaga. Huyo. 🎉🇹🇿🇮🇹🔥

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 3 месяца назад

    😢😢😢😢nimerudia simulizi hiii kama Mara mia nimelia sana neria wewe ni jasiri sana ddngu❤❤

  • @leonidaMpare
    @leonidaMpare Год назад +1

    Thanks for the story ank akeee

  • @MusimwaJoell-g3l
    @MusimwaJoell-g3l Год назад +1

    I like it so much 🤩🤩

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Год назад +5

    Ankojay unacheka kuwa Black sheep. Yaani imagine uwe kondoo mweusi na umezaliwa kwenye Kondoo weupe hadi Baba na Mama weupe. Lazima upate maneno ya kutosha.😂😂

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 Год назад +5

    Neria mwache yuo ana upendo wa kweli

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 Год назад +2

    Asante anko jey sijachelewa naminiko hapo

  • @cartoonandmovieclips2182
    @cartoonandmovieclips2182 Год назад +4

    Asante imenigusa sana

  • @ElizabethNdaga
    @ElizabethNdaga Год назад +1

    Daaaaaah nimesikitika sana kwajili ya neria😢😢

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 Год назад +3

    💙❤💚Anko jay wangu mie.

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 3 месяца назад +2

    Nime chelewa mwaka moja, Mumbi Wa Naivasha likes jameni

  • @SelemaniLihundi
    @SelemaniLihundi 7 дней назад

    😢😢😢😢wanaume sio watu inauma san ila anko j ❤❤nimekupenda bule

  • @TatuMasoud-o3z
    @TatuMasoud-o3z Год назад +2

    Anko jay mungu akubaliki unasimulia vzr

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 3 дня назад

    Bora. Ata. Ako. Jei. Atakusimulia. Hadithi. Utainjoy🎉🎉🇹🇿🇮🇹🔥

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +9

    Nilikuwa naisubili hapa ankojay tunainjoi tuu na simulizi mpya kila siku No stress tunainjoi tuu🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Alice-zk3om
    @Alice-zk3om Год назад +3

    Anko j apew maua yake 🌺🌺🌺🌺🌺

  • @fideanamadengwa3391
    @fideanamadengwa3391 Год назад +1

    Ancle Jay msalimie Dada Lisa Mwala nawapa % 100 mnaifariji sanaaààaà

  • @halimamakeup
    @halimamakeup 7 месяцев назад +1

    Jmn naombeni niambie simulizi kali ya kusisimua ya kimapenzi ❤

  • @Grace-xh6zq
    @Grace-xh6zq Год назад +1

    Asante anko jay naburudika mungu akubariki sanaaa

  • @gaudenziaoloo8785
    @gaudenziaoloo8785 11 месяцев назад +2

    Waaaah huyu mkaka ankojay atanifanya nkuje Tanzania juu nmesha fall in love na voice yake

  • @donaldlaurent9091
    @donaldlaurent9091 Месяц назад

    Nmejifunza kitu Sana, Mungu yupo

  • @NeemaMrema-s8r
    @NeemaMrema-s8r 12 дней назад +1

    Jamani inaumiza sana jamani daah

  • @neemakasyanju7333
    @neemakasyanju7333 Год назад +6

    nafatilia sana story zako ubarikiwe

  • @diddahjay2185
    @diddahjay2185 Год назад +13

    Betrayal and rejection 😢 so touching

  • @maryammussa9735
    @maryammussa9735 Год назад +2

    Anko J nakupenda sanaaaaaa 💘

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      ❤❤❤ Nawapenda pia

    • @Rummy4871
      @Rummy4871 11 месяцев назад +1

      ​@@ankojay_❤❤❤

  • @HussenShaban-oe5vt
    @HussenShaban-oe5vt 8 месяцев назад +1

    Mmmmmh jaman tammmm❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VeronikaJerome-d7j
    @VeronikaJerome-d7j 23 дня назад

    Simurizi msuri ❤❤ sana

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 Год назад +4

    😂MI napenda tu unavo jisifia yani

  • @IreneMwenda-nl2hu
    @IreneMwenda-nl2hu Год назад +2

    Naomb mungu nipat mwanaume mweny xauti kam yako jmn daaaah

  • @BritnessMushi-ve4bl
    @BritnessMushi-ve4bl Год назад +1

    ❤❤❤ zur sanaaaaaaaaa

  • @OmanTaqah-u5y
    @OmanTaqah-u5y 11 месяцев назад +1

    Hapo kwenye barua anko j umeongeza chumvi 🤣 ila nakupenda

  • @chartyvolka5319
    @chartyvolka5319 Год назад +2

    I like it❤️❤️❤️

  • @NeemakenethwmalukoKenethmwaluk
    @NeemakenethwmalukoKenethmwaluk 8 месяцев назад

    Jamani.nimeria.sana.kwaajiri.ya.neria❤

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Год назад +3

    Wa pili mim❤️❤️❤️❤️❤️🥰

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +3

    Ninzuri sana asante Anko J na dada Lissa.

  • @GetrudaSamwel-u4h
    @GetrudaSamwel-u4h 11 месяцев назад

    Pole sana mpendwa wangu walimwengu ndo walivyo

  • @HinnaNdimbo-tm5gp
    @HinnaNdimbo-tm5gp Год назад +4

    Shikamoooooooo j jaman jaman jaman

  • @MargretMumbi-o8b
    @MargretMumbi-o8b Год назад +6

    Nimelala apa apa leo😂😂😂😂kutaka kenya🇰🇪

  • @ritaisaya1424
    @ritaisaya1424 Год назад +5

    🤸🤸🤸leo nimekuwa pili

  • @jumahassan9577
    @jumahassan9577 Год назад +4

    Inauma sana ukichukiwa na watu wa karibu ambao unao wategemee kuwa ukiwa na shida wao ndio wanatakiwa wakufaliji alafu wao ndo wanakua kikwazo kwako

    • @hanifahanifa1010
      @hanifahanifa1010 Год назад +2

      Yaan katika hii Duniaukimsikia ndugu yako anakusema vibaya hakupend yaan. Ujue huyo adui yako

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu Год назад +1

      😢😢😢😢😢acha 2

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +1

      Inauma sana jaman

    • @DorcasMuomba-gd3sw
      @DorcasMuomba-gd3sw 7 месяцев назад +1

      Katika mambo yote nikumutengemea tu Mungu ❤❤❤

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 Год назад +3

    Asante 💞

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty Год назад +1

    Mmmmm atr.sana uuuiii

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 Год назад +1

    Yaani anko jay wewee na Lissa mwala mubarikiwe saana Kwa simulizi zenye mafunzo

  • @fideanamadengwa3391
    @fideanamadengwa3391 Год назад +7

    Ningepata part 2 sukari yangu ilipanda Leo imeanza kushuka nikipata hiyo nitakuwa sawa

  • @VeronicaBoniphace-j8k
    @VeronicaBoniphace-j8k 9 месяцев назад +1

    Unasimulinzi nzuri sana lakini naomba simulizi ya binti lissa 31 na inayo fuata nainjoy sana kwakweli

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +1

    🤣🤣 hatimaye nimeipata thenkz ankoj

  • @frolahj5829
    @frolahj5829 Год назад +3

    Nimeipenda sana

  • @jasminetarimo6952
    @jasminetarimo6952 Год назад +1

    Nimefika na hapa tena

  • @حمدانالحويطي-م8ك
    @حمدانالحويطي-م8ك Год назад +3

    Kweli mvumilivu na mpuuza madharau huvuna wema na ushindi

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +1

    Omba ,usikute una mimba Neria,ujifunze

  • @sakinakhatibu1820
    @sakinakhatibu1820 Год назад +2

    Pole mpenz neria😢😢

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад

      Jifunze kutokana na makosa my dear

    • @moreenfelluzy3243
      @moreenfelluzy3243 3 месяца назад

      Kabis aisee mm najifunz San mung anilind t ​@@RahelIbrahim-id2li

  • @marysilass3821
    @marysilass3821 Год назад +2

    Mh! Wewe tena kwa kujisifia

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Год назад +2

    😁😁😁😁😁😁😁 Na mm nimejikuta nacheka tu tuko pamoja ankojay ahsante kwa burudani lissa mwala ❤

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Год назад +2

    Asante sana ❤❤❤❤

  • @samrajuma4288
    @samrajuma4288 Год назад +5

    Tsubir kuuziwa t part two itatoka January mwakan🥺🥺

    • @sumeiyamaddy95
      @sumeiyamaddy95 Год назад

      Yani km rehema wa tanga mpka leo mpka nishasau

    • @samrajuma4288
      @samrajuma4288 Год назад

      Ah nd iv htuna hela tutulie

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 Год назад +1

      Shamra juma vp kabla sijaifu, nijulishe je part two ni januari?? Ili nisubiri, maana Lissa Mwalla Mtunzi haswaa, sipendi nikatizwe, 🙅🏃 acha nikasikilize ripoti ya leo, halafu januari tutafurahia ikiwa imekamilika

    • @happinessgerady3684
      @happinessgerady3684 Год назад

      @@ataamansi8941 kha 😂🤣🤣🤣

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤blessing 🙌

  • @estabidetwa1174
    @estabidetwa1174 Год назад +1

    Amuka NERIA mwanaume awezi kukusirikia sababu uko musiku zako